Word. But that's assuming one dedicates 8 hours a day consistently. In most cases lakini, deep focus lasts 2hours, and so that's why 10,000hrs might take longer.
Nice Show. #Technical thing to note: the video is overexposed. Next time difuse the lightings and keep them far from the subjects. Or you may adjust on post-production.
Kwanza haiko Overexposed ila imepigwa hard light. Na hilo siyo kosa. Mambo ya lighting ni chaguo la director behind the content, unapowaambia watumie diffuser Ina maana unataka wapate soft light, which is not their choice but yours. Kila rangi tunaiona jinsi ilivyo, no overposure. Hard lighting is the way of lighting too.
Unaehoji, unaboa.. Unaongea zaidi kuliko tulietakiwa kumsikia.. Pia the mix of language unaziangua, ISSUE YA MATANGAZO HAIKUA MUHIMU UMEKAA SANA MUDA HAPO, KITU AMBACHO NI MAKUBALIANO YA MLETA TANGAZO, NA SKY HANA JIBU LA PEKE YAKE, LAZIMA AMSIKILIZE NA ANAELETA TANGAZO.. BADO JIFUNZE KUHOJI.. SORTY SORRY NYINGI BOSS!!! HUJAKUA NA MASWALI SAHIHI KWA SKY
Mbona wewe umechanganya lugha apo kwenye Mix of language😂😂😂 By the way, anaeleweka, na hata akimix lugha, misamiati inaeleweka, asiyeelewa basi ujue sio target ya muandaaji wa hii podcast, sio mbaya pia, sio kila mtu ni target ya kila kitu😊
@@allykamila3445 unapohost podcast yyte lazma umpe mgen wako nafas zaid, watu wanataka kusikia mengi kutoka kwake, ukichukua ww host nafas kubwa hakuna maana ya kumleta mgen halaf ww ndo utumie muda mwing kuongea kuliko wew..
Ondoa Kiingereza hicho wewe mtangazaji, una maana gani sasa? Maudhui yanafuatiliwa na watu wa kawaida pia na unajua kabisa lugha ya taifa Tanzania ni Kiswahili, kwa nini Kiingereza kiwe kingi namna hiyo? Yaani najaribu kujiweka katika nafasi ya Mtanzania wa kawaida kabisa asiyejua Kiingereza ila ameona unamhoji Sky walker akataka kufuatilia mahojiano, matokeo yake haelewi muunganiko wa mahojiano kutokana na Kiingereza kingi anaishia kukereka tu. Hakika hii sijapenda kabisa kwa sababu wewe ni Mtanzania na upo Tanzania, ni kweli chaneli inafuatiliwa dunia nzima lakini upo Tanzania na Watanzania inabidi wawe wa kwanza kuelewa maudhui hayo. Msamiati wa Kiswahili kwa maneno yote ya Kiingereza uliyotumia upo kabisa na unaujua, sasa tatizo nini? Naamini kabisa hujamtendea haki Sky na Watanzania wa kawaida katika mahojiano haya
Ukiona huelewi ujue wewe sio target yake, sio kila mtu ni target, na yeye muandaaji ndo anachagua target group yake, usimuandalie wewe. By the way, interview inaeleweka, kama huelewi we ni mburura, mbona kwenye simu yako umeweka lugha ya kingereza na unatumia simu vizuri tu😂
@@allykamila3445 Maudhui ya mahojiano kwa ufupi ni safari ya Sky katika tasnia ya habari, sasa hapo Kiingereza kingi cha nini ilihali kuna watu wa kawaida wangependa kufuatilia kila kitu, kuelewa na kujifunza kutoka kwa Sky?
@@jilalamaligisa4854 Hakuna shida, hata muhojiwaji mwenyewe anachanganya lugha, hata simu yenyewe unayotumia ina lugha ya kingereza, kwahiyo, naamini mTanzania anayefaa kusikiliza stori ya Sky, ni mTanzania ambaye anaelewa kingereza japo kidogo, hata kama haelewi, hawezi toka patupu kwasababu lugha ya kiswahili imetawala zaidi, asiyeelewa kabisa ni mshamba, na content creators hawahangaiki nao hao, wakamskize kingwendu uko
@@jilalamaligisa4854 Hapo changamoto ipo kwako, kwa jinsi mazungumzo yalivyo marefu hivyo, hizo sehemu ndogo za Kingereza haziwezi fanya mtu asielewe, maana Kiswahili kimetawala mno, pia, hujui target group ya muandaaji, usimchagulie kwa Kusema ni watanzania wote, huenda yeye katika plan yake amesema "My target group is all Tanzanians who can understand Swahili and atleast basics of English terms" Sasa hapo hakutakuwa na shida kwasababu inaruhusiwa kuchagua target, sio lazima atarget watu wote, kwahiyo, unataka kusema Hata akiongea Kiswahili tupu, Wahadzabe wataelewa??????????