Тёмный

HOTUBA YA KWANZA YA RAIS MPYA TEC BAADA YA KUCHAGULIWA,ASISITIZA HAYA... 

KANISA KATOLIKI TANZANIA TEC
Подписаться 110 тыс.
Просмотров 15 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

28 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 26   
@romanambelle6356
@romanambelle6356 3 месяца назад
Mungu azidi kuwapa hekima na busara ktk kuliongoza taifa lake. Amina
@MariaJtvine
@MariaJtvine 3 месяца назад
Amina
@vicentclement
@vicentclement 3 месяца назад
pongezi nyingi kwake my former Lecturer SAUT Arusha 2021, Baba Askofu Wolfang Pisa Mungu akutangulie saana
@PeterJohn-l5r
@PeterJohn-l5r 3 месяца назад
Nimefurahi sana mungu awabariki viongozi wetu
@kibosho8228
@kibosho8228 3 месяца назад
Mungu ni mwema kila wakati..awatangulie viongozi Katka utume wao
@williamboniphace5887
@williamboniphace5887 3 месяца назад
Mungu awatangulie viongozi wetu🙏🙏
@josephmasenga3517
@josephmasenga3517 3 месяца назад
Mungu awatangulie katika utume mwema.
@piusmapunda5900
@piusmapunda5900 3 месяца назад
Yesu Kristo! Uwape UJASIRI mwingi hawa wanafunzi wako wakaitende kazi kwa bidii nyingi wakiongozwa na roho wako mtakatifu. Amina
@richardbamanyi-gu5jp
@richardbamanyi-gu5jp 3 месяца назад
mungu akubariki
@BoniphaceChaboa-xe7rc
@BoniphaceChaboa-xe7rc 3 месяца назад
Mungu mwenyezi awaongoze katika magum yatakayo wakumba katika utume huu akayafanye kuwa mapesi kiroho
@Gwanchele
@Gwanchele 3 месяца назад
Mungu akubariki sana Baba na Viogozi wengine wote kwenye safu yako mpya uogozi
@francismigongwa4146
@francismigongwa4146 3 месяца назад
Atukuzwe Mungu milele
@saarungu3564
@saarungu3564 3 месяца назад
Hongera sana baba askofu Pizza kuchaguliwa rais mpya wa Baraza la maaskofu.
@deogratiuspima9896
@deogratiuspima9896 3 месяца назад
Mungu awatangulie katika utume.
@VicentMauka
@VicentMauka 3 месяца назад
Nawatakieni utume mwema MUNGU wetu mwema awazidishie hekima katika kuliongoza Taifa lake ÀMEÑ ÀMEÑ ÀMEÑ 🙏
@ceciliamagalabajimmy4391
@ceciliamagalabajimmy4391 3 месяца назад
Roho Mtakatifu atawaongoza ktk kutekeleza majukumu yenu. Tupo sisi kondoo wa malisho ya Bwana mtuchunge, mtuombee nasi tutawaombea,ili Mungu awape afya njema ya roho na mwili.
@BoayHotay
@BoayHotay 3 месяца назад
Baba Askofu Walfgang Pisa Mungu akulinde , akuongezee ,simamia ukweli na utetee imani
@nicholauschilemba9522
@nicholauschilemba9522 3 месяца назад
Asante Mungu kwa zawadi hii ya ukuhani Mungu akawawaongoze vema
@lucimwica647
@lucimwica647 3 месяца назад
Mungu akuongoze katika utume wako, Mungu akubariki Baba
@augustinopanga9622
@augustinopanga9622 3 месяца назад
HAKIKA MUNGU NI MWEMA . BABA ASKOFU MUNGU AZIDI KUKUINUA NA KUKUBARIKI KWA BARAKA ZOTE.
@williamboniphace5887
@williamboniphace5887 3 месяца назад
Mungu awatangulie viongozi wetu🙏🙏
@rehemamwaisumo6261
@rehemamwaisumo6261 3 месяца назад
Mungu akuongoze Baba katika Utumishi wako huo mpya
@CleophaceSotera
@CleophaceSotera 3 месяца назад
Mungu akujalie utumikie kanisa la mungu kwa nafasi uliyopewa
@neemataris3273
@neemataris3273 3 месяца назад
Mwenyezi Mungu akusimamie Baba katika utume wako
@deogratiusjulius4832
@deogratiusjulius4832 3 месяца назад
Mungu awatangulie katika utume huo
@workmantiktok
@workmantiktok 3 месяца назад
hawa ndio wanachangia kuvunjika kwa amani kwenye mataifa ya Africa
Далее
"Когти льва" Анатолий МАЛЕЦ
53:01