Тёмный

IJUE SADAKA HII YA KUINGIA MALANGONI MWA BWANA 

Aloyce J Aloyce
Подписаться 47
Просмотров 1
50% 1

Pastor Aloyce J Aloyce ni nani?
Aloyce J Aloyce ni Mume wa mke mmoja na Baba wa watoto
Aloyce J Aloyce ni Mchungaji Kiongozi na Mwanzilishi wa kanisa la Disciples Community Church (DCC) liliko Kisesa Jijini Mwanza Tanzania.
Aloyce J Aloyce amekua mzee wa Kanisa kwa zaidi ya miaka 5 katika kanisa la FPCT NENO LA NEEMA lililoko Bunda mjini chini ya Mchungaji Tukiko Omoso, Na amekua Mzee wa kanisa kwa miaka 3 katika kanisa la TAG-Mwanza International Community Church (MICC) lililoko Jijini Mwanza chini ya Mchungaji Dr. Zakayo Nzogere.
Aloyce J Aloyce amehitimu Shahada ya Elimu ya Watoto Chuo kikuu cha Dar es Salaam (UDSM).
Aloyce J Aloyce Amekua Mkuu wa Shule, katika shule ya Serikali kwa zaidi ya miaka 5 katika Halmashauri ya Mji wa Bunda na ameandika kitabu cha MKUU WA SHULE NA USIMAMIZI WA MIRADI YA UJENZI hii ikiwa ni baada ya kusimamia miradi hiyo ya zaidi ya milioni 100 lengo ikiwa ni kushirikisha maarifa na uzoefu wa usimamizi wa miradi ya ujenzi.
Aloyce J Aloyce amekua mwezeshaji wa walimu wa madarasa ya Awali na Shikizi (satellite Schools) ngazi ya Halmashauri Kupitia shirika la EQUIP (T)
Aloyce J Aloyce ni mwandishi wa vitabu zaidi ya 20 na mseminishaji wa mambo ya mahusiano na Walimu wa watoto Makanisani kwa zaidi ya miaka 5 sasa. Na ndio maana aliandika Mtaala wa Shule ya Watoto Makanisani na mwongozo wa kufundisha watoto makanisani.
RU-vid Channel
/ @aloycejaloyce807
Email
aloyce0202@gmail.com
Phone No
+255 757 344 860
UNAWEZA KUTOA SADAKA YAKO KWA NAMBA
0757 344 860
MUNGU AKUBARIKI SANA

Опубликовано:

 

25 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии    
Далее
[FULL] AKF in conversation with M.J. Akbar
2:01:52
#52 - #MLAFI - #MAU MPEMBA - #FUMBUA MACHO
13:20
Просмотров 3,8 тыс.
SIMULIZI USILIE REHEMA 3 BY ANKOJ_
33:20
Просмотров 6 тыс.