Nmechelewa na dadika 2 jamani team hammaha tujuane tukisonga hunger zuu unakua mmoja wao na funzo kubwa sanaa na upande wa House manager maua yko mamaaa🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Mi huyu candy kila siku na comment hapa duh! Ananikela jmn mh! Japokuwa ni movie ila dah! Ananichefua,,, sijajua kama Kuna watu wenye tabia kama ya candy Dunia hii,, kama wapo wanamoto wao mbinguni
Ni vile ni movie tu Yaan ingekuwa ile siku nachomwa na pas tu ningelianzisha hapo hapo ningempa kichapo maana watu wa hivi hawanaga nguvu ya kupigana wanapewa tu mdomo ila kupigana 0