Gor Mahia FC imeendeleza ubabe kwenye Ligi Kuu ya Kenya #FKFPremierLeague safari hii ikiwapiga wabishi, Karia=obang Sharks mabao 2-1.
Gor mahia imepata mabao yake kupitia kwa Alpha Onyango 45' na Lawrence Juma 90'+1 wakati goli la kufutia machozi kwa Kariobang likifungwa na Panchol Ghai dakika ya 81.
27 авг 2024