Тёмный

HII NDIO SABABU BAADHI YA WATU WAOVU WANAONEKANA WAMEFANIKIWA | ASKOFU JOSEPHAT GWAJIMA 

Josephat Gwajima RudishaTv
Подписаться 423 тыс.
Просмотров 23 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

25 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 69   
@nchumaTz
@nchumaTz 6 месяцев назад
hadi nimecheka kwa sauti peke angu, naamini Mungu ananipenda sana na ninamkosea sana lakni bado ananipenda tu😢
@JacksonFrances
@JacksonFrances 6 месяцев назад
Ubarikiwe Sana kwa Mafundisho Yako Askofu Gwajima Huwa Unanijenga Sana Kw mahubili yako "
@MCNgakungaJunior
@MCNgakungaJunior 6 месяцев назад
JASUSI LA MBINGUNI BARIKIWA!UNA MAFUNDISHO YA TOFAUTI SANA.
@forjesus1382
@forjesus1382 6 месяцев назад
Post the whole clip please
@nuswemwakasala8687
@nuswemwakasala8687 6 месяцев назад
Ikiwezekana baba bishop uje uwe zaidi ya Magu katika kuwajali wanyonge. Amina
@AnastasiaMlelwa
@AnastasiaMlelwa 6 месяцев назад
Amen baba
@eunicelazaro483
@eunicelazaro483 6 месяцев назад
Amen ubarikiwe sana mtumishi wa MUNGU
@JosephBigabwa-wo2bf
@JosephBigabwa-wo2bf 6 месяцев назад
Mungu ani wezeshe niwe mwaminifu
@AgnesKalinga-if3uf
@AgnesKalinga-if3uf 6 месяцев назад
Namwogopa Mungu
@YonerManang-ie2qm
@YonerManang-ie2qm 4 месяца назад
❤❤❤Mungu akubariki kw mafundisho
@GodyKaywanga
@GodyKaywanga 6 месяцев назад
Baba huwa nakuelewa sanaa sanaa
@jastinmkoba
@jastinmkoba 4 месяца назад
Amina .......ila baba mimi umenitoa mbari sana tena sana siku nikija apo ufufuo nikitoa ushuhuda wangu watu wataziba midomo wakimshangaa Mungu wambinguni ila nina ushauli baba nakuomba mwakani usigombee tena ubunge waache wafu wawazike wafu waoo maana naona kama hari ya hewa imechafuka na pia uku morogoro awakuzungumzii vema kama jana na juzi.....🙏
@FadhiliMollel-i2l
@FadhiliMollel-i2l 6 месяцев назад
Nimekuelewa Sana Dr. Bishop Gwajima.
@Oswardkadron
@Oswardkadron 6 месяцев назад
Mtumishi umefundisha SoMo kubwa sana kwauweza wa Mungu
@rithersospeterkati2303
@rithersospeterkati2303 5 месяцев назад
Amen Amen.
@DavidMwamengo
@DavidMwamengo 5 месяцев назад
God gives qualification to people he wantes to use, so you don't need qualification to work for him but he qualifies people he wants to use I really like this point on top
@elishakingu838
@elishakingu838 6 месяцев назад
Mungu aendelee kukutunza mtumishi
@JohnstonDankton
@JohnstonDankton 6 месяцев назад
Amen Dr. Josephat gwajima
@Floracharles-kh3cg
@Floracharles-kh3cg 5 месяцев назад
Amen 🙏🏿🙏🏿
@sallyaruseiministriesintl
@sallyaruseiministriesintl 6 месяцев назад
I am chosen by God but there are many battles such as financial, health, family, ministry and so on but Jesus is victorious in my life in Jesus name. Amen.
@pastorheri715
@pastorheri715 6 месяцев назад
Hata mimi huwa namshangaa sana Mungu, akiamua kufanya lake!!! Shwaa, anafanya
@Maryc2G
@Maryc2G 6 месяцев назад
Kweli Bishop watu upoteza muda mwingi kufuatilia maisha ya watu wanaacha yao yanapolomoka. Wakati wanaowahangaikia wanasonga mbele na kufanikiwa sana
@afonsojohn6860
@afonsojohn6860 2 месяца назад
Amém
@mariaismail5556
@mariaismail5556 6 месяцев назад
Asante baba tufundishe tuwasikirize wazazi🎉 3:24
@roserovah241
@roserovah241 6 месяцев назад
The chosen few
@avithamosi2061
@avithamosi2061 6 месяцев назад
We are blessee to have you Bishop. Ubarikiwe sana.
@priestkingagrey
@priestkingagrey 6 месяцев назад
Hallelujah 🔥
@nicolemulonda8984
@nicolemulonda8984 6 месяцев назад
Ameenn
@oscanyakunga
@oscanyakunga 6 месяцев назад
Ameeeeeeeen kubwaaaa kabisaaaa
@shaenykavenuke6509
@shaenykavenuke6509 6 месяцев назад
Neno la Hekima toka kwa mtumishi wa Mungu
@gracenyangusi6230
@gracenyangusi6230 6 месяцев назад
Haleluya 🔥 🔥 🔥 ❤
@felistamrutu7288
@felistamrutu7288 6 месяцев назад
Ameeeen kubwa
@oneskyalo3252
@oneskyalo3252 6 месяцев назад
Amina baba Askofu
@wamamapefakizota5870
@wamamapefakizota5870 6 месяцев назад
Aamen amen
@carolyneatieno6815
@carolyneatieno6815 6 месяцев назад
Thank you for the Word.
@marymtua4312
@marymtua4312 6 месяцев назад
Amen 🙏🙏
@nyansilujoseph-pm8im
@nyansilujoseph-pm8im 6 месяцев назад
You are good in nature
@nuswemwakasala8687
@nuswemwakasala8687 6 месяцев назад
Mimi maombi yangu ni haya, unaenda kileleni, tukumbuke wanyonge, usijetusahau, tunakutakia kila la kheri
@jerrydanstan2539
@jerrydanstan2539 6 месяцев назад
Mungu pia akuinue, na kukurehemu, na kuugeuza uso wake kwako na akupe amani 🙏🏽
@makoyelwango6048
@makoyelwango6048 6 месяцев назад
Ujumbe mzuri
@MoiseMutarami
@MoiseMutarami 6 месяцев назад
BABA WENGINE TUPO HUKU CONGO HATUJUI KIZUNGU LAKINI TUNAKUPENDA TUNAKUFUATA SANA KWA MTANDAO TUNAOMBA KISWAHILI TUNAIWEZA. AKSANTE
@mahambagislain9618
@mahambagislain9618 6 месяцев назад
Ameeeeeee 🎉🎉🎉
@gideonmwaweza8177
@gideonmwaweza8177 6 месяцев назад
Nani Alijuwa mafundisho kama haya Mungu anawatu wake
@daudimhoha320
@daudimhoha320 5 месяцев назад
Kweli.mungu.huwahapangiwi.bali.anajipangia
@forjesus1382
@forjesus1382 6 месяцев назад
Post the whole clip
@phaniceariviza4399
@phaniceariviza4399 6 месяцев назад
Ningeomba mnatuwekea linki ya the full messages kwa description box tafadhali
@StevenRichard-uj7bn
@StevenRichard-uj7bn 6 месяцев назад
Mimi naomba MUNGU akupe miaka mingi sana ili dunia na watu wanaokaa ndani yake wajue MUNGU anaishi.
@MushagalusaLeonard-zw8rr
@MushagalusaLeonard-zw8rr 6 месяцев назад
Mimi huyu mzee nilimukubali kwenye kile kipindi cha kolona
@albertvalentino130
@albertvalentino130 6 месяцев назад
Kwahiyo unasemaje kuhusu wokovu ktk kristo --- je kuna walio andikiwa kuokoka na kuna walioandikiwa kupotea? ( kuto okoka ) --- ikiws ni Mungu amewaamulia hivyo,ni kwa vipi anawahukumu kwa kuwaadhibu ktk moto wa milele ( Jehanamu )--- na tuna ambiwa hukumu ya Mungu ni ya HAKI ---- je hukumu ya namna hiyo ni ya haki --- " Doctrine yako ktk hilo inawalakini "
@josephanthon8037
@josephanthon8037 6 месяцев назад
Mwamba huyu apa
@albertvalentino130
@albertvalentino130 6 месяцев назад
Ninachofahamu Mimi ni kuwa Mungu,alituwekea matendo mema ili tuenende ktk hayo --- na Mungu alimpa mwanada akili na nguvu ya hiari , ndiyo maana anasema " Nimekuwekea baraka na laana,uzima na mauti " ni jukumu la mtu kutumia nguvu ya akili na nguvu ya hiari kuchagua kati ya baraka na laana,uzima na mauti --- " ni MTU anachagua mustakabari wake,ndio maana hata akihukumiwa,hukumu yake,inakuwa ni hukumu ya haki " kwasababu MTU amechagua mwenyewe.
@Edwin-tw3yj
@Edwin-tw3yj 6 месяцев назад
Mala nyingi uko kama kiongozi,muchungaji,baba,mshauli unae jitambua ktk nafasi yako...
@james_romanos_tz
@james_romanos_tz 6 месяцев назад
jembe!
@KokoloLambinguni
@KokoloLambinguni 6 месяцев назад
MUNGU alikuchagua kwaajili ya watanzania wote ndio maana unaubili kweli na ni mtumishi mwenye uzalendo na nchi yako
@oscanyakunga
@oscanyakunga 6 месяцев назад
😂😂😂😂 Mungu anatafuta mtu wa kupigwa naweek ili lazima ajitwalie wakuonyesha mfano.
@patrickmagibo3580
@patrickmagibo3580 5 месяцев назад
Everything is scripted, Spiritual intelligency is to know what has already planned by God
@hamisimuhunzi7916
@hamisimuhunzi7916 6 месяцев назад
Gwajima uliiba uchaguzi Kawe unawezaje kusimama na kuhubiri kuhusu ethics?
@itiamekimbui722
@itiamekimbui722 6 месяцев назад
weeeee huyu ni sauti ya mungu nduniani na kama unabisha akuje 🇰🇪 agombee umbunge popote uone atashinda
@EveristerMwampashi
@EveristerMwampashi 6 месяцев назад
Mama hujui Jambo kaa kimya
@KokoloLambinguni
@KokoloLambinguni 6 месяцев назад
We ncha upumbavu kama aliiba kura ulishindwa nini kumpeleka mahakamani tena koma kumgusa kama unapenda kuendelea kutumia mitandao
@KokoloLambinguni
@KokoloLambinguni 6 месяцев назад
Tena koma kama aliiba mpeleke polisi acha kutafuta sifa mitandaoni usije kujuta badae
@hamisimuhunzi7916
@hamisimuhunzi7916 6 месяцев назад
@@KokoloLambinguni umpeleke mahakama gani!!? kila mtu anajua wabunge wote wa CCM waliiba kura akiwemo Gwajima kama kweli angekuwa mtumishi wa Mungu wa ukweli asingekubali ubunge wa mchongo/wizi..
@JosephBigabwa-wo2bf
@JosephBigabwa-wo2bf 6 месяцев назад
Mungu ani wezeshe niwe mwaminifu
@winniembilingi4566
@winniembilingi4566 4 месяца назад
Amen
@kayumbasosthenes3596
@kayumbasosthenes3596 6 месяцев назад
Amina baba
@MoiseMutarami
@MoiseMutarami 6 месяцев назад
BABA WENGINE TUPO HUKU CONGO HATUJUI KIZUNGU LAKINI TUNAKUPENDA TUNAKUFUATA SANA KWA MTANDAO TUNAOMBA KISWAHILI TUNAIWEZA. AKSANTE
@joycekasimbazi9817
@joycekasimbazi9817 6 месяцев назад
Amen
@wamamapefakizota5870
@wamamapefakizota5870 6 месяцев назад
Amen
Далее
бабл ти гель для душа // Eva mash
01:00
MH.ALBART CHALAMILA UMEBEBA MAJUKUMU YA UHARIBIFU.
30:22
GWAJIMA ASHUSHA MAOMBI MAZITO DODOMA..
9:25
Просмотров 49 тыс.
kimbia mbio ya kumpendeza Bwana Bishop Gwajima
3:30
(OFFICIAL VIDEO) VITA INAYO ENDELEA DUNIANI
1:25:20
Просмотров 76 тыс.