Тёмный

HUKU NDIO NILIPATA KAZI NIKATOKA BONGO NIKAJA MAREKANI/NYUMBA NYINGI WATU HAWAKAI WANAKUJA SUMMER TU 

Black Singapore Tz🇹🇿
Подписаться 4,4 тыс.
Просмотров 8 тыс.
50% 1

Видеоклипы

Опубликовано:

 

8 июл 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 45   
@pablomnyama
@pablomnyama 21 день назад
Duuh ww umesha kuwa boss bro hiyo pesa unayo piga sio poa salutee
@rumdeesonsoa1811
@rumdeesonsoa1811 21 день назад
Hapo kuzuri kuishi kuliko kwenye jiji katikati. Mazingira yametulia vizuri
@BIGBOSS-hl3bu
@BIGBOSS-hl3bu 12 дней назад
Nikwambie kitu ndugu yangu,fanya jambo tukukumbuke daima ,jambo lenyewe jivunie japo kuwapa watu michongo ya KAZI watanzania wenzako waje huko u.s.a
@salumrashidabdullashmely2558
@salumrashidabdullashmely2558 3 дня назад
Watu weupe si wanakuona kama nyani tu na miti hio. Ndio maana mbwa anakubwekea
@aronindibalema4964
@aronindibalema4964 21 день назад
Mbona kagera nyumba kama izo kibao tu vijijini kasoro lami
@suleimanbalemba3348
@suleimanbalemba3348 21 день назад
Dah pazuri kama green city mbeya
@chantalmanariyo8850
@chantalmanariyo8850 21 день назад
Ok,sasa wanakula nini hapo sioni hata kakitu kakula !! Hamna soko!?
@TheSadicLife
@TheSadicLife 17 дней назад
Kua makini sehemu za utulivu kama hizo ukiwa unatembea peke yako hasa kwa mtu mweusi. Kila la heri
@user-bf3mm5wu1s
@user-bf3mm5wu1s 10 дней назад
Jamani tupeane michongo tuje uko mm passport kubwa Ninayo ni drive wa truck naenda congo
@kalishaban252
@kalishaban252 3 дня назад
Du kuzuri ila pamepoa sana
@Sidrasidra636
@Sidrasidra636 13 дней назад
Hivi huogopi una tembea sehem ya hivo hakuna mtu hata mmoja anae pita kwa mguu!?🤔 kusema kweli panatisha😂
@enemtatuka5863
@enemtatuka5863 14 дней назад
Brother kak 😮😮😮wew nimtu muhim san
@HalifaSalim
@HalifaSalim 9 дней назад
From zanzbari
@suzanngowi5223
@suzanngowi5223 21 день назад
Mkuu🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@geofreytimothy5858
@geofreytimothy5858 21 день назад
Naomba namba yako ya Whatsapp kaka. Nahitaji kuwasiliana na wewe tafadhali.
@HajiKlein-so1rk
@HajiKlein-so1rk 21 день назад
Safi chief 👏
@charlesmajuto4664
@charlesmajuto4664 21 день назад
Unyama mwingi saana huko
@wariobamussa2462
@wariobamussa2462 21 день назад
Big up mdogo wangu nakutakia kila la heri.......!
@blacksingapore
@blacksingapore 21 день назад
@@wariobamussa2462 ahsante kaka🫱🏾‍🫲🏿
@ahmedalfan8075
@ahmedalfan8075 21 день назад
One day brother see you
@pablomnyama
@pablomnyama 21 день назад
Hiyo mijengo kama masaki aise🤣🤣
@tunauzapweza3501
@tunauzapweza3501 21 день назад
Kila la kheri mzee
@gnaivasha
@gnaivasha 20 дней назад
uku inaonyesha ukiwa na lawncare company unapiga hela sana
@hussenkarigo4496
@hussenkarigo4496 21 день назад
Tupe michongo kaka natamani na mm nije kufanya kazi uko na kuishi niunganishe kaka
@bakarymousam126
@bakarymousam126 19 дней назад
Je una passport kwanza ?
@sharifukilongo2565
@sharifukilongo2565 19 дней назад
Passport, ipo
@bakarymousam126
@bakarymousam126 17 дней назад
​@@sharifukilongo2565 sawa je mpk Sasa umesave pesa ngapi Kwa ajili ya kuanza mchakato wa safari?
@bakarymousam126
@bakarymousam126 17 дней назад
Je mpk Sasa umetunza pesa ngapi Kwa ajili ya mchakato wa safari
@mangofish9079
@mangofish9079 17 дней назад
Hussein nchi za majuu hazina future tena migogoro mengi sana inakuja siku za karibuni
@liverpoolvsrangers2273
@liverpoolvsrangers2273 21 день назад
Npo Seattle karibu sana kaka
@user-pq3jt5rb2l
@user-pq3jt5rb2l 21 день назад
Mzee nakupataje aiseee
@blacksingapore
@blacksingapore 21 день назад
Ahsante nakaribia
@edwinrobert3507
@edwinrobert3507 16 дней назад
Oiii Seattle pande zipi??tuchekiane
@MohamedIddy-w2s
@MohamedIddy-w2s 9 дней назад
Ndg wasaidie watu number yako ya whats sap
@Laizer3
@Laizer3 21 день назад
WAZUNGU NDIO WAMESTAARABIKA ELIMU YAO IMEWAKOMBOA HUKU BONGO NI PACHAFU KILA MAHALI NI CHAFU.
@amianndeya8932
@amianndeya8932 21 день назад
Wenzetu wanaheshimu sana mazingira na smartness, ukimkabidhi mbongo eneo hilo utashangaa mara amekata miti na kuchoma mkaa
@blacksingapore
@blacksingapore 20 дней назад
@@amianndeya8932 uko sahihi
@nellykibukila5677
@nellykibukila5677 20 дней назад
Kaka mimi ni saidiye na number yako ya simu nataka uni fafa nuliye kuusu kazi ,a shamba.
@mpigadaud4180
@mpigadaud4180 21 день назад
Kaka nipe no yako ya Whatsapp
Далее
Maisha yangu Basic combat training [US.Army]
43:50
Просмотров 18 тыс.
HUDUMA ZA  KIJAMII  HAPA CANADA
7:44
Просмотров 148
Scally Milano, uglystephan - Сутенер
2:01
Просмотров 198 тыс.
Vefa Serifova & Vusal Eliyev - Omrum 2024 (Yeni Klip)
2:34