Na mko na mauchungu uku😂😂😂😂mwingine anasema ati ata Sheryl hakuangi funny😂😂😂😂😂wuuueeehh dunia simama nishuke sina fare ya kuendelea😂😂😂alafu apo kwa list ya mombasa na kuku wa black naisha,,,anyways @Demwafacebook for life❤❤❤
Sasa wewe sheryl can you even compare yourself na dem wa Facebook???? And whether you can afford a lifestyle or not we dont care. Sai umeanza kiburi na vile ulikuanga umenyenyekea. Hata hukuangi funny by the way
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Dem wa fb gonga ndipo😅😅😅😅😅😅 ,,,wanatutishia na nyumba na nikuwekwa😅😅😅😅😅,na shopping no Wanda mtu anabuy vitu atuonyesha maisha ya starehe na Raha ni kifo not me said😅😅😅😅