Тёмный

HUKUMU YA KUJENGEA KABURI NA KUWEKA JINA NA TAREHE YA KIFO: SHORT CLIP WADHAKKIR. SHEIKH KISHKI. 

Подписаться
Просмотров 3,2 тыс.
% 65

Опубликовано:

 

20 июл 2023

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 21   
@MteleShadia-lc6gi
@MteleShadia-lc6gi Год назад
Mashallah mashallah shekh wetu nurdin kishik nakuelew vizr snaa,, Allah akuhfz sanaa
@siriyangu4724
@siriyangu4724 11 месяцев назад
Mashallah sheikh shukran jazzaka Allah khery
@HassanHassan-ix7cj
@HassanHassan-ix7cj Год назад
Shukran Kwa huu ukumbusho
@katore1982
@katore1982 Год назад
Assalamualaikum warahmtullah wabaraqthu sheikh kishki na team nzima nwasikiza kila mda ... kwetu Mombasa Kenya ila naiko ughaibuni Qatar, Allah awajaaliye kheir
@bentybenty2343
@bentybenty2343 Год назад
Waaleykum salaam warahmatullah wabarakatuh.
@siriyangu4724
@siriyangu4724 11 месяцев назад
Walyekum mssalam warrahmathuallah wabarakathu amiin
@Zamdayusuph-qb3lk
@Zamdayusuph-qb3lk 2 месяца назад
Sultan sheikh mung akujaliye mwishomwem na wenyemanufaa ndan yake
@ilhanmohasuleyman4568
@ilhanmohasuleyman4568 Год назад
mash allah shekh wetu❤❤❤
@omanmct135
@omanmct135 Год назад
Mashalllah shekh❤❤❤
@halimamfaume1925
@halimamfaume1925 Год назад
Shukraan sheikh 🥰
@katore1982
@katore1982 Год назад
Swali langu ni kwamba je mtu asiyekuwa muislamu anaweza kujenga msikiti na waislamu wakawa wanaweza kuswali na je wakiswali swala zao zitakubaliwa, shookran jazzakaAllahukheir
@abdulishaban7795
@abdulishaban7795 Год назад
Asalam alykum waramathulillaah wabarakat ndg zangu katka iman mm nauliza ivi nn maana ya jina HENZA katka dini yetu
@fatumakushonda4277
@fatumakushonda4277 Год назад
Assalamualaikum,swali langu nimezoea kusoma km nalala,je nikiwa kwenye hali zangu naweza soma ama vp
@mohammedally696
@mohammedally696 Год назад
Assalam aleikum sheikh Yahya hichi kipindi ni Kila siku au
@HassanHassan-ix7cj
@HassanHassan-ix7cj Год назад
Assalam Alaikum Warahamatullahi Wabarakathu
@bentybenty2343
@bentybenty2343 Год назад
Waaleykum salaam warahmatullah wabarakatuh
@aminanahimana8759
@aminanahimana8759 Год назад
Waalaykumsalam warahmatullah wabarakaatu
@siriyangu4724
@siriyangu4724 11 месяцев назад
Walyekum mssalam warrahmathuallah wabarakathu
@bentybenty2343
@bentybenty2343 Год назад
😂😂😂😂Wallahi @Yahya umejua kunifraisha leo😅.Kuna mambo duniani nyinyi😊😊
@siriyangu4724
@siriyangu4724 11 месяцев назад
😂😂😂
@user-yj5on8cz3e
@user-yj5on8cz3e 22 дня назад
Usiseme wanazuoni shekhe sema mtume kakataza ndo mwalimu wetu wanazuoni wanafata dalili kutoka kwa mtume kujengea kaburi haifai watu wakaidi wanaiga mambo ya makafiri mayahudi na manaswara ukuta muislamu kajengea kabuli paka malu malu na vimuli muli vya taa juu Kama mkristo subuhana llah ndo tunasema tunampenda mtume kiunafiki kufata alikataza atutaki