Mashallah mashallah Allah atupokeley dua hii ktk kujenga maisha yetu piya atuongeze ktk njiya iliyo nyooka piya atupe wepes kwenye utafutaji wetu wa rizk yarabbi pokeya duwa yangu
Walikumssalam shuku ran jazaka ALLAH khery Mola awlipe khery nyote kwa kutuombea sisi sote ulimwengu mzima. Tuwaombea kwa Mola muumba awaepushe na fitna na awamiminie Baraka na Rehman ,awajalie khery Dunia na akhera awlipe pepo ya firdaus kesho akhera ishallah
Masha Allah Ustadh Othman sijui niseme nini wallah juu ya mawaidha yako na dua zako. Allah akujaalie kila la kheri katika kutufunza mambo mengi ambayo hatuyajui katika Dini yetu ya Kiislamu. Shukran nyingi kwako na Allah atakulipa katika jitihada zako kwetu.
Masha Allah Allah atulipe site atujalie kila la kher wasikilizaji na sheikh wetu Othman hakika umetufumbua akil kwa kutujuza dua zenye kutunufaisha Leo na kesho akher
Amiin Yaa Raball Alamiin shukran ma sheikh wetu Ma Shaa Allah duaa nzuri Allah(S.W.T) awajazie Kila la kheri na awakinge na Kila la shari Amiin thumma Amiin