ongele akimaliza shule,tuone more of talles of timo and mkulima😂😂🎉🎉,waaah nacheka usiku kama mchawi bana😂😂😂......ALL THE BEST HENRY,tutafika,time will tell❤❤🎉🎉🎉
itabidi niwe nawatch clip za newtone kama nimejificha mahali solo nacheka hapa watu wanataka kunifunga kamba aty nimeanza wazimu kumbe n hii vida 😂😂😂😂😂
Jonte always playing with his mouth😂kwani leo my agulu alikua absent??i feel sorry for timo venye kanalia... Aki ong'ele wazazi wake wanadhani tu ako shule anasoma kumbe 😂😂