Bonswa bontravay nan non jezi amen ensemble anfanmi se pou bondye kontinye beni nanm ou e mèsi jezi pou santé a souffle de vie pour diriger wap diriger la vie famille et L'église adore et louranje amen mèsi jezi bon lundi soir
Bonge la nyimbo Mungu awabariki sana wote waliofanikisha kazi hii. Singers 🗣️ sound engineer 🔊 Organist 🎹 composer 🎼 studio 🎙️e.t.c wote kwa pamoja kwa upendo mmeifanya kazi hii kua bora. Hongereni 👏 kwa hilo.
Hakika Mungu ndiye ajuaye Hongereni sana. Hongera Shimanyi.....niwambie kitu wakati wa Mungu ndio sahihi...watawaelewa tu...msichoke kutenda haya mazuri lkn Mungu kwanza na katika roho na kweli....wana Karoli Lwanga big up.