Mnafanya vizuri sana. J.B. Mpiana kwangu mimi ni bora zaidi na sababu kuu ni sauti yake ya dhahabu. Naipenda sana Album mpya ya JB Mpiana ya Balle de Match. Naomba tafsiri ya wimbo "Choisy Matata" ulio katika album hiyo.
Mimi ni mshabiki ya WENGE alakini kuna mambo haukusema sawa. JB alipiga concert Zenith, Bercy, Bataclan mbona hausemi tena Mara tatu kwa uanja mkuu ya mpira Kinshasa. Ma album yote ameppatua mashabiki mbona hausemi? Be neutre on internet