Amini yaan nyie wa2 mutafka mbali mahaana ndo series yenu yakwanza kama sijakosea hila Muna mashabiki namii mmoja wao.. Mungu awatangulie kati ya kazi zenu hiiii mupewe mauwa yenu jamen nawapenda buree ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ toka nchi ya Malawi 🇲🇼🇲🇼🇲🇼🇲🇼🇲🇼🇲🇼🇲🇼pga like yako Kama tuko pamoja Na nmekua wakwanza kutoa comment hpa..
Pamoja sanaa npo na nyinyi Na Rk nawafuatilia sanaa kazi zenu ombi langu kwenu musijifanye ma underground mushafka kwenye game kazen boot zenu Amini malengo yenu mutafanikisha naa musichelewwshe kubandika ki2 chochote ambacho mutaanda kwajili Yama followers wenu Mungu awatangulie npo Malawi 🇲🇼🇲🇼🇲🇼 hla mi ni ndgu yenu toka mbeya🙏🙏🙏
Nimeongeza ingine Comment jamani KAI minaona sasa Akili imeanza kumukaaa maana maswali anayo wauliza mashemegi zake yatamupa ukweli wote kama wamemudanganya team KAI oyeee😅
Jmn waomba like mnaboa like ziwapeleke wap??Wewe comment mtu akipenda Comment yako atalike,,kila mtu anaomba like Duuh mnaboa hata waigizaji hawajaomba,,,,
Kai na zuu pamoja na baba mkwe na bibi yake zuu na famiria ya 2 nawapenda xana na ninawaombea kwa mung abariki kaz zenu zote mmeweza xana ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Nmecehelewa na kika 8 wadau naomba likes ata 10 tu vile nlikua naisubiria kwa hamu ii episode aky Kai apo kwa zuu umechagu ndipo....bamkwe pongezi kwako pia maana umechangia pakubwa zuu pongezi kwako pia umeonyesha mfano mkubwa saan kwa hii film maua yenu banaaaa🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤
😂😂😂😂😂😂Kaz ni motooo haya wa vijola Hoyyiieeeeeeee nkam anatak kumsuta candy huyu w vijola ❤❤❤❤❤big up xn timu kai mmbo ni fire bin motooo endleeni kutufunza 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Candy punguza vitisho nani kakwambia team kadama twatishika hatutishiki na lolote kubari usikubari mwaenda kuchangia kitu na dada wakazi 😂😂😂😂😂😂😂❤❤❤🇧🇮🇧🇮🇧🇮