Тёмный

Inatisha: Dr Nandipha aliiba maiti 3 ili kusuka mpango wa kumtorosha Thabo Bester gerezani 

Simulizi Na Sauti
Подписаться 1,4 млн
Просмотров 57 тыс.
50% 1

Unaipenda kazi yetu na ungependa kutuunga mkono? Sasa unaweza kutuchangia kiasi chochote kuanzia shilingi 500. Fuata link hii hiveticket.web...
Tunashukuru kwa kuwa Mwana SnS unayejali

Опубликовано:

 

2 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 193   
@nicedavid8536
@nicedavid8536 Год назад
Kuna watu wanajua kupenda! Ukisikia niko tayari kufa kwa ajili yako ndio hii
@sky-wz5zi
@sky-wz5zi Год назад
Dada kiboko😢 nimemuogopa🙌
@monicacyprian9137
@monicacyprian9137 Год назад
Haya mapenzi hatari.alosema wanawake mwalimu wetu kipofu wala hawajakosea
@yama_virginhairthequeen1065
Is not about love there
@yama_virginhairthequeen1065
Hapo. Hakuna mapenzi peee tu Jua Ni maslai km hujui outside huyo Dada anajulikana km successful na. A kuwa km MFANO but behind all success we know kumbe yupo huyo bester 😁😁😎 Hakuna mwanamke anakaa au Ana associated na criminal man without to know wht she will benefit
@idrisashelimo307
@idrisashelimo307 Год назад
Uko sahihi snaaaaaaaa dada
@magynzioka1122
@magynzioka1122 Год назад
Kuna mtu ana sema ati anajitolea Kwa mapenzi waogo wote haya Dio mapenzi ya kweli kwashi na Raha
@monicacyprian9137
@monicacyprian9137 Год назад
@@yama_virginhairthequeen1065 yawezekana ndomana katumia nguvu nyingi kumtoa ingekua mwenzangu na mm asinge angaika nae
@faidhamyovela179
@faidhamyovela179 Год назад
Wapenz wa hiv huwa wanadumu hawaachani kabisa ulip yup true lv never die.
@magynzioka1122
@magynzioka1122 Год назад
Mwanamke ana makosa zaidi ya kijana wacha mapenzi Yao yakishie gerezani
@patriciacarlo7236
@patriciacarlo7236 Год назад
Mapenzi ujinga, mapenzi upofu 💔😭
@mackysuphian
@mackysuphian Год назад
Directors story hio mushapata tuleteeni movie 🙌...na waliwezaj kuingiza maiti kwenye gereza kali kama hilo 🤔
@emmanuelmanga25
@emmanuelmanga25 Год назад
Netflix watakuja nayo ila siyo bongo movie
@mackysuphian
@mackysuphian Год назад
@@emmanuelmanga25 😂😂😂 true
@margaretmahege7948
@margaretmahege7948 Год назад
Hapo pesa tu ilifanya kazi
@neemayatosha1618
@neemayatosha1618 Год назад
She reminds me of the series" For My Man " ,things people do in the name of love..... Throwing away her whole life Chaaai!
@tajilimtoto5009
@tajilimtoto5009 Год назад
Sheria nyie ameuwa souz amekamatwa alusha kweli sheria mkono mlefu
@deusntobi1450
@deusntobi1450 Год назад
History yaani ni kama movie kabsa ndo maana natakaga sky awe atuletea movie hapa SNS
@saumusalimuhassan2499
@saumusalimuhassan2499 Год назад
Kwakweli 😊
@welcometoeat165
@welcometoeat165 Год назад
Utasema movie 😢 noma sana
@thabitdaudi9815
@thabitdaudi9815 Год назад
Hii wasingeitangaza wangetolea movie kabisa
@mohamedkhalifa6014
@mohamedkhalifa6014 Год назад
Safi kaka,ebu tuletee story Zaid za huyu mwamba na manz Wake
@lastkinglastking3326
@lastkinglastking3326 Год назад
Movie hii ni zaidi ya Ile prison break kwa wale wacheza cinema....
@ashurahatibu5069
@ashurahatibu5069 Год назад
Mnooo
@ashurahatibu5069
@ashurahatibu5069 Год назад
Ila kusini wana roho ngumu
@johanjoha5262
@johanjoha5262 Год назад
Yani kama hadithi, kuna watu wanaroho ngumu mwiyi dunia,Yani mairie zinasumbulia 😭😭😭
@publicrelations4600
@publicrelations4600 Год назад
Umafia wote huu alafu unakuja kukamatwa bongo...what a shame!!!
@stellahlinusi8215
@stellahlinusi8215 Год назад
yani nimeshangaa
@malak-lz6kx
@malak-lz6kx Год назад
Ndio ujue police wa Tanzania wpo kikaz
@khadijamwenda1851
@khadijamwenda1851 Год назад
Mungu WAngu 😢😢kama movie asee 🙌🙌 kuna watu ni mafia daah
@ashurahatibu5069
@ashurahatibu5069 Год назад
Kuna watu matajiri maisha yao ni move
@khadijamwenda1851
@khadijamwenda1851 Год назад
@@ashurahatibu5069 yaan
@princekarani7836
@princekarani7836 Год назад
Uyu dada ni mafia na ako na pesa,so pesa zimetumika pia 100%,maana hao wote wameongwa pesa kufanikisha kila jambi
@fatmamussa6134
@fatmamussa6134 Год назад
Me huyo Dada mpaka namuogopa mjasiri
@ashuraomar4935
@ashuraomar4935 Год назад
Mchawi hasaa
@vickydan2869
@vickydan2869 Год назад
Mapenzi mapenzi unataka nn mapenzi mapeenzi NANDIPA matukio yako c kama sura yako
@alainmuhigirwa5151
@alainmuhigirwa5151 Год назад
Yani wewe mtangazaji uko na kipaji kubwa sana. Na fuatilia story vizuri na na kuelewa kabisa. Yote unasumulia ni kweli kabisa kufuatana na sources apa Africa ya kusini. Nakuomba uendelee na kazi nzuri uko nafanya ku julisha jamii nini inaendelea. 🇿🇦🇨🇩 Apa Johannesburg 5/5
@theresiakaruhanga364
@theresiakaruhanga364 Год назад
Huyu dada atakuwa anavuta bangi siyo bure
@HelenahSian-hl5ue
@HelenahSian-hl5ue Год назад
Dr kashindwa tu na sehemu ndogo nyama ya Kiunoni 😂😂 tu. Sasa angepata ya Officialdogo, Fally ipupa, Will Paul,. Si angechoma Dunia huyu bibi😂😂😂
@sarafinabutashilaga6990
@sarafinabutashilaga6990 Год назад
Hii ni level gani love🤔 najaribu kufkria nashindwa yani mdada kapigania penzi la mtu ambaye ni muuaji ...na akatelekeza had watot wke wa kuzaa mwenyew kwa uchungu ksha kusepa na muuaji aseeeh jamaa alkuw anamp mapenz ya aina gan huy dad mpk ajitoe kias hk🤔 nyie daah kweli wanawake ni hatari
@rashidramadhan7708
@rashidramadhan7708 Год назад
Kama ameweza penya gereza hatari la huko South huko Arusha si atatoroka na majengo yote wafungwa wote na askari magereza wote watakaowepo zamu siku ya mkakati !?
@damariszuckschwert9489
@damariszuckschwert9489 Год назад
Huyu siyo Dr she is ai big Mafia. Waiting for the movie in Netflix 😂😂😂
@beatricejohn1659
@beatricejohn1659 Год назад
98% ya Wanawake wembamba ni wabishi hatari na wana roho ngumu sana .
@gb-one6435
@gb-one6435 Год назад
Hii ni Movie kabisa asee Tukiachana na yote Huyu mwanamke anapenda vibaya sana na ana ujasiri wakutisha
@hassanbakari4525
@hassanbakari4525 Год назад
NAWAKUBALIGI SANA AO WAMBA WANAO ESCAPE KWENYEMAGEREZA,,SALUTE SANA
@maishamaisha1768
@maishamaisha1768 Год назад
Mbona stori ni ya Afrika kusini lakini magereza ya Arusha? 🤔🤔🤔
@MaaneML
@MaaneML Год назад
Hapa ni pesa ndefu ulitumika na maofisa wakubwa huko gerezani wanahusika. Hivyo akibanwa atasema vyote. Ila huyu mwanamke ni hatari Sana
@agneswilson908
@agneswilson908 Год назад
Utuepushe na yule muovu yaani Mungu atusaidie tusipende tukawa vipofu
@ashminaabdulla8946
@ashminaabdulla8946 Год назад
Mmmh Rabiy ghusni ghatima maana mpaka uvuke dunian salama tuseme Alhamdullah 🙏
@nassirmohamed8492
@nassirmohamed8492 Год назад
Kweli kabisa,Ameen
@twiseghekisilu8845
@twiseghekisilu8845 Год назад
Huyu Nandipha hakuwa mwenyewe kwa hii ishu Kuna watu atakuwa alikuwa nyuma yake
@annievibes8794
@annievibes8794 Год назад
Yatajulikana baadae
@zubynyaku6269
@zubynyaku6269 Год назад
Kwaiyoo haya ndomapenzi yakwelii ? Sawa dr umewakilisha vyema
@irenemichael5140
@irenemichael5140 Год назад
Kwahyo jikoni wenzake wanapoandaliwa chakula....yeye kaenda kuhifadhia maiti....yani kama kuna mtu alitibiwa na huyu dada na akapona akatoe sadaka ya shukrani.....watu tunachoma nyama za ng'ombe. Mbuzi yy anachoma maiti dah
@mariamdimosso621
@mariamdimosso621 Год назад
Mapenzi upofu
@henricamikambi6147
@henricamikambi6147 Год назад
Kama waliyotoka sauth Africa kwenye ulinzi mkali hapa tanzania, wawe makini kufumba na kufumbua watatoroka
@saidasimba9979
@saidasimba9979 Год назад
Hao wanataka kuacha historia duniani..na hayo yanayotokea ndio wanayotaka haswaa
@sweetyjanne255
@sweetyjanne255 Год назад
Hawa walitakiwa wakae gereza la Supermax kama lile la marekani
@noru9028
@noru9028 Год назад
Uyo mwanamke nae hatari😢
@faidhamyovela179
@faidhamyovela179 Год назад
Wanawake ni hatari siku zotee 😢😢
@gloriadaniel3827
@gloriadaniel3827 Год назад
Tena hatari na nusu.
@savioursimon458
@savioursimon458 Год назад
​@@faidhamyovela179 Yes we have that dark side within us.
@vanessalaizer4363
@vanessalaizer4363 Год назад
Hatari kuliko huyo mwanaume, unaeza kuta hao maiti ni yeye ndo alowauwa
@vickydan2869
@vickydan2869 Год назад
Ukisikia watu wanasema mwanamke akitaka jambo lake hata shetani hukaa pembeni anaanza kujifunza
@chusseboywcb2808
@chusseboywcb2808 Год назад
Mmm mwanamke shupavu huyu du andikwe kwenye history rengo nimtu ampendae kumuokoa
@evankya1955
@evankya1955 Год назад
Apply for M-Pesa lipa number kwa ajili ya wanaopenda kuchangia katika kazi yako.
@babrashabanu7073
@babrashabanu7073 Год назад
Hii inshu Hadi maafisa wa magereza watakosa kaz
@hubimogela9167
@hubimogela9167 Год назад
Ni hivi Mwanamke Amebarikiwa sana na Mungu ni Mama zetu ila Roho ya Mwanamke ikigeuka inakuwaka mbaya mara mia moja ,ni bora ukutane na Simba na sio Mwanamke ambaye Roho yake imegeuka .
@ashurahatibu5069
@ashurahatibu5069 Год назад
Sahihi moyo wangu umebadilika had najishangaaa namuomba sana mungu
@vanessalaizer4363
@vanessalaizer4363 Год назад
@@ashurahatibu5069 daah utakuwa ulitendwa dear so wamekugeuza moyo from good person to evil. Hiyo ni kawaida sana but pray pray pray
@ashurahatibu5069
@ashurahatibu5069 Год назад
@@vanessalaizer4363 yani veee we acha tu kuna miovyo hutia huruma sana na ndio hubadilika vibaya now had nikiswali namuuliza mungu wangu ivi ni mimi yule ila kwa ajili ya waja mahusiano ndugu marafiki acha tu
@halimamohammed395
@halimamohammed395 Год назад
Hii ishue ya hawa watu inahusisha watu wengi hawezi kufanya hayo yote peke ake bhana ndo maana mambo yalikua yanakua mepesi kila anachoamua kufanya kinapita fresh ila hapa ndo naamini alosema za mwizi arobaini😅😅
@bayernsulesh568
@bayernsulesh568 Год назад
Unaweza kusema movie kumbe ni kitu halisi nyiee🤔
@irakozethierry6699
@irakozethierry6699 Год назад
Huo dada nijini duuu hatarii😑😑
@anjelinakasembe845
@anjelinakasembe845 Год назад
Wazuri. Jamani hutegei hii scandal heeee mungu wangu Sasa Hawa wote wanaenda kufungwa kizungu cha maisha jamani why like that
@ashurajengela3926
@ashurajengela3926 Год назад
Duh ama kweli mapenzi upofu mweee yani dada mzuri ivi, msomi very humble anahangaikia uyu muuaji ?! Ni huzuni sana 😔🙌🏻
@ahz6907
@ahz6907 Год назад
Mapenzy ni jambo jingine...moyo ulishakuwa dhaifu.
@anjelinakasembe845
@anjelinakasembe845 Год назад
Sidhani kama walihusika wazazi wao Hope wataachiwa
@lovvy854
@lovvy854 Год назад
Huyu mwanamke alikua Mafia
@sharifanyumayo6314
@sharifanyumayo6314 Год назад
Yani nilipoanza kuisoma hii story nilijua TU mwanamke naye muuwaji na anaroho ya ukatili! Daaah ama kweli mapenzi upofu na usomi wote huo jmn eeeh Dunia yetu inamaajabu Sana!
@ahz6907
@ahz6907 Год назад
Usomi na roho ni vitu viwili tofauti. Sura sio roho!
@vailetheanyambilile9749
@vailetheanyambilile9749 Год назад
Siwezi Muhukumu huyu dada 😢😢😢😢😢Mapenzi jamani daaah
@emmalyanga3726
@emmalyanga3726 Год назад
Wangeenda Singida huko. Arusha panajulikana ivo
@merisianantandu1327
@merisianantandu1327 Год назад
Kwahiyo Singida hatujulikani au 😀
@emmalyanga3726
@emmalyanga3726 Год назад
@@merisianantandu1327 Singida ni sehemu nzuri ya kujificha ukiwa na msala. Niamini mie na unapata starehe zote bila kujulikana
@khadijahamza5670
@khadijahamza5670 Год назад
Mmmmmh Kwa hiyoo singida yetu ndoo pakujifichia😢
@merisianantandu1327
@merisianantandu1327 Год назад
@@emmalyanga3726 hapo nimekuelewa 😂
@josephatjordan2150
@josephatjordan2150 Год назад
@@emmalyanga3726 usije kujidanganya Sehemu ya kijijini ukifika hata mtu wa mjini unajulikana mapema sana so haiko rahisi! Pia singida sio Porini kama unavyohisi
@sophiamfikwa7340
@sophiamfikwa7340 Год назад
Duu anaroho ngumu huyu dada
@hamadlallana4888
@hamadlallana4888 Год назад
Nandihpa @@@😭😭
@naimanasoro4039
@naimanasoro4039 Год назад
Nayaonaga ktk tv t kumb kwl yapo duh
@MisosimitamuC
@MisosimitamuC Год назад
Hii story kumbe kweli nimejisikia Leo. Haya mnisupport dada yenu
@eestermos9933
@eestermos9933 3 месяца назад
Dah hiv n mapenz au n kitu gan
@pendokissatu937
@pendokissatu937 Год назад
Michael Scofield wa south
@saidahj2543
@saidahj2543 Год назад
Nandipha ni jini kweli
@celestineashiundu7426
@celestineashiundu7426 Год назад
Hii ndio inaitwa soul tie ama?
@mkodojoseph-kt8wd
@mkodojoseph-kt8wd Год назад
After the devil, fear Women 😫😓
@AhmedHassan-zh8dd
@AhmedHassan-zh8dd Год назад
My brother naomba ile story ya kijana wakiemerekani aliuwawa korea naipataje
@japhetlust5050
@japhetlust5050 Год назад
Nenda you tube andika Kama ivyo msho malizia simulizi na zsauti unaipata
@khurlainashly5686
@khurlainashly5686 Год назад
Mapenzi ayana umri😅 Leo nataka wakunipenda tena awe team sns😊aya nangoja jibu me wakike jamani yatima wa mapenzi 😢😂
@respiciousfrankly
@respiciousfrankly Год назад
🙈🤗
@gb-one6435
@gb-one6435 Год назад
Lete namba tuzame whtsp mambo yaende sawa chap 😅🙈
@khadijaabdala6876
@khadijaabdala6876 Год назад
SubhanaAllah huyu mdada ni hatari kwa jamii
@amoonatnzani9834
@amoonatnzani9834 Год назад
Hii ni hatari sana
@cocotz1892
@cocotz1892 Год назад
TRUE LOVE 👏🙌
@yama_virginhairthequeen1065
Never don't always look things in the box there is outside the box my brother there is no love between these two
@vanessalaizer4363
@vanessalaizer4363 Год назад
It’s just an illusion dear
@neemayatosha1618
@neemayatosha1618 Год назад
How is that true love?
@asha_homedecorations
@asha_homedecorations Год назад
Duh!! Dada Kiboko Huyu Roho Yake Ni Ngumu Kuliko Chuma 🙌
@yakoboesenga5754
@yakoboesenga5754 Год назад
Sadness 😢
@monicasimpilu6257
@monicasimpilu6257 Год назад
Kweli kizuri hakikosi kasoro wajinga walisema
@Zizzah2707
@Zizzah2707 Год назад
Upuuz uliopitiliz
@angeljohn180
@angeljohn180 Год назад
Duh yani ana roho gumu jamn uwiii alivyo mzur jman
@pendo8082
@pendo8082 Год назад
Kuiba maiti tena duh
@saumusalimuhassan2499
@saumusalimuhassan2499 Год назад
Subhannallah, kupenda gani uku 😳 kama karogwa 🤔
@angelmaige-yc5gb
@angelmaige-yc5gb Год назад
Yani walikosea kitu kimoja uyo dada walipomtorosh mpnz wak si angeend kumfanyia surgery ya kubadilish sura Wala wasingewez kufahamik yeye ingkuw Siri Yao kuw uyo thabo lakin anasur INGINE ni mawaz yang TU
@akimanaarlene851
@akimanaarlene851 Год назад
Duuh watu hawana uogha mimi nikiona pic kwanza nakimbia na hofu😢😢😢
@zarabati1750
@zarabati1750 3 месяца назад
Waaaa
@ayubumbaras776
@ayubumbaras776 Год назад
Huyu demu noma
@ibrahimsamson4193
@ibrahimsamson4193 Год назад
Juliet & Romeo
@DorcusTarimo-zi5dx
@DorcusTarimo-zi5dx Год назад
Duuuhh
@sonkograce4527
@sonkograce4527 Год назад
The woman did that just for love
@zaydelabay9776
@zaydelabay9776 Год назад
Hayo mapenz siyawez
@mwambolamwambola4430
@mwambolamwambola4430 Год назад
True love
@shakilamasoud2983
@shakilamasoud2983 Год назад
Mwanamke mafia huyu khaa
@Sarahsaid2648
@Sarahsaid2648 Год назад
Mmmmh haya majina ya akina thabo ni tabu tupu si ndio km akina thabo mbeki😢😢 huyu mwanamke hapana ndio alikuwa na kazi ya kudhurula na maiti ili amtoe muuaji walah kwa akili yangu angeozea jela tena mbakajiiii ina maan kanisaliti waziwazi hiyo nguvu ya kuiba maiti ningezitolea wapi mimi..😢😢😢nyie wanawake sisi tukipenda tunakuwa km vichaaa....cha mwisho Tanzania iweke kwenye historia ya afrika ya kusini maan tumemsaidia kuwakamatia majambazi wao😅😅😅
@omantr6029
@omantr6029 Год назад
Utasikia watu eti waacheni sijui wanawaza vitu gani weukikamatwa nchi zawatu umefanya kosa mungine ukimbilie uko ukikamatwa kwanza utajuta yani tuache watu waishi nchini wanaatari hizi bora mtu ambae ujamjua lakini ushasikia matukio yao yanaogopesha eti waacheni kivipi mnataka wajewawapige matukio nanyie ndio mfrah acheni selikar ifanye kazi yake
@Adeen.1
@Adeen.1 Год назад
Mental health bado ni tatizo, hii dunia ina insecurities nyingi watu wamevaa ndani yao...japo we all seem happy outside.
@kawanga0073
@kawanga0073 Год назад
Km muvi vile dah 👏👏👏
@tajilimtoto5009
@tajilimtoto5009 Год назад
Uyo dada sasa ukikukanyaga unaweza mpiga kofi kumbe ni mafya sana😀
@scottgeorge5677
@scottgeorge5677 Год назад
Jamaa hata kusoma hajasoma lakin ni kama prison break hv hii story yake n kama movie kabsa
@gb-one6435
@gb-one6435 Год назад
Huko gerezani walikua wanashirikiana na nani mpaka kufikia kuchoma moto? Hii inaonekana Kuna watu wengi nyuma ya pazia pengine ata watu wa magereza wanahusika
@vamos842
@vamos842 Год назад
Ni daktari so hofu ya miili hana kashazoea.
@malak-lz6kx
@malak-lz6kx Год назад
Hyu akipelelzwa vzr ni miongoni mwa wale wanaotoa mafigo watu
@lilkeen8710
@lilkeen8710 Год назад
Police wako na kiherehere wanafaa kuachana na hawa wapendanao
@shadiathemedshadiathemed8699
Kama move vile daaah
@khadijauledi3293
@khadijauledi3293 Год назад
Ni hajabu sana kutengeneza mambo yote hayo mazuri na yakuvutia katika maisha unakuja kuyaharibu kwa sekunde duuh inasikitisha sana , huyo dada sijui aliwaza nini kuwa na huyo kaka
@ayshaahnad4472
@ayshaahnad4472 Год назад
Kheeeee! Mapenzi haya jamn hapan kabisa yaani mdada mzuri kabisa kaenda kujinunulia kezi kiza na mapenzi🙌🙌
@agriparose3942
@agriparose3942 Год назад
Nyie sisi wanawake tukipenda hatari
@sumayaishengoma4543
@sumayaishengoma4543 Год назад
Hili lidada ni comandoo utafikiria movie 😊
@saidizuberiissa7286
@saidizuberiissa7286 Год назад
Bbc wanatakiwa wakupe kitengo duniani
@issazalala4907
@issazalala4907 Год назад
Maisha ni mafupi likini daah tunapitia mengi sanaa😂
@maryamm7765
@maryamm7765 Год назад
Duh hatar sana
Далее
Дикий Бармалей разозлил всех!
01:00
How the Most Elite Spy Agency Operates
22:42
Просмотров 1,5 млн