Zuu atapona next episode juu kuna moja tulionyeshwa wako wote kwa ep 29 halafu candy ataachana na Kai na candy na Sonia pia urafiki utaisha Ila kwa chiko na Bibi ndio siezi imagine kutakuaje😂😂😂
Hayah wanaitwa mashoga Huwa n kawaida tu kushare 😂😂😂 chuma hicho kendi enjoying from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 yaaani mzigo hauchelewi busaliti mko chapchap nawakubali jameni
Aya aya tena kumekucha kwa busat tv mambo 🔥🔥 np hap mm . Mwana kama mwana waif za bure z warabu karibu san 🇴🇲🇴🇲 jaman wif yangu zuu mung yup p moja na ww ishallah utakuwa saw