1. Pizza Dough/ mkate wa pizza
maji ya vuguvugu 2 cups
hamira 1tbsp
sukari 3tbsp
chumvi 1/4tbsp
butter 1tbsp
2. Pizza Sauce
vitunguu maji 1
cooking paste 1tsp
nyanya 4
oregano 1tbsp
garam masala 1/4tsp
chumvi 1/4tsp
3. Toppings
Nyama ya kusaga 1/2
uyoga uyoga kiasi
maini 1/4
nyama ya kuku ya kusaga 1/4
Mozzarella cheese kiasi unapenda
olive rings
bacon
sausages
nyanya
kitunguu
hoho
NB: kwenye toppings tumia zozote ulizonazo na kiwango unachopenda. unawesa kuwa nazo chache tu au nyingi. kadri unavyopenda.
ninatumaini utaenjoy recipe hii.
Instagram utanipata kwa jina @malkiafoods
tiktok @malkiafoods
5 сен 2024