Тёмный

Hivi ndivyo Twaha Kiduku alivyoingia kwenye Masumbwi 'Nilikuwa najifanya najua ngumi, kumbi sijui' 

Simulizi Na Sauti
Подписаться 1,4 млн
Просмотров 6 тыс.
50% 1

Bondia Twaha Kiduku anafunguka jinsi alivyojikuta ameingia kwenye masumbwi

Опубликовано:

 

13 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 14   
@Mpakauseme
@Mpakauseme 4 года назад
Aisee Jama ana hekima sana , Mungu akufungulie zaidi na amini ukiongeza jihadi utafika mbali sana
@ramadhanimpungwe3347
@ramadhanimpungwe3347 3 года назад
Nakubal,mzeee
@herenagetema3920
@herenagetema3920 3 года назад
Twahaaaa nakukubari sana
@mvungigaming
@mvungigaming 4 года назад
Humble guy
@najmagudeh203
@najmagudeh203 4 года назад
Show show makodinda makostamina kaz kaz
@adamalfred9348
@adamalfred9348 4 года назад
Bigwa wa Tz
@mjerumaninyandu7655
@mjerumaninyandu7655 4 года назад
Dam yetu uyo twa kiduku hom boy wakitaa chet mwamba ushakua maalufu sasa ivi
@officialzu3772
@officialzu3772 4 года назад
Kuna mlipuko umetokea libonan kama Mara ya pili Leo hii bandari ni yakweli au maana nimeona ista ila sijawa lugha hatuelewani hivi kweli au
@officialzu3772
@officialzu3772 4 года назад
Nimeshafatili kwenye TV nikweli ila Nilijuwa wanazushatu ila nikweli maana mimi taarifa huwa nawafatiliasana kwenu ndio Naamini mlipuko umetokea kweli labda nahisi tu sns mtakuwa hajafaamu tu
@linusiedesi940
@linusiedesi940 4 года назад
Hahaaaaa
@kakapatrick8255
@kakapatrick8255 4 года назад
Ndugu SnS mmekosea na kuandika kumbi badala ya kumbe!!
@kidunapoletano3118
@kidunapoletano3118 4 года назад
So mbona uwombi pambano Na mfaume mfaume au Jomb kidunda au unawaogopa...? Ndugu bundala mukhulize mwana awavae kidunda au mfaume mfaume ok sio anamtaka Mwakinyo tyu Kuna kitu gani ndani yake kumtaka Mwakinyo kwa nguvu zote alafu anawatumia lawama washabiki eti ndo waliyo taka pambano ikiwa yeye ndo aliye tangaza kwa 7bu wakati wa pambano lake Na Dullah mbabe Mwakinyo alitabiri kwamba Dullah mbabe angeshinda pambano ndo yeye akaona aweke uwasama kwa Mwakinyo watu awqendi IVYO alafu anataka kumtupia lawama Mwakinyo kwamba kamblock Na kakataa kupigana na yeye wakati ubayq kaanza yeye mtu ukimwaga mboga sisi tunamwaga ugali kabisa ili kusiwe Na atqkae kula mwambie awache roho mbaya kwa watanzania anaonyesha kwamba ni smati ila ndani yake anamchukua kinyo boy yote kwa 7bu Mwakinyo katabiri ktk pambano lake yeye Na Dullah mbabe kuwa angepigwa so yeye akaona atqngaze vita Na Mwakinyo watu awqendi IVYO bro kila mtu anayo mawazo yake Na mtu anae mpendq so asimlazimishe mtu ampende yeye au kutabiri yeye atashinda wakati ktk roho yake mtu aipo IVYO so kwa roho Safi atulize pumbwala mana yeye ni bondia mkubwa Na mzuri Na tunae mtegemea apa bongo so atutaki amshushe mwenzie hili apande yeye ila watanzania tunataka wapande wote kwa p1 Ata wakiwa mabondia 100 ila tunataka wote wapande Na waende nnje wakatuletee mikanda Na eshima ili ije bongo ila sio yeye kutaka kumshusha mwenzio Mwakinyo Na kutakq kuchukua upepo wake ili aonekane yeye ni bora sisi ni watt WA baba mmoja so kazi kazi wacheni majungu pigeni kazi mtuletee eshima bongo kapigeni wazungu km alivyo fanya Mwakinyo Na kupanda rank so Na yeye atafute tobo lake la kutoboa ili aweze kufanya kweli km mwenzie sio a take kuonyesha ubabe kwa wabongo wenzie alafu akitoka nnje Ana lolote unganeni alafu mfanye kweli mabondia wote wa bongo Na kutuletea mikanda km yote Na kusaidiana kwa kila jambo kwa Hali Na Mali ili tupeperushe bendera ya bongo
@thabitisimba1143
@thabitisimba1143 4 года назад
Hawana faida ki mchezo watamunguzia nyota zake ndio maana yeye anamtaka mwakinyo na dullah maana wapo na record nzur
@muhsiniissa8151
@muhsiniissa8151 4 года назад
Sioni tatizo Apo Mana ngumi ni mchezo Kama michezo mingine
Далее
Мужа или парня
00:42
Просмотров 15 тыс.
Similarities Between Arabic and Sicilian
14:11
Просмотров 1,3 млн
TAZAMA BASHE, MPINA WALIVYOKUTANA USO KWA USO
10:18
Просмотров 22 тыс.
How to win a argument
9:28
Просмотров 531 тыс.
Мужа или парня
00:42
Просмотров 15 тыс.