Тёмный
No video :(

IBRAAH: Napitia magumu sana, nimekaa miezi nane bila kulipwa, nimetoa wimbo kuokoa kipaji changu 

Simulizi Na Sauti
Подписаться 1,4 млн
Просмотров 101 тыс.
50% 1

Tembelea www.sns.co.tz kwa habari nyingi zaidi
Follow kurasa zetu za mitandao ya kijamii:
/ simulizinasauti
/ simulizinasauti
/ simulizinasauti
/ simulizinasauti

Опубликовано:

26 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 428   
@uwimana6533
@uwimana6533 11 месяцев назад
Ibrah yamemrudi ile fitna mlimfanyia daimond mungu kamlipia 😢
@rashidyusuphwewenimtotowam1761
@rashidyusuphwewenimtotowam1761 11 месяцев назад
Anajifanya anakaza huku anakufa na njaa😅😅😅
@sophsoph4740
@sophsoph4740 11 месяцев назад
​@@rashidyusuphwewenimtotowam1761kabs njaa itamfanyaaaa haseme N hatasema tu
@PaulNzima-pd8il
@PaulNzima-pd8il 11 месяцев назад
Tunaomba basata wamutoe Ibraa konde gang .... Harmonize ni laana Kwa Sanaa yetu Tanzania 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@noblezeprezdaa3789
@noblezeprezdaa3789 11 месяцев назад
😅😂😂😂😂😂😂 ila weweeeeee
@zuwenaalamin8985
@zuwenaalamin8985 11 месяцев назад
Kweli kabisa Ila huyu Dogo nae mjeuri alikuwa anamsagia sanaaa mond
@sophsoph4740
@sophsoph4740 11 месяцев назад
Kwakwer bana hana amani hanaonekana jmn😢
@surajatul732
@surajatul732 11 месяцев назад
Mapema kabisa wakati huyu dogo anaingia kwenye game mapema kabisa niliwahi kuongea na jamaa yangu tukiwa tunapiga tu story. Nikasema "HARMONIZE NI MTOTO WA DIAMOND KIMUZIKI NA HATA KIMAISHA AMEBEBWA NA DIAMOND NDIO AKAFIKA HAPO ALIPO NA AKATOKA WCB KIDHARAU NAMNA ILE PASIPO BARAKA AU RADHI ZA WALIOKUTOA. RAY VANNY PIA NI NDUGU WA MZALIWA PAMOJA NA HARMONIZE KWENYE FAMILIA YA WASAFI. KWA LUGHA RAHISI DIAMOND NI BABU WA HUYU DOGO KI MUZIKI NA RAY VANNY NI BABA YAKE PIA. ALITAKIWA AONESHE HESHIMA HATA KAMA SIO YA KIFAMILIA BASI TU YA KUMTANGULIA KIMUZIKI." Nikamwambia yule rafiki yangu hasa kulingana na nilivyokuwa naiona nguvu ya kiroho ya kum'backup huyu dogo nikasema "HUYU DOGO ANAIMBA VIZURI NA ANAUZEZO MZURI NA WA UHAKIKA TENA NASISITIZA HAPA (anamzidi hata huyo Harmonize na ana zile techniques za uimbaji na uandishi kumzidi Harmonize) LAKINI HATOFIKA MBALI NA AKIFIKA ITAKUWA KWA NGUVU SANA KWASABABU ANAISHAMBULIA MISINGI YA ASILI YA NGUVU YA MUSIC WAKE." Harmonize na watu wote wa KONDE GANG walitengeneza tu watu sio kama WCB kulea na kuwainua bali kwasababu ya kujitengenezea nguvu fulani ya kukabiliana na upinzani wa WCB. Harmonize na watu wake bila kutengeneza kitu kama konde gang na madogo janja kama hawa na drama walizokuwa wanaziendesha BAADA YA KUTOKA WCB HARMONIZE ALIKUWA HAFIKI POPOTE. Haka kadogo kalionesh nyodo ya maana kakiwa chini ya Harmonize lakini sisi wengine tulikuwa tunaona anatamba juu ya KUTI KAVU. Kosa lingine kanalifanya hapa kama kuonesha kenyewe ni ka BEI MBAYA kusema makampuni yalikuwa hayafiki viwango vyake. UKIACHANA NA UMAARUFU SI AJABU HAPO HATA LAKI KUISHIKA KANAISIKIA TU (kwa ninavyowajua maisha ya wasanii wengi nilionao karibu), KANAACHA KUTULIA KIMYA BADO KANAVIMBA. Haka karate mshauri na mtu wa kukasaidia KANA KITU KATAFIKA MBALI.!!!! Ni mtazamo wangu tu, msinimaindi.!
@zainabukhalid8223
@zainabukhalid8223 11 месяцев назад
🤣🤣🤣🤣🤣 mbona laana
@masterhptv4065
@masterhptv4065 11 месяцев назад
Anapaswa ajifunze adabu maana alitumika kuwatukana kaka zake kimziki akijua alipo amefika na hatoondoka sasa kiko wapi? Mnapokuwa kwenye lebel jifunze kuwa na hekima na ukimya maana hujui kesho yako. Kibri ndo kinawaumiza hawa watoto
@Kobe_254
@Kobe_254 11 месяцев назад
TRUTH BE TOLD... huyu boi alikua anaimba vizuri sana, shida ilikua anaweza mshinda kwenye nyimbo.. na ikafanya kukanyagiwa talanta yake, huyu ajiondoe tu.. ata akuje tu Kenya atapata promotion kubwa sana... 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@surajatul732
@surajatul732 11 месяцев назад
Mapema kabisa wakati huyu dogo anaingia kwenye game mapema kabisa niliwahi kuongea na jamaa yangu tukiwa tunapiga tu story. Nikasema "HARMONIZE NI MTOTO WA DIAMOND KIMUZIKI NA HATA KIMAISHA AMEBEBWA NA DIAMOND NDIO AKAFIKA HAPO ALIPO NA AKATOKA WCB KIDHARAU NAMNA ILE PASIPO BARAKA AU RADHI ZA WALIOKUTOA. RAY VANNY PIA NI NDUGU WA MZALIWA PAMOJA NA HARMONIZE KWENYE FAMILIA YA WASAFI. KWA LUGHA RAHISI DIAMOND NI BABU WA HUYU DOGO KI MUZIKI NA RAY VANNY NI BABA YAKE PIA. ALITAKIWA AONESHE HESHIMA HATA KAMA SIO YA KIFAMILIA BASI TU YA KUMTANGULIA KIMUZIKI." Nikamwambia yule rafiki yangu hasa kulingana na nilivyokuwa naiona nguvu ya kiroho ya kum'backup huyu dogo nikasema "HUYU DOGO ANAIMBA VIZURI NA ANAUZEZO MZURI NA WA UHAKIKA TENA NASISITIZA HAPA (anamzidi hata huyo Harmonize na ana zile techniques za uimbaji na uandishi kumzidi Harmonize) LAKINI HATOFIKA MBALI NA AKIFIKA ITAKUWA KWA NGUVU SANA KWASABABU ANAISHAMBULIA MISINGI YA ASILI YA NGUVU YA MUSIC WAKE." Harmonize na watu wote wa KONDE GANG walitengeneza tu watu sio kama WCB kulea na kuwainua bali kwasababu ya kujitengenezea nguvu fulani ya kukabiliana na upinzani wa WCB. Harmonize na watu wake bila kutengeneza kitu kama konde gang na madogo janja kama hawa na drama walizokuwa wanaziendesha BAADA YA KUTOKA WCB HARMONIZE ALIKUWA HAFIKI POPOTE. Haka kadogo kalionesh nyodo ya maana kakiwa chini ya Harmonize lakini sisi wengine tulikuwa tunaona anatamba juu ya KUTI KAVU. Kosa lingine kanalifanya hapa kama kuonesha kenyewe ni ka BEI MBAYA kusema makampuni yalikuwa hayafiki viwango vyake. UKIACHANA NA UMAARUFU SI AJABU HAPO HATA LAKI KUISHIKA KANAISIKIA TU (kwa ninavyowajua maisha ya wasanii wengi nilionao karibu), KANAACHA KUTULIA KIMYA BADO KANAVIMBA. Haka karate mshauri na mtu wa kukasaidia KANA KITU KATAFIKA MBALI.!!!! Ni mtazamo wangu tu, msinimaindi.!
@dakxirdakxir5897
@dakxirdakxir5897 11 месяцев назад
😂😂😂😂😂 wakwenu wamewashinda mtaweza wabongo
@edwardmkwelele
@edwardmkwelele 11 месяцев назад
You don't understand the problem is not with his label or Harmonize listen careful
@Kobe_254
@Kobe_254 11 месяцев назад
@@dakxirdakxir5897 Bongo uchawi mwingi
@Kobe_254
@Kobe_254 11 месяцев назад
@@edwardmkwelele he can't say because the contract ties him and indirect consequences may follow up... remember his projects are still under Konde studios.. so aki mess, he may crush on a nose point, you may find even those chains ⛓️ aren't his and clothes ni za kuomba
@shadiwaigwa9230
@shadiwaigwa9230 11 месяцев назад
Tuseme ukweli, label kubwa ni WCB ya harmo ni yeye na yeye, vannyboy ni yeye na yeye so Ibbrah jipange mapema
@jeffyasin2977
@jeffyasin2977 11 месяцев назад
Ni msanii mzuri na unanyimbo nzuri ila tatizo ni huko ulikopanga mwenye nyumba hana utu ni mselfish
@BrunojnrMz
@BrunojnrMz 10 месяцев назад
Sky uko vizuri sana kaka. Murch love
@izoohjack6687
@izoohjack6687 11 месяцев назад
Toka huko Njoo tukupeleke chaka to chaka upate maokoto😊
@barikilangoy4737
@barikilangoy4737 11 месяцев назад
Huyu kijana ana wakati mgumu jaman yani sura yenyewe inajieleza
@rosemahenge9071
@rosemahenge9071 11 месяцев назад
True
@rashidyusuphwewenimtotowam1761
@rashidyusuphwewenimtotowam1761 11 месяцев назад
Mtoto mdogo sauti kama ya chege 😂😂😂😂
@bintspeech3868
@bintspeech3868 11 месяцев назад
Point hata make-up hapaki siku hiziiiii 😂😂😂
@fatmaally7252
@fatmaally7252 11 месяцев назад
Ni kweli sura haina nuru maskini maisha haya mmmh
@OnlyRuky
@OnlyRuky 11 месяцев назад
UWONGOOO umemjaa mdomoni kisa ku-m-cover Harmo while hana msaada naye...mpka kuongea ana sua sua😂😂😂😂Daaah Ibra Umekonda Usoni pole kwa unayopitia
@ramayonline2281
@ramayonline2281 11 месяцев назад
😂😂😂😂😂 na amekonda kishenz😅😅😅😅😅😅😅
@isaachayes9783
@isaachayes9783 11 месяцев назад
Sasa hivi ndio watu watajua Harmonize ana roho mbaya sana, hakuna hata msanii mmoja aliemsaidia akafikia viwango vya juu, uchoyo na roho mbaya ndio tabia yake
@vincentmushi1247
@vincentmushi1247 11 месяцев назад
Mbona kama amezeeka ghafla ...au macho yangu😂😂😂
@amielraphael2927
@amielraphael2927 10 месяцев назад
Tatizo Harmonize Alikutumia vibaya mdogo wangu, alikurithisha Maadui wake na haukustuka kabsa
@nasibujuniorbd5698
@nasibujuniorbd5698 11 месяцев назад
Mulimtukana sana H baba akiwa anaongea ukwel najua leo munaanza kukubali kua harmonize sio musanii ambae anauwezo wakupromoti Wasanii hata yeye anashindwa Sana kujibland
@muddyville
@muddyville 11 месяцев назад
Kujibland ndo nini wewe
@makatym6151
@makatym6151 11 месяцев назад
​@@muddyville😂
@user-fk8ul9dd5p
@user-fk8ul9dd5p 11 месяцев назад
Kifupi ibrah hujui kuimba konde hata hivo kakubeba xana ila pambana na mixhe zingine mziki bado kbx
@sulleymernmannarah7930
@sulleymernmannarah7930 11 месяцев назад
@@user-fk8ul9dd5p acha kumkatixha dogo Tamaa ..Dogo yko vzr shida Iko kwny management tuh Hyo Mmakonde akiacha utoto dogo atakua kimziki
@kamigwasfamily1178
@kamigwasfamily1178 11 месяцев назад
Ibraah..umebeba mengi moyoni,ukweli ungekuwa msaada kwako kuliko kuficha.
@EddykingJuma
@EddykingJuma 4 месяца назад
Nipen laik zangu nawaskilia Kenya Nairobi❤❤❤
@Jonathankaghese
@Jonathankaghese 11 месяцев назад
Nakubali ngoma zako Nipeni liké zangu 🇨🇩
@rosemahenge9071
@rosemahenge9071 11 месяцев назад
Ukiangalia interviews za nyuma kisha ukaangalia na hii tayari jibu utalipata kijana yupo na shida sema hawezi kujiachia kuongea kwa sababu kuna vitu havijakaa sawa😮
@uwimana6533
@uwimana6533 11 месяцев назад
Kabisa 😂😂
@SaidJuma-ru7vm
@SaidJuma-ru7vm 11 месяцев назад
He is not comfortable...! Harmonize anamuogopa huyu mtoto ndio maana hampi full support
@matendoandrewmgeni1135
@matendoandrewmgeni1135 11 месяцев назад
Wewe star kuliko mzee majuto???shauri yako
@user-zt3et5kl5m
@user-zt3et5kl5m 11 месяцев назад
Harmonise ananifanya nimchukue akii alijifanya anahela kununua migari ma kuhonga bila kujali kumlipa msanii wake ona sasa 😢
@rashidibushiri1880
@rashidibushiri1880 11 месяцев назад
Mimi pia sijapenda kabisa
@jeybullaz9323
@jeybullaz9323 11 месяцев назад
Sura yake ina akisi unyonge lkn anaficha ibra
@togetherwecansolve
@togetherwecansolve 11 месяцев назад
Huyu dogo Ana confidence Sana ya kisani tunakuombeya kwa Mola career yako ikuwe Sana na uzivunjwe moyo na yeyote utafanikiwa Sana hadi utashangaa maishani
@surajatul732
@surajatul732 11 месяцев назад
Mapema kabisa wakati huyu dogo anaingia kwenye game mapema kabisa niliwahi kuongea na jamaa yangu tukiwa tunapiga tu story. Nikasema "HARMONIZE NI MTOTO WA DIAMOND KIMUZIKI NA HATA KIMAISHA AMEBEBWA NA DIAMOND NDIO AKAFIKA HAPO ALIPO NA AKATOKA WCB KIDHARAU NAMNA ILE PASIPO BARAKA AU RADHI ZA WALIOKUTOA. RAY VANNY PIA NI NDUGU WA MZALIWA PAMOJA NA HARMONIZE KWENYE FAMILIA YA WASAFI. KWA LUGHA RAHISI DIAMOND NI BABU WA HUYU DOGO KI MUZIKI NA RAY VANNY NI BABA YAKE PIA. ALITAKIWA AONESHE HESHIMA HATA KAMA SIO YA KIFAMILIA BASI TU YA KUMTANGULIA KIMUZIKI." Nikamwambia yule rafiki yangu hasa kulingana na nilivyokuwa naiona nguvu ya kiroho ya kum'backup huyu dogo nikasema "HUYU DOGO ANAIMBA VIZURI NA ANAUZEZO MZURI NA WA UHAKIKA TENA NASISITIZA HAPA (anamzidi hata huyo Harmonize na ana zile techniques za uimbaji na uandishi kumzidi Harmonize) LAKINI HATOFIKA MBALI NA AKIFIKA ITAKUWA KWA NGUVU SANA KWASABABU ANAISHAMBULIA MISINGI YA ASILI YA NGUVU YA MUSIC WAKE." Harmonize na watu wote wa KONDE GANG walitengeneza tu watu sio kama WCB kulea na kuwainua bali kwasababu ya kujitengenezea nguvu fulani ya kukabiliana na upinzani wa WCB. Harmonize na watu wake bila kutengeneza kitu kama konde gang na madogo janja kama hawa na drama walizokuwa wanaziendesha BAADA YA KUTOKA WCB HARMONIZE ALIKUWA HAFIKI POPOTE. Haka kadogo kalionesh nyodo ya maana kakiwa chini ya Harmonize lakini sisi wengine tulikuwa tunaona anatamba juu ya KUTI KAVU. Kosa lingine kanalifanya hapa kama kuonesha kenyewe ni ka BEI MBAYA kusema makampuni yalikuwa hayafiki viwango vyake. UKIACHANA NA UMAARUFU SI AJABU HAPO HATA LAKI KUISHIKA KANAISIKIA TU (kwa ninavyowajua maisha ya wasanii wengi nilionao karibu), KANAACHA KUTULIA KIMYA BADO KANAVIMBA. Haka karate mshauri na mtu wa kukasaidia KANA KITU KATAFIKA MBALI.!!!! Ni mtazamo wangu tu, msinimaindi.!
@mwezzireen17
@mwezzireen17 11 месяцев назад
Huyu aende next level asigniwe na vannybi❤❤❤
@user-uo6bo3ph6g
@user-uo6bo3ph6g 11 месяцев назад
We nae huko next level Kuna Nini zaid ya ushuz,pale si Kuna msanii kasainiwa kafika wap??
@festovenas502
@festovenas502 11 месяцев назад
Kana kibul kabak uko uko 😂😂😂
@maryamtanzania9743
@maryamtanzania9743 11 месяцев назад
Unamsingizia ibra hana kiburi jamani anajielewa ibra ila hamo nakupenda lakini mshike mkono ibra usimuache
@athumaniamani9905
@athumaniamani9905 11 месяцев назад
Rayvany mwenyew anamshindwa macvoic so atamuweza huyu.....
@user-qq6mv6vh3e
@user-qq6mv6vh3e 11 месяцев назад
Next revel kuna nini sasa
@chancekambale3498
@chancekambale3498 11 месяцев назад
Ukiona uongeaji wake inamaanisha magumu mengi anapitia
@tamarimwika4678
@tamarimwika4678 11 месяцев назад
Ibra ni smart sana, i like his expression
@rashidchid1828
@rashidchid1828 11 месяцев назад
Ndo maisha yana kupanda na kushuka elewa ilo
@salimalaquimane3077
@salimalaquimane3077 11 месяцев назад
😂😂😂 cku uta kuja kusema ukwel
@belabelaz6551
@belabelaz6551 11 месяцев назад
😅😅😅😅 atasema mengi
@annabellovell4778
@annabellovell4778 11 месяцев назад
It is really sad how these young kids who have all this talent being taken advantage off when it comes money. I pray you get paid for your worth Ibraah
@katunduhamisi9333
@katunduhamisi9333 11 месяцев назад
Management yake ni mbovu ndo maana anayumba. Haiwezekani msanii hafanyi show yoyote ya kuandaliwa na wengine au kuandaa mwenyewe. Anaishia kujidanganya kuwa yeye ni msanii ghali huku anakufa njaa 😢
@sophieatieno5148
@sophieatieno5148 11 месяцев назад
But he was busy dissing Rayvanny not too long ago even saying and singing that Ray needs to be careful because he might want to join Kondegang... He's very talented but he should have kept away from people's beef so that people are more willing to help him follow up on stuff. They just thought being in a label was easy 😂😂 Sidhani kupima mtu nguvu ni hii style ya Harmonize
@BHTV-ly4jf
@BHTV-ly4jf 11 месяцев назад
hapa napoteza bando zangu bure😟😟
@sophsoph4740
@sophsoph4740 11 месяцев назад
😢kbs tuondoke tu😢
@Norbert_Assenga
@Norbert_Assenga 11 месяцев назад
😂😂😂😂
@sulleymernmannarah7930
@sulleymernmannarah7930 11 месяцев назад
Toundoke
@wakatv3704
@wakatv3704 11 месяцев назад
sasa una mlaumu nani hapo? utaskia oooh mond ndio chanzo Kila jambo mond achen hizo fanyen kazi nzuri
@shadiwaigwa9230
@shadiwaigwa9230 11 месяцев назад
Mondi ka wajenga wasani wake example rayvanny na harmo alafu Nyinyi waandishi wa habari mna msema mondi day and night.
@mbanjenyambega2525
@mbanjenyambega2525 11 месяцев назад
Iv uyu ndio yule aliekuwa anajifananisha na rayvan na kuiponda wcb
@abdulkadershabani4570
@abdulkadershabani4570 11 месяцев назад
Mimi kama mshabiki wa music Huwa sina upande wowote Lakini ndgu yetu harmonize Amtendei haki huyu dogo Inaniuma sana aisee
@pilinondo
@pilinondo 11 месяцев назад
Nyie vp
@hamadimatano4503
@hamadimatano4503 11 месяцев назад
alafu uyo dogo anamtete sana hamo sababu ni makonde ila mungu analipa hamo alisema diamond ni myonyaji kumbe ni yeye 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@Noah-zt5zf
@Noah-zt5zf 11 месяцев назад
​@@hamadimatano4503amemnyonya wapi
@meryamabdullah2081
@meryamabdullah2081 11 месяцев назад
Kabisa yn hayupo happy kbsa
@user-kn3rp4rw5w
@user-kn3rp4rw5w 11 месяцев назад
Kaka uyu hayuko sawa kabisa
@Mwanasha-cf9vd
@Mwanasha-cf9vd 11 месяцев назад
Ndio mkome ulijifanya mjuaji
@aishamagoshi2852
@aishamagoshi2852 11 месяцев назад
Shidayako nigani
@maslaseif8186
@maslaseif8186 11 месяцев назад
@@aishamagoshi2852 shuda yake ni kwasababu anaona dogo yuko anapotea kitaratibu na wakati kipaji chake nikikubwa mno
@AlexJumanne-ls5gm
@AlexJumanne-ls5gm 11 месяцев назад
RIP konde geng 😭😭😭
@swedywamba5535
@swedywamba5535 11 месяцев назад
Mwanahabari mwenye uzoefu
@magrethmbuma3045
@magrethmbuma3045 11 месяцев назад
Maisha yamemtandika kwasasa jamanii amebadilika sana😢
@fatumakiwera7145
@fatumakiwera7145 11 месяцев назад
Huyu ajipe moyo tu huyo harmonize mbona hakuachwa na diamond ili ajipush mwenyewe harmo hawez kusimamia msanii
@African_Prince
@African_Prince 11 месяцев назад
Hawezi
@michelinemapendo6652
@michelinemapendo6652 11 месяцев назад
Anajipenda saaana Harmonez 😢
@DavidMbwilo-qk1bz
@DavidMbwilo-qk1bz 11 месяцев назад
Mtu ambaye amelelewa bila kujua ugumu wa music hawez saidia mtu mwingine konde boy ajui maisha magumu ya music Kila kitu aliandaliwa na simba
@kirupyseleman582
@kirupyseleman582 11 месяцев назад
​@@DavidMbwilo-qk1bzfact
@FastpayMauzo
@FastpayMauzo 11 месяцев назад
Harmonize Utoto mwing sana
@davidwalalason7630
@davidwalalason7630 11 месяцев назад
Mbona kafanana na Mr. Nice vile
@mvungigaming
@mvungigaming 11 месяцев назад
Ni yeye Mr Nice lol😂
@user-uo6bo3ph6g
@user-uo6bo3ph6g 11 месяцев назад
😂😂😂😂😂😂
@kassimrajabu7805
@kassimrajabu7805 11 месяцев назад
😂😂😂😂
@subirajohn728
@subirajohn728 11 месяцев назад
Pole Hamo hamna kitu pole sana
@archbordygodfrey2614
@archbordygodfrey2614 11 месяцев назад
Eti brand 😅😅😅Brand huna show,onyesha heshima kwa wasanii tofauti na huyo mabange 😢
@fatumakiwera7145
@fatumakiwera7145 11 месяцев назад
Anabrand gan Sasa iliyoekezwa kwako muache azeeke et brand
@nkunzurwandakatibu9694
@nkunzurwandakatibu9694 11 месяцев назад
Msani anasema ni expensive, Hana show ata moja , Hana endorsements , Sasa ni expensive how???
@johnmwasilu7087
@johnmwasilu7087 11 месяцев назад
Hajielewi dogo. Anaonesha ana msongo wa mawazo
@leahmlagwa284
@leahmlagwa284 11 месяцев назад
Hata lile tabasamu lake limepotea
@Hanel_csn
@Hanel_csn 11 месяцев назад
Ameandaa biashara ameweka kiwango Cha bei unashangaa nn sasa
@sophsoph4740
@sophsoph4740 11 месяцев назад
​@@Hanel_csn😂😂ovyo
@ursulinenyandindi3051
@ursulinenyandindi3051 11 месяцев назад
​@@Hanel_csn uzuri mafans siku hizi tuna exposure.msanii akidanganya hata sura inajieleza. Sio kweli watu wanafika bei ya marioo , jay melody uyu hawafiki. Ako na shida huyu, ataongea very soon
@m___ck799
@m___ck799 11 месяцев назад
Kondegang is house of talent..nyimbo zao make sense, lyrics za maana!Big up 👏🙌
@ikramalmas7039
@ikramalmas7039 11 месяцев назад
Endeleeni kuamini hivyo, sasa kampuni kweli ishindwe kufanya kazi na wewe. Level yako unatakiwa upate hata laki 5
@kiatu
@kiatu 11 месяцев назад
@@ikramalmas7039 😂
@m___ck799
@m___ck799 11 месяцев назад
@@ikramalmas7039 Hizi ni talent za high level...hiyo laki tano/hata milioni 10 baki nayo...
@Noah-zt5zf
@Noah-zt5zf 11 месяцев назад
​@@ikramalmas7039unajua kujibrand lakin ww kenge
@kassimrajabu7805
@kassimrajabu7805 11 месяцев назад
​@@m___ck799Talent bila hela ni sawa na Richie Mavoko tu😂😂😂
@zamunda1596
@zamunda1596 11 месяцев назад
Wewe ni kijana mwenye maono tofauti na vijana wengine katika utafutaji
@johnsonchonja4032
@johnsonchonja4032 11 месяцев назад
Mbona anatia huruma sana huyu dogo, akaombe radhi kwa vanny boy tumsain next level
@FatumaMamlo-st8pj
@FatumaMamlo-st8pj 11 месяцев назад
Vani ndombu gani tena mpaka amuombe radhi ivo yule mavoic anaemtukana konde bila kosa nae akaombe wapi hio radhi kama siungese uliooxa😢😢
@shwaibukhatibu2838
@shwaibukhatibu2838 11 месяцев назад
Huyo rayvanny yeye kafanya nini kipya Kwa msanii wake
@johnsonchonja4032
@johnsonchonja4032 11 месяцев назад
@@FatumaMamlo-st8pj mbn makasiliko ya ghafla
@johnsonchonja4032
@johnsonchonja4032 11 месяцев назад
@@shwaibukhatibu2838 punguza makasiriko
@mwezzireen17
@mwezzireen17 11 месяцев назад
True vanny roho safi anayo
@HitonAmbeyi
@HitonAmbeyi 11 месяцев назад
Mambo🎉🎉🎉
@user-mi4hq7fw4m
@user-mi4hq7fw4m 10 месяцев назад
Uyo dogo uwaga na mukubali kabisa from DRC LUBUMBASHI 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@jaykeenmamba
@jaykeenmamba 11 месяцев назад
Ibraah jiongeze mwenyewe bwana
@fahadkhamis1562
@fahadkhamis1562 11 месяцев назад
WCB Pekee ndo ina uwezo wa kuthamini msanii, huyu dogo mambo mengi anaficha ila kiukweli si vizuri kutukana mamba kama hujavuka mto Jeshi anajali vita vyake tu ✍🏻
@itNeza
@itNeza 11 месяцев назад
5:53 wewe sio expensive Kihivyo kama Brands zinakuja na kuto kulipa, Jishushe pokea Shows Za kiwango unacho kizarau Utakuwa afu utapata pesa. ( Ni kili Tuu ). 🙄
@katodabossfamily897
@katodabossfamily897 11 месяцев назад
Bro shida nimkataba aliosign Hvyo ata akipiga show ya 5M mean record label inachukua 60% yeye 40% Ndio maan anapambania apate malipo makubwa kweny 10M at least apate 4M fresh maisha yanasonga Haya hyo 5M atapata ngap
@himidiwekabuje8402
@himidiwekabuje8402 11 месяцев назад
Kumbe ananyimbo mpya huyu 😅
@user-rz4zv6td8k
@user-rz4zv6td8k 11 месяцев назад
konde hakuna kitu jipange mwana
@jeffyasin2977
@jeffyasin2977 11 месяцев назад
Niwasanue jaman huyu hajapokea pesa kwa sababu hizi digital platform zinakiwango cha kulipa mfano ukifikisha kiwango cha million tano kwa mwezi ndo unapewa kutokana na streams zako sasa ukweli ni kuwa hana streams nyingi ndo mana pesa inakuwa changamoto ulishawahi sikia wap mtu anafanya kazi ana submitt na halipwi miezi nane
@princekarani7836
@princekarani7836 11 месяцев назад
Ni sawa naweza. Kukubali!,je izo streaming anazokuwa nazo izo ndogo pesa ulipwi au wanazihesabu vipi kwamba iyo pesa wanaichukua!!!,mzee streaming zozote ziwe ndogo au kubwa lazima ulipwe tu!! Mbona harmonize anazo streaming nyingi lakini anadai kuna pesa halipwi
@kassimrajabu7805
@kassimrajabu7805 11 месяцев назад
​@@princekarani7836sasa Harmonize nae niwakuamini?? Yule jamaa msanii mzuri ila uongo uongo mwingi....kawasikilize Ziiki ndo utaelewa.
@fredambrose3118
@fredambrose3118 11 месяцев назад
​@@princekarani7836na ww ukaamini😂😂😂😂 mna shida nyie. Yaani mtu umlalamikie kuwa anakuibia alaf bado unampelekea kazi zako
@storytime1204
@storytime1204 11 месяцев назад
​@@fredambrose3118Sasa si bado yupo kwenye label na anamkataba so Hana namna
@pilimateleka5111
@pilimateleka5111 11 месяцев назад
Mhhhh. Na bado hujasemaa😂
@ramayonline2281
@ramayonline2281 11 месяцев назад
Mda ukifika utauzungumza ukweli tena ukweli mtupu naamini haya yote uliyoyazungumza apa kweny hii inteeview utakuja kuyaweka sawa,POLE SANA KWA UNAYOYAPITIA na UJIFUNZE KUHWSHIMU WALIOKUTANGULIA,ulimtukana sana Diamond Platnumz na WCB kwa ujumla
@barikilangoy4737
@barikilangoy4737 11 месяцев назад
Unaibiwa na mmakonde mwenzako wew c upo chini ya lebo kwanini leo hakusimamii utoe nyimbo afu madai yanaendelea ,sema ukweli usaidiwe endelea kuficha maovu
@salimbilali5174
@salimbilali5174 11 месяцев назад
Jamaaa ako depressed Sana inaonesha..........
@user-fy9pw2zr8l
@user-fy9pw2zr8l 11 месяцев назад
Sina cha kusema nacheka weye si ulikua anawachamba wakina simba😅😅😅😅
@wangulaedga7445
@wangulaedga7445 11 месяцев назад
You guys kept on fighting Diamond kwa muda now you are suffering ndio unakuja kucomplain, Tanzaniansl artists should chose them battles to fight sio kila vita ni ya kupigana na kurusha maneno,huyu talanta ishaingia maji akuna wa kumwokoa tena
@mariusmashelle4528
@mariusmashelle4528 11 месяцев назад
Hata Sura yake inaonyesha hayupo sawa ni vile anashindwa kusema ukweli 😢
@highbodzaina
@highbodzaina 11 месяцев назад
kwel ayupo sawa
@surajatul732
@surajatul732 11 месяцев назад
Mapema kabisa wakati huyu dogo anaingia kwenye game mapema kabisa niliwahi kuongea na jamaa yangu tukiwa tunapiga tu story. Nikasema "HARMONIZE NI MTOTO WA DIAMOND KIMUZIKI NA HATA KIMAISHA AMEBEBWA NA DIAMOND NDIO AKAFIKA HAPO ALIPO NA AKATOKA WCB KIDHARAU NAMNA ILE PASIPO BARAKA AU RADHI ZA WALIOKUTOA. RAY VANNY PIA NI NDUGU WA MZALIWA PAMOJA NA HARMONIZE KWENYE FAMILIA YA WASAFI. KWA LUGHA RAHISI DIAMOND NI BABU WA HUYU DOGO KI MUZIKI NA RAY VANNY NI BABA YAKE PIA. ALITAKIWA AONESHE HESHIMA HATA KAMA SIO YA KIFAMILIA BASI TU YA KUMTANGULIA KIMUZIKI." Nikamwambia yule rafiki yangu hasa kulingana na nilivyokuwa naiona nguvu ya kiroho ya kum'backup huyu dogo nikasema "HUYU DOGO ANAIMBA VIZURI NA ANAUZEZO MZURI NA WA UHAKIKA TENA NASISITIZA HAPA (anamzidi hata huyo Harmonize na ana zile techniques za uimbaji na uandishi kumzidi Harmonize) LAKINI HATOFIKA MBALI NA AKIFIKA ITAKUWA KWA NGUVU SANA KWASABABU ANAISHAMBULIA MISINGI YA ASILI YA NGUVU YA MUSIC WAKE." Harmonize na watu wote wa KONDE GANG walitengeneza tu watu sio kama WCB kulea na kuwainua bali kwasababu ya kujitengenezea nguvu fulani ya kukabiliana na upinzani wa WCB. Harmonize na watu wake bila kutengeneza kitu kama konde gang na madogo janja kama hawa na drama walizokuwa wanaziendesha BAADA YA KUTOKA WCB HARMONIZE ALIKUWA HAFIKI POPOTE. Haka kadogo kalionesh nyodo ya maana kakiwa chini ya Harmonize lakini sisi wengine tulikuwa tunaona anatamba juu ya KUTI KAVU. Kosa lingine kanalifanya hapa kama kuonesha kenyewe ni ka BEI MBAYA kusema makampuni yalikuwa hayafiki viwango vyake. UKIACHANA NA UMAARUFU SI AJABU HAPO HATA LAKI KUISHIKA KANAISIKIA TU (kwa ninavyowajua maisha ya wasanii wengi nilionao karibu), KANAACHA KUTULIA KIMYA BADO KANAVIMBA. Haka karate mshauri na mtu wa kukasaidia KANA KITU KATAFIKA MBALI.!!!! Ni mtazamo wangu tu, msinimaindi.!
@ramayonline2281
@ramayonline2281 11 месяцев назад
Dogo anateseka pale Gengeni ni vile tu mda haujafika wa dogo kuuzungumza ukweli ila naamini siku akitoka pale tutayasikia mengi
@mariamdullazy8166
@mariamdullazy8166 11 месяцев назад
Hata ngozi yake inaonyesha kama yupo na mawazo hayupo sawa😢 mmh anajikaza
@hassangaddafi2347
@hassangaddafi2347 11 месяцев назад
Be strong kaka 💪💪💪🔥🔥🇰🇪🇰🇪
@Zenny89
@Zenny89 11 месяцев назад
Mcheki alivyonywea sasa hivi🤣🤣 ule ubabe wa zamani upo wapi
@barrynzeyimana6270
@barrynzeyimana6270 11 месяцев назад
Ukiona msanii anajitapa kua ana pesa ni mfumo wa kuraghai😂watu. Hivi Harmonize inje ya Kuimba na kitu kingine kipi?
@jumaabas6837
@jumaabas6837 11 месяцев назад
Tuambie mke wa harmonize
@EliyaMbosore-yv3zx
@EliyaMbosore-yv3zx 11 месяцев назад
Bado anajitafta maana endorsement zenyewe akipewa baada ya mda wanamtema
@sulleymernmannarah7930
@sulleymernmannarah7930 11 месяцев назад
Hana chchte
@akanimkwawi503
@akanimkwawi503 11 месяцев назад
Ibraa nakushaul usijalibu kumwimba mond vibayaa et kisa ujulikanee haisee atakupotezaa kwenyee mzk mond nusuu binadam nusu mzmu kupotezaaaa ustar wako halaka sanaa
@kassimrajabu7805
@kassimrajabu7805 11 месяцев назад
😂😂😂😂
@noblezeprezdaa3789
@noblezeprezdaa3789 11 месяцев назад
😂😂😂😂😂😂 yan yule ni jini
@rahimaidd
@rahimaidd 11 месяцев назад
Bado ajasema atasema anajikaza kisabuni dogo😂😂 mwambie aongeze sauti 😂😂😂unapakuwa kwenye lebo kila kitu kinakuwa chini yao konde kukutelekeza ila anataka ujitoe mwenyewe ili umlipe konde mjanja sana anasema mapato ajaingiza miaka3 wakat anakwambia attitude na single again zimeingiza pesa nyingi dogo ulikuwa anajishndanisha na vanny boy na kumdisi sana leo kaachwa kwenye mataa
@African_Prince
@African_Prince 11 месяцев назад
Yaani mpaka asemeee
@kassimrajabu7805
@kassimrajabu7805 11 месяцев назад
Bado hajasema😂😂
@simonmalugu6447
@simonmalugu6447 11 месяцев назад
Yaani apo bado
@nurufidel-lp6wj
@nurufidel-lp6wj 11 месяцев назад
Yani paka aseme 😂😂
@Lassana755
@Lassana755 11 месяцев назад
Dogo acha ufala ukipata milioni 1 kapige show hakuna mtu atatoa m10 kwakwo wwe 1, 2 beba kafanye kazi hakuna kupata kudogo
@djbestseries5634
@djbestseries5634 11 месяцев назад
Bado hujasema.....😜😜😜
@kwisa4899
@kwisa4899 11 месяцев назад
label inaongozwa na Harmonize unatarajia nini ?
@silageorge1638
@silageorge1638 11 месяцев назад
Huyu jamaa anapitia magumu ila anaogopa kusema kua mkweli tu uwe huru
@kassimrajabu7805
@kassimrajabu7805 11 месяцев назад
Msanii hana show yoyote ile nje na ndani halafu anataka Hela....."mm ni expensive sana?"😂😂😂😂
@sophsoph4740
@sophsoph4740 11 месяцев назад
😂😂😂mi nilimsahau😂😂😂kumbe yeye expnesive😂😂
@kidatokassim7616
@kidatokassim7616 11 месяцев назад
Kipaji hiki halipati promotion inayotakikana angekua wCB trust me huyu angekua msanii mkubwa sana coz dogo anaimba sana
@POGMESSITV
@POGMESSITV 11 месяцев назад
LavaLava na Queen Darlin ni wasanii wa kubwa sio😂😂
@fredambrose3118
@fredambrose3118 11 месяцев назад
​@@POGMESSITVtaja ww wasanii wa 4 walio nje ya WCB ambao ni wakubwa kuliko lavalava
@user-po9yx5mu2b
@user-po9yx5mu2b 11 месяцев назад
Lavalava na Queen darlin wanaukubwa gani mamayo ww
@fredambrose3118
@fredambrose3118 11 месяцев назад
@@user-po9yx5mu2b Queen darling sio msanii ww mtu ana miaka zaidi ya 5 haiimbi unamfananisha na mtu mwenye album na ep em kuwa kiakili ww. Em tuambie kwanza marioo lini kafanya show ya nje ya Tz
@elyudsaleh6044
@elyudsaleh6044 11 месяцев назад
@@fredambrose3118 Jay Melody, phina, marioo, mabantu n.k na hawapo kwa Lebo.
@user-lo9fn9hf7q
@user-lo9fn9hf7q 11 месяцев назад
Pole kwayote unayopitia ❤
@kiatu
@kiatu 11 месяцев назад
Natamani (I wish) music labels hapa TZ zisingekuwa chini ya active artists kama ambavyo ilivyo nchi zingine (SA kwa mfano). Wasanii wengi zaidi wengetoboa. Kwa mfumo wa sasa wanaojaribu kuibuka wanakumbana na wenye label ambao pia wana pressure ya kubaki juu (kuna conflict of interest). Wafanya biashara ya musiki wako wapi TZ?
@smarty1064
@smarty1064 11 месяцев назад
sasa hao ndo wasambazaji wa muziki? Diamond mwenyewe alilalamikia wasambazaji ambao ndo wana hela yao
@kiatu
@kiatu 11 месяцев назад
@@smarty1064 Kusambaza ni mojawapo ya hatua za mwisho katika biashara ya muziki, na sio lazima label ifanye, there is a lot to be done before that.
@agwalubifaridah7079
@agwalubifaridah7079 11 месяцев назад
Rayvanny alikuwa akigombana na harmo wewe ndo unatumiwa kujibu...😂😂😂 Leo kimekupata nyooo
@aishamagoshi2852
@aishamagoshi2852 11 месяцев назад
Pumbavuuuuuuuu
@rehematwaha5955
@rehematwaha5955 11 месяцев назад
Na alikuwa anachongoa mdomo
@uwimana6533
@uwimana6533 11 месяцев назад
Kabisa leo yamemkuta 😂😂😂
@agwalubifaridah7079
@agwalubifaridah7079 11 месяцев назад
@@aishamagoshi2852 fool kiko wapi.....useless ibraah
@EddykingJuma
@EddykingJuma 4 месяца назад
Unachokiongea unakijua au umechomekwa
@aminmohammed4249
@aminmohammed4249 11 месяцев назад
Its a matter of time yaani bado haujasema😅😅 na utasema
@edwardmaguluko6541
@edwardmaguluko6541 11 месяцев назад
Alipopata nafasi ya kwenda konde gang akaanza kutukana wakubwa yani alijiona amefika kwa harmonize leo anatuletea mahubiri yake
@ebkmfalme
@ebkmfalme 11 месяцев назад
😂😂😂
@user-yv6bi8rj5z
@user-yv6bi8rj5z 11 месяцев назад
Uyu mtoto anajikaza tu lkn anaonekan kbsa ana mateso, soon mtapata majibu jinc wtkavyo bulizana basata na yule mvuta bangi
@DamawaMwamba-kj8kg
@DamawaMwamba-kj8kg 11 месяцев назад
Pole sana Ibraah 😢😢🤔🤔
@giztony2009
@giztony2009 11 месяцев назад
Ujue huyu ana unyonge kwa mbali kiukweli anapitia Hali ngumu yani kwa kifupi hana hela
@jamilanahimana-wc4nd
@jamilanahimana-wc4nd 11 месяцев назад
Eti kwakifupi hana hela😂😂😂😂😂😂
@kassimrajabu7805
@kassimrajabu7805 11 месяцев назад
😂😂😂
@hassanaloobaidan25
@hassanaloobaidan25 11 месяцев назад
Sijaona mtoto mjinga kama na bado atasema tu
@fazeelshomary2704
@fazeelshomary2704 11 месяцев назад
Dogo anavyoongea Tu inaonyesha wazi ana maumivu na hata usoni amekata tamaa
@POGMESSITV
@POGMESSITV 11 месяцев назад
😂😂😂😂😂😂
@realityhub247
@realityhub247 11 месяцев назад
Huyu Ibraah mkali kuliko Harmonize hamuelewi
@matanohassan9667
@matanohassan9667 11 месяцев назад
Ati watu hawalali studio wasemea watu ili iweje kama hujalala usiseme kila mtu wao washalala
@chantalmulasi5663
@chantalmulasi5663 11 месяцев назад
Nime furahi kabisa ulipo kutana nayo, ulivyo ingia kwenye games ulianza kumtukana mond, and Rayvanny bila kujua kesho nani ana weza kuku saidia. Hacha tuone mw8sho wako kwa sasa.😊
@benardmatano142
@benardmatano142 11 месяцев назад
Ati aende next level? Uyo mwenyewe vanny boi kijana wake ametulia
@nuhumaalim4976
@nuhumaalim4976 11 месяцев назад
Huyu alimtukana dai na rayvany kwakua yupo na harmonize ila leo kawa mpole hakujua kama jamaa sio mwema
@Hussein-gx4qu
@Hussein-gx4qu 9 месяцев назад
H baba alipokua alalamika kuwa aliziliwa na harmo wengi wenu mlikua mnamponda
@suntzu8959
@suntzu8959 11 месяцев назад
Hawafikii kiwango😅? Utakufa njaa
@franccoz94
@franccoz94 11 месяцев назад
KONDE ANAMTESA SANAA HUYUU DOGOO
@DavidMbwilo-qk1bz
@DavidMbwilo-qk1bz 11 месяцев назад
Maisha dogo yanamchapa hadi amezeeka gafla mbona utasema tu
@ramahamis556
@ramahamis556 5 месяцев назад
😕
@silageorge1638
@silageorge1638 11 месяцев назад
Yupo busy kupigania single again vile nikubwa rema nae aseme nini
@user-qs4fb5fo5f
@user-qs4fb5fo5f 11 месяцев назад
Huyu Hamo hawezi kungoza wasanii
@eliashibundabalinze2754
@eliashibundabalinze2754 11 месяцев назад
Washindane na Ibrah duuuh
@jamilaathumani5481
@jamilaathumani5481 11 месяцев назад
Badilika kuongea Inakata kwenye intanyuu zako kusikiliza,,na na na na ukiona mtu anaongea kama ibra ,mwana fa na na na na ney wami wami wami mite mite mite go,,ndo wanaongeaga ivyo Kwa Kwa Kwa kukata maneno,Yan sipendagi intavyuu zao kuziangalia Kwajili iyo,,na ukiona mtu anaongea ivyo Yani anapanga kudanganya ndomana anaongea uku anafikilia,,ebu badilikeni,,fuatilieni alafu mtanambia kama naongopa alafu mtanambia
@kassimrajabu7805
@kassimrajabu7805 11 месяцев назад
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@navanjkiba2439
@navanjkiba2439 11 месяцев назад
Keep it up
@tariqdasulley
@tariqdasulley 11 месяцев назад
Yani hapo bado mpaka useme 😅
@musason1680
@musason1680 11 месяцев назад
Bado hajasema 😅😅
@storytime1204
@storytime1204 11 месяцев назад
Ibra anaonekana kabisa hayuko sawa yani yuko mentally exhausted, uso umekosa Nuru, hiyo sauti kama anakunywa pombe na anavuta kilevi😅ipo siku atakuja kuongea ukweli kuhusu real situation yake harmonize hana hela kwa sasa
@shafiimpilika3574
@shafiimpilika3574 2 месяца назад
Wakubwa tunaelewa mtoto kinyesi kimembana yap sura inaongea ila mavi yameshuka janja pambana sana acha unyonge kama imepangwa itachelewa tu.
@bakarially253
@bakarially253 11 месяцев назад
YANI UKIFATA MAELEZO YAKE DOGO ANAPITIA MAMBO MAGUMU NIVILE HAMESHAPEWA CORD YA KUTOKUSEMA
Далее
🛑самое грустное видео
00:10
Просмотров 48 тыс.
ПОЁМ НАРОДНЫЕ ПЕСНИ🪗
2:04:11
Просмотров 1,1 млн