Тёмный

HOUSE GIRL EP 20 || love story💞💕 

Подписаться
Просмотров 153 тыс.
% 5 685

#bongomovie

Кино

Опубликовано:

 

25 июн 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 1,3 тыс.   
@busatitv
@busatitv 14 дней назад
*JE UPENDI CHAT ILA UNATAMANI KUPATA LINKS KWA GROUP?* Usijali sasa tumekusaidia njia Mbadala ya Wewe kupata Links kwa wakati bila kupata usumbufu wa Chat 1. Tuna Group maalum la links. Group hili la Links tumelifunga ni admin pekee ndio utuma links za episode mpya hivyo hata ukiwa hauupo online unaipata link kwa wakati. Bonyeza maandishi ya blue kujiunga group letu la Links pekee. Pia tunatuma na links zetu za movie nyingine 👇🏻👇🏻 chat.whatsapp.com/Jf3PLbJkKbTLEiNFD1aJ3o Lakini pia tuna WhatsApp Channel... Hii itakusaidia zaidi kupata habari zetu zoote bila usumbufu wa aina yoyote. Na hakuna Mtu ambaye anaweza kukuona kama ume follow WhatsApp channel yetu 👇🏻👇🏻 whatsapp.com/channel/0029VaEXYzkEVccPBP347F2c *KARIBU BUSATI TV BURUDANI BILA KIKOMO*
@Halima-xm6co
@Halima-xm6co 6 дней назад
Yeah
@mohamedlopa8410
@mohamedlopa8410 15 дней назад
Tunaomkubali house girl zuuh tujuane kwa like za kutosha tusiache ata moja ...😂😂😂❤❤❤
@zuhurasalimmwachambi5013
@zuhurasalimmwachambi5013 15 дней назад
❤❤❤❤❤
@ZeinabBakar-je4nr
@ZeinabBakar-je4nr 15 дней назад
Harus wanawake upo
@mohamedlopa8410
@mohamedlopa8410 15 дней назад
​@@ZeinabBakar-je4nrbado ww tu uolewe
@dorothykibet7690
@dorothykibet7690 15 дней назад
Kama unafuatilia house girl,gonga like hapa, nawapenda sana🥰
@user-nf7kt6wp6s
@user-nf7kt6wp6s 15 дней назад
🎉
@Asma-hn1jk
@Asma-hn1jk 14 дней назад
Team zuu tujuan 🎉🎉🎉❤❤❤
@LuxiaJayo
@LuxiaJayo 2 дня назад
At cc tunakupenda
@user-le6xc6ei5x
@user-le6xc6ei5x 15 дней назад
Munanipandisha hamujui team zuu na bamkwe wa like ❤❤❤❤kai hongera sana
@Dama-sd4qk
@Dama-sd4qk 12 дней назад
Hi
@TumainSeleman
@TumainSeleman 15 дней назад
Harusi tunayo na tunatamba nayo vigeregere kwa sana,,,,,nani anaipenda ndoa ya kai na zuu wangu gonga like hapa jaman CANDY😢😢
@Norah-dee
@Norah-dee 15 дней назад
Jamni harusi tuanayo au hatuna timu zuu na tumu kai gonga like hapa 🎉🎉 na vigeregere kwa wingi msingiangushe jmn
@Miriamerasmas-rk7nz
@Miriamerasmas-rk7nz 15 дней назад
Harusi tunayo 🎉🎉🎉🎉 tunaandaa zawad tu
@user-cm3mm2dx5d
@user-cm3mm2dx5d 15 дней назад
Nakwambia nimeingoja weh kuanzia juzi
@omondinjaakali6382
@omondinjaakali6382 15 дней назад
@@Miriamerasmas-rk7nzyaani nazawadi tunayo Kabisa😂❤❤❤
@Marim-sj7oi
@Marim-sj7oi 15 дней назад
Tunayoo🎉🎉🎉tunaisubiri kwa hamu
@vailethmsogoth8235
@vailethmsogoth8235 15 дней назад
Tunayoooooo urururururururururururururur🗣️🗣️🗣️🗣️
@MaryKayuni
@MaryKayuni 15 дней назад
Wangap wamesubir kwa hamu 🎉
@LamaribamJumbe
@LamaribamJumbe 15 дней назад
Mie Mmojawapo nilikuwa nasubri kwa Hamu hatri🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@RehamAlmamari
@RehamAlmamari 15 дней назад
at mim jmn 😂😂❤❤
@user-sk7un6ls2t
@user-sk7un6ls2t 15 дней назад
Zuu kajaliwa tabia mpaka umbo kama unampenda sana gonga like 😂😂😂😂❤❤
@Mrsmick712
@Mrsmick712 14 дней назад
😂kuntuuuu
@user-sk7un6ls2t
@user-sk7un6ls2t 13 дней назад
@@Mrsmick712 🤣🤣🤣🤣😂😂👍
@raphaelvarane-rv9bv
@raphaelvarane-rv9bv 15 дней назад
Tunao mukubali bibi yake Zuuuh kwakufunza tugonge like kama Elfu moja 1000 😂😂😂😂
@NyamiziPongwe-by8px
@NyamiziPongwe-by8px 15 дней назад
Jaman @busati tv mnatucheleweshea sana movie nzuri ila sikuizi hamtoi kwa wakat kama mlivuotuahid jmn 😢😢😢 tunasubir sana😢😢😢😢😢
@AnnaDaniel-dt9cf
@AnnaDaniel-dt9cf 15 дней назад
Kwa kweli zinachelewa sana
@AmianiMercy
@AmianiMercy 15 дней назад
Yaani Hadi anatuchanga Sana Sisi mafuns
@busaticomedy6144
@busaticomedy6144 15 дней назад
Tatizo changamoto ya umeme jamani
@user-zf4se9wf5f
@user-zf4se9wf5f 15 дней назад
Kweli kabisa😅
@HannaellySlangay
@HannaellySlangay 15 дней назад
Jmn kai alikuwa anaumwa
@JacklineMazonge
@JacklineMazonge 15 дней назад
Wakwanza mimi uwiiiiiiiiiiiiii like zangu 10 tu
@user-qg7wx1ou5b
@user-qg7wx1ou5b 15 дней назад
Jamani namm time zuu kila siku nawapa like nyie tu namm leo nipeni like japo20
@user-ty1ik2pj2j
@user-ty1ik2pj2j 15 дней назад
Kai nmekupend xna pamoja n zuu 💞💞💞💞💞
@johariabdalla3099
@johariabdalla3099 15 дней назад
Tunao mkubali Zuu like hapa❤❤❤😅😅 team strong njoo tutiane moyo
@Violajepkogei-qw1ky
@Violajepkogei-qw1ky 15 дней назад
Tuko team zuu
@johariabdalla3099
@johariabdalla3099 15 дней назад
@@Violajepkogei-qw1ky 🥰🥰🥰
@user-is8om2nk8k
@user-is8om2nk8k 15 дней назад
Tupoooo tunasubiri harusi wala hatulali
@johariabdalla3099
@johariabdalla3099 15 дней назад
@@user-is8om2nk8k umeona eeh 🥰🥰
@user-pp2xh5cg1m
@user-pp2xh5cg1m 15 дней назад
Team strong waiting the wedding cards🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@RebecaGahise-lb9rr
@RebecaGahise-lb9rr 15 дней назад
Kama unafatilia house girl gonga like apa nawapenda wote💕💕
@judithkanje7211
@judithkanje7211 15 дней назад
Walete nyingine chspu
@user-su5oi5wb6c
@user-su5oi5wb6c 15 дней назад
Wapi like za kaka kai jaman amefanya jambo la busara sana kumkubali da zuuu hongera sana 😢😢❤❤❤🎉🎉🎉🎉
@KEENKYLE0
@KEENKYLE0 15 дней назад
Kai nimependa ujasiri wako leo👏👏
@UpendoMollel-vb4gw
@UpendoMollel-vb4gw 15 дней назад
Jaman nimekuwa wakwanza like zenu tujuane❤❤❤
@user-ue9uf8ru6j
@user-ue9uf8ru6j 15 дней назад
Jaman nimekuwa wakwanza like zenu tujuane Niko zambia
@user-nh5zw9fg1h
@user-nh5zw9fg1h 15 дней назад
Woyoooo time zuuh like hapaaa ndoa tunayoooo🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@user-tu2gy8mr7u
@user-tu2gy8mr7u 15 дней назад
Ndoa tunayo😂😂😂😂😂😂❤
@rachelmwangosi2319
@rachelmwangosi2319 14 дней назад
@@user-tu2gy8mr7u Ila kai anaanzia mbali eti zuu mambo
@bintrashid5108
@bintrashid5108 15 дней назад
Yani leo niko na furaha kama kaka Kai 😂😂😂pia kachanganyikiwa anarudia maneno ati amesahau😊😊Wapi likes za daa Zuu
@AllanS169
@AllanS169 14 дней назад
Tunaoikubali Hii Series Weka like💯✅✅💥💥
@AdijaWashuma
@AdijaWashuma 15 дней назад
Jaman leo nimekuwa wakwanza sjawah pata like hata toka nianze kifatilia Naombeni like hata kumi tu
@JamilaRutasingwa-qx3od
@JamilaRutasingwa-qx3od 15 дней назад
😂❤❤❤
@user-xv4br7jo6b
@user-xv4br7jo6b 15 дней назад
Nimekuwa wa pili leo naombeni like ata 10 tuu❤❤❤
@JoyceLuthu
@JoyceLuthu 15 дней назад
IPO ndowa like 10❤❤❤
@SuzanaRibert
@SuzanaRibert 15 дней назад
toka,nimehanza kuiangaria hii move kuna kitu hapo wanawake tujifunze, amna mwanaume jeuri mbere ya mke mnyenyekevu,
@SarahFei-ei7en
@SarahFei-ei7en 7 дней назад
pongera sana rafiki yangu kwa hilo
@tausimct
@tausimct 15 дней назад
Jaman leo nimekuwa wamwisho naombeni ata like 2 tu
@AmaniHamisi-dj8bt
@AmaniHamisi-dj8bt 15 дней назад
Wa pili leo naombeni like zenu🇰🇪💓
@bidalakibibi1059
@bidalakibibi1059 15 дней назад
Likes zina saidiaaa nn ,naomba kujuaa
@Marrymboya-cl9io
@Marrymboya-cl9io 15 дней назад
Dakika chache tuu like kama zote kweli tupo wengi naombeni like zenu
@MaryMbithi-nw5sr
@MaryMbithi-nw5sr 15 дней назад
Nlikua nimemboeka ju ya kukosa house girl ila Leo nina furaha kuona kai ameamua ongereni dungu zetu Tanzania kenya 🇰🇪 tuko pamoja busati tv 📺 ❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
@IreneMndolwa
@IreneMndolwa 15 дней назад
Jamani mjishikilie😂😂😂 penzi la kai na zuuu laivaa mpo hapo😂 Ma like mengi kwa team zuukai jmn
@user-qq1kt3hg1l
@user-qq1kt3hg1l 15 дней назад
Jaman candy kimemramba mwaka huu mbn mapenzi moto moto kwa kai
@youthmediatv1
@youthmediatv1 15 дней назад
Team zuu tupo kama wote,like zetu tupewe,mimi nimetoa mchango wa kereti 50 za soda
@user-hl4yc8ul2r
@user-hl4yc8ul2r 3 дня назад
😂wanakamat sas😊
@DorisJustice-lm5hz
@DorisJustice-lm5hz 15 дней назад
Watu mbn mko chap ivi jmni khaaaa mm nikajua wakwanza heeee wwungwan sio vzriii
@KEENKYLE0
@KEENKYLE0 15 дней назад
Jamani kai ety jishikilie🤣🤣🤣🤣
@lucyrif-np8ik
@lucyrif-np8ik 15 дней назад
Hongereni sana timu Khai🎉🎉🎉🎉🎉🎉 na huyu bibi ni mzuri kweli kweli nampenda❤❤
@keruboirene
@keruboirene 15 дней назад
*Nipewe LIKES za dada wa @Zuu* @malaika ni mrembo sana(black beauty 😍)
@user-mv6vi1gv6f
@user-mv6vi1gv6f 15 дней назад
Jamani naomba like ❤🎉❤🇧🇮🇧🇮
@HappyMollel-wn3gw
@HappyMollel-wn3gw 15 дней назад
❤❤❤❤hongera Sana Kai Sasa na aliefungungua mlango Nana jmn
@user-pb9lu5pb1g
@user-pb9lu5pb1g 15 дней назад
Haaaa Leo mbona nimewai wapi like zangu
@zeynab7617
@zeynab7617 15 дней назад
Jamani karibu nivunjike mguu nikikimbilia umbea ❤❤❤😂
@Lily-rn6xc
@Lily-rn6xc 15 дней назад
Mm wa mwisho naomben like na mm nijidai kama wenzangu😂
@FatmaMama-qq7ye
@FatmaMama-qq7ye 15 дней назад
Zuuu ndoa tunayo❤❤❤,Candy asikutishe mbele ya Mungu hakuna kinacho shindikana
@SophieFrank-fn2nj
@SophieFrank-fn2nj 15 дней назад
Wakwanza kabisa kazi nzuri busati na sidai comment napongeza kazi nzur ya busati Tv msitucheleweshee tenah jmn
@JullianaEmmanuel-tm5xg
@JullianaEmmanuel-tm5xg 15 дней назад
Kai kafkia huko au naota?? Jaman Jaman Jaman Jaman
@pur-ple-girll-304
@pur-ple-girll-304 15 дней назад
😂😂mambo mbona hatuonani
@MwanaBaloz-ij6es
@MwanaBaloz-ij6es 15 дней назад
Jaman nimechelewa kdg lkn naomben like ata moja na mm leo
@umikifupa-mi3re
@umikifupa-mi3re 15 дней назад
Kazi nzuri sana hapo mwisho mwisho pameniacha hoi
@liliankyalo-fw1vh
@liliankyalo-fw1vh 15 дней назад
Harusi tunayo au atuna like kwa wingi
@DaisyNyabuto
@DaisyNyabuto 15 дней назад
Jamani wenzangu ndo kuingia nipee ata moja ❤❤❤Team zuuh ❤❤❤
@PetronillaFuraha
@PetronillaFuraha 15 дней назад
Na mm nimekuwa wa mwisho hata like mbili tu mnigee
@zibouraziboura66
@zibouraziboura66 15 дней назад
Tuko wengi😂
@Zainabu-xn3vd
@Zainabu-xn3vd 14 дней назад
Harusi tunayo kwa mpigo tena zaidi team zuu gonga like hapo,msidelay next please 🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤
@user-mz7ik5yy8g
@user-mz7ik5yy8g 15 дней назад
Wow! Tulisubiria kwa hamu nyie
@jannetkarisa1749
@jannetkarisa1749 15 дней назад
Hongereni sana nilikua nimekauka macha kwakuisubiri hii episode nimefurahi sana nawapenda sana❤❤
@AlylenShitamu-tc2ng
@AlylenShitamu-tc2ng 15 дней назад
Waaauuu wpi Lake ya kai na zuu jamani,❤❤❤ harusi tunayo 🎉kwani nyie hamuogopi🤣🤣🤣
@user-fq6vh5ks9z
@user-fq6vh5ks9z 15 дней назад
Kwa nin mim kilasiku nachelea jamani watu wa Burundi 🇧🇮 muko wap munipe like ❤❤❤❤❤
@user-cq1nj9dc8t
@user-cq1nj9dc8t 15 дней назад
Watatu leo naomba like zenu🥰
@lucaskimaro1449
@lucaskimaro1449 15 дней назад
Changamkeni bana afu fanya iwe ndefu sana na ufundi mwingi. Afu wew Kai usilegee sana bhana
@joleemvungi
@joleemvungi 15 дней назад
Huyu kai mnamuelew kweli jmn😂😂😂😂😂
@ZamaradMjengwa
@ZamaradMjengwa 15 дней назад
Jmn ndoa tuayo na tunatamba nayo team zuu na team kai gonga like tujuane
@user-fj9pw6tm4g
@user-fj9pw6tm4g 15 дней назад
Bas na mimi Léo munip like😢❤❤
@kidempunga4337
@kidempunga4337 15 дней назад
Wakwanza mm au Kuna mwingeee
@user-xd8qy1cx2b
@user-xd8qy1cx2b 15 дней назад
Jazi nzuri sana kama umemkubali kai kubadilika kwake like zenu jamani
@bettyojiambo8660
@bettyojiambo8660 15 дней назад
Kama unapenda wally like jamani napenda hii kazi 😊😊
@FridahNgunjiri
@FridahNgunjiri 15 дней назад
The first one nipeeni likes jamani
@ZahidahAli-ys1fg
@ZahidahAli-ys1fg 15 дней назад
Wa kwanza lew naomben leki zen
@kemutonyamanya2496
@kemutonyamanya2496 15 дней назад
Hapa lazima haruzi like ya kai na zuu hapo ❤❤❤❤❤❤
@Mwanamwakaathumamwandekw-zb2fq
@Mwanamwakaathumamwandekw-zb2fq 14 дней назад
Mashaallah da zuu mpe kai nyama ya ulimi paka achanganyikiwe , ❤❤❤ naombeni japo hta 10 bs ,bb hongera kwa kumfunda mwari
@user-cb1xx5bl5m
@user-cb1xx5bl5m 15 дней назад
Aty nyieee Hz like huwa ndo chakula chenu au
@MwalimuShee
@MwalimuShee 15 дней назад
Leo nimewatch ndani ya 2 second nipeni likes zangu
@fatimafatuma4848
@fatimafatuma4848 15 дней назад
❤❤❤kazi nzuri sana nakupenda sana dada zuu
@AtukuzweKivambilo
@AtukuzweKivambilo 15 дней назад
Jamani hyo movie nzur sana nomeipenda sana ila zuu mkubalie Kai jaman anakupenda sana
@Miriamerasmas-rk7nz
@Miriamerasmas-rk7nz 15 дней назад
Ata mimi nafurahi sana leo nimewahi jmn team zuu nawapenda sana
@user-le6xc6ei5x
@user-le6xc6ei5x 15 дней назад
Kendi kula chuma hichoo ulichezea nafas pumbav achia zuu ndoa❤❤❤❤😂
@ZeituniKuhowa
@ZeituniKuhowa 15 дней назад
Tunaompenda zuu gonga like hapa
@FatmaMama-qq7ye
@FatmaMama-qq7ye 15 дней назад
Kaka Kai big up saan,ongereni huo ndo uanamume ckua mauwa yako🎉🎉🎉🎉
@razigirazigi5437
@razigirazigi5437 15 дней назад
Nagoja 21 zuu mukomeshe uzushi
@HalimaJafari-yv2th
@HalimaJafari-yv2th 15 дней назад
Hatare kaka kai ameamka nakupenda bure😅😅😅
@FatmaMama-qq7ye
@FatmaMama-qq7ye 15 дней назад
Tukiwa Buja,tutakuja Dar essalam, bado dada wa Candy na Shemeji watazidi kuayibika na Candy kwa mipango yao, Mungu azidi kuwa ayibisha ,sis tunasheherekea Ndoa yetu ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉nawapenda saaan
@JosephineJacob-zo8sq
@JosephineJacob-zo8sq 15 дней назад
Hivi Mimi mbona hamnipagi like nipeni hata mbili tuuu
@abidandastanmaliyatabu1373
@abidandastanmaliyatabu1373 15 дней назад
Hizi like mnazipeleka wapi
@JosephineJacob-zo8sq
@JosephineJacob-zo8sq 14 дней назад
Just enjoying our selves
@user-ro3dt3fq4k
@user-ro3dt3fq4k 9 дней назад
Umeweka wap
@user-uq7cj9vs7x
@user-uq7cj9vs7x 15 дней назад
Wa kwanza kutoka Kenya wapi like zangu please😊😊
@lilianmwikali9406
@lilianmwikali9406 14 дней назад
Reject finance bill kwanza😂
@user-uq7cj9vs7x
@user-uq7cj9vs7x 14 дней назад
@@lilianmwikali9406 tunareject hakuna mchezo😁😁
@NeemaYohaness
@NeemaYohaness 15 дней назад
Hadi mnakera😢siku zote hizo ndo mnatoa Leo anyway acha tu niangalie😂😂ilikua nisuse😂😂
@marthanassari3524
@marthanassari3524 15 дней назад
😂😂😂😂😂😂
@positivethinkingtv6338
@positivethinkingtv6338 15 дней назад
Naomba like na mm hata mbili nawapenda❤😂❤🎉
@NazminWahabu
@NazminWahabu 14 дней назад
Dah jmn mbn kar san alafu nyie bhna mnachelewa sana jomooon
@3dd_entertainer
@3dd_entertainer 15 дней назад
Big up sana Busati tv hizi ndo tunazitaka. Mkitoa kama hizi mia hivi itakuwa good......Wapi Ile timu strong siwaoni
@RosekinanuGitari
@RosekinanuGitari 15 дней назад
Tupo hapa 😮😮😮😮❤❤
@phorahmahaza638
@phorahmahaza638 15 дней назад
Wapili Leo
@Janethkimaro-hr1hx
@Janethkimaro-hr1hx 15 дней назад
Wap Team Zuh, muone na shepu yake, mke mtarajiwa wa Kai,❤❤❤
@user-bp6br5yo1l
@user-bp6br5yo1l 15 дней назад
Jmni musicheleweshe hadi tunaumwaa tukikosa House girl tena mutoe viwili kwa siku ishaallah
@Shanic-dp8ky
@Shanic-dp8ky 15 дней назад
❤❤❤ I love it 😍
@user-jf5hu1ns2h
@user-jf5hu1ns2h 15 дней назад
Wakwanza leo natazama
@JotnelMsola
@JotnelMsola 15 дней назад
My best episode Toka nmeanza kuangalia hii🥰🥰🥰❣️
@user-tu2sk1mo8q
@user-tu2sk1mo8q 14 дней назад
Jamani nawapenda sana ndugu zangu ❤❤ from 🇰🇪🇰🇪 nipeni like zangu
@neybadada3044
@neybadada3044 15 дней назад
Leo mi wa Kwanzaa jmn like zangu❤❤❤❤
@user-dl4fs9yk9j
@user-dl4fs9yk9j 15 дней назад
Mwendelez please dah apa ndoa tunayo kbsaaa ❤❤
@sadahamad6158
@sadahamad6158 15 дней назад
Tuliimiss sana jaman leo kai kanifraisha nyie 😂😂 candy kazi unayo team zuu pija kelele weuweee 🗣🗣🗣🗣💃💃💃💃 yani imeishia patamu hadi natabasamu tu 🤣🤣🤣🤣🙌
@user-ri5xw2rs4n
@user-ri5xw2rs4n 15 дней назад
Hello timu zuuh sherehe tunayo atuna❤❤❤
@bennamush4616
@bennamush4616 15 дней назад
Tununue tuu vijora jaman harusi tunayo
@user-tx7yd4jo2m
@user-tx7yd4jo2m 14 дней назад
Kwaiyo kai sikuizi unatucheleweshea eeh sawa bana😢 ila hii series iko vizuri kaka Big up
@irenemsele-gd5ep
@irenemsele-gd5ep 15 дней назад
Jamani inatufundisha sana ❤❤
@cecsslaurent6245
@cecsslaurent6245 14 дней назад
Kazi nzur wanao mkubali zuu tujuane❤❤❤
@MauaSaid-t4b
@MauaSaid-t4b 15 дней назад
Kaka kai usiwe na haraka😊 mara godoro tamu 😂😂😂😂 tulie akafundwe na bibi😊
@ShabaniMabuga
@ShabaniMabuga 15 дней назад
Nimechelewa
@ShabaniMabuga
@ShabaniMabuga 15 дней назад
Kazi
@KuvunaGonda
@KuvunaGonda 15 дней назад
Jamani kaii ww ❤