Тёмный

Huu ndo Upekee wa Makumbusho ya Kolo Kondoa Sehemu ya 2 - Zamadamu Tanzania 

ZAMADAMU Tanzania
Подписаться 1,5 тыс.
Просмотров 4,8 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

21 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 8   
@ponsianaprotas8990
@ponsianaprotas8990 Год назад
Sisi warangi hatujatoka Nigeria. Fanya bidii sana hayo uliyoyasema uwe na uhakika nayo ndo utangazie dunia
@hasaniddi4280
@hasaniddi4280 4 дня назад
Hajui kitu uyo sjui muha akachambue kabila lake uko
@yassindeffu88
@yassindeffu88 5 лет назад
Tumetoka Iraq tukaja had Ethiopia somalia Kenya tukaja had mosh tukapigyana nawachaga ikashindika tukaja had arusha nako ilishindikana tuondoka had babat nako tuliacha ndugu zetu hapo
@jobsunguti9224
@jobsunguti9224 Год назад
inasemekana Kolo alikuwa mwenye asili ya Kimang'ati au Kiiraqwi,na haya ni makundi ya kutokea kaskazini mwa Afrika,sasa inakuaje Warangi wote wawe wenye asili ya Kibantu na wenye kutokea Nigeria??
@yassindeffu88
@yassindeffu88 5 лет назад
Huyo hatujui vizur asili yetu sio Nigeria ni Iraq
@yassindeffu88
@yassindeffu88 5 лет назад
Hapo mtafuteni mwasi ndio atawapa majibu sahihi asili yao wap wametoka WAP haiwezekan MTU akose aliko toka
@kautharally8556
@kautharally8556 5 лет назад
Huyu anatupeleka wapi?Maulid Rauna yupo ?ndo anajua historia yetu huyu anatupeleka Nigeria 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@asheryissa6100
@asheryissa6100 5 лет назад
Hhhaahaa
Далее
PUTINI WATER WELL TANGA
5:04
Просмотров 165
Mrangi shabiki wa yanga
1:23
Просмотров 22 тыс.