Umeona we,hapo angetakiwa awe Tu na mume wake,Akisha kuomba dua wasal rakaa mbili then wanywe maziwa hivyo ndivyo Mtume wetu SAW alikuwa akifanya.Sasa wamejazana chumba kuzima duh!
Waangalie ndoa za zaman zilikuw hazina mashangwe ila mpaka Leo mashaa allah ila za Sasa ndoa zinafanywa mpaka zaid ya pesa kibao na hawafik ata mwaka wengn wamezd miaka m3 yaan mitihan 2
Ajabu niliyoiona ni kuodhihirisha mapambo dunia Nani kharam halafu tunamtafuta sababu za sikuhizi kwanini zinafunjika hazidumu sababu kubwa tunachanganya kharamu ktk khalali ndio mtihani unapianzia Allah awajaalie wadumu ktk ndoa Yao na subra kubwa huo ni ushauri Tu na maajabu niliyo yaona
Mtihani huu waislam tumejisahau kwa kweli hatujui nn tunafanya mambo haya ya wenzetu lkn ss sisi tumekuwa ndio watu wa mbele kutenda dhambi allah. Atustiri lkn mtihani tunao