Тёмный

Highlights | Yanga SC 2-0 Azam FC | Ngao ya Jamii - 09/08/2023 

Azam TV
Подписаться 2,8 млн
Просмотров 280 тыс.
50% 1

Tazama hekaheka za mechi ya nusu fai9nali ya Ngao ya Jamii kati ya Yanga SC dhidi ya Azam FC.
Yanga imeshinda mabao 2-0 na yamefungwa na Stephane Aziz Ki na Clement Mzize

Опубликовано:

 

17 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 154   
@dicastosantos4703
@dicastosantos4703 Год назад
the tanzanian league is growing every year ...with more good facilities like the mkwakwami stadium ..sending love from Botswana
@shadyasalum192
@shadyasalum192 Год назад
Kama unairudia hii mechi kama mimi like hapa mwananchiii 💛💛💚💚Yangaa rahaa💛💛💚
@chidyblake1017
@chidyblake1017 Год назад
Huyu msize ni top talent....na nna Imani chini ya Kocha Gamondi ataimarika kama ataendelea kumpa muda wa mechi....Watching from Msa,Kenya
@fabianfilangali2022
@fabianfilangali2022 22 дня назад
@dorcissophania7120
@dorcissophania7120 Год назад
💚💚💚💛💛💛young hii ni 🔥🔥🔥🔥🔥🔥much love team languuu💚💚💚💚
@amanmalima940
@amanmalima940 Год назад
Yesu Ndiye njia ya kweli na uzima ya kwenda mbinguni hebu mwamini Yesu na UOKOKE na Ulithi uzima WA MILELE na uende MBINGUNI.(Yohana14:6, Warumi10:9-10).
@nacksuma2263
@nacksuma2263 Год назад
Hi upo wap
@AndrewGervas
@AndrewGervas Год назад
Uyu Aziz K au Messi et jaman💚💛🖤👊👊💪💪
@hadijamohammedy5232
@hadijamohammedy5232 Год назад
Manshaallah kwa woteee ila mzize unazidi kuiva 🙌🙌👏👏👏
@justinecharles2704
@justinecharles2704 Год назад
Sisi ndo yanga💚💚💚💚😊💛💛💛
@frankluswaga
@frankluswaga Год назад
Sisi ndo ya_ngaa
@pendosamwel1255
@pendosamwel1255 Год назад
Yanga mbingwa 2023/2024;
@lovenesskalenge2683
@lovenesskalenge2683 Год назад
Yanga bingwa💛💚💛💚 alafu huyu Diarra na Fei mmenifany nicheke😅😅 Alaf hizo jezi za Azam nzuri😊 Yanga bingwa 💛💚💪🙏
@pendosamwel1255
@pendosamwel1255 Год назад
Azam tunaomba msitufanyie hivyo wateja wenu highlights dakika 5 kweli????
@MichaelJoseph-uc4zk
@MichaelJoseph-uc4zk Год назад
We need TV3 to show NBC premier league now.
@sijalikwiga
@sijalikwiga Год назад
Camera mbona hazimuonyeshi Karia
@anthonylugoi6269
@anthonylugoi6269 Год назад
CLUB YA TAIFA 🔰
@amaniomar1755
@amaniomar1755 Год назад
Ila huyu Max Nzengeli ana kitu. Atafika mbali
@ahmedhamad2410
@ahmedhamad2410 Год назад
Yan highlights dakika 5 hata ulaya sijawahi kuona 😢😢😢
@MaryGervas-oo7sn
@MaryGervas-oo7sn Год назад
Yeah as ndo young African
@hassanchikwaya4170
@hassanchikwaya4170 Год назад
Hatujapendezwa na hichi kitu highlights dk 5 tangu lini hatuja penda kwa kweli mpira ni burudani sio chuki
@agnesssanga6544
@agnesssanga6544 Год назад
Wasenge Hawa huwajuag mfyuuuiiiiiiiiii ingekuwa wameshindwa wao ungeona highlights 30
@azofreybethon6665
@azofreybethon6665 Год назад
Wangeshinda wao sekund tyu ishawekwa
@CharzjrFabian
@CharzjrFabian Год назад
Hahahhah😂 daaah bongo sihami
@mbarakapandu101
@mbarakapandu101 Год назад
kweli lkn dah wametuonea
@luckygmdegela8477
@luckygmdegela8477 Год назад
mpira wenyewe jana ulikuwa rafu nyingi ,kiufupi haukuwa na radha hata kidogo ndio maana naona hata highlight ni fupi , na pia mwishon ndio matokeo yalitokea
@boscojmseso7072
@boscojmseso7072 Год назад
Yanga ya motto
@justinecharles2704
@justinecharles2704 Год назад
🎉
@bonheurbutindaofficiel6201
@bonheurbutindaofficiel6201 Год назад
❤❤❤
@jofreymwile1986
@jofreymwile1986 Год назад
Azam tv mnaringa sana siku izi ighlights dakika 5 tu
@robertchazya2351
@robertchazya2351 Год назад
Hata kama, ndo dk 5 jaman tangu lini ikawa hivyo 😂😂😂
@shabanrashid9844
@shabanrashid9844 Год назад
nyie hata muweke highlights dk2 ila msimu huu kipigo kipo pale pale na azam fc ndo kashaolewa na yanga 😅😅😅😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@meddytoto93
@meddytoto93 Год назад
Nyie Azam mnatuwekeaje highlights dakika 5😮😮😮nyie vipiii!!?
@ilovejesus666
@ilovejesus666 Год назад
DSTV ANZENI KUONYESHA MECHI ZA BONGO AWA WASENGE SANA TUMEWAKANDA 😂😂😂😂
@juliusjaliwa9887
@juliusjaliwa9887 Год назад
HHHHHHHHH hata waweke dakika 1, wakubali kwamba YANGA ni Team bora kwa Azam akunashida yoyote, tuna subili Final tuu hapa na kombe una linyanyuwa, viva Yanga
@sukumatraditionalkingdom
@sukumatraditionalkingdom Год назад
Futeni Mtuwekee Ndefu nawatumia 10,000
@abdullymaruzuku-uy8rb
@abdullymaruzuku-uy8rb Год назад
kati ya skudu na andazi munachaguwa nini?
@adolfmathew9698
@adolfmathew9698 Год назад
Nachagua south Africa
@wardashabani
@wardashabani Год назад
Nakuchagua wey na komwe lako
@abdullymaruzuku-uy8rb
@abdullymaruzuku-uy8rb Год назад
@@wardashabani usiwe na makasiriko halafu pia hujaambiwa kuwa ni lazim kujibu
@DiSaKi9
@DiSaKi9 Год назад
Mkeo
@abdullymaruzuku-uy8rb
@abdullymaruzuku-uy8rb Год назад
@@DiSaKi9 njoo uchukuwe uyo mke wangu ila ukiondoka utaondoka ukiwa na mimba
@BsekoMimi
@BsekoMimi Год назад
Mkifungwa nyie ndo highlights zinakua fupi 😅 5mins
@ngorshermelody2021
@ngorshermelody2021 Год назад
Azam sjui wakoje nyisubirin highlight yasimba kesho inaweza kuwa hata dakik 20 ila yamabingwa wanakatakata ili kukomoa tu
@mningoiman7995
@mningoiman7995 Год назад
Hii ni dharau highlight gani hii?
@officiallmaduhuwilliamtzof7056
Mushaishiwa hela video ya dakika 5 kweli duh acheni kuwa munapost
@hajimnubi4581
@hajimnubi4581 Год назад
Mngeshinda highlights ingekua dakika 30
@pharesdismas8876
@pharesdismas8876 Год назад
Why 5 minutes?
@vivanyboy9743
@vivanyboy9743 Год назад
Na hiyo ndio maana halis ya tim kubwa madunduka msitukimbie
@charitymkombozi5900
@charitymkombozi5900 Год назад
Azam mbwa nyie maniner zenu sasa nn hiki mmefanya tangu lin mkaweka highlights dakika 5 mbona mnaonesha chuki za wazi
@khamisssalumu
@khamisssalumu Год назад
Atujapenda highlights dk😢5
@joshuasamwelyrungu2360
@joshuasamwelyrungu2360 Год назад
Azam na nyie ninunue kamera za kisasa bana
@allykhamista5360
@allykhamista5360 Год назад
Mnawekaje highlight dk 5, mira sio uadui
@ibrahimjumanne9311
@ibrahimjumanne9311 Год назад
Azam mnafeli san highlights dakik 5 znafaida gan sas wkat mech ina matukio meng
@introverthustler
@introverthustler Год назад
sure wanazingua an
@egidiusthadeo5573
@egidiusthadeo5573 Год назад
Du Azam na nyie bado mko preseason ka video mmekakata kata mpaka hakavutii
@vibetz9991
@vibetz9991 Год назад
😂nimekuja hapa kwa Ajili ya shuti la mzize tu ,,lililogonga posti..
@nicholousmtemi3902
@nicholousmtemi3902 Год назад
Dogo kumbe anajua kupiga mashoti kiasi kile
@salim02tv24
@salim02tv24 Год назад
Highlights dk 5 ..kwell azam mmeumiaa kwa matokeoo
@RisalaMbiru-l8x
@RisalaMbiru-l8x Год назад
Safi
@jacksonjackson4532
@jacksonjackson4532 Год назад
Ila Azam Fc🤔 Ila tuendelee tu ipo siku tutakuwa imara.💪
@alicenice1711
@alicenice1711 Год назад
Me ni yangaaaa
@azofreybethon6665
@azofreybethon6665 Год назад
Kwahiyo hiyo highlight ndommeiweka mlikuwa wapi au wivu tu kisa tumewabonda komkaon uviv mpk kuiwek
@bongeone
@bongeone Год назад
DK 5 daaaaargh,
@ibrahimjumanne9311
@ibrahimjumanne9311 Год назад
Yaan tv3 wanawek highlights ya ndondo cup dakik 23 ..nyie azam mnaek highlights y mech kubwa dakik 5 Poor azam
@augustinemakoba5622
@augustinemakoba5622 Год назад
Duur daki 5
@xaverisunday699
@xaverisunday699 Год назад
#aboi_4rm_makambako sidibeee mbombo
@husseinmassawa7186
@husseinmassawa7186 Год назад
Lambalamba mngeshinda nyie mngeweka dakika 30, wauza koni acheni wivu😅😅😅
@fatmahussein6085
@fatmahussein6085 Год назад
Highlight dakka 5😂😂mmetisha azam🙌🏾
@BenLeeBl
@BenLeeBl Год назад
Jifunzeni kuedit bwanaaaaa.....unaonyesha faulo badala ya kuonyesha magoli yanavyo tafutwa🤣🤣🤣🤣🤣
@mathiaslyamunda2526
@mathiaslyamunda2526 Год назад
Tunataka full match mbona hamuweki acheni roho mbaya 😂😂
@ramour-thebigfish
@ramour-thebigfish Год назад
Dk 5 hiii Kali😀😀
@ashiriiyulu6430
@ashiriiyulu6430 Год назад
Highlights 5mnts?!maanina zenu
@omarybinzoo913
@omarybinzoo913 Год назад
Highlights dakika 5 acheni roho mbaya
@ManirakizaHashim
@ManirakizaHashim Год назад
Kwa CAMERA HIZI AFADHALI HATA ZA BONGO MOVIE
@raphaelprotase
@raphaelprotase Год назад
Pamoja na kubebwa kote bado tunapigwa😢😢,,huyu kocha no tatizo kaja na formation ambayo hata haimatch wachezaji aliowapanga😢😢😢😢 anakera sana,,nini shida iko na Kipre Junior ?? Afu na ndala mkamtoa kwa mkopo 😢😢😢
@checkchannel3876
@checkchannel3876 Год назад
Hawa last born hawawezi toboa kwa Yanga, wawe wanajifariji kwa majirani tu!
@BarakaMazengo
@BarakaMazengo Год назад
😁😁😁😁😁😁😁😁😁😄kwa makolo
@dijjahbeybe5096
@dijjahbeybe5096 Год назад
Azam Tv mmeendele Kwapicha angavu namuonekano mzuri
@merinachalinze6455
@merinachalinze6455 Год назад
Hata simba atapigwa sio azam tu
@poncegk5263
@poncegk5263 Год назад
Azam media mmeanza zingua, Highlight mnaweka dakika 5 kweli?
@introverthustler
@introverthustler Год назад
highlight dk 5 kweli😂😂😂
@vicentmotela6959
@vicentmotela6959 Год назад
Highlights mbovu au kisa Yanga waliupiga mwingi
@jumaiddy9880
@jumaiddy9880 Год назад
Mbona azam wanawivu ivo yani dakika 5 😢😢😢😢
@Vinnygeel
@Vinnygeel Год назад
Daah sasa hiki ni nini si bora mngeacha 😏
@AbdullahKilindo
@AbdullahKilindo Год назад
Azam kocha hamnafei ilibidi abadilishwe kipa makosa mengisema yangayenyewe nayo ilikuwa mbovu zibeni ufakabla---
@chidymux2476
@chidymux2476 Год назад
Yani highlight dakk 5😢😢
@abdymmanga6338
@abdymmanga6338 Год назад
Azam sometimes kama wasenge sasa hii ni Highlight au Lowlight 😂😂
@kwamefidel736
@kwamefidel736 Год назад
Wamebana wameachia😂😂😂
@ireneproches675
@ireneproches675 Год назад
Hii sio highlights bhana
@CHESKONKOMERO
@CHESKONKOMERO Год назад
Highlights dakika 5 mnazingua
@sebastiankibiki9969
@sebastiankibiki9969 Год назад
Sijawah ona upuuzi kama huu na tutawafunga sana🤣🤣🤣 hata mkigoma kuweka izo dkk30
@BALYASALU-os1xw
@BALYASALU-os1xw Год назад
Kweli highlights dk 5 Azam sio kabisa kwanini msiweke hata dk 25 au 30 mnachuku binafsi na yanga kima nyie
@Ismail-j8x
@Ismail-j8x Год назад
Wangeshida wasinge weka fupii waseeeeeng
@salimliemba3458
@salimliemba3458 Год назад
Yani mtufunge na TV yetu mtupangie tafuteni yenu
@stephanocornely130
@stephanocornely130 Год назад
Hahahahaaaaaa
@magrethyeremia2279
@magrethyeremia2279 Год назад
😂😂😂
@DoriceSephania
@DoriceSephania 10 месяцев назад
😂😂😂😂😂😂😂😊😅😅
@sukumatraditionalkingdom
@sukumatraditionalkingdom Год назад
Highlights Gani hii fupi hata Skudu hajaonekana kuumia
@marine88sis6
@marine88sis6 Год назад
Yaani Mimi nilitamani kuona tukio la skudu akiumia ilikuwaje
@pendaeliimma
@pendaeliimma Год назад
Daah hamjatufanyia poah dk 5
@lesportetlanutritionpourla9956
Azam tv highlights za dakika tano mbingu mtaishia kuiskia tu😢😢😢
@jumannemohamedy1456
@jumannemohamedy1456 Год назад
Azamu hapa nayo hamja tenda haki, ama mnge acha kutoeni
@alicenice1711
@alicenice1711 Год назад
Hivi izi jezi za azam nyie mmezielewa au??
@nathanpius5997
@nathanpius5997 Год назад
Azam TV mnazingua yan highlights gan ya dk5 acheni chuki za wazi makuku nyie,,,,
@chacha-255
@chacha-255 Год назад
HIGHLIGHTS DAKIKA TANO ??? Kwa huu uhuni aje muwekezaji mwengine aonyeshe mechi za ligi kuu mnadhani wanayanga tutaendelea kulipia azam tv ? Baadae haijengwi baadae bali inajengwa leo, ni swala la muda tu, it will already be too late to aplogize.
@ashaabdi4026
@ashaabdi4026 Год назад
wakishindwa wawape dstv bhnaa
@danielmpaka
@danielmpaka Год назад
Yaani highlights fupi hiv,mmaamae
@emmanuelmwamlima1027
@emmanuelmwamlima1027 Год назад
hii nimependa dk 15 had 20 hinghlit sio kweli
@darlaizer
@darlaizer Год назад
Yanga ya sasahivi sio poa
@johslim2895
@johslim2895 Год назад
Bora msiwe mnaweka hizi highlights kama dk zenyewe ni chache
@NoelMwaisunga-md5yj
@NoelMwaisunga-md5yj Год назад
Azam mbona mnachuki hivyo sababu mefungwa au higlight dk 5 mngeshinda nyie mngefanya hivyo
@alfanbaya102
@alfanbaya102 Год назад
Azam acheni roho Mbaya ndio kitu Gani ichi
@fatumaaybu8648
@fatumaaybu8648 Год назад
Kwanini mechi inakua fupi jamani😢
@Biggiey88
@Biggiey88 Год назад
Hii ni highlight au ufara tu msingepost rubish
@fatmahussein6085
@fatmahussein6085 Год назад
Ni nzur🔥
@praygodmatemba3490
@praygodmatemba3490 Год назад
Jmn dk 5 kwel hamfany powa
@denissolomon5417
@denissolomon5417 Год назад
Highlight mbovu
@revocatusmtahaba9955
@revocatusmtahaba9955 Год назад
Tuwaambie ukweli2 mkihusisha TV na mambo ya mpira mnafeli sasa highlight fupi hivi sio poa kabisa matukio makubwa yanayosimuliwa ni meng zaidi hata robo yake hamjaonesha sio poa
@kibanotv9028
@kibanotv9028 Год назад
Pumbavuu nyie Yan highlight dk 5 Ile ya keizer mliweka 10 Kama mmechoka weken picha za wake zenu tuwaangalie
@lightnessabdallah2340
@lightnessabdallah2340 Год назад
😂😂😂😂
@charitymkombozi5900
@charitymkombozi5900 Год назад
Wamenikwaza sana
@rehemaomary4356
@rehemaomary4356 Год назад
😂😂😂
@alicekhamis3589
@alicekhamis3589 Год назад
Azam huu wivu mmeanza lini dakk5 hoi😄😄😄😄😄😄
Далее
ОТПРАВЬ СВОЕЙ ЛП/ЛД
00:10
Просмотров 250 тыс.
MISSION IMPOSSIBLE [55]
23:58
Просмотров 19 тыс.
ОТПРАВЬ СВОЕЙ ЛП/ЛД
00:10
Просмотров 250 тыс.