Тёмный

Hiki ndicho kilimpeleka Bilionea ELON MUSK nchini CHINA, aitosa INDIA 

Simulizi Na Sauti
Подписаться 1,4 млн
Просмотров 41 тыс.
50% 1

Tembelea sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 72   
@saliieking7279
@saliieking7279 5 месяцев назад
Wachina kwenye biashara siwapingi
@fidelfidel-jz4iw
@fidelfidel-jz4iw 5 месяцев назад
Mimi huwa naona wazungu kama Wana aina ya maisha Yao nashindwa kuwekeza south Africa wakati Wana law materials zote platinum na chuma na mengine ila Tu hawana technologia
@Jurbeg
@Jurbeg 5 месяцев назад
Kama uwekezaji upi Kwa mfano 🙏🇿🇦
@nishimwelambert8377
@nishimwelambert8377 5 месяцев назад
Bro wewe ukitaka kuwekeza vizuli south Africa hakuna chakuwekeza wewe!ila utanunua piki piki fanya uwe ma delivery wawe wanakupa pesa ya rent ila hakuna kitu unaweza kuwekeza south Africa ao ununuw contain ufunguw salon
@Jurbeg
@Jurbeg 5 месяцев назад
@@nishimwelambert8377 MiMi nachukua bidhaa south Africa nafanya biashala nchi zingine MiMi pia nilitamani lakini nilishindwa 🙏
@namaraalexmbeikya1491
@namaraalexmbeikya1491 5 месяцев назад
China ndiyo soko kubwa zaidi duniani sababu ya ukubwa wa uchumi wao na idadi kubwa. Pia ina idadi kubwa ya wasomi ambao ndiyo wanahitajika katika viwanda. Pia kuna umeme wa uhakika tofauti na South Africa
@migosmigo8099
@migosmigo8099 5 месяцев назад
Utawekeza na Hr ya kipumbavu kama hii,uzembe kila kona ,wazungu wana ujinga huo?labda waje kubeba raw materials
@jamalimussa4928
@jamalimussa4928 5 месяцев назад
Dunia inenda kasi sana mwaka 2028 inatarajiwa Autonomous ship itaanza kufanya kazi yaan meli isio na crews
@daisythetech
@daisythetech 5 месяцев назад
ameenda china sababu soko la gari zake za umeme zimeshuka kimauzo mbele ya gari mpya za gari za umeme za china ...so amekwenda kucheki namna ya kufix iyo issue
@muhamadharun9432
@muhamadharun9432 5 месяцев назад
Baada ya mauzo kushuka wamefanya hivi Unajua tesla wametoa blueprint kwa makampuni yote ya. Magari ya namna gari zao za umeme zimecontain nini na namna imeundwa na yeye kafanya hvyo ili kuuza hyo software yao
@MAGIDACHIMIJA
@MAGIDACHIMIJA 4 месяца назад
Sky naomba usimulie story yangu nijicheke 😂😂
@olaycereuben419
@olaycereuben419 5 месяцев назад
Lakini hyo sio tech mpya magari ya umeme ya wachina yanayo hyo kitambo
@CamilasJohn-ik6cr
@CamilasJohn-ik6cr 5 месяцев назад
We nae mshamba wa wapi
@josephatjordan2150
@josephatjordan2150 5 месяцев назад
Ninunue gari yangu niiamini ikajipaki!!😂😂nitakua humo humo
@AasnaeaMunnah
@AasnaeaMunnah 4 месяца назад
Hiyo technology ni ya kawaida sanaaa TU.
@dandara008
@dandara008 4 месяца назад
😂😂 ya kawaida akati elon ndo no 21 st centuary rich innovator unadhani tesla ni toyota ukipata ajali unapoteza mikono adi pete ya mkeo😂
@mananzizaabdul2689
@mananzizaabdul2689 5 месяцев назад
Brother unaaribu simulizi kiukweli hatupendi kuingesa watu wengine kwanye mazungumzo yako wew unasauti nzuri saana hadi watu wengi tunapenda kuskia sauti kwahiyo jaribu kuwa unazungumza mwenyew.
@godichua4457
@godichua4457 5 месяцев назад
Wewe unadai sauti nzuri kwa mwanaume wewe ni mwanamke au mwanaume? Naomba kwanza kuuliza
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything 5 месяцев назад
✌️👊👍.
@jumamussantuiche
@jumamussantuiche 5 месяцев назад
Eron amechanganyikiwa na campuni ya magari ya umeme ya china inaoda nyingi sana duniani.
@GeorgeAkasha-zx2rj
@GeorgeAkasha-zx2rj 5 месяцев назад
Hii ndo point ya msingi sana.
@hemedshalua2002
@hemedshalua2002 5 месяцев назад
Don't underestimate India they are in a good move.
@Soon815
@Soon815 5 месяцев назад
A move!!!!!😂😂😂 It will take them years to be where china is right now.
@CamilasJohn-ik6cr
@CamilasJohn-ik6cr 5 месяцев назад
It will take them a life time 😂
@bakarimakomola
@bakarimakomola 5 месяцев назад
We unataka sauti au taarifa sahihi?
@GeorgeAkasha-zx2rj
@GeorgeAkasha-zx2rj 5 месяцев назад
Miaka inayokuja ajira za udereva ni kama zitakuwa hamna, kwa dunia inapoelekea.
@hamisishabani8864
@hamisishabani8864 5 месяцев назад
Sio Kwa nchi zetu
@Visionofeagle9689
@Visionofeagle9689 5 месяцев назад
Waymo imekuja pia
@josepheriah5977
@josepheriah5977 5 месяцев назад
India wane yko speed
@venancnjau680
@venancnjau680 5 месяцев назад
Unyamaa
@Fessmac
@Fessmac 5 месяцев назад
my rolemodel$$$
@josepheriah5977
@josepheriah5977 5 месяцев назад
Tesla noma xna
@AliAli-hs8si
@AliAli-hs8si 5 месяцев назад
Kweli kabisa mimi Nipo wa bmw 5 inajiendesha na kujipaki kujitoa kwa pack ukiwa haulo ndani mfano watu wamekufinya hauwezi kuongia kwa gari unawasha na kuipeleka mbele toka kwa packing inajiendesa na inajipack ukilala ukiwa unaendesha gari bmw the real
@GeorgeAkasha-zx2rj
@GeorgeAkasha-zx2rj 5 месяцев назад
Magari ya hivo kweli yapo ila sio bmw 5 mkuu, uache uongo
@GodahMartin
@GodahMartin 5 месяцев назад
Nchi ya CHINA ina magari yenye uwezo wa hali ya juu kuliko ya kampuni ya elon musk kwaio yeye hana jipya hapo sema ameenda kupata usharika wa kibiashara na maswala ya automation hata BMW NA BENZ wanayo kitambo tu NI VITU VYA KAWAIDA, sio kwamba wao marekani ndio wa kwanza.
@AmissaKunguru
@AmissaKunguru 5 месяцев назад
China wana tayari wana self drive taxis, kila kitu inafanya gari. Kuanzia kupaki na kila kitu. Mbona mtoa habari anaonesha kama ndio kitu kipya kwa China?
@Ayoubsambo
@Ayoubsambo 5 месяцев назад
Afu mtoa habar ameshndwa kutuleza lengo kuu lilo mpeleka elon china 🇨🇳,ila kiufup nikwamba elon alienda kuomba technology aid
@ELLYTECH
@ELLYTECH 5 месяцев назад
Yeah but ya china imewekwa kwenye public transport, tofauti na tesla wao wanatumia kwa private Vehicle, kwahyo lazima atafute usaidiz zaidi
@ELLYTECH
@ELLYTECH 5 месяцев назад
Yeah but ya china imewekwa kwenye public transport, tofauti na tesla wao wanatumia kwa private Vehicle, kwahyo lazima atafute usaidiz zaidi
@AmissaKunguru
@AmissaKunguru 5 месяцев назад
Mbona China wana taxi zinazojiendesha zenyewe kila kitu gari linafanya, kuanzia kupaki na kila kitu. Mbona hapa mtoa habari anaonesha kama ni kitu kipya kwa China?
@wilondjarama1427
@wilondjarama1427 5 месяцев назад
ata USA sipo sana tu
@AmissaKunguru
@AmissaKunguru 5 месяцев назад
US hakuna
@EdisonAndrea-c5o
@EdisonAndrea-c5o 5 месяцев назад
Mzunguyukojuu tofautina mchina
@Chettymlambalipsi-lb9km
@Chettymlambalipsi-lb9km 5 месяцев назад
Huna akili wewe bwabwa
@Luzwiro27
@Luzwiro27 5 месяцев назад
Acha kukulili ndugu yangu fuatilia mambo usisikilize mambo ya vijiweni
@AbeleBausingi
@AbeleBausingi 5 месяцев назад
Tesla inatengenezwa china kwaiyo ellon kuja china ni kila cku sbb mali zake zipo uko
@its_khalidy_46
@its_khalidy_46 5 месяцев назад
Ulivo serious kama una uhakika 😂
@its_khalidy_46
@its_khalidy_46 5 месяцев назад
Ulivo serious kama una uhakika 😂
@danielmkama24
@danielmkama24 5 месяцев назад
Bro nieleweshe kidogo tu hapo. Elon anaomba kibali cha nn kama yeye ndie muanzilishi wa hiyo kitu? Nimeskiliza vzr ila cjajua kibali ni kwaajir ya nn
@ChristianMirengeri
@ChristianMirengeri 5 месяцев назад
Kibali Cha Kuanzisha Teknolojia Ya Software Nchini China Ili Kuwezesha Kukamilika Kwa Hiyo Huduma Mpya Kwenye Kampuni Yake Ya TESLA, ili Kuboresha Features Zilizopo Sasa Kuongezea Nyingine, mfano Auto Sensors Kwaajili Ya Kupunguza Spidi Automatically Kulingana Na Mwendo, Auto Sensors Kwaajili Ya Gari Kuchagua Mahali Sahihi Pa Kupaki Lenyewe Bila Dereva, Though Sio 100% Iyo Gari Itakuwa Ikijiendesha Bali Lazima Uwepo Wa Dereva... Kwa Uelewa wangu Mdogo Ni Hivyo Mkuu
@danielmkama24
@danielmkama24 5 месяцев назад
@@ChristianMirengeri ahsante mkuu
@paskalijanja7925
@paskalijanja7925 5 месяцев назад
China ni nchi yenye watu wengi hata mishahara yao iko chini nawafanyakazi niwengi
@Ayoubsambo
@Ayoubsambo 5 месяцев назад
Nikwel lakn upo nje ya maada
@universalenergy8060
@universalenergy8060 5 месяцев назад
Siku aliyoenda China the Tesla stock went up to the moon.It was a snub to India. Prime minister wa India alipanga kuitumia visit & investment za Musk kwenye campaign za kupata kura.Kutokwenda kwa Musk imewaumiza sana tena Musk akaenda kwa adui yao 😂
@thefactbook...1607
@thefactbook...1607 5 месяцев назад
Within a week 34 b usd imeongezeka in tesla stocks a record gain.
@universalenergy8060
@universalenergy8060 5 месяцев назад
@@thefactbook...1607 we Acha tu kuna watu wana nguvu duniani.Life is very unfair
@thefactbook...1607
@thefactbook...1607 5 месяцев назад
@@universalenergy8060 yeah tesla inamfutia loss aliyoipata from twitter investment.
@YamusahSudy
@YamusahSudy 5 месяцев назад
Sky tuletee makara ya Otuoma yuule mkenya
@mnyampaa_kisasa
@mnyampaa_kisasa 5 месяцев назад
Bongo pale kkoo itafany kaz kwel😂😂😂data collection ina load mara bodaboda huyu hapa😂😂
@GameNic153
@GameNic153 5 месяцев назад
Aitoboi 😂😂😂
@EzzyEddy-il3ce
@EzzyEddy-il3ce 5 месяцев назад
😂😂😂😂😂😂
@mwinyiabdallah4383
@mwinyiabdallah4383 5 месяцев назад
😂😂😂
@josepheriah5977
@josepheriah5977 5 месяцев назад
Mabingwa wa dunia
@AliMkumbukwa
@AliMkumbukwa 5 месяцев назад
Na uyu jmaa anaasl y china
@jeffyasin2977
@jeffyasin2977 5 месяцев назад
Ni kweli
@Almuharmiii
@Almuharmiii 5 месяцев назад
Samahani haupo sahihi Asili yake Afrika kusini
@jeffyasin2977
@jeffyasin2977 5 месяцев назад
Huyu tunajua alizaliwa SA Pretoria ila asili yake ni China kuzaliwa sehem haimaanishi ndo asili yako ni kama mtu ashike mimba akiwa UK akazalie marekani
@AmissaKunguru
@AmissaKunguru 5 месяцев назад
Mbona China wana taxi zinazojiendesha zenyewe kila kitu gari linafanya, kuanzia kupaki na kila kitu. Mbona hapa mtoa habari anaonesha kama ni kipya kwa China?
@maroahkissiry4863
@maroahkissiry4863 5 месяцев назад
Hawana!
@AmissaKunguru
@AmissaKunguru 5 месяцев назад
BYD na Huwawei wana self driving cars. Ishu ni kwamba Elon Musk anataka kupata kibali tu kwa sababu kuna wateja wa Tesla wanaotaka magari ya Tesla ambayo ni self driving. Na hawajaanza leo. Usiwe mvivu ingia RU-vid
@harry5395
@harry5395 5 месяцев назад
Sure zipo toka 2021 kampuni ya Didi ilizindua hyo program na zikauzika sana. Yutong pia wanatengeneza hizo gari maiaka 3 imepita after COVID-19 walisimama.
Далее
ELON MUSK MBIONI KUWA TRILIONEA WA KWANZA DUNIANI
3:52
Grand Final | IEM RIO 2024 | BO5 | КРNВОЙ ЭФИР
6:35:24
НИКИТА ПОДСТАВИЛ ДЖОНИ 😡
01:00
Просмотров 121 тыс.
Grand Final | IEM RIO 2024 | BO5 | КРNВОЙ ЭФИР
6:35:24