Тёмный

IJUE MISHAHARA YA WACHEZAJI SIMBA SC KILA MWEZI 2024 

Help Football
Подписаться 2,4 тыс.
Просмотров 13 тыс.
50% 1

MISHAHARA YA WACHEZAJSIMBA SC
MISHAHARA YA WACHEZAJI YANGA SC
MISHAHARA YA WACHEZAJI SIMBA SC
lEO tUnayozungumzia mishahara ya wachezaji wa SIMBA SC kila mwezi! Je, unajua ni kiasi gani wachezaji maarufu wa SIMBA SC wanapata?
MUSIC IN THIS CIDEO:
Song: Janji & Johnning - Nostalgia [NCS Release]
Music provided by NoCopyrightSounds
Free Download/Stream: ncs.io/JJ_Nosta...
Watch: ncs.lnk.to/JJ_N...

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 20   
@helpfootball
@helpfootball 3 месяца назад
Subscribe ili uwe unapata taarifa zetu kila tunapokua tunaweka video mpya ❤
@kinghuojlund-un2nb
@kinghuojlund-un2nb 3 месяца назад
Simba nguvu moja
@helpfootball
@helpfootball 3 месяца назад
Nguvu moja
@ommyntigiry9332
@ommyntigiry9332 3 месяца назад
Hui 😂😂😂😂ni uwongl
@helpfootball
@helpfootball 3 месяца назад
Kwanini ni uongo?
@aminaomary5567
@aminaomary5567 3 месяца назад
Uongozi hebu mjaribu kufanya marekebisho kwenye kipengere cha Pay za wazawa mbona kiko chini: wagen mbona juu?
@helpfootball
@helpfootball 3 месяца назад
Wachezaji wazawa pia wanabidi kudemand mshahara makubwa...tatizo ni kua wazawa wenyewe hawajithamini
@AhnafAykhan-lr9yg
@AhnafAykhan-lr9yg 2 месяца назад
Marekebisho ya nini,acha kudanganywa mshahara ni private issue ndio maana hata wako hatuujui.
@aminaomary5567
@aminaomary5567 2 месяца назад
Wewe mtu unayeitwa Anaf lazima ujibu kwenye uwanja nilioandika mimi?kumbe una roho mbaya kwanini uwapendi wazawa unapenda wagen ndio wapate nyongeza ya mshahara. Halafu mimi sio mfanyakazi ni mkulima niko zangu shamba tu. Halafu mimi ni mwanasimba toka 1968. Sio umri wako umesikia we mtoto ukome kabisa kuingia kwenye comment zangu.
@aminaomary5567
@aminaomary5567 3 месяца назад
Kapombe aongezewe pay. Miaka mingi tunae
@helpfootball
@helpfootball 3 месяца назад
Ni kweli kapombe ni miongoni mwa wachezaji waliodumu zaidi kikosi cha simba...kumlipa M5 sio sawa kutokana na uzoefu wake
@hectorfunny
@hectorfunny 3 месяца назад
Ukiangalia mishahara ya wachezaji wazawa ni midogo Sana tunaomba viongozi wawape heshima wachezaji wetu wazawa kwa kuongeza mishahara yao ili pawe na usawa kwenye timu
@helpfootball
@helpfootball 3 месяца назад
Ni kweli...ili tuseme ligi inakua maana yake hata mishahara ya wachezaji wazawa inabidi kupanda
@simbascdailysimbasctanzani2835
@simbascdailysimbasctanzani2835 3 месяца назад
🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮
@mazengojohn2090
@mazengojohn2090 3 месяца назад
Miaka yote iyo shomali analipwa 5 mhh sio poa
@helpfootball
@helpfootball 3 месяца назад
Wachezaji wazawa hawapewi thamani kubwa
@RUBENINJELEKELA
@RUBENINJELEKELA 3 месяца назад
Uongo uwo
@helpfootball
@helpfootball 3 месяца назад
Kwanini unadhani ni uongo?
@simbascdailysimbasctanzani2835
@simbascdailysimbasctanzani2835 3 месяца назад
@@helpfootball Mukwala analipwa Usd 9000 kwa hiyo ukienda kwa Tshs ni milioni 9 🤣🤣🤣🤣🤣 Bro jipange tena
@helpfootball
@helpfootball 3 месяца назад
@@simbascdailysimbasctanzani2835 sawa
Далее
КТО БОИТСЯ КЛОУНОВ?? #shorts
00:20
Просмотров 460 тыс.
The Day Thierry Henry Substituted & Changed the Game
8:16
Most HEATED Manchester Derby Ever
9:51
Просмотров 1,1 млн
1 Amazing Icon From Every Country
12:00
Просмотров 169 тыс.