Тёмный

Ifahamu meli ya 'Evergreen' iliyonasa kwenye mfereji wa Suez 

Mwananchi Digital
Подписаться 1 млн
Просмотров 14 тыс.
50% 1

Itambue Meli ya Evergreen, inayomilikiwa na kuendeshwa na kampuni ya Taiwan ya Evergreen Marine ina urefu wa ukubwa wa viwanja vinne vya soka (400m), ni moja kati ya meli kubwa za mizigo Duniani, inauzani wa tani 200,000 na ina uwezo wa kubeba makonteni 20,000.
Fahamu zaidi kuhusu meli hiyo na tukio lake la kukwama na kusababisha msongamano wa meli zingine zinazojaribu kupitia mfereji wa Suez na kusababisha hasara kwa biashara ya Meli katika mfereji huo unaotenganisha nchi zilizopo Magharibi ya Afrika na nchi za bara la Asia.

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 12   
@michaelshayo187
@michaelshayo187 3 года назад
Hatari sana viwanja vinne vya mpira daah
@maulidhamad3659
@maulidhamad3659 3 года назад
Nilikua na subiri kwa ham simulizi ya meli hii
@salumsaidi830
@salumsaidi830 3 года назад
Alafu ndogo inatembea knots 22 per hour kudadeki
@piusimnanka8140
@piusimnanka8140 3 года назад
Story fupi sana..Ulitaka tu upige pesa zetu..!
@Ibrah287
@Ibrah287 3 года назад
Africa tuna vi mitumbwi tu tunapiga mawimbi! Ajabu ni kua hii Meli hata kwenye top 15 ya giant ships haimo! Em fikiria hizo meli zingine zina ukubwa gani???
@modestwenceslaus9
@modestwenceslaus9 Год назад
Meli Ina M 400 unaiita Mtumbwi arafu Unasema ni Meli ya Afrika,Hebu karibu kusikiliza maelezo vizuri ndiyo uchangie mada vizuri.
@hydreabdallah8310
@hydreabdallah8310 3 года назад
EVERGREEN SIO EVER GEVEN Mtanagazaji
@ngwanafabian9668
@ngwanafabian9668 3 года назад
Yuko sahihi jina lake ni ever given jina la kampuni inayomiliki hiyo meli ndo evergreen
@richardmalisa4641
@richardmalisa4641 3 года назад
Haiitwi EVERGIVEN inaitwa EVERGREEN kuwa unsomaa kabla ya kusema.
@bakarimpame3824
@bakarimpame3824 3 года назад
Inaitwa Ever Given jina la Meli
@hajihaji6351
@hajihaji6351 3 года назад
Kawaida ya Jina la meli linaandikwa mbele, kwa iyo hii meli inaitwa EVERGIVEN sawa broo, Evergreen ni jina la kampun inayomilik meli
@bakarimpame3824
@bakarimpame3824 3 года назад
Ni kweli Evergreen Ni kampuni inayomiliki meli ya Ever Given... Jina la Meli Ever Given
Далее
Incredible Moments Caught on Camera
30:40
Просмотров 4,4 млн
Outsmarted 😂
00:20
Просмотров 2 млн
Most Useless Megaprojects in the World
16:31
Просмотров 49 млн
When Royal Guards Fight Back!
8:08
Просмотров 6 млн
This German Tank Will Change EVERYTHING - Here is Why!
14:20
How Offshore Oilrigs Work, Float, and Extract Oil
5:08
Meli yakwama kwenye mfereji wa Suez Misri
1:00
Просмотров 3,6 тыс.
3 Nights Onboard US Navy's Largest Stealth Ship
19:52