Тёмный

Hukmu ya Wazazi wa Mtume S.A.W 

Ahlusunnah Wal-Jama'a
Подписаться 25 тыс.
Просмотров 11 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

29 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 35   
@abdallahmuhammad4729
@abdallahmuhammad4729 6 лет назад
Shukran Sana ya Sheikh nakuombea umri mrefu wenye kheyr na uzima wa kiwiliwili chako In sha llah uzidi kutuelimisha.Ewe Mola Mbariki na umjaze Kheyr kipenzi chetu Mtumi Muhammad (A s w).
@twaibashabani3598
@twaibashabani3598 6 лет назад
Amiin
@abuydifundi1106
@abuydifundi1106 3 года назад
maashaa allah shekh mbaraka awesos
@Faisal_213
@Faisal_213 5 лет назад
Jaazakallah sheikh. Na vile vile mtume wetu Muhammad SAW alitufundisha kabla ya kutoa salaam katika swala tuwaombee maghfira na rehma wazazi. Allah subhaanahu wataala katika Quran asema, waqathaa rabbuka.............wa qul rabbi rrhamhumaa kamaa rabayaani swaghiiraa. Je? ni sahihi hakuwaombea wazazi wake. Wallahu yaalam.
@yamdinhopapaa4144
@yamdinhopapaa4144 3 года назад
Habibi muhammad Swalallahu alayhi wasalam 🥰🥰❤️☝🏽
@WeBorn2DieAnyTime
@WeBorn2DieAnyTime 12 лет назад
InshaAllah, Wazazi hao watukufu wako/ama wata kutana huko peponi (Jannatulfirdows) pamoja na Kijana wao mtukufu, Mtume watu mpenzi mtukufu Mtume Mohammad (Sallallaahu Aleyhi wa Sallam) MashaAllah BaarakAllahu feek for sharing.
@hanzwala9704
@hanzwala9704 3 года назад
Mashallah shekh letu
@ibrahimkirumbi9173
@ibrahimkirumbi9173 5 лет назад
Mashallah shekh
@abuydifundi1106
@abuydifundi1106 3 года назад
wasemae wazazi wa mtume wako motoni waache haraka iwezekanavyo
@mira-gq3qg
@mira-gq3qg 5 лет назад
Mashallah
@WeBorn2DieAnyTime
@WeBorn2DieAnyTime 12 лет назад
Labdha Allah (Subhanahu wa t'aala Azza wajjal) alipo Kataa kwamba Mtumme Muhammad (Sallallaahu Aleyhi waSallam) asimuombee mama yake makhfira, labdha Mola wetu alikuwa ashawasamehe wazazi wa Mtume Muhammad (Sallallaahu Aleyhi waSallam).
@aboudsaidaboud7667
@aboudsaidaboud7667 4 года назад
amejibiwa vizur na sheikh kassim
@alishariff8657
@alishariff8657 6 лет назад
Jazaak Allah ustad Aweys
@WeBorn2DieAnyTime
@WeBorn2DieAnyTime 12 лет назад
Mimi naona kwamba wazazi wa Mtume Mohammad (Sallalaahu Aleyhi waSallam) pengine walikuwa wameshasamehewa, kwa sababu ni wazazi watukufu., kuna Aya ya Qur'an Kareem ina seema kwamba kuna watu waislamu ambao watu hao watangiya peponi wote, yani wazazi wao, na watoto wao, Allah (Subhanau wa Ta'aala Azza wajjal) ndiye mwenye kusamehe matakae, na Ana muadibu amtakae, BaarakAllahu feek for sharing.
@yazidbafunda5092
@yazidbafunda5092 6 лет назад
Katika dini hakuna rahi ( naona) ndugu
@AhlusunnahWalJamaa
@AhlusunnahWalJamaa 13 лет назад
@muzzy7919 Salams. Yap bro Editing yake ndio haikufanyika vizuri sio uploading. Nafikiri wamefanya kusudi ili itumie dakika chache ili tusichoke kusikiliza lol.
@WeBorn2DieAnyTime
@WeBorn2DieAnyTime 12 лет назад
As Salaam aleykum waRahmatullahi waBarakaatuh, MashaAllah,Sheikh ni kweli kabisa haifai kabisa kufikiriya ubaya juu ya wazazi wa Mtume Mohammad (Salallaahu Aleyhi wa Sallam), Lakini ajabu ni kwamba wale ambao wana poteza wakati wao kuandika urongo juu ya wazazi wa Mtume Mohammad (Salallaahu Aleyji wa Sallam) watu Hawo warongo wana hakika gani kwamba wao wenyewe wata ingia peponi .???? inshaAllah wazazi Hawo watukufu wakotola peponi pampa na kijana wao Prophet Mohammad (Salallahu aleyhiWaSallam)
@WeBorn2DieAnyTime
@WeBorn2DieAnyTime 12 лет назад
Wale wano watakiya mabaya wazazi wa Mtume wa Mola wetu mtukufu (Sallallaahu Aleyhi wa Sallam) kwanza wa shugulike na nafsi zao.
@alihaji6656
@alihaji6656 4 года назад
kuna watu wapo kwaajili y kupinga hoja z masheikh t...et wajiita salafy mwema gn alomtaj mtu hadharan...elimu yao n yakujionesh n kutok kuonekan km wapo juu kielimu.....sheikh awesu endelea kutoa da'wa usiwasikiliz ao jamaa
@majidsalum4981
@majidsalum4981 7 лет назад
mzeeyusuf
@muzzy7919
@muzzy7919 13 лет назад
salam bro mbona lecture iko ospeedy sana editing haikufanyika vizuri,,or may be upload
@mariamubomeza1894
@mariamubomeza1894 7 лет назад
mbona nmepata kuckia kuna hadth mtume mwenyew asema hakika wazaz wangu mm wako motoni
@asinakassim1548
@asinakassim1548 6 лет назад
hakuna hadithi hiyodada irudie huenda ulielewamakosa... Mtume rehma na amamizimshukie babayake alikufa kabla hajazaliwa na hakuwamioni mwa waliomuasi Maemyezimungu...mamayake vilevile alikufa akiwa na into wa miakasita na alikuwa mwanamke aliyebobea katika maadili mema na nyendo njema hakuwamiongoni kwa waliomuasi MWEMYEZIMUNGU ALIYE MWINGI WA REHMA NA MWENYE KUREHEMU...ASSALAM ALYKUM
@baiyobaijamki4694
@baiyobaijamki4694 5 лет назад
hiyo hadithi iko sahihu muslim kitabul imaan
@swahibually6664
@swahibually6664 2 года назад
Una matatizo ya masikio au? Maana hiyo Hadith unayosema ameifafanua vizuri ktk hiyo clip,hembu irudie kuisikiliza tangu mwanzo,tatizo la Qasim mafuta na Mawahabi wooooote,wana vita na Mtume,huoni Mtume akisfiwa wanakasirika,leo wamehamia kwa wazazi wa Mtume baada ya kushindwa kuzuia kusifiwa Mtume.
@abedabadi692
@abedabadi692 10 лет назад
Wacheni kuonesha kama kwamba waliosema qawl kuhusu wazazi wa m2me s.a.w ni watu wabaya...bali ni ulamaa pia.
@shabanmbajo191
@shabanmbajo191 4 года назад
Wasemao Wanabahthi Ya Kutosha,Ya Wanavyuoni Hadi Uwajuao, Je We Una Bahthi Kiasi Gani Hadi Umkosoe Ulamaa Kama Huyo!
@umayyaali75
@umayyaali75 6 лет назад
Samahani lakini Mazda hii haifai kuzungumzwa mutlaq kwa sababu hakuna moja aliwapelwkea uislamu.hata quran imetufindisha kAma mtu hujui jambo haadhibiwi
@sheriffshatterz
@sheriffshatterz 6 лет назад
rawi hammad bin salama ni athbath nia thiqah kupokea kutoka kwa thabit kulingana na wanazuoni wa hadithi kama vile yahya bin main,ahmad bin Hanbal,sh daraqutni, al mizzi,hawa wote ni wanachuoni wa ilmu ya jarh wa ta3dil, imam suyuti rahimahullah hakuwa katika wanazuoni wakutegemewa katika ilmu ya hadith na ilmu ya jarh wa ta3dil, bali alikuwa gwiji kwenye fanni zengine, fiqhi,nahw etc na ndyo maana kwenye hili la kumtanguliza mar'mar bin rashid kuwa ni athbath kuliko hammad bin salama hakuna mwanachuoni yoyote aliyemtangulia kufanya hvyo ispokuwa yeye peke yake mbarak awes amefanya taqlid kutukuwa riwaya ya imam suyuti na kuifanya ndyo hujjah bila ya kuangalia qaulu raji7 ya wanachuoni wa jarh wa ta3dil..na hili amelifanya kwa sababu masufi na watu wa twariqa na mashia tuhma yao kuwa hizi hadithi znazosema wazazi wa mtume wako motoni ni fikra za kiwahabi kwa madai kuwa mahawabi hawampendi mtume sallallahu aleyhi wasallam na eti wanamdharau na kumkejeli, subhanallah, yani dini sasa imetiwa hamasa na uhizbya badili ya kuangalia haki ipo wapi Allahu musta3an
@ibrahimuatadi42
@ibrahimuatadi42 8 лет назад
assalaam alaykum ! waislam nisikilizeni kwa makini ! mtume huyu ndie aliwaombea watu wawili maqaburini wakapunguzikiwa na adhaabu. mtume huyo huyo ndie atawaombea watu siku ya kiyaamah! halaf mnamkubali mtu aseme eti babie na mamie mtume motoni! hilo halingii akilini. maana wazazi wa mtume hawa kuhusika na ibaada yoyote ya kumuaswi m mungu. na m mungu atawaingiza peponi. yaghfiru liman yashaau wa yuadhibu liman yashaau wallaahu alaa kuli shayin qadiiru. wabillaahi tawfiiqi.
@alishariff8657
@alishariff8657 6 лет назад
Ibrahimu Atadi Maashaallah
@abedabadi692
@abedabadi692 10 лет назад
Jee imaam nawawi si tabibu faqih?wacha tahwiilaat na kujidai 3allama..وفيه أن من مات في الفترة على ما كانت عليه العرب من عبادة الأوثان فهو في النار ، وليس هذا مؤاخذة قبل بلوغ الدعوة ؛ فإن الدعوة كانت قد بلغتهم دعوة إبراهيم وغيره من الأنبياء صلوات الله تعالى وسلامه عليهم " انتهى .
@abujamalaalghammawiy7470
@abujamalaalghammawiy7470 4 года назад
Kwani hao Mitume wote waliotumwa kabla ya Muhammad walitumwakwa walimwengu wote? Wewe hujamuelewa Imam Nawawi. Hao mitume wa zamani wote walitumwa kwa watu maalumu tu. Na ujumbe wa Nabii Issa ulikuwa kwa Wayahudi pekee, haukuwahusu waarabu. Mtume s.a.w alipotimilizwa ndio watu wengine wote wakaingia katika ujumbe huo.
@abedabadi692
@abedabadi692 10 лет назад
Albayhaqi pia ni alhaafidh na faaqih,,jee alishindwa kuelewa dalili na wajh ali istidlaal..na hakuwa adawaat al ijtihaad?..sikiza asemaje..قال في الدلائل (1/192, 193) : " وكفرُهم لا يقدح في نسب رسول الله صلى الله عليه وسلم ؛ لأن أنكحة الكفار صحيحة ، ألا تراهم يسلمون مع زوجاتهم ، فلا يلزمهم تجديد العقد ، ولا مفارقتهن ؛ إذ كان مثله يجوز في الإسلام وبالله التوفيق " انتهى .
@shirinomar4065
@shirinomar4065 9 лет назад
Dsetyippp o
Далее
Hukmu ya Kumsomea Maiti Qur'an.mp4
48:35
Просмотров 35 тыс.
HUKMU YA WAZAZI WA MTUME - SHEIKH MBARAK AHMED AWES
55:15
Когда Долго В Рейсе)))
00:16
Просмотров 109 тыс.
skibidi army returns (skibidi toilet 77)
00:49
Просмотров 2 млн
Matukano na U wa Bahero Mimbarini 2/2
24:05
Просмотров 30 тыс.
11 Wazazi wa Mtume walikuwa waislamu
8:19
Просмотров 160
Ufunguo wa Maisha Yenye Amani
16:27
Просмотров 1,2 тыс.