Wewe hujui utamu ya ku own a vintage I have one na watu hutaka ata kunipa mita mbili ni wauzie wengine hua na kutana na wao kwa jam wakiwa lane ingine kando wanasema, *"siunizie hii gari Yako,"* but hua sitaki ile kazi nimeifanyia acha tu so for tumbili it's not about how expensive the car is, it's the vintageness in it