Тёмный
No video :(

Huyu hapa freddy michael kouablan skills and goals Mshambuliaj mpya wa simba sports club 

Chugaquickfix
Подписаться 2 тыс.
Просмотров 93 тыс.
50% 1

#simbasc #simbatanzania #freddymichaelkouablanskillsandgoals

Опубликовано:

 

27 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 37   
@kingofrich6813
@kingofrich6813 4 месяца назад
Daaaah simba kweli viongozi ni wanasiasa wanampiga mo hela halafu wanakuwa na maneno mengii Apo hamna mchezaji
@frankurio469
@frankurio469 7 месяцев назад
Wazee wa misumari tulishawajuwa, kaeni mbali, this time around tusije tukalaumiana, the God we serve is greater than you
@user-ec6ox7pw3b
@user-ec6ox7pw3b 7 месяцев назад
Amna ki2 uyo aka chere geitaaa gold huko
@godfreyjohn651
@godfreyjohn651 7 месяцев назад
Kila nikianglaia skilis za huyu mchezaji majiuliza magol 14 kayafungaje ikiwa mambo ndo hayai
@hemedbamja3197
@hemedbamja3197 7 месяцев назад
Labda hukuwahi kumshudia mtu anaitwa Joseph Kaniki.mbali na chenga moja ya kuzunguka na mpira kwa kumpa beki mgongo hakuwa na mambo mengi,lakini ndiye alikuwa kinara wa mabao wa iliyoitwa "Simba dozi".kufunga si lazima skills nyingi
@anastazimichaelmbua1559
@anastazimichaelmbua1559 7 месяцев назад
​@@hemedbamja3197 😂😂😂tatizo wanataka waone chenga kama za akina Cr7 ndo waone kuwa ni striker mzuri. Waangalie hata Haaland ana maajabu gani ya skills ,zaidi ya kutupia mpira wavuni tuu.
@LastbornwaMungu752
@LastbornwaMungu752 7 месяцев назад
Mbn sioni goli, naona kosa kosa,,,, kuna mahali simba tunapigwa
@SuzanKameta
@SuzanKameta 7 месяцев назад
Mmmmh ngoja tuone mi pia sjamuelewa
@idrisa598
@idrisa598 7 месяцев назад
Mchezaj mzur akipata mwalimu
@gibsonjosephat6352
@gibsonjosephat6352 7 месяцев назад
Mbona muoga kuweka mguu kwa beki zetu za mguu wa roho mguu wa shingo hapati Gori.
@Khadijasalumu06
@Khadijasalumu06 7 месяцев назад
Hamna mchezaji hapa
@user-nl6zs5yp2r
@user-nl6zs5yp2r 7 месяцев назад
Hii nchii hii
@user-yc5kq8ed2m
@user-yc5kq8ed2m 7 месяцев назад
Huyu Mwamba Hana utofauti Na Rusajo wa NAMUNGO
@estonsaimon6671
@estonsaimon6671 7 месяцев назад
Kumbe umemuona eeh,,mi pia namuona wa kawaida sana aisee
@khalfanmasoud1514
@khalfanmasoud1514 7 месяцев назад
Hamna kitu mangungu na try again washampiga tena mo dewji
@felixmollel4170
@felixmollel4170 7 месяцев назад
Sajili za kitapeli episode 😅😅😅😅
@barakamartine2452
@barakamartine2452 7 месяцев назад
Hapa sio kupigwa tu, Bali tumeliwa
@mrutu
@mrutu 7 месяцев назад
Mletewako
@Jerryminenewtony-fc5cp
@Jerryminenewtony-fc5cp 7 месяцев назад
Huyu mbaba anacheza rafu hatari kwani dirisha kubwa la usajiri lini jamani huyo anatakiwa miezi mi3 kusajiriwa ka mahindi
@Ytoaszm
@Ytoaszm 7 месяцев назад
Ilo nalo neno
@user-fj1cu8ds3w
@user-fj1cu8ds3w 7 месяцев назад
Tumepigwa
@kadewelejosef4319
@kadewelejosef4319 7 месяцев назад
Huo uwanja kama wa manungu! Inaoneka akiwa kwenye carpet ni nowma
@twalbuhaji
@twalbuhaji Месяц назад
Hamna kitu tukubali tumepigwa apa
@user-pn6hz5hw7y
@user-pn6hz5hw7y 7 месяцев назад
Mm simba ila huyu nameona kama konkon wa yanga
@elishakayagwa9371
@elishakayagwa9371 7 месяцев назад
😂😂😂😂
@hannafingomero5007
@hannafingomero5007 7 месяцев назад
Hamna kitu apo
@user-vl8sx4pk8o
@user-vl8sx4pk8o 7 месяцев назад
Mchezaji mzuli tyuuuu
@SkullF-yi7zi
@SkullF-yi7zi 7 месяцев назад
yaan hiz ndo skills amna shughul apo
@amirymsati2491
@amirymsati2491 7 месяцев назад
😂😂😂😂😂
@moha1100
@moha1100 7 дней назад
Mtmnykch hada yl3b 3dna
@chinwuuuuuuuuiii8889
@chinwuuuuuuuuiii8889 7 дней назад
Wlh t9ol abdelhafid
@stevenhyagila6974
@stevenhyagila6974 7 месяцев назад
hamna kitu hapa 😁😁😁
@philimonmgina997
@philimonmgina997 7 месяцев назад
Vichanel uchwala
@mwesi527
@mwesi527 7 месяцев назад
RU-vid kama TBC tyuu hata uto wanaruhusia kutoa maoni
@user-qd9yz6oo3z
@user-qd9yz6oo3z 7 месяцев назад
😅😅😅😅😅😅
@user-qd9yz6oo3z
@user-qd9yz6oo3z 7 месяцев назад
😢😢😢 0
@deleejn5128
@deleejn5128 7 месяцев назад
Huyu aliyetengeneza hii ni uto katafuta zile anazokosakosa ndo akaweka,kila mchezaji hakosi vitu kama hivyo sio kila wakati unafunga tuu😂😂
Далее
Kiala_Lassa_Gradi
4:13
Просмотров 35
Epic Reactions in Football
13:03
Просмотров 3,2 млн
나랑 아빠가 아이스크림 먹을 때
00:15
Просмотров 2,7 млн
The Match That Made Zinedine Zidane Retire
14:37
Просмотров 1,8 млн