Na subiri ya house girl 8 ndio nilale wakusema watasema tu kama hamuna nyota 🌟🌟 hamutapewa like like zote nitapewa mimi na hamutanifanya chochote lakini na wapenda😂😂😂
Movie nzuri ila hawa jamaa mnawapaga mda mrefu wa kuongea kama family bora ila hawan point kubwa ni kweli tunajifunza famiky bora lakini Point nzuri na uhalisia hawana
😂😂😂😂watu wana makasiriko wakati ni muv na zote ni content zao wameandaa wanajua NN wamekiandaa lakn ni vizuri pia kutoa maoni ila makasiriko wapunguze😂😂😂@@sommohd7903
Hii part alio pleay zuu tow murch kwl uigizaji ni kipaji ingekuwa Mimi mhmhmh cjui what happen! God move mko Bert Kila mtu ana play vizuri kwanafasi yake
Waoo safi San busat tv unakazi mbaya np mm nimewai tuna waif za Bure za warabu Aya wale mshagala wezangu tujuwane bas wap maeno kiramba mchuzi kifuu unacho walla kaogea bas maji ya poa 😂😂
Mimi niambiwe nitoe ushauri kwenye hii tamthilia nitaomba kilambe na mke wake wasiwe wanachukua mda mrefu hivi pia kuwa mme bora au mke sio mpaka mjifanye machizi