Тёмный
No video :(

INATISHAꓽ SIRI NZITO AFRIKA/ UONGO WA RAMANI/ "TANZANIA" ILIVYOHUSIKA/ TUNAFICHWA KUSUDI..! 

Dar24 Media
Подписаться 728 тыс.
Просмотров 12 тыс.
50% 1

#Royaltour #Africa #Princekatega
Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali.
JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786
⚫️ Email: dar24newsroom@gmail.com
⚫️ Website: www.dar24.com
⚫️ Instagram: @Dar24news
⚫️ Facebook: @dar24
⚫️ Twitter: @Dar24News
#Dar24 #Dar24Media

Опубликовано:

 

26 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 34   
@malimanyanja562
@malimanyanja562 Год назад
Safi sana na uo. Ndio ukweli kuliko walio tudanganya
@tamadunifilm2238
@tamadunifilm2238 2 года назад
Huyu mzee anatakiwa awe moja ya Wataalamu wa African inter Univeristies Researchers Forum ninayotarajia Kuanzosha hivi karibuni Nimeelewa acho kizungumza na huyu ni Mwafrika Halisi 100% anaijua historia ya Afrika yetu
@Shokolokobango9385
@Shokolokobango9385 2 года назад
Uyo namuona kama anafikra za kiukombozi wa mwafrika kama magufuli flan
@omarymohamed9834
@omarymohamed9834 2 года назад
Mzee Ana akili nyingi sana aisee. Kufanya maojiano na huyu mzee inatakiwa uwe vzr sana. Ongera sana brro Dupa
@adolphyamin1245
@adolphyamin1245 2 года назад
Simulizi nzuri sana Tatizo melody ipo juu sana
@successplatformtv1823
@successplatformtv1823 8 месяцев назад
Mzee anajua sana asee
@johanesthobias8742
@johanesthobias8742 Год назад
Omurangira princ katega wa 11 nitumie ya waafrika tafadhari naomba mawasiliano yake pls
@vincentsimoni89
@vincentsimoni89 Год назад
Yesu pia n mwafrika hakuwa mzungu
@user-mt7er2xi1r
@user-mt7er2xi1r Год назад
Nakubali mzee wangu
@mussakasela1937
@mussakasela1937 2 года назад
Akili kubwa sana huyu mzee
@bobnasser862
@bobnasser862 4 месяца назад
Asili imtunze mzee wetu katega
@OdiloMganga-bm1xb
@OdiloMganga-bm1xb 11 месяцев назад
Kuna humu watu wamesikiliza. Lakini wametoka bure na ni watu baathi uo ni upofu unaoongelewa mmoja ni mbishi na hajui kuandika vizuli haaa
@user-xz8er5fv1q
@user-xz8er5fv1q 11 месяцев назад
Itachukua mda mrefu Sana kumelewa huyu mkombozi was Africa maana Kuna watu wanawashujudia watu weupe na akili zao zimeasirika Sana na uzungu hata wale unaodhania ni wasomi was kuelewa haraka utashangaa ndio wabishi kwa mfano Hawa wanaotusaliti kwa kuuza rasimali za nchi miaka isiokuwa na kikomo .
@misifaskills745
@misifaskills745 9 месяцев назад
Naelewa unachoongea ili mtu akielewe lazima awe huru kifikra asiwe na udini huu walio tuletea watu weupe wazungu na waarabu kupitia ukiristo na uisilam tumefumbwa macho hatuoni hivo vifungo ili watutawale na kutuibia mali na nishati zetu ili wao wawe juu kiuchumi na kiakili
@stephenking3602
@stephenking3602 Год назад
Wazungu wametubadirisha sana ni fikra, kuanzia asili na ibada zetu, elimu na itikadi zetu tunashindwa kujitegemea sababu ya hayo, sasa mnafanyaje ili dhana hiyo iwe na mafanikio zaidi na ilete chachu kwa waafrika?
@abiboseleman1649
@abiboseleman1649 Год назад
Kkkkk kweli wazungu wametueza na dini kkk wametufunga sana
@johanneslaurianzakubeibanz225
Johannes laurian rwebugisa anamuunga mkono profesa katega
@omarymohamed9834
@omarymohamed9834 2 года назад
Daaah mzee anamadini aisee
@pathfinderke7209
@pathfinderke7209 2 года назад
Toa melody background
@omarymohamed9834
@omarymohamed9834 2 года назад
Natamani kwenye maisha yangu ningekuwa na mtu hata nusu yake huyo mzee
@ngonosika5004
@ngonosika5004 2 года назад
,matukio
@malimanyanja562
@malimanyanja562 Год назад
Ww ni mpumbavu mungu ana bali wajinga kama nyie ndio wenyedini za kipuuzi izo
@Mpakauseme
@Mpakauseme 2 года назад
🤣🤣🤣🤣 wazungu wametokana na waafrika kwasababu ya barafu je na wachina na wahindi walitokana na nini hapo mzee wangu umetuanga
@simbamnyama2589
@simbamnyama2589 Год назад
Rangi nyeupe.. Akizungumza wazungu anamaanisha mtu yyte ambaye hana malanin iliyonyooka
@BigZhumbe
@BigZhumbe Год назад
Uzungu ni rangi nyeupi kwani wachina ni Rangi gani??? China ni nchi sio rangi.
@charleskapaya1170
@charleskapaya1170 Год назад
Wachina na Wahindi ni kama Marangirangi wa South Africa.
@org5233
@org5233 Год назад
Rangi mbili tu nyeuc na nyeupe ko utachagua ww kilaza mkubwa
@mahsensaid4079
@mahsensaid4079 Год назад
Ni mbumbafu walahi ni mtu anapinga dini au kifupi haamini kwnye mungu na amesahau kila kitu unachokiona sehem nikimetengenezwa je hi dunia nan kaitengeneza imekujaje yenyewe na bindamu je wa mwanzo kabisa alikujaje?????? Acha ujinga mzee unajiona mjanja lakini hakuna falaa kama wewe
@jumandegwakazee
@jumandegwakazee Год назад
Juwa nini elimu Kwanza wazee wetu walitupa elimu si ya magari ilkuwa ni jinsi ya maisha
@org5233
@org5233 Год назад
Hata huko unako Amini pia bdo huelewi elewi upo upo tu 😂😂
@org5233
@org5233 Год назад
Unahitaj ukomboz wa kifikra
@OdiloMganga-bm1xb
@OdiloMganga-bm1xb 11 месяцев назад
Herewa anachosema kwanza kuandika hujui tupishee
@fasterwalker1464
@fasterwalker1464 9 месяцев назад
Imani na ujuz ndio maana yake Dini unaamini usichokijua ila history unaamini kupitia Shahid hakuna ushahidi wote wa hizi dini ila ushahidi wawazee wakale upo Mzee hata filaun story yake tumedanganywa tu fungua akili utaelewa
Далее
Matangazo ya Dira ya Dunia TV
Просмотров 332