Тёмный

IJUE CHANJO YA TATU MOJA 

farmers centre
Подписаться 1,3 тыс.
Просмотров 14 тыс.
50% 1

Chanjo stahimilivu joto kwaajili ya mazingira ya Tanzania na Africa kiujumla

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 31   
@SadockMasebo
@SadockMasebo 10 дней назад
Dodoma twaipataje
@LukeOtieno-j6t
@LukeOtieno-j6t 18 дней назад
Uku Kenya unaweza pata wapi
@FredOmondi-v8z
@FredOmondi-v8z 28 дней назад
Nataka chanjo Niko Kenya naeza pata aje
@selemanhassan3604
@selemanhassan3604 Год назад
Naomba kuunganishwa na group la fama center je nifanyeje
@Asy3sb
@Asy3sb Месяц назад
Naweza pata Kenya
@dausonkahitira5597
@dausonkahitira5597 Месяц назад
Proud of my Microbiology prof wambura❤❤
@ibraeliya7760
@ibraeliya7760 Год назад
NI kweli hata mimi nimeithibitisha,..the best💪
@FaynessMlove
@FaynessMlove 2 месяца назад
Asante Kwa SoMo hili la chanjo ya TATU moja
@DavidMwakasala-ub9zb
@DavidMwakasala-ub9zb Месяц назад
Je Mbeya naipataje?
@farajastephanoluoga6944
@farajastephanoluoga6944 Год назад
Je broila wanaweza kutaga mayai
@sararutonda2072
@sararutonda2072 22 дня назад
Samahani naombabkuuliza. Kama kuku niwagonjwa ukawatibu nakisha wakapona,unaweza kuwapatia hio chanjo?
@djspack1021
@djspack1021 Год назад
Sawa sawa Mkuu nimekuelewa na naitumia inafanya vizuri Sana màana mm nilisumbuliwa Sana na mafia ya ekoliza na ndui lakini tangu kutumia 3 Moja sijaona tena hayo magonjwa
@Devota-pp2xn
@Devota-pp2xn Год назад
dodoma n itapataje na namba za simu
@dvjkada4873
@dvjkada4873 2 месяца назад
Nipo kigoma naipataje
@UkarimuChescko
@UkarimuChescko 2 месяца назад
Inauzwa shingapi✌️✌️✌️✌️
@NassorRashid-s4r
@NassorRashid-s4r 2 месяца назад
7800/7500
@ramshibashiru5717
@ramshibashiru5717 Год назад
Naomba msaada wa mawasiliano yenu
@selemanhassan3604
@selemanhassan3604 Год назад
Mm nnashida la kuku wangu wanadonoana je nifanyeje
@meshackmwacha4004
@meshackmwacha4004 Год назад
Tatu moja wapo dar
@IrakozeRama-jq4ht
@IrakozeRama-jq4ht Год назад
Ss taipataj natena nibeigan
@idimbezi8379
@idimbezi8379 Год назад
Niko arusha naomba mawasiliano yenu tafadhar
@FatumaSinto
@FatumaSinto 2 месяца назад
Ukiwapa hiyo chanjo Haina haha Tena ya kuchanja chanjo ya ndui?
@babafeisalnyenza7183
@babafeisalnyenza7183 Год назад
Dar inapatikana wapi
@BossKimango
@BossKimango Год назад
M sijaelew kasema miez. 2 au mi.4
@issafulgence8482
@issafulgence8482 Год назад
Tunaomba namba zenu
@SelemanNob
@SelemanNob 9 месяцев назад
Minne boss
@marcombuliyaza3753
@marcombuliyaza3753 11 месяцев назад
Nina shukuru chanjo ni nzuri but maji yaliyomo ni kidogo nashauri kipimo kiongezwe
@benjaminoparanya7718
@benjaminoparanya7718 Год назад
How can i get tatu moja, and the price from kenya kakamega county, matungu sub , mayoni ward?.
@frankbella4271
@frankbella4271 2 года назад
Hamna nishatumia kuku wangu wakafa sina hamu nayo
@muhammedwakif6216
@muhammedwakif6216 2 года назад
Umeikosea itakuwa
@maslahmnene8061
@maslahmnene8061 Год назад
Professor nime kuelewa watu wana tumia siku ya saba kisha 14 gumboro kisha 21,tatumoja...kisha 28 tatu Moja ...dohh kumbe ni mara moja tuu
Далее
TUMIA CHANJO YA TATU MOJA KUOKOA GHARAMA ZA UFUGAJI
11:26
KUKU WENYE THAMANI YA KUANZIA SHILINGI LAKI SABA
24:23
КТО БОИТСЯ КЛОУНОВ?? #shorts
00:20
Просмотров 521 тыс.
Jinsi ya Kutunza Vifaranga vya Kuku wa Kienyeji
8:19
Просмотров 265 тыс.
MATUMIZI SAHIHI YA CHANJO KWA KUKU
41:07
Просмотров 1,3 тыс.
Dairy Farming in Lwengo District
1:23
Просмотров 777
Mzungu wa Kichaga
19:36
Просмотров 170 тыс.
КТО БОИТСЯ КЛОУНОВ?? #shorts
00:20
Просмотров 521 тыс.