Тёмный
No video :(

IJUE HISTORIA YA MAREHEMU SHEIKH ALHAD OMAR KAWAMBWA iliyosimuliwa Na SHEIKH ADAMU AHMAD ABDALLAH 02 

Al ameen Tv
Подписаться 5 тыс.
Просмотров 18 тыс.
50% 1

PART 2 SEHEMU YA MWISHO.
ELIMIKA , ANGAZIKA NA AL AMEEN TV.

Опубликовано:

 

21 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 34   
@SuleimanMarijani
@SuleimanMarijani Месяц назад
Alhamdulillah history inajieleza vizuri na Leo hii Sheikh Adam hatunae Allah Awajaalie Pepo ya daraja yaa juu Jannatul Firdaus Amiiyn
@ajmilee4204
@ajmilee4204 2 года назад
😭😭😭 Mola wasaameh wazee wetu walipo kosea
@alibabli
@alibabli Месяц назад
Wazee wa zamani wakifanyiana ihsani sana na Allah akiwapa njia kwa wepesi.
@hafidhmhmd9065
@hafidhmhmd9065 2 года назад
اللهم اغفر له وارحمه وعافه واعف عنه وأكرم نزله ووسع مدخله واغسله بالماء والثلج والبرد ونقه من الذنوب والخطايا كما ينقى الثوب الأبيض من الدنس اللهم آمين
@mdsaid1527
@mdsaid1527 2 года назад
Allah akulipe na akujaalie makazi mwema huko katika kaburi lako shekhe
@mwajohari4385
@mwajohari4385 Месяц назад
Amiin,, Masha Allah
@iddichaurembo4308
@iddichaurembo4308 2 года назад
Innaa lillahi wa innaa ilayhi raajiuna. Allah ampe kauli thaabit Ndugu yangu shk. Alhadi Omar Kawambwa. Nathibitisha. Kuwa yote aliyoyazungumza Shk. Adam Ahmed Abdalla ni ya kweli. Wakati Alipokuwa Jumuiyatul islamiya tulikuwa pamoja. Hiyo ilikuwa kati ya miaka 1955 na 1958 kabla ya uhuru wa Tanganyika.
@Assiya39
@Assiya39 Месяц назад
Maasha Allah ameupata umri mrefu wenye uchamungu 😊 Duuh iyo myaka ata wazazi wetu walikua hawajaziwa wala mimba zao hazijapatikana 😮Allah atupe umri mrefu wenye uchamungu kama wa sheikh Adam 🤲
@khalfanahmad2723
@khalfanahmad2723 2 года назад
Mashallah
@mahamuduhassan8511
@mahamuduhassan8511 2 года назад
maa shaa Allah tabaaraka rrahmaani hakika ni history iliosheheni mafunzo mengi mno ya kichamungu
@machanohajimachano666
@machanohajimachano666 Год назад
MashaaAllah
@issakawaya8315
@issakawaya8315 2 года назад
Allah amuifadhi ampe pepo ya firdaus
@alameentvTz
@alameentvTz 2 года назад
Allahumma Amiin Yaa Rabii
@hassanmnyukwa4754
@hassanmnyukwa4754 2 года назад
AMIIN.
@hassanmnyukwa4754
@hassanmnyukwa4754 2 года назад
AMIIN.
@mariammuscat4300
@mariammuscat4300 2 года назад
AMIN
@aligmoha9015
@aligmoha9015 2 года назад
Maa sha allah allah akuifadhi mzee adam
@alameentvTz
@alameentvTz 2 года назад
Amiin Yaa Rabiii
@yusufmohamed8874
@yusufmohamed8874 Месяц назад
sheikh Adam Ana mengi sana ila mwandishi hampi Uhuru
@alameentvTz
@alameentvTz Месяц назад
Mungu amrehemu
@kulwamitondwa8777
@kulwamitondwa8777 2 года назад
Allah amuhifadh sheikh wetu na amrehem swahib wake mkubwa na mwalimu wetu sheikh wetu Marhum Sheikh Alhad
@Chemba67
@Chemba67 Месяц назад
Mtu wa nyumbani huyu ...dah ....kila inapotajwa Kisiju , naumia sana.......kwakua wazee wangu wote ambao wenda wangenipa maarifa mengi juu ya hawa Masheikh wakubwa wanaotokea Kisiju wametangulia. Mwenyezimungu awarehemu wote , Sheikh Alhad, Sheikh Adam Ahmad, Sheikh Nassor Amran, na wazee wetu wote.......
@Chemba67
@Chemba67 Месяц назад
Sijui lini nitapata kuujua undani wa hayo matatizo aliyoyapata Saidi Hussein Badawi....maana kila anapozungumzwa historia yake , mzungumzaji huishia kusema aliondoka baada ya kupata matatizo ..............inshallah kheir wenda ipo siku tukaipata habari kamili.
@RajabSuwed
@RajabSuwed 29 дней назад
Mashaallah Allah ampe Daraja la juu peponi Inshallah
@kimcash3079
@kimcash3079 2 года назад
Inalilah mungu akupe kauli dhabit
@kulwamitondwa8777
@kulwamitondwa8777 2 года назад
Maashaallah
@MohamedMeja
@MohamedMeja Месяц назад
Masha allah mungu atawalipaa
@jumabias4917
@jumabias4917 2 года назад
MashaAllah
@kessynassoro2847
@kessynassoro2847 29 дней назад
mtangazaji ukifanya interviewmwache uneyemsaili azungumze sio wewe unachukuwa sehemu kubwa ya maelezo as if ww ndiwe unayehojiwa
@alameentvTz
@alameentvTz 29 дней назад
Ushauri tumepokea
@kessynassoro2847
@kessynassoro2847 29 дней назад
@@alameentvTz interview ina muda wa dakika takriban 35 lkn mtangazaji ametumiatakriban dakika 10 anaongea yeye as if ndiye anayehojiwa na matokeo yake anakata kipindi kwa kuisha muda il hali yeye ameutumia vibaya muda wa kipindi
@alameentvTz
@alameentvTz 29 дней назад
Ushuri tumeupokea
@mnyengaselemani3257
@mnyengaselemani3257 25 дней назад
Sasa si utusimuliye wewe mbona unaongeya wewe mtangazaji kuliko unaye muoji
@alameentvTz
@alameentvTz 24 дня назад
Ushauri mzuri
Далее
Kisa cha vijana waliomdharau mzee - Sheikh Walid Alhad
25:26
WEWE MSELA WA MELI GANI ACHA UJINGA- SHEIKH NYUNDO
19:42
Historia ya sheikh waliid al hadi ki elimu
28:16
Просмотров 56 тыс.