Тёмный

IBADA MAALUM YA PASAKA: KUPOKEA UPAKO WA KUVUKA MIPAKA 

Подписаться
Просмотров 4,5 тыс.
% 71

BWANA YESU asifiwe, karibu na ahsante kwa kujumuika nasi katika ibada njema na ya kipekee ya PASAKA. Ibada hii maalum inakujia leo Jumapili ya tarehe 9 Aprili 2023 mubashara kutoka Heart of Worship Ministry HQ Mbezi Beach Dar Es Salaam.
Ibada hii ina kichwa cha somo "KUPOKEA UPAKO WA KUVUKA MIPAKA NA KUFANYA ZAIDI YA MAARAJIO KWENYE KILA ENEO LA MAISHA YAKO"
Ibada hii inaongozwa na Mtumishi wa Mungu Amoke Nkonoki.

Опубликовано:

 

9 апр 2023

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 10   
@jacquelinengamilaga4475
@jacquelinengamilaga4475 Год назад
Mungu akubariki Mtumishi wa Mungu. Moyo wangu unakupenda sana
@neemachalamila590
@neemachalamila590 Год назад
Mungu ni mwema sana kwetu Tz,asante Yesu kwa huduma hii
@frolahfortunatus
@frolahfortunatus Год назад
Asante yesu
@afyatanzania4354
@afyatanzania4354 Год назад
ASANTE YESU!!!
@Mariah_1293
@Mariah_1293 Год назад
Hallelujah hallelujah
@afyatanzania4354
@afyatanzania4354 Год назад
LEO UMENIGUSA KABISAA MAMA
@DamianPango-xn5wz
@DamianPango-xn5wz Год назад
Kesho ni siku yangu
@neemamarko176
@neemamarko176 Год назад
Amen 🙏 🙏
@afyatanzania4354
@afyatanzania4354 Год назад
NIPO MIMI MAMA HILI JAMBO LIMENINYANYASA SANA LAKINI IT IS DONE BY THE BLOOD OF JESUS
@neemachalamila590
@neemachalamila590 Год назад
Mwanzoni sauti hakuna kwenye shuhuda