Тёмный

HOUSE GIRL EP 29 | S3 | Love Story 💕💞 

BUSATI TV
Подписаться 139 тыс.
Просмотров 14 тыс.
50% 1

HOUSE GIRL SEASON 3

Опубликовано:

 

11 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 376   
@mohamedlopa8410
@mohamedlopa8410 2 часа назад
Utakayeso hii comment mungu akujajalie upate watoto wenye tabia nzuri sio kama za kendy❤🤲❤🤲❤🤲❤🤲❤🤲
@wardaningawarda9942
@wardaningawarda9942 Час назад
Ammen
@mohamedlopa8410
@mohamedlopa8410 Час назад
❤❤❤❤
@mohamedlopa8410
@mohamedlopa8410 Час назад
❤❤❤
@KhadijaRamadhan-f2b
@KhadijaRamadhan-f2b Час назад
Allahumma ameena yarabi naww pia tunakuombea. Chukua 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉yako
@YusraSiyaleo-yk2fz
@YusraSiyaleo-yk2fz 55 минут назад
Amiiin ya rabil_alamiiin❤❤❤❤
@NestorySanga-y2j
@NestorySanga-y2j 3 часа назад
Kai unazingua sanaa kwa kujipendekeza kwa kendy acha ufwara
@RizikiZiki
@RizikiZiki 2 часа назад
Kajifanya Muzungu mweusi bb imani😂😂
@RehemaKatana-hb4ei
@RehemaKatana-hb4ei 2 часа назад
Kaniboo sana
@nurusaid4698
@nurusaid4698 2 часа назад
Akili Kisoda Uwa Aisikii Mpka Ajionee Ndio Atatuwa Yupo Uzunguni Au Afrika
@Kibofuguidefrancophone
@Kibofuguidefrancophone 46 минут назад
Jamani mbona jasmin sie uyo
@AminaDibwe
@AminaDibwe Час назад
Wanaomkubali da zuri gonga like hapa 😢😢
@NeemaDenja
@NeemaDenja 3 часа назад
Jaman nimekuwa wa kwaza naombeni laiki zangu nawapenda sana malafiki zangu🫶🫶🫶🫶🫶🫶🙏🙏🙏🙏🙏
@salhaissa-xq9ov
@salhaissa-xq9ov 2 часа назад
Jaman tunao Taman chiko afeli mpango wake na huku mjin tujuan jamn 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉wapendw a wote
@rabiambaga8356
@rabiambaga8356 3 часа назад
Waaaoooo waliokuwa wanasubiri kwa ham gonga like hapa
@DidaAlly-iz1it
@DidaAlly-iz1it 35 минут назад
Uyu mke wa mpumbavu mwezangu mimi binafsi simpendi jmn 😂😂😂😂😂
@DianaMkembelwa
@DianaMkembelwa 2 часа назад
86,jamani tunaomchukia choko Cendi tujuwaje.ila chiko tutamkodi P Didi akunyooshe.😅😅😅😅😅😅
@HidayaMbodze
@HidayaMbodze Час назад
😂😂😂
@HabibaAthumanMwaboko-vq4qk
@HabibaAthumanMwaboko-vq4qk Час назад
Yani kilamba ukwaju mpumbavu una maneno yabusara sana walauchukuwa maua yako🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@MichaelMirindi
@MichaelMirindi 32 минуты назад
Kai amenikera sana amemukosea zuu
@HoHo-l1r
@HoHo-l1r Час назад
Chiko lazima ufeli huo mpango wako na izo ndevu lazima utazichemsha safali hii 😂😂😂
@MartinNiyukuri-n2t
@MartinNiyukuri-n2t Час назад
Zuu Leo amependeza Maua yako🎉🎉🎉🎉🎉
@JudithSimiyu-ps7ee
@JudithSimiyu-ps7ee Час назад
Kumbe pia wewe umeona 😅😅😅
@salhaissa-xq9ov
@salhaissa-xq9ov 2 часа назад
Jaman kai unataka kumaliza zuu wetu jamn tulio kasirishwa na kitendo cha kendi jamn tujuan hap
@ASHANDEGWA
@ASHANDEGWA 2 часа назад
Twendeni mbele turudi nyuma ila mapenzi yanauma em candy na chiko tuachieni wanandoa wetu❤
@Asmachima-dx5gb
@Asmachima-dx5gb 33 минуты назад
Mama tasha mbn umemuamn gafla
@AgnessMeshack-x3u
@AgnessMeshack-x3u 49 минут назад
Mrudisheni jasmine apa bana😊😊
@Hapygideon
@Hapygideon 2 часа назад
Hivi zuuh na mpumbavu mwenzangu mmekosa pilipili kweli,,mummwagie kwenye macho
@samuelnthia8858
@samuelnthia8858 Час назад
Ndio hivyo.
@MwanapiliCharo-s2n
@MwanapiliCharo-s2n 40 минут назад
😂😂😂😂😂kwakweli wamboesha huyu kai
@KissaMwakilembe
@KissaMwakilembe 2 часа назад
Mii timu zuu moyo unaniuma jamani mpaka 😭😭😭😭
@HelinaEdward
@HelinaEdward 37 минут назад
Ila Khai anavobanagaa surual zakeee😂😂😂😂😂
@shamyalley2091
@shamyalley2091 2 часа назад
Hyu chiko na candy wamechanganyikiwa😂😂😂😂
@Mwana85Mwana85-wz1ol
@Mwana85Mwana85-wz1ol Час назад
Zuu umependeza San Hila hyoo Kai naye ajatuliya Hila bibi zuu upo wap njoo umkomeshe hyoo cend Hila chico ww unaharibu movie sasa balaa Kai Kai ww senge ww kweli Hila hyoo mpumbavu wake. Kiramba mchuzi taira hyoo Tena taira San hata meno ana Kai Kwa hapo hap sijakupenda kabisa chico chico
@SamsonRandu-h9u
@SamsonRandu-h9u 2 часа назад
Yote Haya uliyataka wewe kai ulkua untka kumuumiza zuu Haya Sasa umefanikiwa 😂😂😂😂😂
@robertsalaibey5383
@robertsalaibey5383 Час назад
i really need next episode,, sorry zuu....
@AminaMussa-bw2jh
@AminaMussa-bw2jh 3 часа назад
Mnipe mauwa yang leo nime wahi❤❤
@franktodory
@franktodory Час назад
sema kai unajipendekeza sana naww
@DianaNafula-hg2hi
@DianaNafula-hg2hi 3 часа назад
Leo nmejitahiti wa kwanza kutoka Kenya naombeni like ata moja basii🎉😂😂😂
@SabrahNibuka
@SabrahNibuka 2 часа назад
Mama tasha leo umeniumiza Wajuwa mwanao kaenda owa iweje umkubali saniya kukaa hapo😢😢
@JudithJudy-hz6wr
@JudithJudy-hz6wr 2 часа назад
Wacha nikoment haraka haraka kabla waomba likes hawajafika😂😂😂 from Saudi Arabia team strong hallooo gonga like hapa tukisonga
@SharifaMombo-eh2bg
@SharifaMombo-eh2bg Час назад
Natamani Mr Tasha arudi awwkute chiko na Sania coz hilo fujo😅😅😅😅😅
@KarungiAngelique
@KarungiAngelique 58 минут назад
Leo hiii mumenikwaza kbs angarahu s3 ihishe kbs MB zangu za Leo zimeniumiza kbs from Rwanda 🇷🇼
@JosephaSulle-yi4zr
@JosephaSulle-yi4zr Час назад
Sitakii hi move tenaaa kwa kweli kendy na chiko nyie mmeshindikanaa kwa kwelii na chiko we haunaa akili au
@HabibaAthumanMwaboko-vq4qk
@HabibaAthumanMwaboko-vq4qk Час назад
We kai kumbe bwege sana subiri kikukute
@MercyTripple
@MercyTripple 2 часа назад
I just love kilamba so much❤❤❤
@Aishybeb
@Aishybeb 2 часа назад
Kai unafanya movie hainogi kama mwanzo inaboo sas kisa kai hadi nataman iishe 😢😢
@onesmusfondo7679
@onesmusfondo7679 2 часа назад
Angekuwa zuu,aende kumuona x usiku ungemuelewa j rahisi kma hvo....
@TedyTibalilira
@TedyTibalilira Час назад
Hiv Kai unashndwa hata kumzibua makofi huyo candy unatoa mimacho tu km jinga vile
@NyokaDeGal
@NyokaDeGal 33 минуты назад
Hapo sasa
@denispengo4962
@denispengo4962 Час назад
Huyu candy bonge la msanii siku za mbele huko
@MaryBosibori-xm7us
@MaryBosibori-xm7us 32 минуты назад
Kiramba mwambie huyo chambazi na cendy asikwangalie tena nyau😅😅😅
@MrsMariam-x2s
@MrsMariam-x2s Час назад
Laa mama Tasha jamani iihaifayi kabisa kwasababu yampa nafasi huyo saniya tena usingempa kabisa kabisa sawa uyo chiku hukua unamfaham ila uyo saniya vp aaaa Yani hapo sijapenda
@VailethFrancis-ew6ro
@VailethFrancis-ew6ro 2 часа назад
Kai umezinguwa sana tulieshukiya tujuwane kwa like
@AnthonyKapaya-f2c
@AnthonyKapaya-f2c 36 минут назад
Eeeh ii move imefikia mahari Hadi inagusa my heart Msanii pongezi kwa fasihii yako
@MrsMariam-x2s
@MrsMariam-x2s Час назад
Allahu akibarr huyu chiku hana adabu na nanamakosa sana huyu kanikera sana huyu chiku umenikera sana
@AlineBaby-m5l
@AlineBaby-m5l Час назад
Na omba bibizu agombowe mujuku wake awapige fimbo cand n'a Kai naumiya sana kwa kuwona kend n'a Kai wako pamoja
@ChimammyMummy
@ChimammyMummy Час назад
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 huyu kendii n muuwajii akiamungu Yaan we hata huogopi mwenzako anamimba yaeza kumtoka na mineno yako michungu khaa
@leilayathumani2295
@leilayathumani2295 Час назад
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Kendi ni umbwa kwel yaan
@ChimammyMummy
@ChimammyMummy Час назад
@@leilayathumani2295 🤣🤣🤣
@AnnahNanjala-xh6ov
@AnnahNanjala-xh6ov Час назад
Mama kua makini na sania na chiko hawa ni majambasi zuku
@FatumaBahatihassan
@FatumaBahatihassan Час назад
Mama Tasha leeo tungeku kosa mushuma ungezma leeo wakati mtoto wako Tasha yupo ukweni Kay! achana nahuo mwanamuke Candy asjekuletea mtatizo kwenye Ndoa yako ebuheshimu Ndoa yako achana nahuo kilukanjia Candy hanajipya kashindikana nilakona anatembea nalana za Muzazi. Pole Zuu
@husnachunga5720
@husnachunga5720 Час назад
Kai Acha umbumbavu. We kama Bado unampenda uyo mshenzi. Wako muache zuu wetu usije ukamsababishia mauti kwa ujinga wako
@salhaissa-xq9ov
@salhaissa-xq9ov 2 часа назад
Jamn kendi kashindikan huyu dad Kilakona ameharibu jaman m nataman kendi akitaka kuharibu furah ya zuu bib zuu amnyooshe kendi mpaka aseme
@MrsMariam-x2s
@MrsMariam-x2s Час назад
Kilamba upo sawa sawa kabisa unaongeya kweli pamoja na mbumbavu mwenzako kweli Kay kakosaya sana nimzaifu sana nahapo ndio atampa nafasi kendy kutamba
@YusraSiyaleo-yk2fz
@YusraSiyaleo-yk2fz Час назад
Amna kai yuko sawa
@KemmyMercy-my9uf
@KemmyMercy-my9uf 2 часа назад
Chiko,kai, Sania na kendi kumbafu zenu mtajutia ipasavyo NKT 🙄😏😎
@abidandastanmaliyatabu1373
@abidandastanmaliyatabu1373 Час назад
Hiki kipande cha kendi na kai kwa hapa mumetuongopea siyo kweli haiwezekani kitu kama hicho kwenye maisha ya binadamu hata kama mtu ni chizi
@JullianaEmmanuel-tm5xg
@JullianaEmmanuel-tm5xg 2 часа назад
Leo Sania kamuokoa mama Tasha make mmmmh Leo tungekuwa na msiba
@SaraUlaya-is2ch
@SaraUlaya-is2ch Час назад
Yaan we kilamba nimwehu ila nakupenda❤❤❤
@MERCYMWIAMUSEMBI
@MERCYMWIAMUSEMBI 2 часа назад
Alf wee kai mpuuzi usimwangalie kiramba. Unafunga ndefu hazikusaidii nyooooo
@salhaissa-xq9ov
@salhaissa-xq9ov 2 часа назад
Kiramb mpe nondo kai amesha mkaribisha kendi nyumbn 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 Kiramb
@maryamoTanzania
@maryamoTanzania 2 часа назад
Alafu busati kama hii movie imeisha semeni musiaze kuviluuga mambo 🥵😏😏😏
@NorahMhanga-rf9ft
@NorahMhanga-rf9ft 2 часа назад
😂😂😂😂
@salhaissa-xq9ov
@salhaissa-xq9ov 2 часа назад
Kiramb nataman kwenda kupunguz kinyesi 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@GhaniaNasser-d9p
@GhaniaNasser-d9p 2 часа назад
Aisee nikifika kwa kiramba sielewi maana huyo mkeo mpumbavu simuelew mm
@Mwana85Mwana85-wz1ol
@Mwana85Mwana85-wz1ol 51 минуту назад
Taira hyooo
@salhaissa-xq9ov
@salhaissa-xq9ov 2 часа назад
Kai Umeyatak kwa kendi utakom wew a naongea maneno hat ambayo hujafany ili kumuumiza t zuu😢😢😢😢😢😢😢
@abidandastanmaliyatabu1373
@abidandastanmaliyatabu1373 2 часа назад
Sania leo ameokoa maisha ya mama Tasha, Tasha we endelea kuka huko utakuta mama yako washamzika
@umentco9600
@umentco9600 Час назад
Kilamba wacha vituko ukinda choo ndio ujamaliza shida 😂😂
@LilatAaa-u7n
@LilatAaa-u7n Час назад
Kai unazinguwa sana bwana
@TumainiMbati
@TumainiMbati 2 часа назад
Waoooh mpumbavu mwenzangu
@TumainiMbati
@TumainiMbati 2 часа назад
Mama utakapokuja kujua ukweli chiko ndio huyo cjui cjui utafanyaje
@Hapygideon
@Hapygideon 2 часа назад
😂😂😂😂kilamba katudhalilisha kweli Kai sini ya usaliti haikupendezi kabisa,nenda ukanye kwanza😂😂
@MichaelLutonja
@MichaelLutonja Час назад
I love you busati tv na kazi nzuri sana za busati tv ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@Hapygideon
@Hapygideon 2 часа назад
Kilamba🙋🙋🙋🙋point mpumbavu mwenzangu
@MutabaziAmuri
@MutabaziAmuri 20 минут назад
Mama Mr tasha na kuomba achana n'a chiko siyo mtu mzuri kwako
@almasisheshe7032
@almasisheshe7032 2 часа назад
Kilamba Leo umekua kauzu Hadi unastahir pongeze big up for you
@MinnahPetra
@MinnahPetra Час назад
kai haja fikria kabisa kuenda kuonana na candy
@haluarahma3071
@haluarahma3071 41 минуту назад
Kai mbona gwege sana,bt zuu usijali bibi yuko anakulinda n mizimu piaa.
@Farthun
@Farthun Час назад
Mm nishachoka kabsa 😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢 eti mama tasha anakubli vitu tu halfu kai ndo unazidi kunikera na huyu candy wako ikifika pazuri niiteni mm roho inaniuma tu
@Tatu-r2h
@Tatu-r2h 2 часа назад
Mimi leo nimechukizwa na candy pamoja na chiko 😢
@Hapygideon
@Hapygideon 2 часа назад
Kai unakera sana hatujafurahi kabisa
@MaryamMaryam-vl8lm
@MaryamMaryam-vl8lm Час назад
Uwanatamani kunaruhusu voice ili nitoe uchungu wngu wte kw Kai move inaenda kunisinya hii yaani umepambania ndoa yko Kai mpaka hpo ulipo mpe Raha zuu n yye afurahie ndoa acha ujinga wwe
@SamsonMajan-k3g
@SamsonMajan-k3g 3 часа назад
Waoooo zahasubuhi jamaaa wote
@SamsonMajan-k3g
@SamsonMajan-k3g Час назад
Mmmmh jaman kendi Sania chiko Hawa vivuluge watafutiwe sawa yao tu ciwa pend Sana japo wachangamsha love story yeti Ila wamezidi wacio penda Tim ya mtu tatu Tia uzito chin apo
@JudithAmos-u3u
@JudithAmos-u3u 2 часа назад
Kai unaferi sana kuwa na msimamo bwana unataka kutukera
@TumainiMbati
@TumainiMbati 2 часа назад
Kilamba umetisha sana
@irene-pw4dw
@irene-pw4dw 28 минут назад
Mrs ngonde kimamula😂😂😂😂
@MaryamMaryam-vl8lm
@MaryamMaryam-vl8lm 2 часа назад
Pendaza zuri leo mashallah
@eshanjira6203
@eshanjira6203 Час назад
Mnaosema iishe msiangalie kama mwakereka tuachieni tunaopenda tuendelee
@LucySamsoni
@LucySamsoni 2 часа назад
Kai unanikela sana nakuona mwanaume wa ovyo sana Yani we jinga sana kai
@lucymbuma681
@lucymbuma681 2 часа назад
Kiukweli Kai umenikela san rooooooooh
@Uwamahorofarida-e6h
@Uwamahorofarida-e6h 3 часа назад
Wakwanza kutoka Rwanda Team zuu oyeee
@fatumamkuzi8051
@fatumamkuzi8051 Час назад
Mwaiharibu sasa kai na kend
@angelmauja1846
@angelmauja1846 Час назад
Em tasha toka Kijijini haraka
@AlineBaby-m5l
@AlineBaby-m5l Час назад
Basi muyimalize iyo hous girl kwasababu munaniwumiza loho yangu mumekosa yangin maneno yakupang namuja kupang ayomaneno yakuwongeza kuwumiza zuu😢
@buru1235
@buru1235 3 часа назад
Yani kai tumetufikisha apa Aki ayiii Sasa Na Tasha alisema kuwa umemsahau Candy wooyi 😢 Kamkonde ndio mwanzo apo ulipo nyooo
@FelistusKimanzi-f2g
@FelistusKimanzi-f2g 47 минут назад
Nice one
@Hapygideon
@Hapygideon 3 часа назад
Kai Kai kai😢😢😢,,unatutafuta Nini na mizimu yetu,tutakuotesha busha mbwa wewe endelea😂😂😂
@salhaissa-xq9ov
@salhaissa-xq9ov 3 часа назад
We Sania umefata nin kwa mam Tasha wew ushajazwa mimba unajipeleka hap
@EmmilianaWekesa
@EmmilianaWekesa Час назад
Wanaotaka bibi zuu ampe Kai adabu mpo😂😂
@HhUhh-io8ix
@HhUhh-io8ix 43 минуты назад
Ooooo😊 mama tasha amenda jaman chiko sania musimuwe loooooo
@JemaMbwilo
@JemaMbwilo Час назад
Kai mjinga kweli na hauna msimamo mwanaume Gani wewe mda wote huko unamsikiliza huyo hujui kuwa unamuumiza zuu 😢
@JudithSimiyu-ps7ee
@JudithSimiyu-ps7ee Час назад
Usije ukamulaumu akuna mtu anaeweza kumsahau x wake
@SophieMogiti
@SophieMogiti 13 минут назад
Inabdi amsahau juu ni mtu muuaji😢😅Kai kwa ukweli umekera
@SamwelizackMollel-du2tg
@SamwelizackMollel-du2tg Час назад
Huyo aliyerudi kutekwa ni mpumbavu mwenza feki😂😂, original hajarudi😮😮
@YusraSiyaleo-yk2fz
@YusraSiyaleo-yk2fz Час назад
Tunaotaka cand adhulumiwe pesa zake gongen like hapa tujuane 😂😂😂😂😂
@Milkah-x1r
@Milkah-x1r 54 минуты назад
Kai ona sasa umeleta balaa wampa zuri wasiwasi haya like za zuri🎉🎉🎉
@sommohd7903
@sommohd7903 Час назад
Party za P DD 😂😂 Kai Acha uzungu Bhana 🤣....alaf piga menu unenepe kidogobhana mr Kai 😂
@JuliteNabwire
@JuliteNabwire 11 минут назад
Kai usidubutu kurudisha husiano na kendi itakuwa umeyaribu kabisa kuwa kama zatiti na Tasha👍
@FalidaIssa
@FalidaIssa 38 минут назад
Karogwa Kai hauko sasahihi kend niadui weww so msungu
Далее
MISSION IMPOSSIBLE [52]
21:47
Просмотров 10 тыс.
Satisfying DIY Earing for the Little Ones! 😲
00:33
HOUSE GIRL EP 28 | S3 | Love Story 💕💞
23:05
Просмотров 64 тыс.
MY MOTHER EP 28  | Sad Story 💔💔
21:53
Просмотров 24 тыс.
HUBA Leo IJUMAA full HD VIDEO 11-10-2025
24:03
Просмотров 8 тыс.
WAGENI WA KIJIJI  | EP 08 |
15:34
Просмотров 10 тыс.
MELISA EPISODE 7
23:19
Просмотров 59 тыс.
SARWAT-MALKIA WA BAHARI Episode 13
20:03
Просмотров 12 тыс.
MISSION IMPOSSIBLE [51]
23:39
Просмотров 152 тыс.