Тёмный
No video :(

HIZI NDIZO SABABU ZA YESU KUTOKWENDA MAKKAH. SHEIKH HABIBU MAZINGE 

Kishki Online TV
Подписаться 300 тыс.
Просмотров 771 тыс.
50% 1

Darasa ilitolewa na Sheikh Mazinge baada ya swala ya Ijumaa Msikiti wa Nuruyakin Temeke Dar es Salaam Tanzania Tarehe 6/11/2020, Sheikh mazinge alipatia nasha mbalimbali waumini baada ya swala ya ijumaa, na moja katika maswali mazito aliyoulizwa katika mihadhara yake ni swali hili, tazama hadi mwisho upate kuelimika, tunaomba usambaze ujumbe huu kwa wingi na Allah atawalipeni InshaAllah.

Опубликовано:

 

27 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 1,2 тыс.   
@abdoulkarenzo3138
@abdoulkarenzo3138 3 года назад
Wenyeku mpenda sheikh wetu Mazinge like apa lakini mimi sijabahatika kukuona sheikh wangu Mazinge
@rashidkalimbo2451
@rashidkalimbo2451 3 года назад
Shekhe Othman Mazinge Allah(S.W) Akubariki na Aibariki safari yako uende salama na iwe yenye mafanikio IshaAllah, kwa kweli tunakupenda sana huku KENYA sisi waislam wenzako na tunakuombea urudi salama na vilevile Alla(S.W) Atujaalie tuwe pamoja na Bwana Mtume Muhammad (S.A.W) katika Pepo Yake IshaAllah...
@user-sb2tz7sk6t
@user-sb2tz7sk6t 6 месяцев назад
Twamuomba allah aongeze warith wa hii kazi shekhe mazingi kwasababu hakuna namna siku yako ikifika mungu atakuchukuwa hatujui nan atakuwa na moy wa dhati kama ww wa kutetea uislam
@hamishemed9396
@hamishemed9396 3 года назад
Allah akufanyie wepesi katika safari yako na akufanyie wepesi katika kuutetea uislam maswali utakayoulizwa katika huo mkutano Allah akupe wepesi kuyajibu kwa usahihi kabisa urudi na ushindi uwasilimishe mpaka mapadri
@emanuelmsaky8074
@emanuelmsaky8074 3 года назад
Dini haimpeleki mtu mbinguni amini kwamba siku za mwisho watakuja kuleta hesabu zote kwa Mungu soma biblia ufike mbinguni salama haijalishi upo kwenye dini gani asiye mwamini yesu amekosa uzima wa milele mapadri hawaweI silimu labda nyie tuwakaribishe muokoke.
@IngabireAisha3813
@IngabireAisha3813 3 года назад
Allah akbar mola wetu Mlezi akuwekee wepesi katika safari hio ln sha Allah kher amiin ya Rabii 🙏🏻
@Awatee
@Awatee 3 года назад
Allah humma amin
@abdul-razzakmuhammed3058
@abdul-razzakmuhammed3058 3 года назад
Habib Othman Mazinge karibu Sana pemba, Ndoto yangu kwako nipate kukuona shehe wangu Na kuwa mwanafunz wako, nalia kila leo shehe, Namuomba MUNGU aniktanishe na wewe Inshaallah.
@salimaomar9896
@salimaomar9896 2 года назад
Yaa Allah muwekeye Nuuru m zazi wa shekh Nourdini Kishikh katika Kaburi l'âne ALLAHUMMA Amiin
@chamieadam7138
@chamieadam7138 3 года назад
Siku atakayofumba jicho sheikh Mazinge kama bado nikiwa napumua sijui nitaliaje wallah nampenda mno kwa ajili ya Allah tu sichoki kumsikiliza
@jojobrayan1551
@jojobrayan1551 3 года назад
We real love you sheikh ,ManshaAllah 👏👏🇨🇦🇨🇦
@zenaal-baalawy1953
@zenaal-baalawy1953 Год назад
From 🍁 🇨🇦 na mimi nampenda sheikh Mazinge namfatilia sana@jojobrayan1551
@tanzanian8847
@tanzanian8847 3 года назад
Allah akulinde shk wetu, nakupenda kwa ajili ya Allah. Allah akujalie umri mrefu na akupe ilimu zaidi uwashinde wote maadui zako. Allah akulinde na akukinge na balaa. Allah akupe riziq uitakayo. Amiiin thumma amiin 🤲
@kaya.o1673
@kaya.o1673 3 года назад
Man sha allahu
@LilyKangethe-hw2bw
@LilyKangethe-hw2bw Год назад
Mashallah Allah Akuzidishie heri Inshallah...❤❤❤
@habibaramadhani-xv2ed
@habibaramadhani-xv2ed 10 месяцев назад
Ya Allah, Tunaomba ALLAH Akujalie.Uweze kutuwakilisha vizuri . Amiina.
@selemanaman8340
@selemanaman8340 3 года назад
Allah akbar mwenyezimungu atujaarie mwisho mwema na atufishe hali nakuwa ni waislaam🕌🕌🕌
@bananatz4216
@bananatz4216 3 года назад
Maashaallah Allah awafanyie wepesi muende salama murudi salama in shaa Allah
@IngabireAisha3813
@IngabireAisha3813 3 года назад
Karibu sana burundi 🇧🇮 Allah awafikishe salama awarudhishe salama na ushindi uwe wa waislam karam ya tauhid izagae urimwengu mzima🙏🏻
@sakinat2527
@sakinat2527 3 года назад
Ameen yaa Rabbil aalamiin
@khadijaiddi4887
@khadijaiddi4887 3 года назад
Allahhumma Aamiin
@AishaAli-lk7gh
@AishaAli-lk7gh 3 года назад
Amiin
@Awatee
@Awatee 3 года назад
Amiin allah auwinue dua nzima insha allah
@zou7470
@zou7470 3 года назад
Allahuma aminaa 🙏🙏🙏🙏🙏
@khuzeimaabdul4275
@khuzeimaabdul4275 3 года назад
InshaALLAH mungu atakuwezesha uendapo na ushindi juu ya uislamu
@sakinat2527
@sakinat2527 3 года назад
Allah akufanyie wepesi ktk safari yako na akuhifadh, akuepushe na kila baya . Akujaalie uende salama urudi salama, ukafaulu kwa yote yatakayo kuwa huko kwa uwezo wa Allah ameen yaa Rabb in shaa Allah
@halimaramadhan2975
@halimaramadhan2975 3 года назад
Allahumma amiin
@ahmedalklbani8118
@ahmedalklbani8118 3 года назад
Ishaalahh alahh akufanyie wepesi alahh akupe umri mrefu
@Awatee
@Awatee 3 года назад
Amiin yarabal alamin
@issakawaya8315
@issakawaya8315 3 года назад
Kwani burundi akuna wa dhiri
@sofiabeja3171
@sofiabeja3171 3 года назад
Alla akulipe inshaalla
@user-ws9ek8dj5n
@user-ws9ek8dj5n 3 года назад
Maasha Allah ma sheikh wetu wote Mwenyezi Mgu awalinde na kila shari,awaongoze awape afya njema, umri mrefu awalipe kila lililo la kheir wao na ummati Mohammad (SAW)
@fatomhalogandy4045
@fatomhalogandy4045 3 года назад
MashaAllah. Great job
@salumkibalabala4582
@salumkibalabala4582 3 года назад
Maa shaa Allah Allah akufikishe Salama na urudi Salama na awarehemu Mashekhe zetu wote waliotangulia mbele ya haq
@alhamdulillah5796
@alhamdulillah5796 3 года назад
Amiin
@waheedahtanzania4912
@waheedahtanzania4912 3 года назад
Mashallah masheikh WETU Allah atawalipa fungu lenu siku ya Hesabu Inshaallah 👏
@rashidkalimbo2451
@rashidkalimbo2451 3 года назад
Wallah UISLAMU NI RAHA, hasa mwisho wa video hii nimehisi tu raha, ...Namuomba ALLAH (S.W) Anifishe hali ya kuwa mimi nimuislamu kamili IshaAllah.
@mbwanakhamis9634
@mbwanakhamis9634 3 года назад
Ameen
@juliusmakamba255
@juliusmakamba255 3 года назад
Wahubiri wenzako wote walisha kufa,wahubiri wakikristo wote wapo,wewe kazi yako ni kuukashifu ukristo na yesu.
@rashidkalimbo2451
@rashidkalimbo2451 3 года назад
@@juliusmakamba255 ... hakuna mwiislam anayemkashifu Yesu hata mmoja kaka, na anayemkashfu Yesu basi si mwiislam, Nahisi haujui maana ya Uislamu ni nini na ndomana ukasema hivyo...Ukristo tunaukashfu kwasababu ni uzushi wa watu, Mwenyezi Mungu hajaelekeza watu wawe wakristo na hakuna Mtume hata mmoja aliyekuwa mkiristo including Yesu, Shida yenu hamtaki kusoma Vitabu vya Mwenyezi Mungu mkaelewa, mnafuata tu kauli za wachungaji wanaowapotosha....
@juliusmakamba255
@juliusmakamba255 3 года назад
@@rashidkalimbo2451 ni nadra sana kumsikia ustadhi mazinge akikemea dhambi,au akiwataka watu waache maovu,watubie dhambi zao,yeye anawaaminisha waumini wa dini yake ya kiislamu kuwa wakristo wote ni makafiri na siku ya kiyama ni motoni tu,na muislamu hata akiwa mwizi,jambazi,mzinifu,yeye ataenda peponi,anapotosha sana watu.
@rashidkalimbo2451
@rashidkalimbo2451 3 года назад
@@juliusmakamba255 ...Mimi nakuelewa vizuri kaka na ndomaana nikatanguliza kusema hauelewi maana ya Uislamu, Uislamu hauelekezi mtu kufanya mambo mabaya mambo machafu hata kidogo kaka, Mtu yeyote atakayefanya dhambi ima ya kuiba, ugaidi, ushirikina, uzinifu n.k moja kwa moja huyo ataadhibiwa na Mwenyezi Mungu unless atubie Kwake, TOBA ya ukweli (TAUBATUL NASUHHA) kabla hajafariki,... Halafu nimeona unasema ati ni nadra Ostadh Mazinge kukemea dhambi, hapo nakupinga mojamoja, Pitia video zake zote RU-vid uone vyenye Shekhe Mazinga anavyong'ang'ana kuwalingania Waislamu na hata wasiokuwa waislamu warudi katika Njia ya Mwenyezi Mungu, wewe unaonekana ni mgumu wa kuelewa tu, m'bishi, coz hata hii video Mazinge amelingania watu warudi kwenye njia ya Allah, ama haujasikia hiyo kauli akisema watu wanachezea wakati kwa kuspend more time na mambo yao ya kibnafsi kama vile mpira wa kandanda hata wakati wa swala instead of wawe miskitini, Ama unataka mtu alinganiwe vipi wewe...Na vilevile nahisi haujui maana ya Kafiri pia, KAFIRI kwa ufupi ni mtu ambaye hamuabudu Mwenyezi Mungu Muumba wa kila kitu duniani, ndio maana Mwenyezi Mungu Akawatambua nyinyi (wakristo) kama Makafiri kwasababu hamumuabudu Mwenyezi Mungu, munaabudu Yesu, Mtume Wake mkidai yeye ndo Mungu...na ndio maana nikasema hamusomi Vitabu mukavielewa coz Yesu anasema yeye mwenyewe 'mimi ni mtu" (YOHANA 8:40) na hakutumwa kwa ulimwengu mzima ila kwa watu(Wana wa Israel)aliopewa na Mwenyezi Mungu na anawaombea hao tu(YOHANA 17:6-9).... Shida yenu hamtaki kusoma tu basi, ninyinyi nakupinga ukweli tu hata muambiwe nini hamutoamini kwasababu tayari Mwenyezi Mungu Anasema Amepiga Mihuri nyoyo zenu na vilevile zimejaa maradhi kwahiyo hata muambiwe nini hamutoamini, macho ameyaziba na finiko hayaoni na vilevile maskio yenu ameyaziba kwa hivyo hamsikii na mtapata adhabu kali... Shekhe Othman Mazinge Anang'ang'ana sana na Namuombea Allah(S.W) Azidi kumpa umri mrefu aendelee kuwatoa watu katika Giza, Nampenda sana Shekhe Mazinga infact video zake kwa laptop yangu zimechukua karibia asimia 60, Nawaombea sana sana mashekhe wote Allah(S.W) Awalinde...Na pia wewe nakuomba usikilize Mihadhara mbalimbali ya Mashekhe mbalimbali huenda Mwenyezi Mungu Akakujaalia kuuona ukweli uko wapi IshaAllah, na utakuja nikumbuka kwa hii COMMENT IshaAllah ima ubadilike au ubaki katika hali yako.... Nakuomba uwasikilize kwa undani hawa Mashekhe wafuatao: *TANZANIA-Shekhe Othman Mazinge, Dr Sule Ostadh Kinyogori, Shekhe Kishki, n.k *KENYA-Shekhe Mohammed Omar, Shekhe Maalim Othman, Shekhe Suleiman Mazinge, Shekhe Izudin Alwy Ahmed n.k *India-Shekhe Dr Zakr *U.S -Shekhe Ahmad Dhada Chukua Vitabu vyote vya Mwenyezi Mungu Uangalia as you listen to them, uone kama wanakwambia ukweli au laa, jaribu kutofautisha between different scriptures ujue ukweli uko wapi kaka, hao wamesoma kweli Vitabu vya Mwenyezi Mungu na ninawaombea sana kwa juhudi zao na naomba dua zao za kutaka radhi kwa Allah pia zinifikie mimi IshaAllah kama mwiislamu mwenzao. Mimi jukumu langu nikufikisha tu, decision ni yako, siwezi kulazimisha coz Dini inakataza kulazimisha mtu, lakini naomba unisikilize kwa makini kauli yangu ya mwisho, kama wewe una dini nyingine mbali na Uislamu, nakuomba mara moja rudi katika UISLAMU kabla hujakufa, kwasababu Ndio DINI pekeyake Ambayo Mwenyezi Mungu Ataiangalia Siku ya Kiyama.
@Mwanaume676
@Mwanaume676 3 года назад
Karibu sana Urundini ustadhi Ya ALLAH mrahisishiye safari, kazi yake ya daawah na umpeleke na umrudishe salama salimina mwalimu wetu Habib Mazinge.
@sarahabdulatif7391
@sarahabdulatif7391 3 года назад
Wanaoendelea kumpinga Yesu wajipange upya wanapoendelea kumpinga anasema anikataae mimi asie yaamini maneno yangu neno hilo ninalolinena ndilo litakalomuhukumu siku ya Mwisho
@soccertv293
@soccertv293 3 года назад
Nani anampinga yesu hakuna mwislam anaempinga yesu ila wakristo hawamjui yesu nahawafuati ya yesu zaid ya paulo
@hasnaram4044
@hasnaram4044 3 года назад
Walah nimejisikia uchungu Sana shekhe aliposema nimebaki mm tu na nikifa mm hamna mtu, nimesikia uchungu mnoo shekhe tunakupenda kwa ajili ya allah
@halimamwakucha2637
@halimamwakucha2637 3 года назад
Allah akuhifadh n kila lenye shar uende xalama urud xalama.. Kwa mnafanya kaz ngumu Allah awajaalie pepo mashekh wetu
@lkshmykomar5472
@lkshmykomar5472 3 года назад
Ishalla hery shehe wetu M/Mungu akusmamiye ktk safar zako akuhfadh km alivo mhifadh nabii IRAHMU Amina tunakupenda Kwa ajili ya Allah
@minabuelysee8
@minabuelysee8 3 года назад
Amin
@jamesndihokubwayo6560
@jamesndihokubwayo6560 3 года назад
Karibu Burundi Bujumbura tutafurahi sana tupe, dawa1isram
@tabumpate9762
@tabumpate9762 3 года назад
Mashaalah.M/MUNGU nakuomba muweke shekhe mazinge kwakutuokolea dini yetu ya kiisilamu
@twalibmakau8380
@twalibmakau8380 3 года назад
Kwenye uchaguzi huu tunamshukuru Allah ametudhihirishia wanafki, washirikina, wapenda Dunia Allah wajaalie mashekhe mwisho mwema
@hassancharo1496
@hassancharo1496 3 года назад
Twalib una mana utshadh Mazinge nimunafiki ama
@abouswaleh7375
@abouswaleh7375 3 года назад
ALLAH akufanyie wepes kipenzi cha MOYO WANGU... NAMUOMBA ALLAH akusahilishi JANNATU FIRDAUS
@jonasyohana3258
@jonasyohana3258 3 года назад
Mashetwan wakubwa nyie unafik tyyuuuuuuu....na uchaw
@aishaarusha894
@aishaarusha894 3 года назад
@@jonasyohana3258 shwetwani nihuyo uliyo mfunika suruali mungu akudhalilishe duniani na akhera firauni wewe
@jonasyohana3258
@jonasyohana3258 3 года назад
@@aishaarusha894 firaun ni hicho ulichokifunika na sket.....mbwa kasoro mkia ww
@aishaarusha894
@aishaarusha894 3 года назад
@@jonasyohana3258 mbwa baba ako firaauni heshimu dini za watu nyooooooo ukome kututukana habith kacheze segele kanisani kiama utacheza kwenye moto laana allah akudhalilishe kwa maradhi inshalllah
@husseinmombo3834
@husseinmombo3834 3 года назад
Insshaallah sheikh Mazinge Allah akujaalie kheri katika safari yako na kwa kazi utakayoifanya iwe na mafanikio makubwa. AMIYN.
@bandajr658
@bandajr658 3 года назад
Mungu awalipe mashekh wetu
@rumaukombo6415
@rumaukombo6415 3 года назад
Allah akupeleke Salam urudi Salam a .Allah atupe mafanikio mema ya dunia na akhera.
@IngabireAisha3813
@IngabireAisha3813 3 года назад
Allah akudhidishie umli weny vitendo maqbul Allah akuhifadhi tudhidi kunufaika na elmu yako sh Othuman Mazinge
@paulgwau883
@paulgwau883 3 года назад
We ostazi acha uongo
@alhamdulillah5796
@alhamdulillah5796 3 года назад
Amiin
@Kazubassyathyvry89
@Kazubassyathyvry89 3 года назад
Allah akupeleke salaam na akurudishe salaam,na maswali yote utakao ulizwa akuwezeshe kuyajibu vzr,karibu kwetu burundi.Na twakuombea Allah azidi kukuhifadhi na akujalie mwisho mwema sheikh wetu
@halimaramadhan2975
@halimaramadhan2975 3 года назад
Amiin
@abouswaleh7375
@abouswaleh7375 3 года назад
Amiiiiiiiiiiiiiiiiin allahumma amiiin
@abouswaleh7375
@abouswaleh7375 3 года назад
Amiiiiiiiiiiiiiiiiin allahumma amiiin
@wamalaibrah4464
@wamalaibrah4464 2 года назад
Mazinge wallah Mwenyezi Mungu akuongezeye umuli Mimi ni mu Tanzania nilizalia Uganda hilo onalolisema ni kweli ksse kanisa iligeuzwa muskiti kwanza ksse bwela ni wanyamwezi
@probeez2569
@probeez2569 3 года назад
inshaAllah ya ALLAH mpe maisha marefu mwalimu wetu Habib mazinge InshALLAH na mola wutu akuongoze popote uendapo na akulide na maasidi na ushinde kwaajili ya ALLAh AMIN AMIN inshALLAh
@korogwetanga810
@korogwetanga810 3 года назад
Allah akuhifadhi sheikh mazinge na akupe umri mrefu wallah nakupenda kwa ajili ya Allah
@salmazaidalabrawi3723
@salmazaidalabrawi3723 3 года назад
Allah akupeleke salama shekh. Aammiiiin 🙌
@mivumamusafiri9191
@mivumamusafiri9191 Год назад
Mwenyezi MUNGU azidi kumulinda Ust mazinge yeye ndio chanzo ya imani yangu nilizaliwa kwenye ukristo na mm n Muslim kwa mda sasa mwaka kumi🙏🙏
@khadijaiddi4887
@khadijaiddi4887 3 года назад
Maa shaa Allah Allah akutangulie katika safar yako sheikh mazinge
@sakinat2527
@sakinat2527 3 года назад
Ameen
@mohamedkombo8308
@mohamedkombo8308 3 года назад
Inshallah sheikh mazinge mungu akuoeleke salama ukaifanye kazi ya all,na ujira wake allah ndio ajua zaidi atakuzawadia nini,ya rabbi,
@hanifatanzania7258
@hanifatanzania7258 3 года назад
Maashallah Allah akulinde na mazalim uwende salama na urudi salama lnshallah ❤️❤️
@hanifatanzania7258
@hanifatanzania7258 3 года назад
Pia ushauli wangu kama una mtoto WA kiume au yeyote anaitaji kuubili uwafunfishe lnshallah
@mustafaathuman5897
@mustafaathuman5897 3 года назад
Allah akulipe
@kochantv8554
@kochantv8554 3 года назад
Assalam aleykhum warahmatullah wabarakatuh... Namuomba Allah akuongoze katika utowaji wako wa dawa, namuomba Allah akurahisishie kazi zako ziwe zahisi.. kwako sheikh mazinge...naomba ukitoka safari yako nipate updates na mm inshaallah Ameeen.
@majaliwamaheru5368
@majaliwamaheru5368 3 года назад
Mznge Allah Akulinde na Akuepushe na mabaya ya dunia na ya kaburn wallah Tena Mungu Akupe pepo ya juu kabsa inaniuma Sana pale ninapo fikiria ukfa Nani Atakae kava hii nafas yako Allah Atuandalie mtu kama ww
@AmourHaji-gh6pp
@AmourHaji-gh6pp 10 месяцев назад
Maashaallah x10,Barkallah za ALLAH zitawale ktk ulimwengu huu tulionao❤M'mungu atuongoze ktk janna.Mungu akuweke Shehe mazinge ili tuzidi kuelewa dini yetu.
@anthonycharles3979
@anthonycharles3979 3 года назад
Mungu ni roho na wote wenye mwili wàñapaswa kumwamini katika roho na kweli nasi tumeumbwa kwa mfano wake na pia Yesu kristo ni mwana wake pekee
@fatumahamis166
@fatumahamis166 3 года назад
,kwaza nimuombe mwenyezimungu msamaha pamoja na waislam wezang wote nilitoa kauli mby ile siku shehe wakimponda shehe ponda juu ya uchaguzi ila nimejua nilikosea maana hakuna kazi Bora kama yakumtumikia alla muumba ardhi na mbigu kwapamoja waislam wote tumuombe mungu amjalie shehe wetu afike slm arudi Salam kwaajili ya alla
@mohammedrajabu7449
@mohammedrajabu7449 3 года назад
Amiin Amiin Amiin Yaa Rabbal-aalamiin
@hamisimabokellah3545
@hamisimabokellah3545 3 года назад
Mm binafsi ninekusamehe inshaallah
@paschalmgika7074
@paschalmgika7074 3 года назад
Yesu anakuita ---mt 11:28
@haulemgaya8065
@haulemgaya8065 3 года назад
@@paschalmgika7074 z
@haulemgaya8065
@haulemgaya8065 3 года назад
Zuchu
@amadykassim
@amadykassim Год назад
Nakukubali Mazinge ❤
@saidcharleskarata02
@saidcharleskarata02 3 года назад
Mwenyezi mungu akujaalie inshaallah katika Safari shee wetu 🙏🏻
@ruqayyahfille3656
@ruqayyahfille3656 3 года назад
MashaAllah MashaAllah Allah amfanyiye wepesi sheikh wetu kwakila zito
@skkonthetop8876
@skkonthetop8876 3 года назад
Mashaa Allah Tabarak Nawaombea Mashekhe Wetu Safari njema na Salama. Na mafanikio Mema. Ameen ya Rabi Al Alamin. Ndugu yenu Mohammed Ali Al Rawahi. Al Hail Muscat Omani.
@emanuelmsaky8074
@emanuelmsaky8074 3 года назад
Amini nawaambia anaye mkana yesu amemkana na Mungu .YOHANE 14:6 YESU AKAMWAMBIA ,MIMI NDIMI NJIA,YA KWELI,NA UZIMA;MTU HAJI KWA BABA, ILA KWA NJIA YA MIMI.
@samxx411
@samxx411 3 года назад
Wewe ndo unaemkana Yesu, waislam wanamjua zaidi Yesu na tunamuami sana lkn ni mtume wa Mungu na si Mungu. Mana hajawahi kusema yy ni Mungu wala Mungu hajasema kuwa yesu ni Mungu.
@samxx411
@samxx411 3 года назад
Wewe ndo unaemkana Yesu, waislam wanamjua zaidi Yesu na tunamuami sana lkn ni mtume wa Mungu na si Mungu. Mana hajawahi kusema yy ni Mungu wala Mungu hajasema kuwa yesu ni Mungu.
@emanuelmsaky8074
@emanuelmsaky8074 3 года назад
@@samxx411 kama unamwamini yesu inatosha na uishi maisha ya kumpendeza yeye na wanadamu piah isiwepo neno lolote la kulaumiwa kutoka kwako.
@selemanimartin1081
@selemanimartin1081 3 года назад
Yesu ni njia kwa aliyotumwa Kwao (Yale makabila12 ya Bani Israel)
@khamismohd8616
@khamismohd8616 3 года назад
Allah atulinde na msheikh wetu ukiwemo na ww sheikh wetu sheikh Habib Mazinge
@Atb300
@Atb300 3 года назад
Mashallah sheikh wetu tunakupenda Kwa ajili ya Allah🙏
@jonasyohana3258
@jonasyohana3258 3 года назад
Achem unafik....kaz yenu uchawi na uganga
@subiramohd1895
@subiramohd1895 3 года назад
@@jonasyohana3258 hahahaaa uchawi wanafanya wachungaji sema kwelii
@ndayisengaamissi6102
@ndayisengaamissi6102 9 месяцев назад
Allah aendelee kukupa Umri mrefu Mwalimu Mazingi❤
@yvonnenduwayo7303
@yvonnenduwayo7303 3 года назад
Karibu saaana kwetu Burundi allah awawekeye wepesi
@infinitiesforlife7979
@infinitiesforlife7979 3 года назад
Amina allah awajaalie kila lilojema wenu katika iman abdallah juma nikiwa arusha
@mwanahalimamwachili9679
@mwanahalimamwachili9679 3 года назад
Àamiin Ya Rabby Àamiin, Allah Awape Umri Ma Sheikh, Mzidi Kuelimisha.
@adamsaidi6461
@adamsaidi6461 3 года назад
Amiin sheikh
@mwanahalimamwachili9679
@mwanahalimamwachili9679 3 года назад
@@adamsaidi6461 Àamiin.
@rwagasoredieudonne6387
@rwagasoredieudonne6387 3 года назад
Eti Issa alikuwa maskini eti ukifa hakuna atakae tetea dini ndugu huo ni upuuzi .Mungu akusamehe
@ZulfahIbrah
@ZulfahIbrah 10 месяцев назад
Mashallah am learning more about my religion Islam Alhamdulillah. Jazakallah Khair
@ramadbanihamis1055
@ramadbanihamis1055 3 года назад
Mwenyezi mungu akutangulie sheikh wetu mungu awe pamoja nawe akujaalie uende salama akujaalie pia urudy salama sheikheh salama na amani iwe nawe
@binthkhamisi1097
@binthkhamisi1097 3 года назад
Allah akufanye wepes kwa dini ya kislm naurud salam...Ameen on sha Allah
@abzinho10karim25
@abzinho10karim25 3 года назад
اجعل الله رحلتك مثمرة وناجحة. بارك الله فيك وعائلتك يا أمين.
@muswadiqmkufya1519
@muswadiqmkufya1519 25 дней назад
Mungu akupe umri mrefu shekhe wetu tupate matunda yako
@ashiraally527
@ashiraally527 3 года назад
Inshallah shehhe utaenda salama na utajibu kwa usahihi na utarudi salama inshallah
@vuaiabdallah3720
@vuaiabdallah3720 3 года назад
Ustadh mazinge upo sw Allah akujaalie uendako
@abduljuma6219
@abduljuma6219 3 года назад
P
@innocentnimubona5519
@innocentnimubona5519 3 года назад
Karibu kwetu Burundi ALLAH Akujaliyeni inshallah
@erickkirimimutwiri5469
@erickkirimimutwiri5469 3 года назад
Sii vyema jinsi alivyoharibu Nairobi ,kenya ni nchi nzuri allah akusamehe shekeih
@yahyakiomy1735
@yahyakiomy1735 3 года назад
Shekhe kalibu nn Nairobi?
@selemanimartin1081
@selemanimartin1081 3 года назад
Kaharibu nini huko Nairobi? Angalia usimsingizie utapata dhambi!
@meandme3437
@meandme3437 Год назад
Yarabi akuzidishie umri na afya njema. I love u soo much sheikh wetu. Allah akuhifadhi hifadhi ya mitume.
@kanyangezafaraniddi6518
@kanyangezafaraniddi6518 3 года назад
Karibu kwetu 🇧🇮ALLAH akuhifadhi from🇨🇦
@Masta_jay007
@Masta_jay007 3 года назад
Naam Allah amfikishe nyumbani 🇧🇮 Salama inshallah
@falumefilme8143
@falumefilme8143 3 года назад
@@Masta_jay007 naam shukuru shukuru allah
@suleimansaleh5123
@suleimansaleh5123 3 года назад
Nakuombea kila la kheri akhii Mazinge ,Allah akulinde na balaa zote za dunia na afanye kazi yako ya da'awa iwe nyepesi uende na urudi salama aammin nakutakia kila la kheri from Mombasa
@saudamachocho4815
@saudamachocho4815 3 года назад
Mbona hatuna Suleiman Mazinge wa Kenya mwenye tabia nzuri kama Suleiman Mazinge wa TZ. Nakupenda sana MY DEAR. Allah akuhifadhi akupe safari njema.
@einsteinfromeastern2704
@einsteinfromeastern2704 3 года назад
Nimezaliwa ukristo nitafia ukristo".kamwe sijawahi kutukana Imani ya mtu Wala sijawai mkanya mtu juu ya Imani yake,ila sitovumilia yeyote mwenye kudharau Imani ya mwwnzake. Nipo kwa mfano wake aliye ndani yake kwa uwezo wake kanifanya niwe kama yeye na kamwe sitoshindana naye.
@angelalexalex4386
@angelalexalex4386 3 года назад
Hzo aya amesoma kwenye bible gain??? Mbna hazjaandkwa hvo jmn,,yesu ni bwana na mwokoz wa maisha yangu
@Sheba4651
@Sheba4651 Год назад
Waefeso 6:5
@jacobmakono6983
@jacobmakono6983 3 года назад
Hilo ulilocomment ndo haswa!!Mungu anakupenda..Msalaba ndio njia pekee ya kwenda mbinguni.Yesu Kristo ndiye njia kweli na uzima!
@rashidkalimbo2451
@rashidkalimbo2451 3 года назад
Subiri ukufe ndio utajua duniani hatukuumbwa bure bali Tumuabudu Mwenyezi Mungu...
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 Год назад
msalaba ni njia ya mbinguni kasema nani lete aya usiporoje salaba ni nembo ya maangamizi
@mwana-dodomamedia9111
@mwana-dodomamedia9111 Год назад
Tatizo hamumfuati Yesu. Unaweza kuniambia kipindi cha Yesu, nani alikuwa mpigaji wa kinanda, nani alikuwa padri, nani alikuwa mwana kwaya na alisalisha lini hizo misa!? Usipoweka mazowea uliyonayo kwenye imani nakuusoma vizuri uislamu ukauelewa, sidhani km utarudi tena kwenye ukristo
@AbdoulIsmail-hf5id
@AbdoulIsmail-hf5id 10 месяцев назад
Kua mwislam
@firdausfofofirdausfirdaus4040
@firdausfofofirdausfirdaus4040 3 года назад
Allah sw awajalie pepo ya juu ya firdaus
@Fidia-ie3fi
@Fidia-ie3fi 4 месяца назад
Allah akufanyie wepesi mère wakiisjamu insha'allah❤
@mrashisuweid940
@mrashisuweid940 3 года назад
Mungu atakijaalia uwende salama urudi salama akujaalie uwashinde na Mungu akupe wepesi kila utakaloulizwa ulijibu kwa uwezo wa Allah tuko pamoja kwa ajili ya Allah tunakupenda sana kwa ajili ya Allah
@ramadhanihudhaifani4376
@ramadhanihudhaifani4376 3 года назад
Hongera sana kwa uteuzi huo,kaka mkubwa.Allah Akufanyie wepesi huko uendako ili uweze kutuwakilisha vema,Amiin! Ni imani yangu kuwa utaenda kutuwakilisha kwa uzuri kabsa kwa uwezo wa Allah,Sheikh. Allha Awe pamoja nawe na sie pia,Amiin!!
@husseinomary7977
@husseinomary7977 3 года назад
othman mazinge steringi wa makafirii mungu akueke ishaaallaahh
@egbertsambujune4680
@egbertsambujune4680 3 года назад
Mungu akupe afya njema
@salimaomar9896
@salimaomar9896 2 года назад
Allah Akuifadhi kwakila hatuwa ALLAHUMMA Amiin
@mfungonishauri4234
@mfungonishauri4234 11 месяцев назад
Wallahi Mazinge anaejuwa kudeal na wanaoipinga dini yetu
@bellbell9294
@bellbell9294 3 года назад
Shukraan Sana sheikh wetu Allah akupe jannat firdaus Aamiin
@zayanaduduna1405
@zayanaduduna1405 3 года назад
TUNAKUKARIBISHA BURUNDI 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮❤️❤️❤️ALLAH AKUWEKEYE WEPESI UENDE KWAUSALAMA UFIKE KWAUSALAMA TUOMBEYE DUA IWE INCHI YA AMANI
@abdirahmanomarofficial3977
@abdirahmanomarofficial3977 2 года назад
Asalam Aleikum....Shk kishki na ustadh mazinge....hayaaaka Allah...tunakuombea wew na mandugu Wetu wengine...walio tayari kuokoa dini na kitabu an mtume wa Allah...napenda Mungu awape thawabu nzito kwenye hii dunia na kesho akhira...Ameen....
@alidullah207
@alidullah207 3 года назад
Amen.. Allah awafanyie wepesi.. 🙏🙏
@makariospeter9447
@makariospeter9447 3 года назад
YESU ndiye mwokozi. Atarudi kuwahukumu wazima na wafu. Mwamini Leo uepuke jehanam.
@christophertarimo5047
@christophertarimo5047 3 года назад
Tena asome Yohana:4:1-16
@mulikatvonleni5339
@mulikatvonleni5339 3 года назад
Ahahahahahaaa
@mulikatvonleni5339
@mulikatvonleni5339 3 года назад
Ahahahahahaaa
@upendotarimo9324
@upendotarimo9324 3 года назад
Kabisa
@mulikatvonleni5339
@mulikatvonleni5339 3 года назад
Mtachomeka Sanaa nyie
@fatumasuleymanashurambinda6880
@fatumasuleymanashurambinda6880 3 года назад
الله وحده لا شريك له له الملك وله الحمد وهو على كل شيء قدير اللهم صل وسلم على نبينا محمد وعلى آله وصحبه أجمعين وسلم تسليما كثيرا إلى يوم الدين
@accramasuu_tv
@accramasuu_tv 3 года назад
Maashallah safari ya kheri ya Ustaadh...
@NadiaJuma-en8sr
@NadiaJuma-en8sr 11 месяцев назад
Karibu kwetu sheikh Allah akufikishe Salama inshaAllah
@jamilamanariyojamila1487
@jamilamanariyojamila1487 3 года назад
Allah Akupeumli murefu Nakupend kwaajil ya Allah
@mussakisoma4369
@mussakisoma4369 3 года назад
ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-SJgiIJFwhiU.html
@jeanineaudreyassi7390
@jeanineaudreyassi7390 3 года назад
#Prophètekacouphilippe Www.philippekacou.org 👆👆👆👆👆👆👆👆👆 18 Vema! Sasa ninataka kuzungumza juu ya sala, Ubatizo na kumaliza. Nimeona ndugu wakitoa pepo, wakipeleka kwa makanisa ya Katoliki, ya Kiprotestanti, ya Kiinjili na ya Wabranhaministi. Hii sio mbaya, lakini badala yake watume kwa kuzimu na maeneo ya ukame. Na hiyo ni kwa sababu ya watoto wa Mungu ambao bado wakifungwa katika makanisa hayo. Na unapoomba, usimwombe Mungu wa kihistoria bali Mungu aliye hai, Mungu wa nabii Kacou Philippe kwa sababu, Yeye ndiye Mungu wa walio hai na sio Mungu wa wafu. Ikiwa tutamwomba Mungu wa Eliya, wa Danieli, lazima tuthibitishe kuwa Yeye ndiye Mungu aliye hai wa wakati wetu, hiyo ni kusema Mungu wa nabii Kacou Philippe. Kila kitu lazima kiwe na alama ya Ujumbe wa wakati wetu: sala, nyimbo ... sio za Yesu wa Nazareti kwa sababu Yesu wa Nazareti anayejibu leo ni pepo. Alikuwa Yesu wa Nazareti katika mwili wa kibinadamu miaka 2000 iliyopita. Hii ndio sanamu na sanamu ambazo hazihami! Na miungu ya makanisa haya iko katika Nazareti na wote huitwa Yesu Kristo wa Nazareti. Unaona? Lakini, yeye ndiye Mungu aliye hai leo, Mungu wa wakati wetu, Mungu wa nabii Kacou Philippe.
@tumajunior6080
@tumajunior6080 3 года назад
Allah akupe wepesi wakujibu maswali na atupe ushindi inshaallah awahidhi maadui zako 🤲🤲🤲yarabby takabal dua
@kabarezephanie3573
@kabarezephanie3573 3 года назад
Wasilamu wanahabudu Shetani bila kujuwa , kama hawutoki ndani ya dini utaenda motoni sikiliza roho wa mungu anae ambia kanisa
@radhiaomary5591
@radhiaomary5591 3 года назад
Maa shaa Allah tabaraka'rahman Allah akuhifadhini sheikh zetu awape maisha marefu na husun'lkhatima
@husnaodhiambo6848
@husnaodhiambo6848 3 года назад
Mashallah Allah akufanyie wepesi safari yako Inshallah uende salama urudi salama Inshallah
@mchopaluka4319
@mchopaluka4319 3 года назад
Muda c mrefu Bwana Yesu atajidhihirisha tu
@ibrahimsaeed8093
@ibrahimsaeed8093 3 года назад
Hehe mngoje saana atakuja kuwakana
@kasindejonathan978
@kasindejonathan978 3 года назад
Tena amwijie huyuhuyu mazingeli akiwa kwenye mdahalo wake amuonyeshe yeye ndio uzima wa milele na kujugamba kutaisha ghafla
@samutykuntathebantu8402
@samutykuntathebantu8402 3 года назад
Yesu Kristo ni Mwana wa Mungu wetu Elohim Amina
@mulikatvonleni5339
@mulikatvonleni5339 3 года назад
Ww pia nimoja ya kuni za motoni
@samutykuntathebantu8402
@samutykuntathebantu8402 3 года назад
@@mulikatvonleni5339 we Mungu? pereka ushoga msikitini mohammed yupo jehannamu...
@mulikatvonleni5339
@mulikatvonleni5339 3 года назад
@@samutykuntathebantu8402 inalilah wa inalilah lajuini ibiris wewe nakizazi chako namungu akulaani duniani Na akhera walah
@samutykuntathebantu8402
@samutykuntathebantu8402 3 года назад
@@mulikatvonleni5339 Mungu wetu sio allah wamajini zenu. Aliambia abraham Atakaye mbariki arabarikiwa mara dufu na atakaye nilani alaaniwe mara dufu...
@samutykuntathebantu8402
@samutykuntathebantu8402 3 года назад
@@mulikatvonleni5339 Haunistui na hizo kelele zenyu Mungu wangu ni mkuy haitaji kuskiza ushenzi wako
@fatmasalim8293
@fatmasalim8293 3 года назад
Mungu atakupa umri na barak yarab ameen yarab ameen twakupenda sana shekh mazinge 🥰🥰🥰🥰🥰🇴🇲🌹
@naimamunishi1241
@naimamunishi1241 3 года назад
Masha Allah sheikh wngu nakuombea kheir na nguvu teleeeee
@jasminjuma6390
@jasminjuma6390 3 года назад
Mashaa allah tabarakallah jazzakallahu kher
@HauratySaid-cf1ct
@HauratySaid-cf1ct 11 месяцев назад
Allah akulinde na atujaalie mwisho mwema atupunguzie adhabu
Далее
Oh No! My Doll Fell In The Dirt🤧💩
00:17
Просмотров 6 млн
拉了好大一坨#斗罗大陆#唐三小舞#小丑
00:11
053 HABIB MAZINGE | JE SACRAMENTI NI MWILI WA YESU 2/2
58:24
OGOPA SIKU YA KURUDISHWA AKHERA//SHEIKH OTHMAN MAALIM
50:55