Тёмный

HUYU NDIE ANITA WA MATONYA, MAISHA YAKE YA SASA, ALIVYO FUKUZWA NYUMBANI 

Mbengo Tv
Подписаться 1,5 млн
Просмотров 186 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

25 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 467   
@williamnambili430
@williamnambili430 14 дней назад
She is still beautiful amazing and has a beautiful voice.
@veelmng7746
@veelmng7746 7 дней назад
Comments za wabongo za kuvunja moyo siyo za kuzifuata . Dada yupo vizuri enzi hizo ilikuwa kawaida vijana kupitia magumu unapofanya vitu tofauti na shule, wazazi ukiwambia hata kama unacheza mpira ukiwa shuleni mtoto unakula fimbo, sasa video vikisa lazima itakuwa ilikuwa ngumu sana kwa wazazi kuikubali. Nashukuru dada hamuhukumu shangazi yake anajua alifanya kazi ya mzazi. Hongera sana dada , Hii interview iwasaidie vijana wa sasa wanapotata hizi nafasi watumie vizuri maana wenzao wa zamani cha moto walikiona.
@GraceKariuki-c6c
@GraceKariuki-c6c 11 дней назад
As Kenyans we love you kama uko na shida sema tuko hapa kukusaidia na mungu akupanguze machozi weka nambari tukutumie kitu
@ruciawinchislaus9424
@ruciawinchislaus9424 9 дней назад
Safi Mungu akubariki, dada beautiful huyu
@GivenTobago
@GivenTobago 6 дней назад
This girl come from a rich family I studied with her brother
@shedy_marie
@shedy_marie 6 дней назад
Namuona km anashida ya jicho akii umeongea point
@junia_254
@junia_254 4 дня назад
Atafute huyo chifu alikua anamuulizia amwambie hakulipwa
@MmM-dl9yl
@MmM-dl9yl 16 дней назад
Wee song anita ulipotoka nilijiejoy sana na hiyo song nakumbuka nikiwa dalasa la 7 na kumbe anita anapitia mangumu dunian kote tukiimba anita pole sana dada tunakupenda hapa Kenya
@MargaretWanjiku-mk5hd
@MargaretWanjiku-mk5hd 13 дней назад
Wow, she's still so beautiful,I loved that song so much
@alimwadima254
@alimwadima254 Месяц назад
Old is gold...wakati huo hakunaga Body za Kichina...Anita alikuwa na Mzigo c mchezo Full kuipamba video ya Tonya🎉
@DavidSemu-gu6wp
@DavidSemu-gu6wp 19 дней назад
Eh! Ule Mzigo umevyonda?
@morrismuinde7248
@morrismuinde7248 15 дней назад
I saw in ❤with her video 😂😂she is still beautiful 😻
@jirac1456
@jirac1456 10 дней назад
Tunashida sana Waafrika. Unaharibu maisha ya mtoto kisa ameonekana kwenye video. Angalia uchungu alionao mpaka sasa.
@mwanashoogobo1785
@mwanashoogobo1785 10 дней назад
Ilimuaffect psychologicaly maskini pole Zuwena ulikuwa mdogo bado
@saidsuleiman1753
@saidsuleiman1753 6 дней назад
Ni fundisho kwa wengine, ni bora kupoteza mmoja ukaokoa kumi na moja
@abunajash9995
@abunajash9995 3 дня назад
Am from London and I do remember the song was such a beautiful one she made it so and we are all ready to chip in and help if need be don’t cry you’re gorgeous
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly 16 дней назад
MashaAllah 🎉
@qaccimside5707
@qaccimside5707 7 дней назад
Matonya popote ulipo bado uko na deni la zuwena...(Anitah)...... Kindly look back and support this adorable woman. watakao pitia apa 2095 watajua bado uko na deni ya huyu msichana
@junia_254
@junia_254 4 дня назад
Uweh😮,wakipita kaa tayari ashalipa?🤔🤔🤔😂😂😂
@tishoboy_ke
@tishoboy_ke 4 дня назад
@matonya
@innocentinno5784
@innocentinno5784 20 дней назад
Mtangazaji asome kiingereza , kila saaa anasema what "happening" badala ya what "happened" asome grama kama ana mpango na hii taaluma au otherwise aachane na kiingereza.
@hashimmziray7416
@hashimmziray7416 19 дней назад
upo makini sana watanzania tuendelee kuwa makini hivyo hivyo.
@denisnsokolo7098
@denisnsokolo7098 19 дней назад
We huyu Dada ana kipiga vizuri sana kimombo sema tu huja Wahi ona interview zake nyingi
@masalakulwa7601
@masalakulwa7601 19 дней назад
​@@denisnsokolo7098ah wapi..full of broken
@dennisezakiel3380
@dennisezakiel3380 18 дней назад
Hajui kiingereza huyo ,
@sonnyr1899
@sonnyr1899 18 дней назад
@@denisnsokolo7098 Anaongea vizuri kiswahi ila kimombo lazima uzingatiye grammar sana la sivyo itakuwa kama kiswahili cha Burundi na Congo Kuuza : ndio kununuwa Kununuwa: ndio kuuzisha
@judywamai
@judywamai 5 дней назад
It's never too late dada as much uko uhai Kuna mengi na utafikia ndiyo zako i really like you even i change my name because of you utaeda far mungu Yuko nawe❤❤❤❤❤❤
@sospeterurassa9894
@sospeterurassa9894 18 дней назад
Anitha mwenyenzi Mungu akulinde na akufute machozi mdogo wangu
@AzaAzamhmod
@AzaAzamhmod 24 дня назад
Anitha mrembo mpka sasa ni MAISHA TU❤😂
@MashakaMagesa
@MashakaMagesa 21 день назад
Ile video alitisha ilikuwa pisi kweli
@ZainabLol-wx7xf
@ZainabLol-wx7xf 19 дней назад
Amezeeka SANA BANA
@JackKanyigo
@JackKanyigo Месяц назад
Mm naskia Anitha alikuwa anatoka Matonya lkn baadae akawa anatoka na pedeshee mmoja akamsaliti Tonya,akaimbiwa wimbo wa spare tyre
@Faya884
@Faya884 7 дней назад
Mungu akubariki upate mapacha kipenzi,🙏🙏🙏
@dunkchainz7237
@dunkchainz7237 14 дней назад
Matonya nae ni R.Kelly kumbe alimkiss mtoto wa miaka 16 😅
@Anna31736
@Anna31736 3 дня назад
😂😂
@MajidAlrawahi-p3k
@MajidAlrawahi-p3k Месяц назад
Waooo zuenaas jmn uranikumbukaaa kwel mm saudaa kidimaa wa mungur wew kwenu mongoromaa naomb nitfutee kipenz❤
@mwajabumrindoko-xw9mq
@mwajabumrindoko-xw9mq 22 дня назад
Kwaichooo kiswahilii uwezi tafutwaa kajifunze kuandika
@Nestoemanuel
@Nestoemanuel 21 день назад
@@mwajabumrindoko-xw9mq😂😂😂😂
@BarakaKusalula
@BarakaKusalula 20 дней назад
​@@mwajabumrindoko-xw9mqKwamba wewe unajua kiswahili fasaha dah!
@elementmidundo5386
@elementmidundo5386 19 дней назад
hapo kwanza nicheke​@@BarakaKusalula
@hosea7919
@hosea7919 16 дней назад
Kumekupambazukaa😂
@Marymrisho
@Marymrisho 9 дней назад
Akhiii she was pretty aiseee nmeenda angalia video....kila mtu atazeeeka,,,ni mrembooo uyu dada mpk utu uzimani
@GodwinIssack
@GodwinIssack 10 дней назад
Aisee! Pole sana kwa yote uliopitia, yupo Mwenyezi Mungu Atakubariki na Kukuinua na Atakutimizia Hitaji la Moyo Wako Dada angu Zuwena a.k.a Anitha.
@MbogoSouljah
@MbogoSouljah 10 дней назад
Nilipenda sana nyimbo ya Anita mimi na mpenzi wangu Mwihaki ❤ hata kwa sasa bado naipenda. 🇰🇪
@RamadhanMbwana-o1j
@RamadhanMbwana-o1j 29 дней назад
Wee pambana na maisha yako na wapuuze wasema ovyo, uko vizuri sana kaza Buti utafanikiwa . Inshallah...
@DennisMigiro-g4m
@DennisMigiro-g4m 12 дней назад
Hio goma ilikua sawa hongera sana
@aar7061
@aar7061 День назад
Anita anita wangu... you're gorgeous
@kietifelix8027
@kietifelix8027 День назад
if this beautiful woman was in kenya right now angekuwa na maisha ya kifahari sana,but all the same God always has plans for everyone,He will still bless you this moment and in future pray for you marriage always,i wish agepata mwanaume amutunze vizuri amupende wapendane since wakati wa wimbo wa matonya she was so beautiful.
@BakariChede
@BakariChede 14 дней назад
Mtangazaji ale mayai sauti ikae sawa
@wycliffeaoro9865
@wycliffeaoro9865 5 дней назад
😂😂😂😂 wewe ni mchokozi
@wycliffeaoro9865
@wycliffeaoro9865 5 дней назад
Aki ya mungu I like your representation very eloquent perfect organised content 😊 from Kenya 🇰🇪
@robertkibera7779
@robertkibera7779 12 дней назад
She's beautiful ❤
@dkgamenya6307
@dkgamenya6307 8 дней назад
Congratulations Anita. I loved that song and I still love it. Kindly note that people will always critisize you. Take heart and stay focused as always. We will cheer you on as usual.
@samuelgetange1532
@samuelgetange1532 7 дней назад
Congratulations it was a nice song......matonya mtafute Anita and do something.
@Jamila96_juma
@Jamila96_juma 13 дней назад
Ukikaa kwa mtu lazima ufanye kazi,sasa utakaa tu jamani😂😂😂
@felixmakinda7689
@felixmakinda7689 5 дней назад
Lahaula! Mbona hadithi hii ya Anita inanikumbusha riwaya ya Utengano ya Said A. Mohammed! Maimuna kalelewa kwenye familia nzuri lakini katoroka nyumbani aanze kujikimu. Maisha yakawa maisha! Huyu angekuwa mkenya tungemchangia hela tuinue maisha yake. Enzi zile alitisha. Ujana ni moshi kweli. 🇰🇪💙🇹🇿
@karimimiriti3827
@karimimiriti3827 11 часов назад
True ❤❤❤❤
@ricoroyalthedjkenya923
@ricoroyalthedjkenya923 9 дней назад
Still beautiful ❤
@evanschaedirectoreffortcon6264
@evanschaedirectoreffortcon6264 8 дней назад
Anita indeed became a brand by then, only was not lucky enough to get some good advisors and managers to help securing some marketing and ambassadorial roles
@abelimaganga417
@abelimaganga417 12 дней назад
Huyu dada mwandishi wa habar yupo vizuri sana anauliza maswali mazuri mnoooo nimemkubali mnooo
@GetuSwai
@GetuSwai 9 дней назад
Usijali dada Mungu atakupa kila kitu
@Tanganyika-w5p
@Tanganyika-w5p 22 дня назад
Daaa aisee Anitha ni mzurii sana aiseee.. Mpaka leo ni mzurii sana aiseee
@MussaWilbardMabuga
@MussaWilbardMabuga 8 дней назад
Wimbo ulikuwa unanibress sana weka namba nikutumie pesa kidogo
@AmisamauridNgagada
@AmisamauridNgagada 21 день назад
MBENGO T.V we are the best ❤❤❤❤❤❤❤💯💯💯💯
@rashidkipkemboi5157
@rashidkipkemboi5157 4 дня назад
Nilikua class 5❤❤❤🇰🇪
@tuweniomary4232
@tuweniomary4232 7 дней назад
Nadhani kilichowaudhi wazazi sio kuonekana kwenye tv bali ni vazi alilovaa, kulana mate na kukumbatiwa maskani maana hawakuwa na elimu ya sanaa na wasanii wakiwa location
@MariamRiziki-o8x
@MariamRiziki-o8x 17 дней назад
Anita nakupenda sana dada
@LucasRuben-x1t
@LucasRuben-x1t 17 дней назад
Wangap wanaangalia huku wanaenda kucheki nyimbo yenyewe
@emorutnicholas1893
@emorutnicholas1893 7 дней назад
Namlaumu sana Matonya, kumbe wanatumia watu kwa masilahi yao tu za kibinafsi. Angesapoti huyu Anita ainuke kimaisha
@bishothti
@bishothti 6 дней назад
Mtangazaji angemuuliza kama hiyo 50,000 aliridhika ama alikua bado anadai? Unaweza kuta ndiyo hela walikua wanalipwa wakati ule
@eliaspeter1258
@eliaspeter1258 День назад
Mwandishi unasoma notes😮
@Wagathara_music
@Wagathara_music 11 часов назад
Kenyans, shout outs
@sixbertbudodi
@sixbertbudodi 10 дней назад
Wimbo ni umoja na nyimbo ni wingi!!
@itNeza
@itNeza 8 дней назад
Kawa Mama Dhuuu maisha Haya. 😮
@patrickmaina715
@patrickmaina715 9 дней назад
Uislamu huwadhulumu wanawake sana
@nassoromelele7339
@nassoromelele7339 5 дней назад
😂ebu soma tena comment alaf rudi kwa rafiki ake mariam hapo. Kila kinachotokea kina cause, asingefukuzwa kama angekuwa humble kwa wazazi/walezi. All in All ni God's Plan
@allysuleyman8506
@allysuleyman8506 3 дня назад
Pole dada zuwena
@NamajojoKivuruga
@NamajojoKivuruga 7 дней назад
We unaenda clz we ni bora sana sana
@samuelomondi1663
@samuelomondi1663 3 дня назад
Dagaa ndio inaitwa omena huku kenya😅😅😅
@lenniefei6710
@lenniefei6710 13 дней назад
Wanawake wengi wanajiharibu na kuavya mimba na kutumia Family planning kisha wakikosa watoto wanashangaa bure !
@paschalsafari9747
@paschalsafari9747 15 дней назад
Anita bado ni mrembo sanaaa...ni mzuri aise...
@MamboTanzania
@MamboTanzania 21 день назад
Mtangazaji do your homework kabla. Unavyoangalia sana simu unatutoa kwenye reli. Unaondoka focus ya watazamaji. Hakikisha unajua unachotaka kuhoji, do rehearsals girl.
@ramadhanyusuf2401
@ramadhanyusuf2401 18 дней назад
Tuachie mschana wetu bana yupo sawa tuu
@lecoltech1585
@lecoltech1585 13 дней назад
😂😂😂
@matiyastizzo9141
@matiyastizzo9141 Месяц назад
Zuwena jamani nilisoma naye chuo cha urembo makumbusho kwa madam Dora kitambo sana
@mwajabumrindoko-xw9mq
@mwajabumrindoko-xw9mq 22 дня назад
Kwenda
@paulabonface9488
@paulabonface9488 13 дней назад
Anita hau haujawai badilika, shukuru mungu
@danielmwijage3045
@danielmwijage3045 5 дней назад
Huyu binti alikuwa mstaalab sana na alikuwa na heshima . Niliwahi kutana Morogoro tulikula dinner na tulipiga sana story la niliona anakitu kizuri mbelenii.
@alphonsegahongayire9450
@alphonsegahongayire9450 4 дня назад
Old is gold
@WAKATV-hh6hv
@WAKATV-hh6hv 23 дня назад
huyu mtangazaji hamna kitu hapa
@StevenKapugi-y7b
@StevenKapugi-y7b 9 дней назад
Mbn mnzuri bado ❤❤❤❤❤❤❤
@MaikoManeno-v9r
@MaikoManeno-v9r 16 дней назад
Huyu anita pia si aliigiza movie inaitwa Mahabat part 2 ya Mussa Banzi
@LilianBitwale
@LilianBitwale 10 дней назад
Kwan hujaskia kwenye maelezo Yake mwanzo kasema😂😂😂
@IvanOscar-w3y
@IvanOscar-w3y 5 дней назад
Nimeisikiliza vizuri hichiii kifaa kinajielewaa ilee mbayyaa big up🤛🏻🤛🏻🤛🏻👏🏻👏🏻
@ramadhanimwanyumba2955
@ramadhanimwanyumba2955 6 дней назад
Kila anaye comment anasema anatokea Kenya.😅😅
@linaajjey3396
@linaajjey3396 3 дня назад
Mi pia Mkenya 😊
@AzaAzamhmod
@AzaAzamhmod 24 дня назад
Mtangazaji umependeza lkn ushungi umeusogeza sana mbele.❤😊
@hashimmziray7416
@hashimmziray7416 19 дней назад
ha ha ha ha nimei❤
@tungaraza7794
@tungaraza7794 19 дней назад
wadada wa kileo mjifunze kitu kupitia huyu dada kwa wakati huo aliiteka nchi kila corner alikuwa ni ANITA ila kwa sasa sio yule tena, wadada wengi huwa mkipata hizi exposure kama video vixen(simsemi vibaya huyu dada) huwa hamshikiki wala hamuambiliki bila kujua wakati ni ukuta kuna muda ukifika wale wengi uliokuwa unawaona hutowaona tena na hiyo ndio tabia ya wanadamu wakishakuzoea sana thamani yako inaisha au kupungua. nina mifano ya wadada wengi sana kwenye mazingira yangu ninayoishi ambao kipindi cha usichana/maisha ya chuo walikuwa warembo na wanaringa kweli lakini leo hii wamekua watu wa 'ninge'
@blackpanther4825
@blackpanther4825 19 дней назад
sana kaka. wanatudharau. tunataka tuwaoe wanatukataa
@edwardmchodo1069
@edwardmchodo1069 13 дней назад
Itakuwa hao wadada walikukataa😂😂😂😂😂😂😂😂. Ishauri wako ni kama vile flow yake ni from specific to general😂😂😂😂😂
@georgymahi149
@georgymahi149 8 дней назад
HeY!!! .... Huyu ndo Anita WANGU!!!
@MohammedMohammed-d6q3j
@MohammedMohammed-d6q3j 21 день назад
Zuena Mimi pia nimuislam nikiwa Pemba nikupe ushauri mzuri tu ,ukiwa kweli nimuislam jitahidi katika kujistiri kiislam pia.
@amour0072
@amour0072 5 дней назад
RITAKO riako
@allykagawa
@allykagawa 27 дней назад
Dah
@DxbYae
@DxbYae Месяц назад
Pole kwa mapito
@pendojemsi7036
@pendojemsi7036 10 дней назад
Nilipata shida sana kipindi unatoka huo wimbo Kila nikipita naitwa Anitha Anitha wanguuuu Hadi Leo naitwa Anitha wa matonya ndo maana sijaolewa Hadi Leo😢😢😢
@MIKAMTALUMATV
@MIKAMTALUMATV 9 дней назад
Naomba nikuowe mimi nakupenda sana
@pendojemsi7036
@pendojemsi7036 7 дней назад
@@MIKAMTALUMATV njoo unioe
@irealyxchamdori596
@irealyxchamdori596 3 дня назад
Mbona kama analia 😢
@ifgodsayyes.nobodycansayno1796
Ndowa ni mipango ya mungu weweb
@BandihaiThomas
@BandihaiThomas 17 дней назад
Whooo😮😮😮 she was just 16 . Unbelievable. Isn't that against the law? Anyways it was a good video though.
@phitolyfancy6561
@phitolyfancy6561 9 дней назад
Ali act mahabati before the anita song ,she was really used
@mbondotv6048
@mbondotv6048 9 дней назад
Huyu dem ni mrembo sana much love from 🇰🇪 kenya
@fortiduskakuru7560
@fortiduskakuru7560 20 дней назад
Nimependa anavyojibu maswali, ana utulivu mkubwa sana huyu dada.
@aminahaji7453
@aminahaji7453 Месяц назад
Anita ulipendeza sana na vibutu tunakupenda na kukuombea Mungu akuongoe
@NamajojoKivuruga
@NamajojoKivuruga 7 дней назад
Dar we mtangazaj unasaut nzur sana sana we pacha baada ya fet
@GetuSwai
@GetuSwai 9 дней назад
Nakuambia ata nyimbo naipenda kwa sababu yako tu
@SamuelYawa
@SamuelYawa 3 дня назад
Sasa mbona hasemi kama baada ya kufukuzwa matonya alichukua hatua gani ya kumsaidia maana yeye NDO alikuwa chanzo cha mapito yote hayo
@IsaiahAkala
@IsaiahAkala Месяц назад
Welcome to Kenya ❤️🧡💕
@edgercyprian964
@edgercyprian964 Месяц назад
Mbona huyu dada analia .. anaonekana anamachungu moyoni
@allykagawa
@allykagawa 27 дней назад
Kabisa kaka,anak2 knamuumiza sana sema mkomavu ameshndwa kukiweka waz 👏👏
@RachelJulius-fh9nl
@RachelJulius-fh9nl Месяц назад
Cutie sana❤❤❤
@AliHassanAli-ou4wh
@AliHassanAli-ou4wh 9 дней назад
Huyo alikuwa si rafiki yko 7bu jina humjui😊😊😊😊
@CHRISTOPHERDENIS-p6s
@CHRISTOPHERDENIS-p6s 19 дней назад
Ww sema mlikuwa mnajuana mkaamua kulianzisha mpaka video queen😅😅
@TALLUBOY
@TALLUBOY 16 дней назад
SASA ANITA NNACHO KUSHAULI USIKUBALI KUKAA TENA NYUMBAN TENA AISEE UMEUPATEZA MUDA MLEFU NA UMEPOTEZA UTAJIL MKUBWA SANA
@dargiesglam98
@dargiesglam98 4 дня назад
Uyu dada apa kafanana na Aunty sadaka
@dominicngesa2748
@dominicngesa2748 3 дня назад
Anita kwa kukuangalia hivi ukweli nikuwa nafasi ambayo MUNGU alikuwa amekupa ishapita. Haiwezi kurudi jinsi ilivyokuwa.lakini kuna TUMAINI.
@Mwalimu_seleman
@Mwalimu_seleman 6 дней назад
Shukuru enzi hizo Harmonize alikuwa tandahimba. Ingekuwa wakati huu asingekuacha salama.😂😂
@SalamaMusayi
@SalamaMusayi 12 дней назад
Watu wana vituko kweli kwanini muna penda kuchafuliyana jina? Wengi wame pitiya makubwa ili wawe gisi walivyo musi pende aribu sifa zamtu kipuuzi😂
@dolphin_87
@dolphin_87 9 дней назад
kuharibiana sifa wapi? kama ni kweli watu walifanya ushenzi wakianikwa ni sawa ili wengine wajifunze kuishi na watu vizuri. wewe unamhukumu huyu kwa kuongea lkn haukemei waliotenda maovu.... acha unaa. au nyie ndo hao hao wenye roho mbaya
@geraldsanzala8119
@geraldsanzala8119 День назад
Changamoto za kina dada bana😂 kuosha vyombo😆,
@YusuphMrisho-r6b
@YusuphMrisho-r6b 8 дней назад
Mtangazji hakuna hapa
@ruqaiamohammed345
@ruqaiamohammed345 Месяц назад
Walinambia nikuache ww ila mimi niishi mwenyewe mbuz gita walipiga we ndo wa maishanii aniita aniita wangu lelelilee tuishi pamojaaa na sukuma sukuma ili ck ziendee urud nyumban tuishi pamojaa enz hairud bhana hongera dada kwa kuwa hai mpk leo wanaosema umezeeka / mshangaz wajue kabisa uzee ni baraka
@NuruJuma-zv3yz
@NuruJuma-zv3yz Месяц назад
Weweeee😂😂😂😂😂
@ruqaiamohammed345
@ruqaiamohammed345 Месяц назад
@@NuruJuma-zv3yz 😁😁
@neetaparnis7573
@neetaparnis7573 19 дней назад
Sasa ht huyo matonya anamaisha gani? Muhoji na yeye mumuone alivyo zeeka
@AzhadSaid-j1t
@AzhadSaid-j1t 16 дней назад
Alafu huyu dada anajua kuongea
@Hussein-gx4qu
@Hussein-gx4qu 16 дней назад
Sasa kidato Cha kwanza SI ulikuwa mdogo kwanini ukipata ujasili wa kwenda kushuti
@jofreymwakipesile6529
@jofreymwakipesile6529 14 дней назад
da nilikuwa nampenda sana huyo dada kipindi hicho sobo yupo
@abelsospeter-x8r
@abelsospeter-x8r 8 дней назад
Yaani hapa Tonya alifanya child labour yaani. She was only 16
@millymack1370
@millymack1370 5 дней назад
Kwa hivo ni Kweli alikua Kwa ndoa ya Kwanza mwenyewe kakiri ..maanake Hii ni ndoa ya pili awache uongo
@tnftz1461
@tnftz1461 8 дней назад
Aliemfukuza hana akil kamsababishia shida mtoto mzur hata ukimchek km hayupo sawa kastrago sana na wahun watakua wamepita nae sana😢
Далее
UFC 308: Пресс-конференция
35:18
Просмотров 528 тыс.
SHUGHULI ILIANZIA HAPA/ DKT.TULIA AKITOA MSIMAMO WAKE.
12:54
MAMA MKWE AMEVUNJA NDOA YANGU
1:04:02
Просмотров 22 тыс.
MISSION IMPOSSIBLE [59]
21:52
Просмотров 32 тыс.