Тёмный

Holy Trinity Studio - Kisima Cha Uzima ( Official Music Video ) 

HOLY TRINITY STUDIOS
Подписаться 151 тыс.
Просмотров 68 тыс.
50% 1

DVD SASA ZINAPATIKANA. KWA MAWASILIANO PIGA NAMBA 0744 523 255 AU 0752 932 119. KWA WATU WA KIGOMA DVD ZINAPATIKANA JIMBONI KWENYE MADUKA YA UWANJA WA SINODI, KWENYE DUKA LA PAROKIA NA KWENYE STATIONARY YA JANE

Опубликовано:

 

26 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 37   
@dianadeo9477
@dianadeo9477 2 года назад
Hakika Yesu ni kisima cha uzima barikiwa sana
@nyaitaracharles8374
@nyaitaracharles8374 4 года назад
Nafarijika na nyimbo zenu natamani kurudi kua pamoja nanyi Ila ndio haiwezekani.tupo pamoja kiroho
@salomemhalule5213
@salomemhalule5213 Год назад
Kazi nzuri sana
@cyrilologe
@cyrilologe 4 года назад
Kongole zangu kwenu wapenzi..mzidi kutubariki kwa Njia ya nyimbo zenye upako
@smnakachindu2952
@smnakachindu2952 4 года назад
Hongereni sana wanakwaya wenzangu kutoka Kigango cha Mwandiga,Mungu awabariki sana mko vizuri
@franciscowwilliums9468
@franciscowwilliums9468 4 года назад
Hongereni wapendwa
@marysemufali7011
@marysemufali7011 6 лет назад
Kazi nzuri sana My good Friend mUTONGORE.... kEEP IT UP NA mUNGU AKUBARIKI..THE QUALITY IS OUTSTANDING
@frankmwalembe332
@frankmwalembe332 4 года назад
Nilipata CD Ya Nyimbo Hizi Lakini CD Hiyo Sinayo Tena,Ilipotea Naweza Kuipataje!?Kuna Nyimbo Za Mtunzi Dioniz Kipanya,Naziitaji Sana,.Naomba Msaada
@marysemufali7011
@marysemufali7011 6 лет назад
WIMBO UNANIGUSA HADI RAHA.....MAJI YA UZIMA YANATIRIRKA.
@norberttwamba8467
@norberttwamba8467 6 лет назад
The best catholic song of the year.
@andrewrichard7013
@andrewrichard7013 6 лет назад
Mungu azidi kuwapa nguvu, sauti nzur hongeren wanakwaya Big up sana rajo production
@davidamundala9720
@davidamundala9720 6 лет назад
Asante sana na Bwana Yezu Kama Kisima cha Uzima. Ni nzuri sana kabisa. Basi mupewe wote baraka ya Mungu wetu, pia akikishe utume wenu. P.alphonse Marie.
@mariarogastiano5781
@mariarogastiano5781 5 лет назад
Mapendo kweli mko juu
@florencesocky675
@florencesocky675 6 лет назад
Mko vizuri mnooo hongereni sana
@siliviawabera8665
@siliviawabera8665 5 лет назад
kazi nzuri hongereni sana
@lucasngaga2274
@lucasngaga2274 6 лет назад
Hongereni sana wanakwaya wimbo mzuri sana
@eugendominick9129
@eugendominick9129 6 лет назад
mlakoze Mi niwa Kiganza ila nipo mwanza KAZI nzuri wanyumbani
@hasinatilafaeli616
@hasinatilafaeli616 5 лет назад
Mis you kigoma kwetu sanaaaa
@martinnganga
@martinnganga 6 лет назад
Saaafi sana. hii midundo nyinyi hutumia ni ya kinanda gani
@marysemufali7011
@marysemufali7011 6 лет назад
MY DEAR HANS GOOD WORK ASEE,,,THE QUALITY OF THIS VIDEO IS GOOD..JMANI I RECOMMEND KAMA KUNA KWAYA INATAKA HUDUMA ZA SHOOTING TAFUTA HOLY TRINITY
@dottomashibe1840
@dottomashibe1840 6 лет назад
big up sana nimewakubali mko vizuri
@robertshiwa6497
@robertshiwa6497 6 лет назад
Hongereni Mwandiga kwaya
@teilom.lwandeaj1947
@teilom.lwandeaj1947 6 лет назад
Kazi nzry sanaaaaaa!
@paelaifilm
@paelaifilm 6 лет назад
safi sana hongereni
@annakuba3139
@annakuba3139 5 лет назад
Jamani hongera kwa mtunzi na wakwaya pia mmefanya vizuri,copy ya mziki huu nitaipataje?
@ambrosefulgence16
@ambrosefulgence16 6 лет назад
weaken na kichapo cha shetani
@rafaelkapi5755
@rafaelkapi5755 6 лет назад
Mimi Niko Nairobi naweza kuipata
@kaigamutongore8791
@kaigamutongore8791 6 лет назад
Rafael Kapi yes unaweza kupata
@rafaelkapi5755
@rafaelkapi5755 6 лет назад
Nitaipata vipi
@rafaelkapi5755
@rafaelkapi5755 6 лет назад
Kama inawezekana unitumie
@kaigamutongore8791
@kaigamutongore8791 6 лет назад
Rafael Kapi unaweza ipata ukiilipia. Pia unipatie address yako jinsi nitakavyokupatia. DvD ni tsh elfu tano ya kitanzania. Plus garama ya kutumia
@rafaelkapi5755
@rafaelkapi5755 6 лет назад
Ok nitakutumia Tsh 15000
Далее
Kisima Ca Uzima - Nisamehe
7:44
Просмотров 3,7 тыс.
KISIMA CHA WOKOVU
7:48
Просмотров 381 тыс.
Holy Trinity Studio - Hekima ( Official Music Video )
6:07
Kisima Ca Uzima - Ma Vie
6:33
Просмотров 2,5 тыс.