Тёмный
No video :(

IBRA CLASSIC AFUNGUKA UGOMVI WAKE NA HASSAN MWAKINYO?/PAMBANO LA TAREHE 27/KILA MTU APIGANE KIVYAKE 

JEMBESPORTS
Подписаться 90 тыс.
Просмотров 19 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

28 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 77   
@macksonimwandemele42
@macksonimwandemele42 7 месяцев назад
Ila wabongo wabaya sanaa dogo ibla na mmpenda mwakinyo nampenda Sasa sijui Hawa walio nyuma ya hili wabawa sanaaa dogo ibla sio kweli kama ww una mashibiki wako na mwakinyo ana kwake mashabiki ni sisi maana ww unaaina yako ya kucheza na mwakinyo pia so kwakua sio ww unae andaa pambano kafanye kazi ila aijakaa sawa kabisaaaaaaa
@tyronemofekeng7152
@tyronemofekeng7152 7 месяцев назад
Umeenda kumuhoji Ibra lakini unahoji juu ya mwakinyo... kazi sana
@mussamwamoto8231
@mussamwamoto8231 7 месяцев назад
umezingua brother,umeingia ktk mtego wa hovyo IBRA.
@digoMastar-zf4ji
@digoMastar-zf4ji 7 месяцев назад
Sisi timu mwakinyo natunamkubali sana tunaenda Zanzibar kuangalia pamabo japokua nipo Tanga siwezi kuangalia timu zayumba
@sportskijiwe781
@sportskijiwe781 7 месяцев назад
Ila mshikaji lazima umuongelee mwakinyo mara nyingi mzee
@EliaMwaijumba
@EliaMwaijumba 7 месяцев назад
Champion mwakinyo razima tumcheki
@JanethShaban-ur3mk
@JanethShaban-ur3mk 6 месяцев назад
Napenda,ibla,anavo,pigana,Mimi,mwenyewemsbiki,wako
@user-px3po9lt8g
@user-px3po9lt8g 7 месяцев назад
Champezzz one time two times all the time Mogadishu the iron king champezzz number one in Africa
@wazirisaid8326
@wazirisaid8326 7 месяцев назад
Mdogo wangu umeingia mkenge kukubali kucheza tarehe moja na Mwakinyo!! Hao Mafia wamekuingiza mkenge maana hatuwezi kuacha kutazama pambano la Mwakinyo tukatazama pambano lako Ila tutacheki kwenye marudio. Pambano la Mwakinyo linasubiriwa hadi Uingereza na kila siku linatangazwa huko
@user-of9xd7nd2n
@user-of9xd7nd2n 7 месяцев назад
Huyu anataka kupigana na mwakinyo lakini hatak kuwa wazi
@salehwaziri5062
@salehwaziri5062 7 месяцев назад
Hatumjui mwakunya tupopamoja naIbraa
@RobsonMalisa
@RobsonMalisa 7 месяцев назад
Hata mandonga alisema hamjui leo mbn kamjua 😂😂​@@salehwaziri5062
@rashidmsuya5721
@rashidmsuya5721 7 месяцев назад
​@@salehwaziri5062 falaaa
@user-vz4xj2ci2w
@user-vz4xj2ci2w 7 месяцев назад
wewe na nani@@salehwaziri5062
@AllyMohamed-xw6hy
@AllyMohamed-xw6hy 7 месяцев назад
Ibra ulipigwa ngumi na mchina ukadondoka ila ulidai umeteleza
@mustafaosman1838
@mustafaosman1838 7 месяцев назад
Tuko namwakinyo wachawi nyinyi
@emilysanga7662
@emilysanga7662 7 месяцев назад
IBRA kweli Iringa umetutenga sana sio kidogo
@jumaamanghi8764
@jumaamanghi8764 7 месяцев назад
Ibrah nilikua shabiki wako Ila Kwa hili hapana Ni ushamba
@user-px3po9lt8g
@user-px3po9lt8g 7 месяцев назад
Ibra utatupoteza mashabiki wako tunakupenda ndio Ila mwakinyo tunampenda zaidi ukikubali kushindanishwa utapotea mdogo wangu
@rashidmsuya5721
@rashidmsuya5721 7 месяцев назад
Sjui anataka nn demu achukue na bado alete umwamba
@AllyMohamed-xw6hy
@AllyMohamed-xw6hy 7 месяцев назад
Hujuma izoo ibra
@user-cx4us4eh6p
@user-cx4us4eh6p 7 месяцев назад
Klasi nakukubali sana mwakinyo fala tu mrembo yule
@allykayanda6930
@allykayanda6930 7 месяцев назад
Wewe huna kitu chakuonyesha bhana miyeyusho tuu ,unataka kubebwa unalialia muda wote 😂😂😂😂
@wazirisaid8326
@wazirisaid8326 7 месяцев назад
Mwakinyo mkubwa Mara sabini zaidi ya MAFIA Promotion so hakuna hujma yoyote ya MAFIA dhidi ya Mwakinyo itakayofanikiwa na tarehe 27/01/2024 itathibitisha ninachokisema, nipo paleeee nimekaa!!
@salehwaziri5062
@salehwaziri5062 7 месяцев назад
Hana ukubwawowote huyomwimbataarabu watanga
@karmalyshaft9742
@karmalyshaft9742 7 месяцев назад
😂😂😂😂Athenian roho mbaya ninyi mnajua mtajaza tunaangalia la Mwakinyo
@noahkamendu9081
@noahkamendu9081 7 месяцев назад
Nakukubali xana ila tarehe moja na makwinyo alaf Tanga sio xawa ungetafta tarehe nyingine alaf usijihusishe na bifu zakijinga ishina kila bondia mwenzako poa utafanikiwa
@wazirisaid8326
@wazirisaid8326 7 месяцев назад
Hicho ulichokisema kuwa ukiwa second wa mtu unaangalia vile anavyofanya yeye Ila huangalii anachokifanya mpinzani wake kwasababu ya mapenzi yako na bondia wako. Ndio hivyohivyo wachambuzi wengine wanaona kinachofanywa na mabondia wao tu na sio mabondia wengine ndio maana Mfalme wa Tanga ameliona hilo na kuona Nasibu Ramadhani ndio mchambuzi anayesimamia ukweli bila ya kuzingatia mapenzi yake na bondia mwengine. Tuliyaona hayo kwa bondia fulani mkongwe akawa anatangaza ngumi anazopigwa Mwakinyo tu na Tinampay Tena kwa mahaba makubwa. Hii inawapotosha mashabiki wanaosikiliza redioni ijapokua anaotazama TV wanauona ukweli. Kwahiyo muyaheshimu maono ya Mfalme wa Tanga mwenye ngumi zake.
@user-fb7ej3lq3l
@user-fb7ej3lq3l 7 месяцев назад
Mwakinyo ajawai muongelea bondia yoyote ila wao kila siku mwakinyo
@ebenezerchurchsupremetv9490
@ebenezerchurchsupremetv9490 7 месяцев назад
Anaongea sana tena anamuongelea kiduku
@ramadhanitumbo1802
@ramadhanitumbo1802 7 месяцев назад
Usipo jiongeza ibra utajiaribia mana mafya ni waharibifu katika ngumi
@user-fy5ib3jp3i
@user-fy5ib3jp3i 6 месяцев назад
Jamani ina bid tumshauri Hasani Mwakinyo akaweke kambi marekani huku Tz aje kama mgeni maana mnamfuatilia sana ooh anarnga ooh anaongea sana ili mbaki nyinyi mbona yeye skichezs akishinda huwa hamhitaji bondia yoyote kasema hamihitaji mbona hmuelewi
@user-px3po9lt8g
@user-px3po9lt8g 7 месяцев назад
Pambana ni moja tu hao wengine wametumwa na washafeli
@motorcyclenetwork
@motorcyclenetwork 7 месяцев назад
Hawa jamaa wa mafia nimegundua mwakinyo hata wao wanamkubali 😂😂 na ndo maana wanajaribu kujikuza kwa kumtaja taja kinala wao Tanzania one too much love Hassan mwakinyo
@allimohamed2688
@allimohamed2688 7 месяцев назад
Hapo ndio mjue mafya ana bifu
@user-oq3zf6qe3w
@user-oq3zf6qe3w 7 месяцев назад
Wewe ibra jichanganye tuu mwakinyo ni namba Moja kumbe wewe ibra mshamba sana sio mtu wakusapotiwa wewe Yani unakuwa kama mandoga Kila siku unapigana
@hashakishabani4896
@hashakishabani4896 7 месяцев назад
Mwakinyo anapendwa sana kwenye mchezo wa boxing kwa sababu huwa akiwa ulingon anakiwasha haswa
@EmilyMwampamba-yt6ff
@EmilyMwampamba-yt6ff 7 месяцев назад
Leteni pambano mbeya bwana clas
@AloyceMwakatala-si1rs
@AloyceMwakatala-si1rs 7 месяцев назад
Hilo ni tatizo kubwa kwa maana mashabiki wengine tunawapenda wote, mi nadhani shirikisho la ngumi bado ninampiga vita Hassan Mwakinyo Champezi
@faridyshaame4705
@faridyshaame4705 7 месяцев назад
Huyu mwandishi wa kulia itakua hayupo sawa😅 kila swali ana mtarget mwakinyo
@EmmaSimukoko
@EmmaSimukoko 7 месяцев назад
🎉🎉🎉🎉
@SamweliMwasomola-ey1eg
@SamweliMwasomola-ey1eg 7 месяцев назад
Mwakinyo nakutakia kila lakher ya pambano lako,ila muombe Sana Mungu mafitini Ni mengi Sana nyuma yk
@saidrakwe8727
@saidrakwe8727 7 месяцев назад
Mwakinyo anaishi kiume zaidi( kuishi kiume ni mfumo wakujiamini na mtu akijichanganya unampakazia kazi iendelee……mipasho na majungu unamuachia hadija kopa na wenzake
@AbdulKorongo
@AbdulKorongo 7 месяцев назад
Kabisa mwamba
@user-ke2xk8wd6y
@user-ke2xk8wd6y 7 месяцев назад
Nilkua nakukubal kumbe ww ni mshamba tz ata nyie msipokuepo mwakinyo anatutosha ila mwakinyo asipokuepo nyiny bado amtutoshi
@AllyMohamed-xw6hy
@AllyMohamed-xw6hy 7 месяцев назад
Mwakinyo ndo babalaoooo
@salimbilal6786
@salimbilal6786 7 месяцев назад
Nyie waandishi acheni uzushi mechi ya clas ni tanga hasani yuko zenji na hiyo ni nchi na tanga ni mkoa hivyo mashabiki ni wengi kote kote
@user-tj6kk5vg9v
@user-tj6kk5vg9v 7 месяцев назад
Fumua lasta 😂😂
@user-bn6we3nj6t
@user-bn6we3nj6t 7 месяцев назад
Wewe mtangazaj wataka kufirwa na mwakinyo waonyesha
@user-zp5tm3wd8b
@user-zp5tm3wd8b 7 месяцев назад
Mzee wakubebwa auna jambo ww
@nyalysmswatijr1032
@nyalysmswatijr1032 7 месяцев назад
Ibrahim class, bondia kweli kweli,swala la kumfananisha na mwakinyoko ni uchale,,,
@AbdulKorongo
@AbdulKorongo 7 месяцев назад
Mwakinyo mwamba ww class hawez kumfkia mwakinyo champez one time
@salummahamud355
@salummahamud355 7 месяцев назад
Yaani IBRA awe bondia kweli kushinda mwakinyo hahahah kweli hii inchi Ina wapuuzi wengi
@user-fb7ej3lq3l
@user-fb7ej3lq3l 7 месяцев назад
Uyo muandishi choko anaoji ushubwada
@user-of9xd7nd2n
@user-of9xd7nd2n 7 месяцев назад
Wewe umekaa kama twaha unatengeneza mabifu na mwakinyo sababu nasikia wataka kupigana na mwakinyo lbra weka watu wazi mapromotor wajue watu waweke mzigo kiwake usizunguuke sana
@kherysentongo4717
@kherysentongo4717 7 месяцев назад
Akili yake ndio mwisho wake wa kilufikiri hiyo zambi haitawaacha salama yote ni chuki walizijenga mwakinyo ni zaid yao wao wanafanya vitu kumuiga yeye yeye haigi mtu
@RamaKizo-zc9ex
@RamaKizo-zc9ex 7 месяцев назад
Kila mtu hamshabikie anaempend usitulazimishe tumshangilie shiga yen misi tanga.
@kastorymalila1109
@kastorymalila1109 7 месяцев назад
Sisi tupo na Ibrah, mvaaa vikuku atajichek mwenyew
@user-zp5tm3wd8b
@user-zp5tm3wd8b 7 месяцев назад
Wee shoga 2
@kastorymalila1109
@kastorymalila1109 7 месяцев назад
Kama bab* ako vileee
@rashidmsuya5721
@rashidmsuya5721 7 месяцев назад
Upo peke yako dada na machoko wenzako si tupo na tz 1
@yuleboy9626
@yuleboy9626 7 месяцев назад
Mwakinyo tanga wewee kichaaa kweli yan niache kumuangalia mwakinyo kwenye tv et niende mkwakwn kukuangalia ww kwa kip kwanza puumbaaaavuuu😏😏😏😏😏
@rahimmarions5712
@rahimmarions5712 7 месяцев назад
Ukweli simpendi Mwakinyo Ila kwa hili najua kuwa kuna watu wamefanya hii kitu.. km tarehe ilipangwa mbona matangazo yamekuja baada ya kuwekwa wazi la Mwakinyo!?? Ibra unawekwa ktk bifu ya kijinga na hao mapromota uchwara
@UKWELI-TV
@UKWELI-TV 7 месяцев назад
Wapigana na nani
@user-px3po9lt8g
@user-px3po9lt8g 7 месяцев назад
Halina mvuto
@user-wn4is4wf4v
@user-wn4is4wf4v 7 месяцев назад
Wewe kama wewe mwandishi utangalia pambano la mwakinyo
@ayubutwalbu6594
@ayubutwalbu6594 7 месяцев назад
Wewe ibu mwehu sisi tunamwangalia mwakinyo wewe bado unaftina tu
@digoMastar-zf4ji
@digoMastar-zf4ji 7 месяцев назад
Ibra wewe ungeomba pambano liarishe ifanyike tarehe 28 sikia hatuwezi kuacha kumuangalia mwakinyo eti tuje tukuangalie wewe haiwezekani mzee unajidanganya
@adamally8705
@adamally8705 7 месяцев назад
Mtangazaji acha uchoko .uchonganishi Kuma wewe
@paterinishayo-ef4sx
@paterinishayo-ef4sx 7 месяцев назад
Uchwara mtupu utajiangalia mwenyewe bifu za kijinga hizo washabiki ndio cc wenyewe hakuna mwenye washabiki wake labda ndugu zako pambano zuri litangalia na ukiona utaona mwenyewe huwez kushindana na mwakinyo
@user-oq3zf6qe3w
@user-oq3zf6qe3w 7 месяцев назад
Usha potea wewe unatafuta mabifu yakijinga jifunze kwadula
@ayubutwalbu6594
@ayubutwalbu6594 7 месяцев назад
Kwenda zako wewe
@MbwanaSamata-nt6pd
@MbwanaSamata-nt6pd 7 месяцев назад
Ibra mishabik yako ila na ni mtanga vile ila usingie kweny mivutano ya watu unapoteza mashabik ikiwemo mm
Далее
Chelsea gym be like.. 😅⚽️
00:20
Просмотров 11 млн