Tulipokuwa shule ilikuwa 'mpige ngumi,mpige ngumi lakini baada ya kupigana,ulikuwa wapelekwa staffroom peke yako.Wale wa maneno mpige ngumi washatoroka,unaachiwa kesi peke yako.
morara amesema "...kama anamfanyia naibu wake hivi, atamfanyia mwingine nini?" kwa maneno mengine ni kuuliza; kama unaufanyia mti mbichi, itakuwaje utakapokauka?