Mike ame confirm our Dem n black beauty,wenye wivu iwanyonge😂Dem i really love your job keep going mamaa🎉Obina Mungu akubariki sana kwa kumshika Dem wetu mkono❤naombeni likes basi nisikie raha pia mm😂
Alafu kamamaa please🙏wachana na make ups, wewe ni mali safi, GOD gave you all,ukona fura poa,shape smart, yani, you are natural beautiful, ni mwili tu ikuje yenyewe na hiyo make up beauty itajitokeza yenyewe trust me, hizo pesa za make-up, kuwa unashuka nywele after one or two weeks unashuka, nunua nguo na viatu smart, jikeep clean and smart always, baki na color yako, Ukizoesha uso wako make ups itafika time hutoweza kutoka nje bila makeups, adi utazeeka haraka, just keep natural beautiful and smart, hata ukienda sherehee wacha wakuzoee hivo, everyone knows you, just be you ❤❤❤❤I love you take care Na kama nimekukosea mahali am sorry🙏
Mimi kama mother in love nataka Andrew apewe job kubwa na likes ,He is amazing doing great. Pls obbina tuletee show na director Andrew too. Big up My son obbina. Stay blessed always.
Obina is really a great blessings, support and mentor into the life of this girl.....from when she started doing content with Obinna she has grown,,,we love you❤
Ilove the way dem wa Facebook anacheza na watu with their boundaries na heshima zao!imagine hawezi choma! hata akichoma haunguzi! anaebua kabla haijachomeka😂😂
Hallo MISS Ombea. I think when we are on RU-vid we as fans should give you another name. Tell OBINNA to name the weekly show as OMBEA SHOW. WHO ELSE AGREES WITH ME
And we made to 100k sub up 🎉🎉🎉🎉🎉 congratulations our girl .. keep up the positivity and working smart......you going far 💪💪💪....❤️🤗..am glad to be among the 100k subs..
A man's gift maketh room for him, and bringeth him before great men. Kudos DMF may God protect your star and cover you with the blood of his Son Jesus Christ Amen❤🎉 Proverbs 18:16 KJV
Aky dem wa face book we love you so much tuko hapa kwa hajili yako tutakusaport our girl pia obina you are doing good job to our sister my god bless you obina