Тёмный

HOUSE GIRL EP 19 || love story💞💕 

Подписаться
Просмотров 178 тыс.
% 5 484

#bongomovie

Кино

Опубликовано:

 

22 июн 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 988   
@busatitv
@busatitv 14 дней назад
*JE UPENDI CHAT ILA UNATAMANI KUPATA LINKS KWA GROUP?* Usijali sasa tumekusaidia njia Mbadala ya Wewe kupata Links kwa wakati bila kupata usumbufu wa Chat 1. Tuna Group maalum la links. Group hili la Links tumelifunga ni admin pekee ndio utuma links za episode mpya hivyo hata ukiwa hauupo online unaipata link kwa wakati. Bonyeza maandishi ya blue kujiunga group letu la Links pekee. Pia tunatuma na links zetu za movie nyingine 👇🏻👇🏻 chat.whatsapp.com/Jf3PLbJkKbTLEiNFD1aJ3o Lakini pia tuna WhatsApp Channel... Hii itakusaidia zaidi kupata habari zetu zoote bila usumbufu wa aina yoyote. Na hakuna Mtu ambaye anaweza kukuona kama ume follow WhatsApp channel yetu 👇🏻👇🏻 whatsapp.com/channel/0029VaEXYzkEVccPBP347F2c *KARIBU BUSATI TV BURUDANI BILA KIKOMO*
@valerianedward6026
@valerianedward6026 13 дней назад
@@busatitv VECK huyu kaka
@tausimct
@tausimct 18 дней назад
Naombeni like 20 tu tujuanea tunaoa kesha yotubu 😂😮asanteni ndugu zangu leo mie ndo ninae ongoza kwa like zenu 🎉
@LidyaMathias
@LidyaMathias 17 дней назад
Mimi naomba tujuane
@user-ig4ot4lm1g
@user-ig4ot4lm1g 16 дней назад
😂😂😂
@user-yg3wq3rt6s
@user-yg3wq3rt6s 16 дней назад
Tupo jamni
@zeynab7617
@zeynab7617 18 дней назад
Tangu niaze kuangalia episode ya kwanza Hadi Leo sijawahi pata like hata moja Mimi pia Leo naomba like 😢
@busatitv
@busatitv 18 дней назад
😃
@zeynab7617
@zeynab7617 18 дней назад
@@busatitv wacheka kweli mm nitacomment mbele ila sipati like ata moja ,aliyecomment nyuma yangu atapata like kama zote
@user-xr8qv9mw9v
@user-xr8qv9mw9v 17 дней назад
Pole
@azizawaziri9190
@azizawaziri9190 17 дней назад
Aki masozi na mwenzie wanaend kuwa wapenzi hahaahahahhah
@zeynab7617
@zeynab7617 17 дней назад
@@user-xr8qv9mw9v Asante sana
@JacklineNicolaus
@JacklineNicolaus 17 дней назад
Mm Toka nianze sijawahi pata like hata Moja naombeni ha kumi tuu
@Enocky-pv5ui
@Enocky-pv5ui 18 дней назад
Leo nimekupa 10 naomba like zangu 🎉🎉🎉
@damasanita
@damasanita 18 дней назад
nimewahi leo jamanii,..😢😢likes hata mbili😅😅😅
@MaryElizaElizabeth
@MaryElizaElizabeth 18 дней назад
❤❤❤❤❤❤❤❤❤😂😂😂😂😂😂
@user-qq1kt3hg1l
@user-qq1kt3hg1l 18 дней назад
Usiku huu unaomba likes zitakupa nn
@user-pn9kx9ps3f
@user-pn9kx9ps3f 15 дней назад
Mbona namba 20 hatuyioni
@Rizikialiamechannel763
@Rizikialiamechannel763 18 дней назад
Nyie kujeni nipeni like mkitaka mctake sio za kwangu kaajili ya Kai na zuu from Oman 🇴🇲 team felus taali😂😂😂
@user-sf3ei6ut9s
@user-sf3ei6ut9s 18 дней назад
Tushafika😅😅😅😅
@Rizikialiamechannel763
@Rizikialiamechannel763 18 дней назад
@@user-sf3ei6ut9s😂😂😂😂
@Marim-sj7oi
@Marim-sj7oi 18 дней назад
Sie tushafika kipenzi 🎉🎉🎉
@Rizikialiamechannel763
@Rizikialiamechannel763 18 дней назад
@@Marim-sj7oi😂😂😂 tumemaliza
@user-lj3tc1xs5j
@user-lj3tc1xs5j 18 дней назад
Ndio wa Oman 😅😅
@user-fh5ko7he2z
@user-fh5ko7he2z 17 дней назад
Waaaaa huku kumekucha kumbe, nyie watu mnao omba like huwa mwasifanyia nn jamani mbona mm sijawa kuomba like, leo naomba nami nisikie kama nyie team kai 😂😂😂😂
@mwanaakidaomar4663
@mwanaakidaomar4663 17 дней назад
Kila kukicha nnazid kuupija mwing hongeren❤
@happymkama2295
@happymkama2295 18 дней назад
Nimewahi tena nipeni like
@user-rm2lk8se3w
@user-rm2lk8se3w 18 дней назад
Nmeifatilia hii movie toka mwanzo paka hii ep ya 19 nmeamua kucoment aky Kai uko poa sana
@Protais-Tv
@Protais-Tv 18 дней назад
Watu wa 🇧🇮Burundi munipe like basi🙏🙏
@WardaNgombo
@WardaNgombo 18 дней назад
Wa kwanza 🎉🎉🎉
@EsterFrance-zp1os
@EsterFrance-zp1os 17 дней назад
Kutoka iringa ndoa yazuuh ipo jamn🎉🎉
@naftarmalekela7135
@naftarmalekela7135 17 дней назад
🎉🎉🎉❤
@kemutonyamanya2496
@kemutonyamanya2496 18 дней назад
Kai tulia kwa zuu mm nko kwa pande ya baba like ya zuu na kai ❤❤ am from Kenya 🇰🇪
@osadgstuy5746
@osadgstuy5746 18 дней назад
Leo nmekua wa kwanza, wanao muependa zuu na kai gonga like hapa ❤
@user-ss1rf9hv7t
@user-ss1rf9hv7t 17 дней назад
Kwan mtu anajijuaje kama ye ndo wakwanza
@DullyBreakar
@DullyBreakar 16 дней назад
Nampenda piah
@DullyBreakar
@DullyBreakar 16 дней назад
Tatizo wanachelewa
@irakozeshela1809
@irakozeshela1809 18 дней назад
sicelewi ata segonda moja naomba nipewe mauwa yangu❤❤🎉🎉🎉🎉
@FadhilyChanay-ly4yi
@FadhilyChanay-ly4yi 18 дней назад
Wakwanza
@user-wk5yv4um4m
@user-wk5yv4um4m 18 дней назад
Wakwanza❤❤❤jamen😂😂😂😂 Alf muache wivu munipe like zangu
@JenifaSilvester
@JenifaSilvester 17 дней назад
Wadada wa kazimpo
@user-wk5yv4um4m
@user-wk5yv4um4m 17 дней назад
@@JenifaSilvester tupo
@user-xh7xf2ki3r
@user-xh7xf2ki3r 18 дней назад
Daah naona mashaghala leo hamlali kweli nyie team strong 🤣🤣🙌
@Maryam123-vh6sq
@Maryam123-vh6sq 18 дней назад
😅😅😅😅
@Zipporahsoita-ox7ne
@Zipporahsoita-ox7ne 18 дней назад
😂😂😂😂😊
@user-gc7xt5sf7q
@user-gc7xt5sf7q 18 дней назад
Tulale tulale vipi na tumependwa na bosi zetu
@aishahamis1609
@aishahamis1609 18 дней назад
😅😅😅😅😅
@nasramkopi
@nasramkopi 17 дней назад
😂😂😂😂😂😂
@nurusaid4698
@nurusaid4698 17 дней назад
Ameni Ata Mmi Nimeibaridi Ndoa Ya Kai Na Zuu❤❤❤❤❤😂😂😂
@JudyDee-dt2fe
@JudyDee-dt2fe 18 дней назад
Na si muache kuomba like uku 🙄🙄🙄ama mnalipwa😂😂anyway tuachane na hayo nipee zangu mbili nilale
@JudithSimiyu-ps7ee
@JudithSimiyu-ps7ee 17 дней назад
😂😂😂😂😅😅😅
@user-Ambani
@user-Ambani 17 дней назад
😂😂😂😂😂😂
@mohaamswaki6139
@mohaamswaki6139 17 дней назад
Jamani like naombeni boy from 254
@fatumabakari2640
@fatumabakari2640 18 дней назад
Da thuu wa kwanza😂😂😂 maua yangu🎉🎉🎉
@Jackiline-kw3zq
@Jackiline-kw3zq 18 дней назад
Waoo ❤❤ 🎉🎉 hii mov noma sana naikubali sana
@faithkemuma9113
@faithkemuma9113 18 дней назад
Leo nmewai nipe like zangu kutoka Gulf ❤❤❤ kazi nzuri Sana kaka ebu
@ShillahNafulaWanjala
@ShillahNafulaWanjala 18 дней назад
Kazi Safi sana, twende nalo
@MohammedyJuma-wf3jc
@MohammedyJuma-wf3jc 18 дней назад
Am waiting house girl 💘💘 Big up Kai 💪💪💪💪
@neemamichael-iv3jp
@neemamichael-iv3jp 18 дней назад
Waoooh nmefurah kumuona Warii😘
@fayojarso3777
@fayojarso3777 18 дней назад
Bibi kubwa ya kendi mimi siwezi patia like yangu, kwasababu yeye amenyanyasa zu maskini ya Mungu,
@busatitv
@busatitv 18 дней назад
🤣🤣
@user-pp3vo8rw5j
@user-pp3vo8rw5j 17 дней назад
Kai wacha kulia hio ndio mambo ya dunia😢😢😢❤❤❤but you are very good dear
@Saidy-eu1hc
@Saidy-eu1hc 18 дней назад
Naomben like time oman
@user-st3wo7qi2v
@user-st3wo7qi2v 18 дней назад
Safi sana mapema ndio best ❤❤
@ignitiussilungwe7930
@ignitiussilungwe7930 18 дней назад
Assalam alayumu walhama tullahiwa barakatuh Shukran kazi nzuri
@WardaNgombo
@WardaNgombo 18 дней назад
Nipeni like zang🎉🎉🎉🎉
@BintiAmina-kh9oh
@BintiAmina-kh9oh 18 дней назад
Wakwanza leo twawapenda sana ❤❤❤
@EvaJoel-og8fw
@EvaJoel-og8fw 18 дней назад
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 penda sana movie 🎉🎉🎉
@user-eq7vb3yo2v
@user-eq7vb3yo2v 18 дней назад
Angalau nimewah jmn naomb like
@MawazoJustin-fw2ws
@MawazoJustin-fw2ws 18 дней назад
Jamani atulali tunapenda sana ❤❤❤❤❤
@happymkama2295
@happymkama2295 18 дней назад
Tasha namkubali Mr mipango
@SharifaJumanne
@SharifaJumanne 18 дней назад
Jmn zuu mko vzr sana asubuhi na mapema tayari kitu hiki hapa 😂😂❤❤❤ safi sana
@chundimuaminifo8951
@chundimuaminifo8951 18 дней назад
❤ like zangu
@user-dn3sn2fk9v
@user-dn3sn2fk9v 18 дней назад
Ndo salam😂😢😂😢😂
@user-gt6in2ru1b
@user-gt6in2ru1b 18 дней назад
Nimekua wa kwanza Leo🔥🔥🥰🥰
@irenemwenda6374
@irenemwenda6374 17 дней назад
Woow final zuu imefanya ile kitu acha kendi imkabe roho sasa tupite tuki like 😂😂pamoja busu like ukipota
@user-ko2dk1iy7s
@user-ko2dk1iy7s 18 дней назад
Wakwanza leo like zangu nipewe
@NousNovah-
@NousNovah- 18 дней назад
Nijibiwe… hizo like mnauza😏😁
@aishahamis1609
@aishahamis1609 18 дней назад
Jamani sipati like hizo like wapiiiiiiiii au mpo kwa cendy
@user-ky7cf6nm8d
@user-ky7cf6nm8d 18 дней назад
Waouh Masha Allah 🥰 na penda sana Kai Na zuu 🎉🎉🎉
@hlimaa5182
@hlimaa5182 18 дней назад
Masha Allah tabarakaallah hongera sana wana familia yaani hata sijui ni comment wapi niache wapi ila masozi kapagawa na bwana wa mchongo 😂😂😂BB nae duh katoa ushauri hadi basi hongera sana kipenzi 🥰 bb yetu nikirudi kwa baba mukwe namalizia nikisema Ameen Allah humma Ameen 🤲🏼 yaarabbi Kai na kipenzi 🥰 Zuu ndoa yenu ikawe ya kheri in sha Allah ❤❤❤❤❤❤
@busatitv
@busatitv 18 дней назад
Asante sanaaaa Halima mtu na nusu ww sikusahau tenaaaaa
@hlimaa5182
@hlimaa5182 18 дней назад
@@busatitv 🤣🤣🤣wakumbuka kumbe pamoja 🤝sana Brother
@HabibaBakari-u1x
@HabibaBakari-u1x 18 дней назад
Nice naipenda sana jamani sema inachelewa but Iko vizuri vipenz
@MWANAKOMBONGANGAKARISA
@MWANAKOMBONGANGAKARISA 18 дней назад
😂😂😂😂😂wale tunaomuona masozi na shemeji wa mchongo huku jaman 😂😂😂😂😂😂😂raha na machakula vishanoga 😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@DidaAlly-iz1it
@DidaAlly-iz1it 17 дней назад
Nimecherewa tuseme2 ukweriii jmn hii move hinapangiriwa vzr na wanaitoa kwa wakati kwa anayeona km ninavyoona mimi anipe Like 🎉🎉🎉🎉🎉
@tabithanzisa9755
@tabithanzisa9755 18 дней назад
Nmechelewa ju ya kuwa busy bt nafurahi nmepata mda nkawatch my favourite movie😊❤❤❤
@user-wu7ho7sx8q
@user-wu7ho7sx8q 18 дней назад
𝑊𝑎𝑝𝑖𝑙𝑖 𝑗𝑚𝑛𝑖.❤
@user-eo2ff1ki7u
@user-eo2ff1ki7u 18 дней назад
Best broo niko nachungulia next kazi safi❤❤
@Melvy-kb3lc
@Melvy-kb3lc 18 дней назад
Ashindwe kwa jina la yesu candy hpo vpi😂😂😂😂😂😂
@MaryMbithi-nw5sr
@MaryMbithi-nw5sr 18 дней назад
Kumbe ivi doh shetani utuangalia tukiomba busati hongereni much love from Kenya 🇰🇪 ❤❤
@fayojarso3777
@fayojarso3777 18 дней назад
Mimi na patia like zu na kendi na baba ya kendi, mimi kutoka kenya asante sana,hi movie ni tamu sana kweli,
@busatitv
@busatitv 18 дней назад
🙏🙏
@Sofiashabani780
@Sofiashabani780 18 дней назад
Naona notification nikajipa shuhuli kwaza😂😂😂
@esterkimalio8846
@esterkimalio8846 18 дней назад
Waooooh,, Wally na Tam Tam wapo huku
@user-ie8cu9vm6p
@user-ie8cu9vm6p 17 дней назад
Noma sana nawapenda nyote kaz nzuri sana ❤❤❤❤❤❤
@brendanawanga
@brendanawanga 18 дней назад
Kama bro Kay utaoa zuuuu ninakuomba mtafutia nyumba nyingine wasikae pale ndani na yy watamtemga zuuu bado tunamhutaji Pana bro , yaani hapo umepata mke zuuu ❤❤❤💍💍hiyo dada
@robertsalaibey5383
@robertsalaibey5383 17 дней назад
can't wait episode 20.... favourite ever..... try to post twice a day please...here from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@AquilinaPius-gq1bl
@AquilinaPius-gq1bl 18 дней назад
Saruti kwa busati naipenda house girl kuliko kitu chengine chochote
@user-pr3hf4lm9o
@user-pr3hf4lm9o 18 дней назад
Eee nimechelewa jamani lakini sio Sana like please nipo njombe Tanzanian
@rodahmsimbi6137
@rodahmsimbi6137 18 дней назад
Jamani atakama nimechewa leo vi like viwili vyanitosha😢😢😂😂
@busatitv
@busatitv 18 дней назад
😍
@raphaelvarane-rv9bv
@raphaelvarane-rv9bv 18 дней назад
Jamani mimi natamani KAI amuowe maramoja Zuuu
@JoyceJackson-sk7lu
@JoyceJackson-sk7lu 18 дней назад
Tunalala Kwa house girl tunaamkia na house girl yaan mamb ni 🔥🔥🔥🔥
@busatitv
@busatitv 18 дней назад
😍😍😍
@Russia-se8jt
@Russia-se8jt 18 дней назад
😂😂😂
@user-bk7je8xl3c
@user-bk7je8xl3c 11 дней назад
Mi nashindwa adi kufanya kazi mda wakazi nasinzia nashinda house girl❤❤😂🎉
@user-ll7vg8wf3o
@user-ll7vg8wf3o 18 дней назад
Weeee hiuyu baba kai nae sikidogo kumbe kazi nzuri sanaa
@EzraBoboloy
@EzraBoboloy 18 дней назад
Jamani mbona house girl ndonaona kama ndo inaanza inaenda kunoga 👌👌❤❤🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@BalengaTanda-fz4cl
@BalengaTanda-fz4cl 18 дней назад
😂😂kuna muhuni kani time ku coment haya shusha like hapa😅😅😅
@zainabmkwepu5498
@zainabmkwepu5498 18 дней назад
Wangapi wanajua master wa filamu hii ya house girl mnipe like zetu
@franciscarnduku2250
@franciscarnduku2250 17 дней назад
😂nichanue mapema kabla nililambe
@FrankMaendeleo247
@FrankMaendeleo247 17 дней назад
Jamani hizo like mnazoomba huwa mnakulaga mnashindwa kutoa maon juu ya kazi et mnakalia kuomba like achen upuuzi huo
@christinewangili
@christinewangili 18 дней назад
Kazi safi ❤❤
@ChacelineRuhungo
@ChacelineRuhungo 18 дней назад
Kai n'a zuu nawapenda sana mimi Niko Congo 🇨🇩🇨🇩 ombi langu tuwili kusiku❤❤❤
@busatitv
@busatitv 18 дней назад
😍😍😍
@aishahamis1609
@aishahamis1609 18 дней назад
Baba oyeeeeeeeee
@aishahamis1609
@aishahamis1609 18 дней назад
Zuuu jicho hilooooooooo nimelipenda😊
@Ummyrahy6666
@Ummyrahy6666 18 дней назад
❤❤❤❤kitu ichoo😊
@mohamedlopa8410
@mohamedlopa8410 18 дней назад
Ambao hatujalala kusubilia serious ya house girl tujuane kwa like zakutosha tusiache ata moja....😂😂😂😂
@leatimoth3611
@leatimoth3611 18 дней назад
Team strong nimefika mapema oyeeeeh
@Makonde-
@Makonde- 18 дней назад
Kai leo nimekukubali SN 🎉🎉💪💪💪🇲🇿🇲🇿🇲🇿
@user-bm1oe9lh1m
@user-bm1oe9lh1m 18 дней назад
Nimkimbia san kweli😂😂sijachelewa❤❤...watu wangu w team strong gonga like😢😢😂
@RahimaMct-ik8mr
@RahimaMct-ik8mr 18 дней назад
Leo wakwanza alhamdullah❤❤❤😂😂😂
@HanifaAme
@HanifaAme 18 дней назад
Habari Mlituahidi juzi mtatuletea vipand vi2 cha 18 na 19 pamoj mbn mmetusalit lkn 😢 please 🥺 Alf muwe mnaongeza dkk kweny vipand jaman😢
@Mary-ug6oc
@Mary-ug6oc 17 дней назад
Kweli wametusaliti sana
@user-qq1kt3hg1l
@user-qq1kt3hg1l 18 дней назад
Nimependa hiyo smile ya kai na zuu jaman wapenzi wanaenda kufunga ndoa ya baraka ya baba
@busatitv
@busatitv 18 дней назад
🙏🙏🙏🙏😍😍😍
@JaneChaula
@JaneChaula 18 дней назад
Soon nitakuwa kwny penzi na dada wa kaz hatimae kai akawa 😊🎉
@Kai_busati
@Kai_busati 18 дней назад
Kai Zuu🔥
@OfficialZuli-ve5kh
@OfficialZuli-ve5kh 18 дней назад
🎉🎉🎉🎉
@akimanakathykelly1673
@akimanakathykelly1673 18 дней назад
Number one from Burundi 🇧🇮
@NGWALULUTONJA-lc6kp
@NGWALULUTONJA-lc6kp 18 дней назад
Nmekuwa wa Kwanzaa leo
@user-kq8ze5lw1i
@user-kq8ze5lw1i 18 дней назад
Na mimi piya nimejitaidi Leo nipeni like zangu❤❤
@Fatma99-ve7ys
@Fatma99-ve7ys 18 дней назад
Eye eee nipeni like ata 2 nimependa sana kz kz tu
@AmnaAmna-bm3xe
@AmnaAmna-bm3xe 18 дней назад
Nakupend Sanaa zuu ❤
@EzeKaniki
@EzeKaniki 18 дней назад
Imependeza sana❤❤❤❤❤
@busatitv
@busatitv 18 дней назад
WhatsApp group bonyeza link chat.whatsapp.com/EXedjPddrA9C1XIkEg36JP
@ElizabethJumwa-xd2it
@ElizabethJumwa-xd2it 18 дней назад
❤❤❤❤
@BetiemillyEmanuelBetiemi-sl9ch
@BetiemillyEmanuelBetiemi-sl9ch 18 дней назад
Jaman asante n me natumia watsapp Business
@annstamciawanzila2652
@annstamciawanzila2652 17 дней назад
Niko ndani sasa bro
@CarolyneNyanchama-yk1gf
@CarolyneNyanchama-yk1gf 17 дней назад
Kuna mada Gani Whatsapp nijoin na mie😊
@esterwamalwa600
@esterwamalwa600 17 дней назад
Kwan episode 20 inafika saa ngap bwaaana
@MwanamvuaNassoro
@MwanamvuaNassoro 18 дней назад
Aya bibi kapewa kichambo 😂😂😂😂
@BelbanicekagehaBellah
@BelbanicekagehaBellah 18 дней назад
The first one from kenya 🇰🇪 usipite bila like please 🙏 team strong 💪 mko wapi
@busatitv
@busatitv 18 дней назад
Team strong tupooo 💪
@everlyneouma-ss5zc
@everlyneouma-ss5zc 16 дней назад
Kwa mpigo❤​@@busatitv
@YohanaOmben
@YohanaOmben 17 дней назад
Nice jaman ni move yeny mafunzo kunajifunza hapo
@ErnestineNene
@ErnestineNene 18 дней назад
Kwani watu mnalala youtube dada zuu I love you Candy ww siyo mke bora Wanawake tujifunze tusiw watu wa kuombaomba like tu
@HidayaMbodze
@HidayaMbodze 18 дней назад
Wanakera wanakimbia kuomba likes 😂😂 awaangalii kisa kinaendaje
@user-ko6wq3xg7n
@user-ko6wq3xg7n 17 дней назад
😂😂😂😂
@rahmamusa8548
@rahmamusa8548 17 дней назад
😂😂😂😂
@buru1235
@buru1235 17 дней назад
😂😂😂😂😂😂Yani kila MTU anaomba likes hdi zangu zinaisha wallai
@mwanajumakomar3831
@mwanajumakomar3831 17 дней назад
Japo naumwa jino lkn siachi kuangalia penzi la House girl 😢kai na zuu hoyeeeee ❤❤
@user-cr4xl9tq5s
@user-cr4xl9tq5s 18 дней назад
Mm wakwanza leo 😅😅😅😅
@Emeraldlady16920
@Emeraldlady16920 18 дней назад
Na wapenda sana wahusika
@MwanalimaAbdallahkea
@MwanalimaAbdallahkea 18 дней назад
Shagala kachukua mume peupe 🎉🎉🎉😂😂😂
@aishaomar2287
@aishaomar2287 18 дней назад
Alfajir na mapema
@Saidy-eu1hc
@Saidy-eu1hc 17 дней назад
😂😂😂😂😂
@SharifaAytoo
@SharifaAytoo 17 дней назад
Leo wakwanza jmn gonga like apa kama unampenda Kai na zuu waoane