Тёмный

HOUSE GIRL EP 41 | S3 | LOVE STORY 💞💕 

BUSATI TV
Подписаться 143 тыс.
Просмотров 25 тыс.
50% 1

Кино

Опубликовано:

 

24 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 399   
@Hapygideon
@Hapygideon 4 часа назад
Kwa hiyo zatiti unamaanisha nini baada ya hayo masaa,na kwa huyu mpuuzi ulienda kutafuta nini,,ambao hatujapenda zatiti kwenda kwa chiko like zenu
@SharonChepngeno-d7e
@SharonChepngeno-d7e 3 часа назад
Ameanxa kukera😢
@RukiaJaji
@RukiaJaji 3 часа назад
mm hata ashaniboo najisikia kuacha kuangalia hii house girl
@AgnesMINANI
@AgnesMINANI 3 часа назад
Nikweli anakelaa
@PillyDaniel
@PillyDaniel 3 часа назад
Zatiti anakela mpaka anakela tena ntaanza kukuchukia sasa kama utarudi Kwa chiko
@Aminah-r4s
@Aminah-r4s 3 часа назад
Kabisa Yani mpaka basi😢😢
@Fatuma-e7k
@Fatuma-e7k 3 часа назад
Zatiti wallah umeniboo yani ukirudi kwa chiko sifatili tena house girl kama muko na mm like plz
@JaphetNoah
@JaphetNoah 2 часа назад
Hayo n maigizo tu dingiii kwan unazan chikko n mbaya kweli jaman???
@LisaLemi
@LisaLemi Час назад
Hawezi kurudi jamani angekuwa wa kurudi kwa Chiko asingeenda kusema kule kuwa aliemteka Kay ni shiko
@ZaneGideon-sp2pj
@ZaneGideon-sp2pj 9 минут назад
Hata mm yaniiiii
@buru1235
@buru1235 5 минут назад
Awezi dear Ni vile alikuwa anatafuta ushaidi Wa kutosha and ss watazamaji tunajua kuwa si chiko Zatiti awezi kurudi Kwa chiko ata kidogo
@DianaMkembelwa
@DianaMkembelwa Час назад
346,,,Zatiti umefeli sana.,pili Tasha umekosea kumruhusu Zatiti kwenda kwa chiko.namchukia chiko😂😂😂😂
@YusraSiyaleo-yk2fz
@YusraSiyaleo-yk2fz 2 часа назад
Kwa wale tulokuwa.tukiichungulia jana kutwa nzima gonga like hapa 😂😂😂😂😂😂
@JumaMsiri
@JumaMsiri 2 часа назад
Wangap wamemic kumuona rahma na mke mwenza masoz like hapa😂😂😂
@esthermabuga1259
@esthermabuga1259 54 минуты назад
Mm hapa walaaah nimewamisna bwana yao chisa😂😂
@Thekingofgodmmm
@Thekingofgodmmm 4 часа назад
Nawao omba sania azae mtoto atakaye zaliwa amefanana na ngonde like tijuane
@thommasemanuell4320
@thommasemanuell4320 3 часа назад
Habari wapendwa leo mimi kutoka kenya nimekua wa 157 hatakama nimechelewa jaman nipen like zangu namungu hawabariki
@RoseNanzu
@RoseNanzu 55 минут назад
Huyu zatiti akirudi huku siangalii tena hii house girl
@GilbertEdson-mh1ti
@GilbertEdson-mh1ti 4 часа назад
Tujuane tunaongaria movie hii tukiwa na stress kidogo
@esthermabuga1259
@esthermabuga1259 53 минуты назад
Mm stress za pesaa eeei😂😂😂😂😂😂
@SdFft-j5g
@SdFft-j5g 3 часа назад
Kwni papa tatizo lao nn, washafanya njia ya mkato wamepata card ya Kendi, mbna hawamwachii kai, alfu zatiti kama ungetaka kusaidia ktka hili swala la kai mbna haunge record anavyojigamba hyu Chiko, ila si kweli ila afadhali hangeenda kituo cha polisi labda angetambua hao kina papaa, alfu kitu kingne zatiti ukijrbu kurudi kwa Chiko naacha kuangalia hii movie
@fatumaselemani3807
@fatumaselemani3807 51 минуту назад
Mashallah ❤❤❤❤❤❤mungu abaliki sana kazi zenu
@sayunimnguruta98
@sayunimnguruta98 59 минут назад
Zatiti cheza na akili ya Chiko 😂😂😂 Tumia Akili kichwani hapoo Nakuaminia hujawahi kuniangusha
@etsareliza6687
@etsareliza6687 50 минут назад
Zatit umenikela sana kwenda kwa chiko alafu umekaa mwenyewe umejituliza umebowa sanaaa
@JoselineJuma-r7o
@JoselineJuma-r7o 52 минуты назад
Kila mtu anamlaumu Zatiti lakini hamuoni kuwa Zatiti anacheza kama undercover mwenye anakubaliana na mm anipe like
@SadaDjuma-e9b
@SadaDjuma-e9b 4 часа назад
Amani ya Mungu iwe juu yetu sisi ote tunaofuatiliya hii movies House girl,Ninawapenda saaan,Amani ya Mungu iwe juu yetu sisi ote 😘😘
@deboradeo-o2k
@deboradeo-o2k 4 часа назад
Naipenda jmn mpk naumw zatiti love you Tammy pia leo nmewah naomben like
@deboradeo-o2k
@deboradeo-o2k 4 часа назад
Naipenda jmn mpk naumw zatiti love you Tammy pia leo nmewah naomben like❤
@DamarisMoraa-y5d
@DamarisMoraa-y5d 4 часа назад
Sijajelewa team gulf tunaopenda tasha na zatiti ebu tujuane wale tulipigia chiko simu kuwa anadhulumiwa ktk saudi arabia
@GloriaNahimana-x8p
@GloriaNahimana-x8p 4 часа назад
Kweri kama unapenda zatiti na Tacha tujuane🎉🎉🎉
@BrendaMogambi
@BrendaMogambi 4 часа назад
Wanao jungulia kila wakati Tukisubilia chiko arudi vile kitamramba😅😅😅😅
@marykadzo5672
@marykadzo5672 2 часа назад
Nyanyake zuu alikua mrembo sana enzi zake ......nampenda sana
@QweenNickson
@QweenNickson 4 часа назад
I can't believe kama nimekuwa wa kwanza jamani. Nawapendaa sanaaa watazamaji wenzagu pamoja na Wana Busati TV.❤❤❤ Like zenu please 🥰🥰🥰
@busatitv
@busatitv 4 часа назад
❤❤❤
@godfreychambo1040
@godfreychambo1040 Час назад
Zatiti kazingua
@QweenNickson
@QweenNickson Час назад
@@godfreychambo1040 sanaaaaaaaaa.
@AsmaKhamis-y8r
@AsmaKhamis-y8r 2 часа назад
Jamn na mm naomba like jpo 2 t
@Mwana85Mwana85-wz1ol
@Mwana85Mwana85-wz1ol 3 часа назад
Zatiti acha ujinga ww San km utarudia na chico mm siagali ten wallah sijapenda mm zatiti Kwa hili
@JaneMhango-yl7xo
@JaneMhango-yl7xo 4 часа назад
Wooooh kazi mzuri dada zatiti kwakujua ukweli kuhusu sania
@deboradeo-o2k
@deboradeo-o2k 4 часа назад
Jmn jmn zatiti Nakupenda mno wakwanza Leo naombeni like zn
@MonicaNathanael
@MonicaNathanael 12 минут назад
Kwa tunaojua kufikiria zaidi big up kwa zatiti najuaa kunakitu umefuata huko ili kurahisisha kazi
@HappyDickson-d2g
@HappyDickson-d2g 4 часа назад
Wangapi walikuwa wamemisi house gro jaman❤❤❤
@TimotheoNdonde
@TimotheoNdonde 3 часа назад
Tunao amini kuwa Kai atatoka kweny mikono ya papaa, na candy atafer mipango yake gonga like❤❤
@Saumu-vr4bc
@Saumu-vr4bc 4 часа назад
Chiko Chiko Choliko unasema Zatiti n malkia wa moyo wako baada ya kujua kua ww huna kizazi, Pole yako
@TahiyaSaleh
@TahiyaSaleh 4 часа назад
Waojuwa kuwa zatiti atacheza na chiko kumtowa Kai gonga like apa 😊
@MalkaNinik
@MalkaNinik 25 минут назад
Nipo.pamoja nawewe
@SofiaAliAli
@SofiaAliAli 3 часа назад
Zatiti kama wewe umefundwa ukafundika uwezi kumuwacha mumeo tacha na kurudi kwa chiko,wadau like hapo
@FaustaLutugely
@FaustaLutugely Час назад
Jamani mm zatiti ameniboa sana Kama mnakubaliana na mm like jaman
@buru1235
@buru1235 4 часа назад
Mashallah n vile nimegojea Sana wow thanks for the update
@Tynamnyilis9824
@Tynamnyilis9824 4 часа назад
Wa tatu like zote kwangu
@Najmahnyangasi
@Najmahnyangasi 4 часа назад
Kazi nzuri sana ❤❤❤❤❤❤nawapenda bure watazamaji wenzangu na busati Tv 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@SalmaYusuph-y8o
@SalmaYusuph-y8o 4 часа назад
Jaman leo mie wa kwanza kutoka gulf naomben like
@NeemaEli-wl1dz
@NeemaEli-wl1dz 2 часа назад
Tumehipenda sana himuvi nizuri sana mungu hawahinuwe juu sana
@MargaretKilongi
@MargaretKilongi 4 часа назад
🎉🎉 tulikua tukiongoja kwa hamu weka tick
@egnusmhesi5444
@egnusmhesi5444 55 минут назад
Sasa hii movie malizeni mnakoelekea mnaharibu.
@EstherMwalukasa-i7r
@EstherMwalukasa-i7r Час назад
Zatity utafanya watu waache kufuatilia hii movie achaujinga ww Mdada utaharb movie
@JacintaMaloba
@JacintaMaloba 4 часа назад
Mie wa mwisho 😂 sitaki like zenu
@Fatuma-e7k
@Fatuma-e7k 4 часа назад
Pia ss atukupi😂😂😂
@jubaidamiss2409
@jubaidamiss2409 2 часа назад
Next ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
@FloraMkumbo
@FloraMkumbo 4 часа назад
Kasiriii ilo kwiooo chiko bhan😂😂😂😂
@JulieMisana
@JulieMisana 2 часа назад
Dah!!! Mambo msongamano
@LucyLumwecha
@LucyLumwecha Час назад
Namwamini zatiti uo nimtego kamtega chiko wanao kubali tujuane
@StulidaNgombe-k3k
@StulidaNgombe-k3k 4 часа назад
Leo nimewah jaman naomba like
@doroblessing3779
@doroblessing3779 2 часа назад
Zatiti anajua kucheza na akili za chiko,zatiti anampeleleza vizuri chiko
@Hailshhasibu-xx2kd
@Hailshhasibu-xx2kd 4 часа назад
Aslamualeikum warahmatullah nipewe
@AaAaarehema
@AaAaarehema 22 минуты назад
Mm napenda sana zatiti, vyenye anamfatilia Sania 😂😂😂😂😂😂.
@ZabibusuphianialisuphianiAlly
@ZabibusuphianialisuphianiAlly 4 часа назад
Nimewahi kiasi mnipee like sijui nitazipeleka wapi 😂😂😂😂😂 team busati tv twende nalo guys tap tap screen 🎉🎉🎉😂😂😂😂😂😂😂😂
@haythammohd5599
@haythammohd5599 4 часа назад
Nimekua wa kwanza leo weeeeee amkeni jamanii sania anakichambo chake ukuuuuuu
@ChimammyMummy
@ChimammyMummy 3 часа назад
🤣🤣🤣chiko na bidii zako zote afu end of the day zikuponzee ndio nitajua mandevu zako n Bure bilash hata beberu anazo
@SharonChepngeno-d7e
@SharonChepngeno-d7e 3 часа назад
Wapi Mauwa ya mama tasha❤❤❤❤❤❤❤
@AaAaarehema
@AaAaarehema 21 минуту назад
Sania bibi ya mganga na kijacho cha mganga basi hatulii, mimba ya mganga inamsumbua😂😂😂😂.
@meshackdyanka7826
@meshackdyanka7826 Час назад
Busti hamjui kutunga story
@RoseMaya-n7t
@RoseMaya-n7t 37 минут назад
Chiko mara kidudu mtu mara kipochi manyoa😂😂😂😂😂
@RehemaMwakisyala-k9u
@RehemaMwakisyala-k9u 3 часа назад
Zatt anaakili nying sana munaoona kawakwaza subilien ni gem ilo anacheza Tena kwa akili mutamuelewa tu
@Amal-iq1wg
@Amal-iq1wg 2 часа назад
Yeah nimchezo Ana chezaa
@KhadijaMwinjuma
@KhadijaMwinjuma Час назад
Kigogo wa konekshen au baba kai😊
@rehemalimonga9058
@rehemalimonga9058 Час назад
Move tamu lkn mjitaidi kutoa vipande viwili2 hili twende faster2
@AisherJuma-d2q
@AisherJuma-d2q 2 часа назад
😂😂😂😂ety chiko amekuwa Gen z aaaaah wpi
@CharlesSebunga
@CharlesSebunga 50 минут назад
Hili movie kama mlevi linaenda hatua moja mbele na kurudi hatua kumi nyuma ni ujinga tyuu
@ShufaaUbwa
@ShufaaUbwa 2 часа назад
Mwezenu zatiti amenitibua balaaa natamani nisiangalie tena muvi yenyewe aaah
@NeemambagaEneza
@NeemambagaEneza 4 часа назад
Mnatucheleweshea sana busati leteni mambo
@Juliety-v3o
@Juliety-v3o 4 часа назад
Kama zatiti akirudiana na chiko naomba tu mmalize move coz naona kabixaa ladha inaisha
@Mwana85Mwana85-wz1ol
@Mwana85Mwana85-wz1ol 3 часа назад
Mm ndyo siagali kabisa
@MaggySemkande
@MaggySemkande Час назад
Umekoment ukiwa wapi😅​@@Mwana85Mwana85-wz1ol
@PriscaBenjamin-ub7lu
@PriscaBenjamin-ub7lu 4 часа назад
Mnatucheleweshea Sana jaman
@JentrixSungu
@JentrixSungu 3 часа назад
Chiko unaongea vizuri sania ananyonga malkia wa chiko😅😅😅😅😅😅
@mapesaomary-ip3vf
@mapesaomary-ip3vf 2 часа назад
Sania anafaa sana kuwa kiongoz wa vikoba vya marejesho
@saumodzumbo9671
@saumodzumbo9671 3 часа назад
Yaani da zatiti ukirudi tena kwa chiko utatuangushaa sana ndugu yetu 😢😢😢😢
@happysamson915
@happysamson915 2 часа назад
Duuuuuuh zatiti anazingua kinoma mmmmmmh na hii move tena basi tena
@ElizabethMumbi-c6x
@ElizabethMumbi-c6x 4 часа назад
Leo nimewah jamna mauwa yenu busati Tv🎉🎉
@MalkaNinik
@MalkaNinik 11 минут назад
Jamani fanyeni mkiangalia move mpaka iishe ndipo mcomment maana watu wengi wamemlaumu zatt wakati hakuna mbaya.alilolifanya msikimbilie commet
@PILICHIGILO-fm3yo
@PILICHIGILO-fm3yo 5 минут назад
Hakika wawe wanaangalia adi mwisho
@jacklineteresia2629
@jacklineteresia2629 Час назад
Musitoe zatit makosa ako sawa anataka kujua vizuri saidi sioni kosa apo 🎉🎉🎉
@MercyMercy-lm8nq
@MercyMercy-lm8nq 44 минуты назад
Mm cjapenda zatiti kwenda Kwa chiko
@ElinahChama
@ElinahChama 3 часа назад
Jamani movie zuri ila dakika ni chache sn jaribuni kuongeza dakika
@RizikiZiki
@RizikiZiki 3 часа назад
Tatizo lenu mutu akitekwa kusema arudiye mpaka mutukaushe roho jamani iishe basi tusije tukaumwe maugonjwa ya moyo kisa nyiye Zatiti ndouyo kaisha jipeleka kwa Ciko munategemeya nini sasa ebu tuaceni siye imalizeni mutuleteye nyengine iyi tumeishiba sasa
@bintijumachongoa892
@bintijumachongoa892 2 часа назад
Kbsa ishasinyaa yaan atutamani kuona mbele
@NailaKenya
@NailaKenya 2 часа назад
Hii movie hta ilikofika haibambi😂😂
@ZainabAbdullah-bc6pu
@ZainabAbdullah-bc6pu 8 минут назад
Hii movie inapoteza uhalisia bora iishe tu
@kelvingosbert69
@kelvingosbert69 4 часа назад
Now days naangalia hii movie uku napeleka mbele imekuw ndefu sana inapoteza radha😥
@goodluckjohn
@goodluckjohn 3 часа назад
Yani wameifanya ndefu mpaka inakera
@GladyJackson-ub5qf
@GladyJackson-ub5qf 3 часа назад
Upo kma mimi
@GladyJackson-ub5qf
@GladyJackson-ub5qf 3 часа назад
Masuala mengine hayana umuhimu kma kutekana ya nini,,
@goodluckjohn
@goodluckjohn 3 часа назад
@@GladyJackson-ub5qf sio pw
@AzizahMustafa-j9n
@AzizahMustafa-j9n 2 часа назад
​@@GladyJackson-ub5qfile maana halisi ya house girl imepotea kabisa
@AngelMayani
@AngelMayani 3 часа назад
Mbona mnachelewa sana kuhusu kutuma hizi sio kama zamani
@ASHAHAKIM-qm9gu
@ASHAHAKIM-qm9gu 4 часа назад
Move wanaifuj chiko mbaya skuiz
@abdallahassan6378
@abdallahassan6378 4 часа назад
Jmn nimewahi kidg🎉😂
@gracenyevu8082
@gracenyevu8082 37 минут назад
Much love from kenya 🇰🇪🇰🇪
@AminaKidare
@AminaKidare 2 часа назад
Mi nmemuelewa sana zatiti ,hapo anaweka kamtego tu anajua chiko ni dhaifu kwake
@MartinNiyukuri-n2t
@MartinNiyukuri-n2t 3 часа назад
MV tayari tumeichoka
@AnnethEfrahim
@AnnethEfrahim 2 часа назад
Yani zatiti akiludi Kwa chiko sifatilii Tena house girl
@TzSweetheart
@TzSweetheart Час назад
Uyo Sania kisura chake😂😂
@salhaissa-xq9ov
@salhaissa-xq9ov 3 часа назад
Nyie firahie t chiko bomu lenu linakuja
@Salmasaidi-h5p
@Salmasaidi-h5p Час назад
Chiko utapigwa na kitu kizito wew zatiti sio mjinga 😂😂
@Saumu254
@Saumu254 Час назад
Chiko hachoki na mbinu zake na hafaulu kabsa😂😂😂
@MillicentMaina-r8x
@MillicentMaina-r8x 4 часа назад
Naomba like jameni ndungu zangu
@RahabuKal
@RahabuKal 2 часа назад
Sania kamkonde acha shoboo
@NadiaRamadhan-q1m
@NadiaRamadhan-q1m 4 часа назад
Waooooh maashalla
@JaphetNoah
@JaphetNoah 3 часа назад
Chiko nakubali jambaz mkuuu af tasha ndo steling wa movie
@Mwana85Mwana85-wz1ol
@Mwana85Mwana85-wz1ol 3 часа назад
Zuuu na ww jirekebushe bas mafazi saiv n vijora tu bei poa mbona upo hvyo badisha vijora umekuwa rafu san km sio mama kijacho mnashindwa na mshangazi masuzi mashallah kwa kubadilsha eeee yup vizur
@MtumishiEstonFidelMtumishiEsto
@MtumishiEstonFidelMtumishiEsto 3 часа назад
Hiiii move kuna mda ina boa kishenz
@FaithGeoffrey-i8c
@FaithGeoffrey-i8c 37 минут назад
Zatiti umeniudhi ki ukweli
@rufinafranciscobene2680
@rufinafranciscobene2680 Час назад
Ningependa baba Kai tacha na bibi zuli watoke paka kwa chiko kwa Jili Ya kumuokoa zatiti
@FaridaVctor
@FaridaVctor 12 минут назад
Haki zatiti umeniboo sasa kai ametekwa baada waangalie hili yy naye analeta mengine
@FatumaChindoro-p8o
@FatumaChindoro-p8o 3 часа назад
Siku hiz mwachelewesha house girl kweli mwatuboo
Далее
HOUSE GIRL EP 40  | S3 | LOVE STORY 💞💕
21:41
Просмотров 93 тыс.
MAUMIVU [8]
14:13
Просмотров 7 тыс.
MY MOTHER EP 30 |FINAL EPISODE  | Sad Story 💔💔
23:54
EBITOKE NA OBEDI LAZIMA UCHEKE
5:09
Просмотров 358 тыс.
I LOVE MY TEACHER | 1 |
18:16
Просмотров 425 тыс.
BABA YANGU KIPOFU Full  episode /53/ #love
20:30
Просмотров 26 тыс.
VITUKO VYA KWENYE DALADALA (EP1)
11:33
Просмотров 132 тыс.
Кэшбек😁#шортс #юмор #сериал
0:13
Переиграл 🤣❤️
0:38
Просмотров 559 тыс.
Behind The Scene🤌🏻🤣
0:14
Просмотров 24 млн