Тёмный

Hatimaye Padre atoa SIRI NZITO kuhusu EKARISTI TAKATIFU / Pd. John Kulwa / Jimbo kuu Tabora / 2024 

INJILI YA FURAHA
Подписаться 11 тыс.
Просмотров 22 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

19 июн 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 65   
@JastineJoseph-kk9rd
@JastineJoseph-kk9rd Месяц назад
Asante sana Father, baadhi ya mambo niliyojifunza. 1. Ekaristi Takatifu ni Yesu mwenyewe. Mungu Kweli na mtu kweli. 2. Ni nafsi ya Mungu mwenyewe anaumia, anatamani kupendwa kama tunavyopendwa na ndugu zetu 3. Kisiwepo kitu chochote ambacho kitatutenga na uwepo Mungu, iwe ni mateso, mauti, wakuu n.k 4. Kutenda dhambi ni kumzuia Yesu kuingia ndani ya mioyo yetu. 5. Thamani ya Ekaristi Takatifu ni kubwa kuliko chakula chochote. 6. Ekaristi ni chakula ambacho kinatupeleka mbinguni, katika kuwalea watoto lazima tuwalee katika kukua kwenye imani, sio kuwahangaikia tu kupeleka shule, kuwapa chakula lakini hawana Neno la Mungu. 7. Ekaristi Takatifu sio kitu cha hiari kama ni kitu cha hiari kwako basi kuna dhambi imechukua nafasi. 8. Tusifiche uovu lazima tuukemee kwa nguvu zote. 9. Yesu hakuja duniani ili wadhambi tuendelee kutenda dhambi bali tuache na kuichukia dhambi.
@agripinaitote-xl1lz
@agripinaitote-xl1lz Месяц назад
Kristo! Asante sana fr ni wazi wakatoliki wengi hatujakaa ktk nafasi zet kama mkristo .tumekalia lulu lakini ni wachache wanaolitambua.Kwa Huruma yake Mungu atufunulie macho ya ndani kama wale wafuasi wa Emau.MUNGU AKUBARIKI
@SoniMwenebonjwa
@SoniMwenebonjwa 3 дня назад
Asante sana padiri jonh kulwa ,ubarikiwe KWA SOMO lako utuombee ILI tuwe nanasfi safi ktk maisha yetu ya kiroho,
@user-dx3he2ch5o
@user-dx3he2ch5o 27 дней назад
Asante padre kwa maubiri matamu tumebarikiwa sana.najivunia sana I wapo nayaona kwenye mitandao m’a Padri wetu Kutoa Injili .kanisa katoliki tujipongeze na Mungu atusaidie sana.Tumsifu Yesu kristu wa Ekaristi Takatifu.
@williamsonkileo7307
@williamsonkileo7307 27 дней назад
Point of correction ni Yesu Kristo na Aio Yesu Kristu..
@GraceElisha-v6l
@GraceElisha-v6l 14 дней назад
Barikiwa zaidi na Mungu,uendelee kutufungua mtumishi wa Mungu!!!
@rosekalindo
@rosekalindo 16 дней назад
Asante sana Baba,Mungu aendelee kukuweke ili uliponye kanisa 🙏
@stellambunda161
@stellambunda161 Месяц назад
Mungu akubariki fr ,nabarikiwa na najengwa sana na mafundisho yako juu ya Ekaristi Takatifu. Mungu atuwezeshe na viongozi tuyatende ufundishayo.
@MarysianaPeter
@MarysianaPeter Месяц назад
Asante mungu kwa ajiri ya mtumishi wako huyu mungu na uzidi kumtumia kwa ajili ya roho zetu zipate uponyaji
@RenatusBarabara
@RenatusBarabara Месяц назад
Asante sana Fr. Injiri ya moto inayochoma kama upanga. Mungu akutunze sana.
@imeldakapinga1869
@imeldakapinga1869 Месяц назад
Asante Baba kwa mafundisho, ni mazito hadi nafsi inasisimuka na mifupa inatetemeka, kuna mahali kabisa waumini tunakengeuka, tunakosa hofuu ya Mungu ndani mwetu kwasababu ya kiburii tuu. Eee Mungu tusaidie🤲 utuhurumie sisi na dunia nzima.
@theresinasmuhinda1606
@theresinasmuhinda1606 Месяц назад
Barikiwa sana Fr. Kulwa hakika wewe ni Biblia inayoishi. Hilo andiko ....karipia, onya himiza... nmeliona kwako Baba. Nimekupenda bure.
@nchimbilusda7259
@nchimbilusda7259 Месяц назад
OMG,,, sikujua Hilo , Asante sana Father, kwa elimu hiyo wengi haijawafikia, hawaelewi kabisa Nami pia sikuelewa, Sasa umenifungua, 🙏🙏🙏
@user-sm3vf8sl7p
@user-sm3vf8sl7p Месяц назад
Asante fr kwamafundisho mazuri tuieshimu ekarist ❤
@leocardkipengele5029
@leocardkipengele5029 Месяц назад
Asante sana Fr. kwa ujumbe huu, Mungu atusaidie kuishi mashauri haya ya injili
@DamianJustine-hs6dk
@DamianJustine-hs6dk Месяц назад
Asante sana pdr.John Kulwa kwa mafundisho yako Mazuri.
@dadagertrudeamandusmichael3635
@dadagertrudeamandusmichael3635 Месяц назад
Asante sana Baba umenibariki kwa fundisho hili juu ya Ekeristi Takatifu. Utuombee sisi wakosefu.
@stellanamukunda3515
@stellanamukunda3515 Месяц назад
Asante sana kwa mafundisho haya. Tuiabudu na kuiheshimu ekaristi takatifu. Amina
@patrickmsekwa4947
@patrickmsekwa4947 Месяц назад
Safi sana Mzee kulwa kwa fundisho kubwa na zuri
@donathamarenge8734
@donathamarenge8734 Месяц назад
Kweli Baba Padre zinaa inaonekana kama ustaarabu fulani siku hizi kumbe ni upuuzi mtupu na kujilisha upepo! Mungu akupe maisha marefu father.
@blandinakimbe8910
@blandinakimbe8910 Месяц назад
Baba barikiwa saana ,,Mungu tusamehe,
@dianaelvas43
@dianaelvas43 Месяц назад
Asante baba kwa mafundisho mazuri
@user-oz7un5lm2u
@user-oz7un5lm2u Месяц назад
Ukweri ni huo juu ya ekarist mungu akupe neema ya kueneza neno lake.
@ceciliamagalabajimmy4391
@ceciliamagalabajimmy4391 Месяц назад
Ee Bwana sistahili, sistahili ee Bwana uje moyoni mwangu. Lakini sema neno tu na roho yangu itapona. Asante Baba kwa neno lenye uzima.
@evaristcosta4315
@evaristcosta4315 Месяц назад
Baba nashukuru kwa mafundisho mazuri kuhusu Ekaristi takatifu Mungu akubariki sana
@vairethmhoza
@vairethmhoza Месяц назад
Akhsante sana baba Mungu wetu alie juu na mwenye kuogofya Akutunze Hakika
@nikoletaugi3247
@nikoletaugi3247 Месяц назад
Asante sana Baba kweli tuponyuma
@RoseJoachim-mz1kn
@RoseJoachim-mz1kn Месяц назад
Amina yesu atupe hekima ya kumjua zaidi kuliko chochote
@ernestmatundiri2341
@ernestmatundiri2341 Месяц назад
Asante baba kwa kutuelimisha kuhusu ekarist takatifu
@edenusmrosso9225
@edenusmrosso9225 Месяц назад
Ekaristi Takatifu ni Yesu, na Yesu ni Mungu na kama ndo hivyo Mungu lazima apigiwe magoti na kwa Mila zetu tu mkono wa kushoto ni ishara ya utovu wa nidhamu unapoutumia
@user-dn9np8sp8g
@user-dn9np8sp8g Месяц назад
Wewe yesu co mungu, ni mwana wa mungu acha uongo
@Poplicious1
@Poplicious1 Месяц назад
Asante Sana Father Kwa Mafundisho Ya Ekaristi Takatifu 🙏
@user-fo4dt3lh3d
@user-fo4dt3lh3d Месяц назад
Asante sana baba
@gracebuhatwa6359
@gracebuhatwa6359 Месяц назад
Asante Sana father kulwa sikujua niliona mazoezi tu.
@gracemkosa1894
@gracemkosa1894 Месяц назад
Baba asante sana.
@MariaSalus
@MariaSalus Месяц назад
Asante baba paroko,tunaomba rehema ya Mungu,kwa kuiudhi nafsi hii
@user-hy9hh1zg4y
@user-hy9hh1zg4y Месяц назад
Asante baba! Mwenye sikio na asikie🙏🙏
@user-ec7tq1rt2q
@user-ec7tq1rt2q Месяц назад
Asante baba
@lamecklaurentius8936
@lamecklaurentius8936 27 дней назад
Naam. Call spade a spade. Nimebarikiwa sana na mahubiri haya.
@TheresiaKapandila
@TheresiaKapandila 29 дней назад
Asante Fr kutulisha kiroho
@leonaldpaul4506
@leonaldpaul4506 Месяц назад
❤️❤ mafundisho mazuri sana ya ekaristi takatifu
@saramassoy1593
@saramassoy1593 Месяц назад
Mapadri wangekuwa wanatulisha neno kama huyu tungekuwa na hofu ya Mungu, tungebadilika,
@Shemahonge-ku7xx
@Shemahonge-ku7xx Месяц назад
😭dah nimekuerewa sana ubarikiwe Kuna vitu nilikuwa nafanya bira kuerewa haya yote nikuchukurie biblia kamakitu chakawaida ubarikiwe sana maombi yetu yanaachakujibiwa kwakutokuerewa
@godykibiki8852
@godykibiki8852 Месяц назад
Asante sana kuna kitu kimeingia kichwani mwangu
@user-je1sm4fc2g
@user-je1sm4fc2g Месяц назад
Asante kwa neno zuli ungeshuka mpaka vijijini watu wajue utisho wa MUNGU Asante sana.pd
@RoseKimishabhalemi-oz9bn
@RoseKimishabhalemi-oz9bn 22 дня назад
Ukweli padri un alitukana sana lishetani lakini jua sasa liko linakuwinda usiku na mchana maana hayo uyasemayo umelipiga mkuki kifuani gandamiza hivyohivyo tuko pamoja baba.
@violethbosha1666
@violethbosha1666 Месяц назад
Baba mungu akupe maisha
@beatricenangale5439
@beatricenangale5439 Месяц назад
Huyu Fr. Analifafanua neno kiukwelikweli lilivyo, na kuwajenga wakristu kweli, jamani tujitahidi kumjua sana huyu Yesu Kristu. Maana huwa tunamuumiza sana
@frankmazinge3199
@frankmazinge3199 Месяц назад
Asante SANA Baba Padre Kwa Mafundisho Ya Hali Ya Juu Kuhusu EKARISTI TAKATIFU.
@MeshackMinyota
@MeshackMinyota Месяц назад
Tatizo ni sakaramenti ya kitubio na kipako cha mafuta wanajua kesho Kuna maungamo Kwa padree
@ibrahimmwananjela5216
@ibrahimmwananjela5216 Месяц назад
Kama mafundosho yangekua yanatolewa hivyo kuanzia ngazi ya jumuiya wakatiriki tungekua nanidhamu katika kanisa
@viddamgeneka8881
@viddamgeneka8881 Месяц назад
Amen!
@erasminamaina8333
@erasminamaina8333 Месяц назад
Kweli baba ekaristi ni muhimu sana
@enatanonga3048
@enatanonga3048 Месяц назад
Asante sana pdr Kulwa kwa mafundisho mazuri
@RoseMallya-dd6uu
@RoseMallya-dd6uu Месяц назад
Ni kweli kabisa,.
@user-vf7yj1jz7m
@user-vf7yj1jz7m Месяц назад
❤❤❤❤❤❤
@alexmastila6604
@alexmastila6604 Месяц назад
Farther kulwa nayakunali saana mafundisho yake
@SusanMugassa
@SusanMugassa Месяц назад
Paroko wa kanisa gani hili? Asante sana kwa mafundisho mazuri yametugusa sana kutukosoa yale tunayoyaishi pasipo kuiheshimu Na kuijua Ekaristi takatifu!
@user-rt8df5ce4s
@user-rt8df5ce4s Месяц назад
Ni mlezi na mwalim wa seminari ya Segerea.
@josephlango5591
@josephlango5591 Месяц назад
​@@user-rt8df5ce4sPadre Kulwa alirudi Jimboni kwake Tabora. Tumeyamisi mafundisho yake
@ernestmatundiri2341
@ernestmatundiri2341 Месяц назад
Homilia ya hali ya juu kabisa kwani ekaristi takatifu ni ukombozi wetu
@violethbosha1666
@violethbosha1666 Месяц назад
Kwani mkono wa kushoto siyo mkono? Basi ulimi tusiutumie
@RoseKimishabhalemi-oz9bn
@RoseKimishabhalemi-oz9bn 22 дня назад
Huyu padri wa wapi amejaa roho wa Mungu namna hiii!!
@josephlango5591
@josephlango5591 20 дней назад
Alikuwa Mwalimu Seminari ya Segerea lakini kwa sasa yuko Jimbo la Tabora
Далее
#kikakim
00:31
Просмотров 11 млн
JIFUNZE JINSI YA KUTOA ZAKA KAMILI...!
42:41
Просмотров 7 тыс.
Tazama alichotendewa Mama huyu na YESU WA EKARISTI
7:26