Felicity aliambiwa na pluto kama angempea hio siku angemweka xxx, same case happened to me, I met my husband in 2019 in abu Dhabi embassy wakati wa huduma number, we exchanged numbers na akaanza kuniomba but Nikakataa kabisa, and we parted ways. Then we met again in 2022 na tukaanza kuwa intimate, and married in 2023 😂😂😂😂, I played hard to get not knowing that siku moja atakuwa ananichew vile anataka, haky mapenzi ww😂😂😂😂
Hapo kw kusemwa isha wai nihappen😢😢baby daddy aliambiwangwa na cuzo yake nimeonekana Githu 45 na boy Ed he was my Ex😮😮na ivo ndivyo niliachananga na ex wangu bt hajai jua bona nilimuacha 😢😢lakini io siku nilidinywa na bby daddy😂😂😂😂😂bt saii hatuyuko pamoja 4yrs now since we depart