Тёмный

IBADA YA MCHANA na Mch. Kenani Mwasomola || MAKAMBI MTAA WA MZIZIMA 2023 || 14.07.2023 || SIKU YA 6. 

Mzizima SDA Media
Подписаться 1,8 тыс.
Просмотров 31 тыс.
50% 1

Karibu na ungana nasi kufuatilia na kutazama mafundisho, nyimbo na vipindi mbalimbali kutoka katika Makambi Mtaa wa Mzizima SDA 2023, yanayofanyika kuanzia tarehe 9-15 Julai, 2023. Moto wa kambi: "NITAKWENDA KUJIHUSHISHA" Fungu kuu: ISAYA 6:8 Wimbo Mkuu : No. 107 Karibu tushiriki mibaraka hii pamoja.

Опубликовано:

13 июл 2023

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 66   
@AdolpheBIRAGI
@AdolpheBIRAGI Год назад
MUNGU akulinde mkungaji , kuja Congo
@loinzota4137
@loinzota4137 Год назад
Ukweli unapowekwa wazi kanisani watu hukasirika ni kwa sababu tunatakakufuata maongozi yetu Mungu akubariki zaid Mchungaji Endelea kusema kweli yote kituo mbinguni
@benjaminyakobo7792
@benjaminyakobo7792 11 месяцев назад
Nakukubari saana p mwasomola wape ukweli watu wamujue mungu
@charlesjanuary1798
@charlesjanuary1798 Год назад
Naombeni frashi za masomo yote
@mrsdeborahurio
@mrsdeborahurio Год назад
Bado Mungu anao watu wake mpaka hata Sasa! Ubarikiwe Sana; huwa nakupenda Sana Mchungaji Kwa ukweli ulio wazi!
@eliakanyika4921
@eliakanyika4921 Год назад
Pr hongera Kwa neno zuri Mungu amekutumia vizuri Kwa jiji la dar🎉🎉
@joshuamungere1559
@joshuamungere1559 Год назад
MUNGU wa mbinguni akupe maisha marefu pastor ili uendelee kumuwakilisha YESU hapa duniani. ni wachache sana wenye ujasiri huu wa kuisema dhambi kwa jina lake. Binafsi nimepokea mguso wa pekee kuptia somo hili. Mungu akutunze mchungaji wangu.
@daud8785
@daud8785 Год назад
Amen
@Shukuru_
@Shukuru_ 11 месяцев назад
Amina.🙏
@rehemamuganda3480
@rehemamuganda3480 Год назад
Mambo ya kipato nyakati za Leo, yamewekwa mbele sana viongozi wetu hasa viongozi wa juu. Hawana huruma na roho za watu, kwa sababu wamekataa kuongozwa na Roho wa Mungu. Barikiwa PR Mwasomola
@PaulEvarist-jc3mf
@PaulEvarist-jc3mf 11 месяцев назад
Amina
@labanhezekiel5627
@labanhezekiel5627 Год назад
Amina amina. Mungu ni mkuu Mungu ni mkuu
@matiescollection6235
@matiescollection6235 11 месяцев назад
Ujumbe mzito wa matengenezo.... Mungu atusaidie kanisa la siku za mwisho🙏🙏
@UPendoMnango-vw4mq
@UPendoMnango-vw4mq 6 месяцев назад
Good , waambie ukweli
@UPendoMnango-vw4mq
@UPendoMnango-vw4mq 6 месяцев назад
Good job pastor keep it up GOD bless you
@innocentfortunatus725
@innocentfortunatus725 Год назад
Amina pastor
@vascoboniface604
@vascoboniface604 Год назад
Amen barikiwa Mungu atusaidie
@tumainimsifuni8736
@tumainimsifuni8736 Год назад
😂😂😂 Kwakweli nimecheka mpaka basi, barikiwa sana Mchungaji
@daud8785
@daud8785 Год назад
😂😂😂😂😂
@hilamotoshuleyamsingi1530
@hilamotoshuleyamsingi1530 10 месяцев назад
Ubarikiwe sana mchungaji
@bernardmukhwana
@bernardmukhwana 8 месяцев назад
amen asandi kwa ujumbe wa ajabu
@emmanuelmwalukama
@emmanuelmwalukama 11 месяцев назад
barikiwa sana pastor
@daud8785
@daud8785 Год назад
Mungu aendelee kumlinda huyu mchungaji
@johnaly6691
@johnaly6691 Год назад
Ukweli waneno la MUNGU
@Calton898
@Calton898 Год назад
Amina mchungaji
@eliasharun3273
@eliasharun3273 Год назад
Amina Pastor
@janemakoye5489
@janemakoye5489 11 месяцев назад
Huyu mchungaji aje kwetu
@estherkibajiro3480
@estherkibajiro3480 11 месяцев назад
😁😁😁 mchungaji umegongelea kweli 🤣🙌ukuje na kenya utufundishe
@priscambwambo1030
@priscambwambo1030 Год назад
Hizi Digreee jamani zisituongoze kanisani tuhubiri Upendo wa Yesu . Digree zenu hazitusaidiii kitu
@user-tq8hi1ms3d
@user-tq8hi1ms3d Год назад
Mungu atusaidie tubadilike
@daud8785
@daud8785 Год назад
Amen
@thomasmwakalinga2749
@thomasmwakalinga2749 Год назад
Zaburi 150:1- 6 Haleluya. Msifuni Mungu katika patakatifu pake; Msifuni katika anga la uweza wake. 2 Msifuni kwa matendo yake makuu; Msifuni kwa kadiri ya wingi wa ukuu wake. 3 Msifuni kwa mvumo wa BARAGUMU Msifuni kwa KINANDA na KINUBI. 4 Msifuni kwa MATARI na KUCHEZA Msifuni kwa ZEZE na FILIMBI 5 Msifuni kwa MATOAZI yaliayo; Msifuni kwa MATOAZI yavumayo sana. 6 Kila mwenye pumzi na amsifu Bwana. Haleluya
@bensonmanyalape7802
@bensonmanyalape7802 Год назад
Nampenda sana mchungaji mwasomola
@thompsonjonathan8570
@thompsonjonathan8570 Год назад
Mtuletee huyu pasians snc
@thomasmwakalinga2749
@thomasmwakalinga2749 Год назад
Biblia inasema tumsifu Mungu kwa Baragumu,vinanda,Filimbi na kucheza...anakuja mtu anasema yeye hataki midundo...sasa nani tumtii...Mungu au Binadamu? Tuache utani na maandiko.
@peterochego8610
@peterochego8610 Год назад
“Msifuni kwa Ngoma.” Katika matukio mawili muhimu, machowal inatafsiriwa kama "ngoma" (Zaburi 149:3 na 150:4). Wao ni muhimu zaidi kwa sababu kwa maoni ya watu wengi wao hutoa utegemezo wenye nguvu zaidi wa kibiblia wa kucheza dansi kama sehemu ya ibada ya kanisa. Utazamaji wa karibu wa maandiko haya unaonyesha kwamba dhana hii maarufu inategemea usomaji wa juu juu na tafsiri isiyo sahihi ya maandiko. Kiisimu, neno “ngoma” katika aya hizi mbili linabishaniwa. Wasomi wengine wanaamini kwamba machowl inatokana na chuwl, ambayo inamaanisha "kufungua"38 - dokezo linalowezekana kwa chombo cha "bomba". Kwa kweli huu ni usomaji wa pambizoni uliotolewa na KJV. Zaburi 149:3 inasema: “Na walisifu jina lake kwa kucheza” [au “kwa filimbi,” ukingo wa KJV]. Zaburi 150:4 husomeka hivi: “Msifuni kwa matari na kucheza” [au “bomba,” ukingo wa KJV]. Kwa muktadha, machowl inaonekana kuwa marejeleo ya ala ya muziki; katika Zaburi 149:3 na 150:4, neno hilo hutokea katika muktadha wa orodha ya vyombo vya kutumika kwa ajili ya kumsifu Bwana. Katika Zaburi 150 orodha inajumuisha ala nane: tarumbeta, zeze, kinubi, matari, vinanda, viungo, matoazi, matoazi yavumayo (KJV). Kwa kuwa Mtunga Zaburi anaorodhesha ala zote zinazowezekana kutumika kumsifu Bwana, ni busara kudhani kwamba machowal pia ni ala ya muziki, haijalishi asili yake ni nini. Jambo lingine muhimu la kufikiria ni lugha ya kitamathali ya zaburi hizi mbili, ambayo hairuhusu kufasiriwa kihalisi kwa dansi katika Nyumba ya Mungu. Zaburi 149:5 inawatia moyo watu wamsifu Bwana kwenye “vitanda.” Katika mstari wa 6, sifa yapasa kufanywa kwa “panga zenye makali kuwili mikononi.” Katika mistari ya 7 na 8, Bwana anapaswa kusifiwa kwa kuwaadhibu mataifa kwa upanga, kuwafunga wafalme kwa minyororo, na kuwatia wakuu katika pingu. Ni wazi kwamba lugha hiyo ni ya kitamathali kwa sababu ni vigumu kuamini kwamba Mungu angetarajia watu wamsifu kwa kusimama au kuruka juu ya makochi au kuzungusha upanga wenye makali kuwili. Ndivyo ilivyo katika Zaburi ya 150 inayozungumzia kumsifu Mungu, katika a njia ya mfano sana. Mtunga-zaburi anawaita watu wa Mungu wamsifu Bwana "kwa ajili ya matendo yake makuu" (mst. 2) katika kila mahali iwezekanavyo na kwa kila chombo cha muziki kinachopatikana. Kwa maneno mengine, zaburi inataja mahali pa kumsifu Bwana, yaani, "patakatifu pake" na "anga yake kuu"; sababu ya kumsifu Bwana, yaani, “kwa ajili ya matendo yake makuu . . . kwa kadiri ya ukuu wake mkuu” (mstari 2); na vyombo vya kumsifu Bwana, yaani, wale wanane waliotajwa hapo juu. Zaburi hii ina mantiki tu ikiwa tunachukulia lugha kuwa ya kitamathali cha hali ya juu. Kwa mfano, hakuna njia ambayo watu wa Mungu wanaweza kumsifu Bwana “katika anga lake kuu,” kwa sababu wanaishi duniani wala si mbinguni. Kusudi la zaburi si kutaja mahali na vyombo vya kutumika kusifu muziki wa kanisa. Wala haijakusudiwa kutoa leseni ya kucheza kwa ajili ya Bwana kanisani. Badala yake, kusudi lake ni kualika kila kitu kinachopumua au kutoa sauti kumsifu Bwana kila mahali. Kufasiri zaburi kama kibali cha kucheza, au kucheza ngoma kanisani, ni kutafsiri vibaya dhamira ya Zaburi na kupingana na kanuni ileile ambayo Daudi mwenyewe alitoa kuhusu matumizi ya vyombo katika Nyumba ya Mungu.
@peterochego8610
@peterochego8610 Год назад
​@@thomasmwakalinga2749“Msifuni kwa Ngoma.” Katika matukio mawili muhimu, machowal inatafsiriwa kama "ngoma" (Zaburi 149:3 na 150:4). Wao ni muhimu zaidi kwa sababu kwa maoni ya watu wengi wao hutoa utegemezo wenye nguvu zaidi wa kibiblia wa kucheza dansi kama sehemu ya ibada ya kanisa. Utazamaji wa karibu wa maandiko haya unaonyesha kwamba dhana hii maarufu inategemea usomaji wa juu juu na tafsiri isiyo sahihi ya maandiko. Kiisimu, neno “ngoma” katika aya hizi mbili linabishaniwa. Wasomi wengine wanaamini kwamba machowl inatokana na chuwl, ambayo inamaanisha "kufungua"38 - dokezo linalowezekana kwa chombo cha "bomba". Kwa kweli huu ni usomaji wa pambizoni uliotolewa na KJV. Zaburi 149:3 inasema: “Na walisifu jina lake kwa kucheza” [au “kwa filimbi,” ukingo wa KJV]. Zaburi 150:4 husomeka hivi: “Msifuni kwa matari na kucheza” [au “bomba,” ukingo wa KJV]. Kwa muktadha, machowl inaonekana kuwa marejeleo ya ala ya muziki; katika Zaburi 149:3 na 150:4, neno hilo hutokea katika muktadha wa orodha ya vyombo vya kutumika kwa ajili ya kumsifu Bwana. Katika Zaburi 150 orodha inajumuisha ala nane: tarumbeta, zeze, kinubi, matari, vinanda, viungo, matoazi, matoazi yavumayo (KJV). Kwa kuwa Mtunga Zaburi anaorodhesha ala zote zinazowezekana kutumika kumsifu Bwana, ni busara kudhani kwamba machowal pia ni ala ya muziki, haijalishi asili yake ni nini. Jambo lingine muhimu la kufikiria ni lugha ya kitamathali ya zaburi hizi mbili, ambayo hairuhusu kufasiriwa kihalisi kwa dansi katika Nyumba ya Mungu. Zaburi 149:5 inawatia moyo watu wamsifu Bwana kwenye “vitanda.” Katika mstari wa 6, sifa yapasa kufanywa kwa “panga zenye makali kuwili mikononi.” Katika mistari ya 7 na 8, Bwana anapaswa kusifiwa kwa kuwaadhibu mataifa kwa upanga, kuwafunga wafalme kwa minyororo, na kuwatia wakuu katika pingu. Ni wazi kwamba lugha hiyo ni ya kitamathali kwa sababu ni vigumu kuamini kwamba Mungu angetarajia watu wamsifu kwa kusimama au kuruka juu ya makochi au kuzungusha upanga wenye makali kuwili. Ndivyo ilivyo katika Zaburi ya 150 inayozungumzia kumsifu Mungu, katika a njia ya mfano sana. Mtunga-zaburi anawaita watu wa Mungu wamsifu Bwana "kwa ajili ya matendo yake makuu" (mst. 2) katika kila mahali iwezekanavyo na kwa kila chombo cha muziki kinachopatikana. Kwa maneno mengine, zaburi inataja mahali pa kumsifu Bwana, yaani, "patakatifu pake" na "anga yake kuu"; sababu ya kumsifu Bwana, yaani, “kwa ajili ya matendo yake makuu . . . kwa kadiri ya ukuu wake mkuu” (mstari 2); na vyombo vya kumsifu Bwana, yaani, wale wanane waliotajwa hapo juu. Zaburi hii ina mantiki tu ikiwa tunachukulia lugha kuwa ya kitamathali cha hali ya juu. Kwa mfano, hakuna njia ambayo watu wa Mungu wanaweza kumsifu Bwana “katika anga lake kuu,” kwa sababu wanaishi duniani wala si mbinguni. Kusudi la zaburi si kutaja mahali na vyombo vya kutumika kusifu muziki wa kanisa. Wala haijakusudiwa kutoa leseni ya kucheza kwa ajili ya Bwana kanisani. Badala yake, kusudi lake ni kualika kila kitu kinachopumua au kutoa sauti kumsifu Bwana kila mahali. Kufasiri zaburi kama kibali cha kucheza, au kucheza ngoma kanisani, ni kutafsiri vibaya dhamira ya Zaburi na kupingana na kanuni ileile ambayo Daudi mwenyewe alitoa kuhusu matumizi ya vyombo katika Nyumba ya Mungu.
@DrOby-yd1ri
@DrOby-yd1ri Год назад
😊
@daud8785
@daud8785 Год назад
😅😅😅😅
@jacksonngusi4122
@jacksonngusi4122 Год назад
Degree izo sio sifa pia sifa yetu nikuwa ndani ya Bwana
@mkarukabrella
@mkarukabrella Год назад
brella
@KalltuniClassics
@KalltuniClassics Год назад
❤😂😊
@daud8785
@daud8785 Год назад
😂😂😂😂
@kelvinmtawa6276
@kelvinmtawa6276 Год назад
Nakumbuka mbeya mjini SDA baadhi ya watu walikuchukia kwaAjili ya ukweli
@daud8785
@daud8785 Год назад
Watu walio na upendo halisi hawaepi ukweli, ili kujiepusha na mashambulio yatakayofuata, baada ya kusema ukweli jinsi ulivyo. Watu wanapokuwa katika hatari ya kuangamia, wajumbe wa Mungu hawatajihadhari jinsi ya kusema ili kujilinda, lakini watasema maneno yote watakayoamuriwa kusema, bila kutoa udhuru au kufunikafunika dhambi. Mashujaa wa Imani 108.4
@peterochego8610
@peterochego8610 Год назад
“Msifuni kwa Ngoma.” Katika matukio mawili muhimu, machowal inatafsiriwa kama "ngoma" (Zaburi 149:3 na 150:4). Wao ni muhimu zaidi kwa sababu kwa maoni ya watu wengi wao hutoa utegemezo wenye nguvu zaidi wa kibiblia wa kucheza dansi kama sehemu ya ibada ya kanisa. Utazamaji wa karibu wa maandiko haya unaonyesha kwamba dhana hii maarufu inategemea usomaji wa juu juu na tafsiri isiyo sahihi ya maandiko. Kiisimu, neno “ngoma” katika aya hizi mbili linabishaniwa. Wasomi wengine wanaamini kwamba machowl inatokana na chuwl, ambayo inamaanisha "kufungua"38 - dokezo linalowezekana kwa chombo cha "bomba". Kwa kweli huu ni usomaji wa pambizoni uliotolewa na KJV. Zaburi 149:3 inasema: “Na walisifu jina lake kwa kucheza” [au “kwa filimbi,” ukingo wa KJV]. Zaburi 150:4 husomeka hivi: “Msifuni kwa matari na kucheza” [au “bomba,” ukingo wa KJV]. Kwa muktadha, machowl inaonekana kuwa marejeleo ya ala ya muziki; katika Zaburi 149:3 na 150:4, neno hilo hutokea katika muktadha wa orodha ya vyombo vya kutumika kwa ajili ya kumsifu Bwana. Katika Zaburi 150 orodha inajumuisha ala nane: tarumbeta, zeze, kinubi, matari, vinanda, viungo, matoazi, matoazi yavumayo (KJV). Kwa kuwa Mtunga Zaburi anaorodhesha ala zote zinazowezekana kutumika kumsifu Bwana, ni busara kudhani kwamba machowal pia ni ala ya muziki, haijalishi asili yake ni nini. Jambo lingine muhimu la kufikiria ni lugha ya kitamathali ya zaburi hizi mbili, ambayo hairuhusu kufasiriwa kihalisi kwa dansi katika Nyumba ya Mungu. Zaburi 149:5 inawatia moyo watu wamsifu Bwana kwenye “vitanda.” Katika mstari wa 6, sifa yapasa kufanywa kwa “panga zenye makali kuwili mikononi.” Katika mistari ya 7 na 8, Bwana anapaswa kusifiwa kwa kuwaadhibu mataifa kwa upanga, kuwafunga wafalme kwa minyororo, na kuwatia wakuu katika pingu. Ni wazi kwamba lugha hiyo ni ya kitamathali kwa sababu ni vigumu kuamini kwamba Mungu angetarajia watu wamsifu kwa kusimama au kuruka juu ya makochi au kuzungusha upanga wenye makali kuwili. Ndivyo ilivyo katika Zaburi ya 150 inayozungumzia kumsifu Mungu, katika a njia ya mfano sana. Mtunga-zaburi anawaita watu wa Mungu wamsifu Bwana "kwa ajili ya matendo yake makuu" (mst. 2) katika kila mahali iwezekanavyo na kwa kila chombo cha muziki kinachopatikana. Kwa maneno mengine, zaburi inataja mahali pa kumsifu Bwana, yaani, "patakatifu pake" na "anga yake kuu"; sababu ya kumsifu Bwana, yaani, “kwa ajili ya matendo yake makuu . . . kwa kadiri ya ukuu wake mkuu” (mstari 2); na vyombo vya kumsifu Bwana, yaani, wale wanane waliotajwa hapo juu. Zaburi hii ina mantiki tu ikiwa tunachukulia lugha kuwa ya kitamathali cha hali ya juu. Kwa mfano, hakuna njia ambayo watu wa Mungu wanaweza kumsifu Bwana “katika anga lake kuu,” kwa sababu wanaishi duniani wala si mbinguni. Kusudi la zaburi si kutaja mahali na vyombo vya kutumika kusifu muziki wa kanisa. Wala haijakusudiwa kutoa leseni ya kucheza kwa ajili ya Bwana kanisani. Badala yake, kusudi lake ni kualika kila kitu kinachopumua au kutoa sauti kumsifu Bwana kila mahali. Kufasiri zaburi kama kibali cha kucheza, au kucheza ngoma kanisani, ni kutafsiri vibaya dhamira ya Zaburi na kupingana na kanuni ileile ambayo Daudi mwenyewe alitoa kuhusu matumizi ya vyombo katika Nyumba ya Mungu.
@daud8785
@daud8785 Год назад
Barikiwa sana
@user-ru8kc6wf1g
@user-ru8kc6wf1g Год назад
Shetani mpaka leo hajastukiwa kwakuligawa kanisa
@nderekanoella817
@nderekanoella817 Год назад
😂😂😂😂😂😂
@geraldmwangira.4978
@geraldmwangira.4978 Год назад
Jamn mlimcharusha Pastor naye chamoto mlikipata😂😂😂nacheka kama chizi apa.
@daud8785
@daud8785 Год назад
😂😂😂😂😂
@davidmisiwa4622
@davidmisiwa4622 Год назад
Kuna baadhi watamchukia huyu mchungaji
@daud8785
@daud8785 Год назад
Mpaka sasa kuna baadhi ya watu wanamchukia.Mara zote dhambi zetu zikiguswa huwa tunawachukia wale wanaotumiwa na Mungu kufikisha ujumbe husika. 👇👇👇👇 Ni kawaida kwa mkosaji ye yote kutupa lawama kwa wajumbe wa Mungu kwa ajili ya matokeo ya makosa yao kwa kuziasi kanuni za haki. Watu wanaojikabidhi mikononi mwa Ibilisi, hawawezi kuona mambo kwa wazi kama Mungu anavyoyaona. Kioo cha ukweli kikiwekwa mbele yao, hughadhabika kwa ajili ya kudhihirishwa ukweli ulivyo. Hukataa kutubu kwa ajili ya kupofushwa na dhambi; hudhani kuwa wajumbe wa Mungu waliodhihirisha ukweli ndio waliogeuka adui wao, kwa hiyo wanastahili kulaumiwa sana. Mashujaa wa Imani 107.2
@davidmisiwa4622
@davidmisiwa4622 Год назад
@@daud8785 ahsante sn ndg yangu MUNGU akubarik saaaaaana
@joelnealsamwel4502
@joelnealsamwel4502 Год назад
Sijajua inakueje mtu ameishi na kusoma biblia na kusomea uchungaji na akapata vyeo kwenye Uchungaji Ila hajajua nn maana ya KUJIPAMBA KWENU KUSIWE KWA NJE, na anakemea kabisa akiamini yupo sahihi.
@konjeitz4918
@konjeitz4918 Год назад
Hoja yako ni Nini?
@annageorge5877
@annageorge5877 Год назад
@@konjeitz4918 nimiaka mungo nilimuona huyu mchungaji nikiwa of badass nimekuwa mama mtumzima ,,,MUNGU azidi kukutumia pstr🙏🙏🙏🙏
@gasperymisungwi960
@gasperymisungwi960 Год назад
Unahoja za wasabato wa kisasa! Hoja ya mchungaji ni nguvu ya roho mtakatifu katika maisha ya kiroho ya mkristo! Kama matendo yako hayaendani na jinsi Mungu anavyotutaka tuwe, ni dalili tosha kwamba nguvu ya Roho Mtakatifu haipo ndani yako.
@PaulEvarist-jc3mf
@PaulEvarist-jc3mf 11 месяцев назад
bwana Joel sijaelewa maana yako ni nini hasa ulicholenga kumaanisha
@joelnealsamwel4502
@joelnealsamwel4502 11 месяцев назад
@@PaulEvarist-jc3mf umeshawah kujiuliza Kwann swala la nywele limeongelewa mara 1 pekee kwenye biblia!
@jitrihadarutamo2738
@jitrihadarutamo2738 Год назад
😂😂😂😂😂
@daud8785
@daud8785 Год назад
😂😂😂😂😂
Далее
ЭТОТ ПЕНЁК ИЗ PLANTS VS ZOMBIES - ИМБА!
00:48
Kiwambo cha Agwambo (Part 1)
57:04
Просмотров 1,1 млн
A Muslim Man Enters a Church - They Laughed
39:53
Просмотров 1,3 млн
KUNENA-KWA-LUGHA-NI-KUPI??PR.KENANI MWASOMOLA SIKILIZA
25:56
KAZI AU MKE ? | Pr. Peter John
20:06
Просмотров 23 тыс.
Hivi tunacheza timu gani? || Paul Semba
5:05
Просмотров 8 тыс.
Neema gani hii tuliyonayo?! Pr Paul Semba
5:54
Просмотров 10 тыс.
#FAIDA ZA KUMTUMIKIA MUNGU
1:09:06
Просмотров 28 тыс.