Benson Omalla Ochieng ameifungia Gor Mahia goli pekee na la ushindi, ikiitandika Shabana FC 1-0 kwenye Dimba la Mamboleo, Kisumu nchini Kenya.
Hii Ligi Kuu ya kenya #FKFPremierLeague na kwa ushindi huu, Gor Mahia wanahitaji kushinda mechi mbili pekee kutangaza ubingwa....
27 авг 2024