Daah aisee naangalia hii muvie had machozi yanayotok hapa maana hata mimi ni dadah wa kazi naomba sana MUNGU atusaidie sis wadada wa kazi maana sio kwamba tunapenda ila daah.Naomba kila dada wa kazi anayesoma hii comment MUNGU amsaidie apate mume bora na maisha mazuri.
Hila Mke kama Huyu Candy namtwanga makofi.... Haya kwa Wale ambao mnataka Tiba mbadala mtembelee account yangu, pia ninazo dawa za Mapenzi na Dawa za Mvuto wa mapenzi na biashara
@@busatitvno bro a'm seriously Wala sijambo langu mim niuhalisiya wangu nipo ready kufika sehem hiyo hata iwe naumbali kuasi gani so please let me know when they're 🙏🙏🤦🤦
Daaaaah😢😢😢hadi nimedodoka chozi... Jamani tuwe na heshima kwa kila mtu yule... Mdogo, mkubwa, maskini, tajiri..... Heshima tafadhali... You never know the plan of God 🙏
Mungu akubariki sana dada wa kaz Yan umetisha sana zuena wangu classmate wangu unajua ad kwigiza vizur hivo Wana mpuguso secondary oyeeeeeeeeee ❤❤❤ nakupenda sana best tukuyu Moja ushirika Moja move Kari sanaaaaaaaaa❤❤
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂amjaanza kuomba laiki.big up bonge la chupa wala auisachi kwenye cm ukiwasha data inakujatu yenyewe ❤❤❤❤❤ila uyo sister beki3 anayo mzigo😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮kama pos Queen 👑 😊😊😊😊
Mimi nimechoka adi na marafiki kwenye WhatsApp, Facebook na ata tiktok so RU-vid is the best💃💃 for now team strong wap likes jameni joto n kali 🙆♀️🙆♀️
😢Mh! Dhambi kubwa na VIBAYA KUMUOMBA binadamu MWENZIO hv km alivyosema huyu dada kumwambia dada wa KAZI kua hatokuja kuionja ndoa km yeye ndo MUNGU! Japo ni KUINGIZA lkn kihaliaia tucje fanya hv mana wapo wanaoiga kupitia movie.