Тёмный

Idris Sultan na Charles Hillary | Afunguka mengi kuhusu kuonekana Netflix | Sapoti ya JK 

Azam TV
Подписаться 2,8 млн
Просмотров 33 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 38   
@abdulijongo1355
@abdulijongo1355 3 года назад
Wachekeshaji Wawil Wamekutana Hadi Raha Hongera Sana Idriss
@noxlosingida2369
@noxlosingida2369 3 года назад
Hongera kwa kazi uliyoionyesha kwenye Netflix nimeanagalia na bado na jirudia rudia kuangalia
@salehalzakwani3283
@salehalzakwani3283 3 года назад
Kutoka oman Idris big up I will watch slay on Netflix Inn shaa Allah keep it up Allah maakk
@saidalsalmi9313
@saidalsalmi9313 3 года назад
Idriss mpambanaji sana. All the best
@feisalissa3009
@feisalissa3009 3 года назад
Mwenzenu kufikia hapo siyo English ya kina kayumba na elimu yake ni mzuri sana different na wenzake big up bro idris
@chiefmahucha6847
@chiefmahucha6847 3 года назад
Nini mtazamo wako kuhusiana na comment yako?
@junioryasin5306
@junioryasin5306 3 года назад
Feisal Issa unamansha nn
@bennowamala8998
@bennowamala8998 3 года назад
Sultan✌️
@tatubadi9010
@tatubadi9010 3 года назад
Vzr Sana broh.. God blessing you..
@gynae8407
@gynae8407 3 года назад
Nakubali sana kazi nzuri
@herisophisticated9275
@herisophisticated9275 3 года назад
Meeeen Idris can't be serious even for 1 second 😂😂😂
@Farajahelene23031
@Farajahelene23031 3 года назад
sultan the men him self
@wilsonkaseha2034
@wilsonkaseha2034 3 года назад
Hahaaaa eti achana na yakutolea, kutuma situmi....hahaaaa. Yaani Idris usihonge kweli....basi sawa
@elliotandrew3540
@elliotandrew3540 3 года назад
Classic Charles Hillary
@agreyaloyce432
@agreyaloyce432 3 года назад
Interview imenibamba sana situmi achana na yakutolea 😂😂
@saidjunior5247
@saidjunior5247 3 года назад
Kwan watumiwaji wanasemaje?????
@machintangachibwena5922
@machintangachibwena5922 3 года назад
Hamna kitu wala nini, ila Hongera kwake
@ramadoss4113
@ramadoss4113 3 года назад
Natamani namm niwe na azam tv ila sina nambazakadi ningeeijiunga namm
@eddymatrix8704
@eddymatrix8704 3 года назад
To be honest Idriss anajitaidi Sana kutoboa na km kijana nampongeza ila ktk uigizaji bd sanaaaa
@ahz6907
@ahz6907 3 года назад
Hao waliomualika netflix wanajua zaidi ya wewe. Najua wajua ila hutaki kukubali huo ukweli.
@eddymatrix8704
@eddymatrix8704 3 года назад
@@ahz6907 umepanick
@jut1161
@jut1161 3 года назад
Charles anauliza maswali ya msingi sana
@machintangachibwena5922
@machintangachibwena5922 3 года назад
Mbona Queen of Sono Watanzania wapo mule hao hamujaiona jamani eti mtanzania wakwanza kuonekana Netflix🙈🙈🙈
@onesmondanu9969
@onesmondanu9969 3 года назад
Kuwa main character skiliza vizur
@evancerwamugata1064
@evancerwamugata1064 3 года назад
Sultan kama sultan
@thomasmakala2082
@thomasmakala2082 3 года назад
Kumbe tuko wengi ambao hatutumi.
@ramadoss4113
@ramadoss4113 3 года назад
Muvi yenyewe ario toa ina itwaje
@ahz6907
@ahz6907 3 года назад
SLAY
@yusufmohamed8874
@yusufmohamed8874 3 года назад
Chaz Hillary huto choka kumsikiliza
@40kstore
@40kstore 3 года назад
Kaulizwa maswali Konki
@iamerickemmanuel6268
@iamerickemmanuel6268 3 года назад
Amesema hatumi😂
@agreyaloyce432
@agreyaloyce432 3 года назад
Hahaha situmi achana na yakutolea
@machintangachibwena5922
@machintangachibwena5922 3 года назад
Yaani kuonekana Netflix ndio imekuwa dealy sana kwa Bongo, hiyo ni porno Commedy sio Romantic Commedy, hongera kwa kuwa muigizaji
@hassanissa4792
@hassanissa4792 3 года назад
Charles anauliza maswali kuntu
@sniperbogo6210
@sniperbogo6210 3 года назад
Et utakua unatuma na ya kutolea amesema mm stumi achana na ya kutolea situmi kabisa
@brightonchedego8100
@brightonchedego8100 3 года назад
Kuna muda tulikiona chanzo flani cha habari kutoka Kenya kiliandika kuwa wewe ni mkenya. Je,wewe unasemaje?
@janethlilja9975
@janethlilja9975 3 года назад
Wakenya wapumbavu sana eti kila kitu cha Tanzania wanadanganya ulimwenguni ni vyao kama mlima Kilimanjaro, kiswahili nk.
@bableeyzabdalla531
@bableeyzabdalla531 3 года назад
@@janethlilja9975 sio jibu alilouliza
Далее
Which part do you like?😂😂😂New Meme Remix
00:28
Тренеруем память physics drop 103 - 104
00:51
AZAM TWO - HABARI JUMATANO 27. 09. 2017
30:59
Просмотров 7 тыс.
Interview | STAFU | Episode 1 (Discount Centre)
9:25
Просмотров 162 тыс.
Which part do you like?😂😂😂New Meme Remix
00:28