Maisha ya mtu inakuanga mikononi mwamungu hakunanga anajua kesho yake mnaona huyo katika pilika zake mungu amemuchugulikia mungu amumbandilishie maisha kabisa Amen hivyo diyo mungu yuafanya
Mimi niko apa kwa loan na nyumba na maji na ngombe eeiiii jameni Dave 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🎉aty mnaeka ata ngombe jamemi❤❤❤❤❤na 10k juu mnajua tuu mambo itachemka
Dave we mungu wa mbinguni akubariki kwa mungu kukuongoza na kuokoa wengi waliokua wanapangiwa kifo wanaoswa , wanaotolewa kafara na wengine wengi walio hatarini , jamani tumtafuteni mungu
Senior Dave Dave you're greedy humalizi kazi ulo nazo unaanza nyengine . ...Pastor anarushia watu majini . 😂😂😂. Ndio maana watu wakienda kuombewa wanaanguka mashetani .